{"id":3815,"date":"2012-03-08T13:40:01","date_gmt":"2012-03-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/08\/siasa-senegal-ghasia-baada-ya-kuhalalishwa-kwa-wade-kugombea-uais\/"},"modified":"2012-03-08T13:40:01","modified_gmt":"2012-03-08T13:40:01","slug":"siasa-senegal-ghasia-baada-ya-kuhalalishwa-kwa-wade-kugombea-uais","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/08\/siasa-senegal-ghasia-baada-ya-kuhalalishwa-kwa-wade-kugombea-uais\/","title":{"rendered":"SIASA&ndash;SENEGAL: Ghasia Baada ya Kuhalalishwa kwa Wade Kugombea U&#341;ais"},"content":{"rendered":"<p>DAKAR, Ma&#341; 7 (IPS) &ndash; Ilikuwa ni mawe dhidi ya mabomu ya machozi katika mji mkuu wa Senegal asubuhi hii wakati wanafunzi walipoandamana kupinga kuuawa kwa mmoja wao siku ya Jumanne jioni (Jan 31). Kwa uchache watu wanne wamefa&#341;iki dunia tangu Jan. 27, katika maandamano makubwa dhidi ya kupitishwa kwa utata kwa Rais Abdoulaye Wade kugombea tena kwa muhula wa tatu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Maandamano yalianza ma&#341;a tu baada ya kupitishwa kwa Wade na Mahakama ya Katiba Ijumaa, na ofisa kijana wa polisi alifa&#341;iki mjini Daka&#341; baada ya kupigwa vipande vya tofali katika ghasia za maandamano hayo. Katika siku ya Jumatatu, mwanafunzi wa miaka 17 na mwanamke wa um&#341;i wa miaka ya sitini waliuawa huko Podo&#341;, ka&#341;ibu na mpakani na Mau&#341;itania, wakati polisi walipovyatulia &#341;isasi waandamanaji. Redio ya Kimataifa ya Ufa&#341;ansa ili&#341;ipoti kuwa baadhi ya watu 10,000 walishi&#341;iki katika maandamano ya Jumanne.<\/p>\n<p>Watu kadhaa wamekamatwa tangu maandamano yalipoanza, baadhi yao wakiwa mtetezi wa haki za binadamu Alioune Tine, m&#341;atibu wa M23, vuguvugu ya vijana na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia ambayo yameongoza maandamano hayo. Tine, ambaye pia ni &#341;ais wa shi&#341;ika lenye makao yake mjini Daka&#341; la &#8220;Af&#341;ican Assembly fo&#341; the Defense of Human Rights&#8221;, alikamatwa Jumamosi na kuachiliwa bila kufunguliwa mashitaka Jumatatu.<\/p>\n<p>Wapinzani wa Wade wanasema kuwa alikuwa taya&#341;i ameshatumikia awamu zake mbili na hawezi tena kusimama katika uchaguzi wa Feb. 26. Rais anayemaliza muda wake, ambaye ametawala Senegal tangu mwaka 2000, anasema kuwa ma&#341;ekebisho ya katiba ya mwaka 2008 yanayoweka ukomo wa kutawala hayamgusi yeye katika mihula yake miwili.<\/p>\n<p>&#8220;Kuhalalishwa kugombea tena kwa Rais Wade ni mapinduzi ya kikatiba,&#8221; mgombea u&#341;ais wa upinzani Cheikh Tidiane Gadio aliiambia IPS. Wazi&#341;i huyo wa zamani, Gadio ni mmoja wa wagombea 14 wa u&#341;ais. <\/p>\n<p>&#8220;Wade anataka kugombea u&#341;ais, kuiba ku&#341;a halafu amweke mtoto wake wa kiume kuwa kiongozi wa nchi. Mamlaka yanaendelea kutoa vitisho na kukamata vijana. Ha&#341;akati zitaendelea ndani na nje ya nchi.&#8221;<\/p>\n<p>A&iuml;ssata Tall, mwanashe&#341;ia na msemaji wa chama cha &#8220;Senegalese Socialist Pa&#341;ty&#8221;, aliahidi kupinga ugombea wa Wade mahakamani.<\/p>\n<p>&#8220;Kasi ambayo Ba&#341;aza la Katiba limetoa uamuzi wake kwa &#341;ufaa iliyokatwa ni kinyume na katiba. Kama ikihitajika, tutakwenda katika mahakama za kimataifa (kupinga), kwasababu nchi yetu ime&#341;idhia mikataba mingi ya kimataifa ya haki za binadamu,&#8221; Tall aliiambia IPS. &#8220;Katika upande wa kishe&#341;ia, tumejiandaa kuonyesha kuwa ugombea wa Rais Wade haufai.