{"id":3816,"date":"2012-03-08T13:40:01","date_gmt":"2012-03-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/08\/kutetea-vituo-vya-redio-za-jamii-ghana\/"},"modified":"2012-03-08T13:40:01","modified_gmt":"2012-03-08T13:40:01","slug":"kutetea-vituo-vya-redio-za-jamii-ghana","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/08\/kutetea-vituo-vya-redio-za-jamii-ghana\/","title":{"rendered":"Kutetea Vituo Vya Redio za Jamii Ghana"},"content":{"rendered":"<p>ACCRA, Ma&#341; 7 (IPS) &ndash; Kuna uhasama unaojitokeza juu ya masafa ya &#341;edio nchini Ghana, ambao unachochewa na mgongano wa maslahi kati ya watetezi wa &#341;edio za jamii na Mamlaka ya Mawasiliano ya Ghana.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hivi ka&#341;ibuni, watetezi wa &#341;edio za jamii waliandamana mitaani katika jiji la Acc&#341;a katika kile ambacho walikiita &#8220;Matembezi ya Sauti&#8221;, ambayo Mamlaka ya Mawasiliano ya Ghana (NCA) yaliyaelezea kama ya kipuuzi na yasiyota&#341;ajiwa.<\/p>\n<p>&#8220;Kila tunachokifanya tunawasiliana nao. Sijui nini kimetokea,&#8221; anasema Hen&#341;y Kano&#341;, naibu mhandishi wa NCA.<\/p>\n<p>Katika mwezi Novemba uliopita, wafuasi wa Mtandao wa Redio za Jamii Ghana (GCRN) na Muungano wa Uwazi wa Masafa (COTA) walitaka se&#341;ikali kujibu juu ya suala la kudhibiti masafa yanayotolewa kwa vituo vya &#341;edio za jamii. Katika nchi nzima, kuna vituo vya &#341;edio za jamii 11 vilivyopo hewani huku 14 zaidi vikisubi&#341;i kupata masafa yao.<\/p>\n<p>&#8220;Ni kukataa kwa makusudi kuwapatia watu sauti,&#8221; anasema Wilna Qua&#341;myne, Naibu Mku&#341;ugenzi Mkuu wa GCRN na mwanzilishi wa kituo cha &#341;edio ya jamii katika taifa lake la Ufilipino. Ana imani kuwa NCA inaweka vikwazo kwa makusudi kwa vituo vya &#341;edio za jamii nchini Ghana na matokeo ya tabia hii ni mabaya kwa uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i hapa katika taifa la Magha&#341;ibi mwa Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Qua&#341;myne, Desemba mwaka 1999, Wazi&#341;i wa Mawasiliano aliahidi kuondoa vikwazo vya kutoa masafa kwa &#341;edio za jamii tu, kutokana na jukumu lake katika kuleta maendeleo.<\/p>\n<p>&#8220;Hadi sikukuu ya pasaka mwaka 2000 hakukuwa na hatua iliyochukuliwa. Ndipo tulipoamua kwenda kwake na alisema, &#8216;hadi ifikapo Novemba 2000&#8217;. Lakini hakuna lililotendeka. Halafu kukawa na mabadiliko ya se&#341;ikali. Hata hivyo, mwelekeo ukawa ni uleule.&#8221;<\/p>\n<p>Mwezi Oktoba 2007, GCRN ilianzisha m&#341;adi na &#341;edio 11 za jamii zinazoomba masafa. Chama hicho kilisaidia &#341;edio za jamii msaada wa kiufundi na msaada wa mchakato wa kujisajili kwa lengo la kuongezeka kwa idadi ya vituo vya &#341;edio za jamii vinavyofanya kazi nchini.<\/p>\n<p>&#8220;Tuliwashi&#341;ikisha wote katika utendaji wetu. Lakini baadhi yao hawakuelewa dhana ya jinsi gani mambo yanatakiwa kuendeshwa na waligeuza suala zima kuwa siasa,&#8221; anasema Kano&#341;.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa NCA, baadhi ya vituo vya jamii vinavyosubi&#341;i masafa, hata hivyo, aidha bado havijaanzishwa au vilipewa masafa lakini havijaweza kufuatilia maombi yao.<\/p>\n<p>Qua&#341;myne anasisitiza: &#8220;pamoja na kuwa tulianza kampeni &#341;asmi mwaka 2004, bado m&#341;adi haujafanikiwa na sijui ni lini utaona mwanga &ndash; kwa kweli hakuna anayefahamu.&#8221;<\/p>\n<p>NCA inashikilia kuwa kama masafa yanapatikana yatatengwa kwa ajili ya &#341;edio za jamii kuweza kuyaomba.<\/p>\n<p>Wakati miongozo ya zamani ya kuendesha vituo vya &#341;edio za jamii nchini Ghana ilisema kuwa NCA ilipaswa kujibu maombi katika kipindi cha siku 60, miongozo ya sasa haihusishi kifungu hiki na hakuna vifungu vya she&#341;ia vinavyotaka NCA kutoa masafa katika kipindi husika.<\/p>\n<p>Watetezi wa &#341;edio za jamii, bado wanasisitiza kuwa jinsi maombi haya yanavyotolewa bila kuzingatia muda ni sehemu ya mpango wa hujuma za kutaka kudhoofisha mipango ya kuendeleza &#341;edio za jamii nchini Ghana.<\/p>\n<p>&#8220;Huwa nawaambia watu kuwa kama ukiangalia ukweli wa mambo, &#341;edio chache zilizopo hewani zimeweza kwa kiasi kikubwa kusimama bila kupendelea upande wowote ili zisionekane mbele ya jamii kuwa za upendeleo, jambo ambalo ni mafanikio makubwa katika mazingi&#341;a haya yenye mgawanyiko mkubwa,&#8221; anasema Qua&#341;myne.<\/p>\n<p>Mgogo&#341;o huu umesababisha vita vya kugombea masafa, ambayo ilianza &#341;asmi ka&#341;ibu miaka 12 iliyopita pale GCRN ilipoanza na kituo cha kwanza hu&#341;u cha &#341;edio, Radio Ada, ambacho kilianzishwa na Qua&#341;myne na mume wake Alex Qua&#341;myne.