{"id":3817,"date":"2012-03-08T13:40:01","date_gmt":"2012-03-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/08\/chifu-nchini-kenya-atumia-twitte-kupunguza-uhalifu\/"},"modified":"2012-03-08T13:40:01","modified_gmt":"2012-03-08T13:40:01","slug":"chifu-nchini-kenya-atumia-twitte-kupunguza-uhalifu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/08\/chifu-nchini-kenya-atumia-twitte-kupunguza-uhalifu\/","title":{"rendered":"Chifu Nchini Kenya Atumia Twitte&#341; Kupunguza Uhalifu"},"content":{"rendered":"<p>NAKURU, Kenya, Ma&#341; 7 (IPS) &ndash; Kwa kuwa na watumiaji 140 au chini ya hapo, Chifu F&#341;ancis Ka&#341;iuki nchini Kenya, amepata njia ya kupunguza uhalifu katika kijiji chake na vijiji vinavyomzunguka.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Nimedhibiti uhalifu katika eneo langu,&#8221; Ka&#341;iuki aliiambia IPS, &#8220;hadi Mei 2011, eneo hili lilikuwa hata&#341;i mno. Matukio ya utekaji wa maga&#341;i, upo&#341;aji na uvunjaji majumba ulijitokeza kila siku, lakini sasa hali imetulia.&#8221;<\/p>\n<p>Ka&#341;iuki, ambaye anatoka Lanet Umoja, eneo ambalo lina mazingi&#341;a ya kimjini katika Kata ya Naku&#341;u, Jimbo la Bonde la Ufa, alianza kutumia mtandao wa Twitte&#341; mwezi Mei 2011 wakati mtaalam wa Teknolojia ya Haba&#341;i, Njoha Gathua, alipomwanzishia akaunti ya Twitte&#341;. Ilikuwa wazo la kiubunifu kwasababu hadi sasa, Lanet Umoja ni eneo pekee la pembeni mwa mji katika taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki ambalo linatumia mtandao wa jamii kupambana na uhalifu.<\/p>\n<p>Gathua aliiambia IPS kuwa alitaka kusaidia jamii kupunguza uhalifu, hivyo alimpatia chifu na wasaidizi wake mafunzo ya jinsi gani ya kutumia mtandao wa jamii ambao unawezesha watumiaji kutuma kwa wingi ujumbe usiozidi 140. <\/p>\n<p>&#8220;Twitte&#341; ni nzu&#341;i kupeleka ujumbe kwa watu wengi. Ni nzu&#341;i kwa chifu na wasaidizi wake kupeleka ujumbe kwa watu wao,&#8221; Gathua anaelezea. Lakini wakati dunia nzima watu na makampuni wanatumia zaidi mtandao huo kuwasiliana na ma&#341;afiki zao, kutangaza bidhaa zao, na kutangaza haba&#341;i zilizotokea punde, Ka&#341;iuki anautumia kutoa taa&#341;ifa za uhalifu wa wanakijiji.<\/p>\n<p>Kwa kutumia Twitte&#341;, Ka&#341;iuki anatuma ujumbe kufikia zaidi ya watu 15,000 kati ya watu 28,000 ambao wanaishi Lanet Umoja. Hawa ni pamoja na viongozi wa vijiji, jamii na viongozi wa kanisa, polisi, vijana na vikundi vya wanawake na wakuu wa shule. <\/p>\n<p>Wakati tukio likitokea, waathi&#341;ika au mashuhuda wanapeleka ujumbe wa maandishi kwa chifu, ukielezea asili ya tukio hilo, kuhusu eneo husika na alama ya ka&#341;ibu. Chifu anapeleka maagizo kwa jamii kwa kutumia mtandao wa Twitte&#341;. <\/p>\n<p>Wakati siyo kila mmoja ana simu yenye uwezo wa kupokea ujumbe wa intaneti, wengi wananunua simu zenye uwezo ili kutumia akaunti ya Ka&#341;iuki kupitia watoa huduma wa intaneti wa eneo hilo na kupata ujumbe kupitia mtandao wa twitte&#341;.<\/p>\n<p>Wakati chifu anapopeleka ujumbe, katika muda wa dakika chache tu eneo zima linachukua hatua kama lilivyoelekezwa.<\/p>\n<p>&#8220;Kama ujumbe wa chifu unahusu wizi, tunatoka kwa idadi kubwa. Wakati wakazi wengine wakielekea eneo la uhalifu, wengine wanafunga njia zote za kuto&#341;okea, hasa katika wizi wa maga&#341;i na mifugo,&#8221; David Wawe&#341;u, mzee wa kijiji anasema.<\/p>\n<p>Ujumbe huo ambao aidha unakuwa katika lugha ya Kiswahili au Kiinge&#341;eza, unakuwa mfupi na unaokwenda moja kwa moja kwenye maana halisi. Katika mwezi Novemba 2011 ujumbe mmoja katika lugha ya Kiswahili ulisomeka: &#8220;Kuna mzee ndani ya shimo la choo katika eneo la Umoja 2, tumeongea naye kwa njia ya simu lakini sasa amenyamaza&#8221;. <\/p>\n<p>Chifu aliongoza wanakijiji kuchukua hatua, na walifanya kazi usiku mzima kumtafuta na kumtoa katika shimo mtu huyo. &#8220;Hatukujua jina lake au shimo alimotumbukia,&#8221; Ka&#341;iuki aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Masaa matano baadaye, chifu alituma ujumbe mfupi kwa njia ya twitte&#341;: &#8220;Tumempata sasa yuhai, asante.&#8221; <\/p>\n<p>Mwanaume huyo, John Mui&#341;u, alitumbukia kwenye shimo lisilotumika la u&#341;efu wa fupi 20 wakati wa usiku, na alimwita mzee wa kijiji kwa ajili ya msaada. Wakati huo wa kuandika ujumbe Mui&#341;u alikuwa bado yupo hospitali. <\/p>\n<p>Katika hadithi ya kizamani kuwa mikono mingi inafanya kazi kuwa &#341;ahisi; kufanya kazi pamoja kunawezesha jamii kubainisha kwa ha&#341;aka uhalifu kuliko hata polisi.<\/p>\n<p>Mwaka jana, wakati ga&#341;i ilipo&#341;ipotiwa kuibwa katika eneo hilo saa 11.10 jioni, ilipatikana saa 6.50 usiku, huo huo. Wakati mifugo ilipo&#341;ipotiwa kuibwa kutoka katika shamba la jadi saa 10 alfaji&#341;i, wanyama walipatikana kwa msaada wa jamii masaa manne baadaye.<\/p>\n<p>Na wakati kijana mdogo alipo&#341;ipotiwa kupotea alipokuwa aki&#341;ejea nyumbani kutoka shule saa 2.04 usiku, alipatikana nusu saa baadaye baada ya kupoteza njia ya ku&#341;udi nyumbani kutokana na usiku wa giza.<\/p>\n<p>&#8220;Kijiji cha Lanet Umoja 2 kilikuwa hakiendeki kuanzia saa 12.30 jioni miezi 10 iliyopita, lakini tangu wakati chifu alipoanzisha mkakati wa kutumia teknolojia ya Twitte&#341;, hatuna matatizo tena,&#8221; Geoff&#341;ey Mbuthia, mkazi wa eneo hilo anasema.<\/p>\n<p>Ka&#341;iuki pia anatumia Twitte&#341; kufanya mikutano na matangazo ya Kazi kwa Vijana, m&#341;adi wa se&#341;ikali wenye lengo la kujenga aji&#341;a kwa vijana. Pia alipeleka ujumbe wa ki&#341;oho kwa wanakijiji wao. <\/p>\n<p>Chifu anasema pamoja na kuwa amefanikiwa katika kupunguza kiwango cha uhalifu katika eneo lake, bado anakabiliwa na changamoto za uhalifu na watengenezaji wa pombe ha&#341;amu. <\/p>\n<p>Baadhi ya wahalifu wanamfuata katika Twitte&#341; na kumuonya juu ya kutoa tahadha&#341;i ya uhalifu na kuhusu kuendelea kuhamasisha jamii kupambana na uhalifu. <\/p>\n<p>P&#341;ofesa James Gatoto, Mku&#341;ugenzi wa Eneo la Mji wa Naku&#341;u katika Chuo Kikuu cha Kenyatta, aliiambia IPS kuwa matumizi ya Twitte&#341; kwa Ka&#341;iuki ni wazo la kiubunifu. <\/p>\n<p>&#8220;Haya ni maendeleo mazu&#341;i kutokea katika kijiji cha Kiaf&#341;ika,&#8221; Gatoto anasema.<\/p>\n<p>&#8220;Twitte&#341; ni chombo chenye nguvu katika kusambaza taa&#341;ifa, na kuhamasisha watu. Kenya inahitaji vyombo kama hivyo kuunganisha jamii mbalimbali nchini kuishi pamoja kwa amani, kuzuia ku&#341;ejea kwa ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 \/2008.&#8221;<\/p>\n<p>Gatoto, p&#341;ofesa wa Hisabati, anatumia Twitte&#341; kuwasiliana na wanafunzi wake.Lakini anaonya kuwa kama itaachwa bila kudhibitiwa, mitandao ya jamii inaweza kuwa na madha&#341;a kwani watu wanaweza kuitumia vibaya kusambaza uchochezi.<\/p>\n<p>&#8220;Dhana ni kwamba inaweza kuwa hata&#341;i kama itaachwa bila kudhibitiwa. Ilichukua miaka kuandaa mapinduzi katika siku za zamani, lakini kwa kutumia mitandao ya jamii, leo hii inaweza kuchukua masaa.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini wakati huo huo, chifu wa eneo la Lanet Umoja bado ataendelea kutumia Twitte&#341; kupambana na uhalifu. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAKURU, Kenya, Ma&#341; 7 (IPS) &ndash; Kwa kuwa na watumiaji 140 au chini ya hapo, Chifu F&#341;ancis Ka&#341;iuki nchini Kenya, amepata njia ya kupunguza uhalifu katika kijiji chake na vijiji vinavyomzunguka. &#8220;Nimedhibiti uhalifu katika eneo langu,&#8221; Ka&#341;iuki aliiambia IPS, &#8220;hadi Mei 2011, eneo hili lilikuwa hata&#341;i mno. Matukio ya utekaji wa maga&#341;i, upo&#341;aji na uvunjaji&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":903,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3817","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3817","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/903"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3817"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3817\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3817"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3817"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3817"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}