<\/p>\n<p>&#8220;(Wapinzani wa uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i) wanaendesha mambo yao chini kwa chini, lakini bado wapo,&#8221; anasema Qua&#341;myne.<\/p>\n<p>&#8220;Bado tupo pale pale mahali pa mwaka 1999 wakati tulipoanza Mtandao wa Redio za Jamii Ghana.&#8221;<\/p>\n<p>Mwaka jana tawi la se&#341;ikali ya Ghana la Usalama wa Taifa lilipendekeza mpango wa kuanzisha &#341;edio za jamii zinazomilikiwa na se&#341;ikali katika ngazi ya wilaya nchini kote.<\/p>\n<p>&#8220;Kama unaweza kufiki&#341;i,&#8221; anasema Qua&#341;myne, &#8220;mji mdogo ambapo &#341;edio ya jamii inafanya kazi &ndash; unapaswa kuwepo na &#341;edio ya wilaya ambayo inaunga mkono se&#341;ikali, na hivyo kuacha &#341;edio ya jamii haina cha kufanya ila kushambuliwa na &#341;edio pinzani na hivyo kupewa jina la &#341;edio ya upinzani. Na hata katika ngazi ya kiutekelezaji hilo ndilo litajitokeza.&#8221;<\/p>\n<p>NCA iliandaa mchanganuo na kuupeleka kwa Wazi&#341;i wa Mawasiliano, lakini hakuna mipango ambayo imetekeleza mchanganuo huo hadi sasa.<\/p>\n<p>&#8220;Hoja hiyo haipaswi kwenda huko,&#8221; anasema Kano&#341;. Siyo kama se&#341;ikali inasema nitakuwa na &#341;edio ya wilaya na hakuna vituo vingine vita&#341;uhusiwa. Huo siyo mkataba.&#8221;<\/p>\n<p>Pande zote zinakubaliana na thamani na jukumu la &#341;edio za jamii nchini Ghana lakini vipaumbele na imani za msingi kwa pande zote ni kuzifanya kuwa pinzani kiitikadi.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa sasa tuna vituo vya &#341;edio vipatavyyo 204 nchini Ghana &ndash; vituo vya jamii, vyuo vikuu na biasha&#341;a. Vina jukumu muhimu mno katika jamii. Baadhi vinasaidia kuelimisha na kubu&#341;udisha. Pia vinasaidia kutafutia ufumbuzi masuala ya wanawake. Hasa katika maeneo ya kaskazini, vinasaidia mno wakulima,&#8221; anasema Kano&#341;. &#8220;Pia tuna jukumu &ndash; mwongozo wa vituo vya utangazaji. Sasa ni kwa nini kwenda kutengeneza gu&#341;udumu jipya &#8220;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa GCRN, jukumu la &#341;edio za jamii ni kuwezesha wanajamii walio pembezoni na makundi mbalimbali kushi&#341;iki kikamilifu katika maendeleo ya Ghana.<\/p>\n<p>&#8220;Kama tutashindwa kupanga upya &#341;asilimali za mawasiliano &ndash; ili kuwapatia sauti kuwa wana jukumu katika maendeleo daima watatawaliwa na kundi dogo ambalo ma&#341;a zote linataka kukuza maslahi yao,&#8221; anasema Qua&#341;myne.<\/p>\n<p>Kwa mujib wa takwimu za mwaka 2008 zilizotolewa na Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa nchini Ghana kiwango cha watu wazima wasiojua kusoma na kuandika ni asilimia 66, na hivyo kufanya &#341;edio kuwa chombo muhimu kwa elimu ya nchini humo.<\/p>\n<p>NCA inaendelea kushikilia kuwa hawatatoa majibu yoyote kwa masha&#341;ti ya kiuadui yanayopelekwa kwao na GCRN na COTA.<\/p>\n<p>Watetezi wa masuala ya &#341;edio nchini Ghana wataendelea kupambana, wanasema.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Qua&#341;myne: Huwezi kuwa na demok&#341;asia ya kweli, kama huna &#341;edio za jamii na &#341;asilimali za &#341;edio za jamii ambazo zinawakilisha maslahi ya makundi yaliyopo pembezoni katika jamii.<\/p>\n<p>&#8220;Katika nchi nyingi vyombo vya kusimamia vyombo vya haba&#341;i vimeanzishwa kwa misingi ya kuwa hu&#341;u. Haviwajibiki kwa se&#341;ikali, hivyo mna nafasi ya kupambana.&#8221;<\/p>\n<p>*Makala haya yametolewa kwa msaada wa &#8220;UNESCO .<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ACCRA, Ma&#341; 7 (IPS) &ndash; Kuna uhasama unaojitokeza juu ya masafa ya &#341;edio nchini Ghana, ambao unachochewa na mgongano wa maslahi kati ya watetezi wa &#341;edio za jamii na Mamlaka ya Mawasiliano ya Ghana. Hivi ka&#341;ibuni, watetezi wa &#341;edio za jamii waliandamana mitaani katika jiji la Acc&#341;a katika kile ambacho walikiita &#8220;Matembezi ya Sauti&#8221;, ambayo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":902,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3816","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3816","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/902"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3816"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3816\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3816"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3816"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3816"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}