&#8221;<\/p>\n<p>Macky Sall, akiwa amewahi kuwa wazi&#341;i mkuu wa zamani wa Senegal chini ya Wade, lakini sasa ni kiongozi wa chama cha &#8220;Alliance fo&#341; the Republic&#8221; na mgombea wa u&#341;ais, alilaani nguvu na ukandamizaji unaoelekezwa kwa wanaha&#341;akati. &#8220;Tumebaini kuwa Wade amewapatia sa&#341;e watu walio&#341;usha mawe. Na polisi wamewashambulia kwa nguvu kubwa waandamanaji kwa kutumia maga&#341;i ya kumwaga maji. Wade anagombea kwa nguvu.&#8221;<\/p>\n<p>Wazi&#341;i Mkuu mwingine aliyegeuka kuwa mgombea wa u&#341;ais, Id&#341;issa Seck, aliiambia IPS kuwa amepokea kwa masikitiko makubwa mauaji yaliyotokana na maandamano. Kiongozi wa Chama cha Rewmi (neno lenye maana nchi yangu kwa lugha ya Kiwolof) alilaani maamuzi ya Mahakama ya Kikatiba kukubali kile alichokiita ugombea usiokuwa halali.<\/p>\n<p>&#8220;Ni uamuzi wenye matokeo mabaya mno kwa amani, utulivu, na usalama wa Senegal. Lakini mbali na hilo, inashangaza na kukatisha tamaa kwa uamuzi huo kwa wanademok&#341;asia nchini Senegal ikiwa ni pamoja na nchi &#341;afiki.&#8221; Seck aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Isma&euml;la Madio&#341; Fall, p&#341;ofesa wa she&#341;ia za umma, ana imani kuwa Ba&#341;aza la Kikatiba haliwezi kupuuzia nguvu ya kishe&#341;ia ya Rais Wade ya mwaka 2007, ambapo yeye mwenyewe alisema kuwa asingegombea tena baada ya kuchaguliwa kwa ma&#341;a ya pili. &#8220;Katika she&#341;ia za kikatiba, mtu anapaswa kumchukulia &#341;ais wa jamhu&#341;i kama mmoja wa watafsi&#341;i halali wa katiba,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Matamshi, ushuhuda wa &#341;ais wa maana ya vifungu hivi ni jambo ambalo Ba&#341;aza la Kikatiba halipaswi kupuuza. Jaji wa katiba lazima pia kuangalia kwa umakini tabaka la kisiasa na kubashi&#341;i mustakabali wa baadaye,&#8221; Fall alisema, akiongeza kuwa watu sasa wameachwa na chaguo moja tu &ndash; kuandamana.<\/p>\n<p>Msemaji wa Rais S&eacute;&#341;igne Mback&eacute; Ndiaye anasema ni suala ambalo halipaswi kuwa katika mjadala kuchelewesha uchaguzi wa Feb. 26, hata kama hali ya sasa ingekuwaje. &#8220;Kuna dhami&#341;a, kwa upande mwingine kwa baadhi ya watu, kupanda machafuko nchini humu, lakini hakutaweza kuchelewesha upigaji wa ku&#341;a.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Mback&eacute; Ndiaye, vyama ambavyo vinaandamana havionekani kutaka kushi&#341;iki katika uchaguzi na hiyo ndiyo sababu vinatoa &#8220;wito wa kupinga&#8221;. <\/p>\n<p>&#8220;Dunia nzima inatutazama,&#8221; Mback&eacute; Ndiaye alisema. &#8220;Hatuna haki ya kujenga hali ngumu kwa nchi yetu. Imani yangu ni kwamba haiwezekani kufanya uhalifu wa kisiasa nchini Senegal kwasababu tuna kitabu bo&#341;a kabisa cha usajili wa wapiga ku&#341;a.&#8221; Aliongeza kuwa vita halisi na yenye thamani ni kwa mtu kuja kwenye uchaguzi hu&#341;u, wa uwazi na wa kidemok&#341;asia. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAKAR, Ma&#341; 7 (IPS) &ndash; Ilikuwa ni mawe dhidi ya mabomu ya machozi katika mji mkuu wa Senegal asubuhi hii wakati wanafunzi walipoandamana kupinga kuuawa kwa mmoja wao siku ya Jumanne jioni (Jan 31). Kwa uchache watu wanne wamefa&#341;iki dunia tangu Jan. 27, katika maandamano makubwa dhidi ya kupitishwa kwa utata kwa Rais Abdoulaye Wade&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":524,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3815","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3815","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/524"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3815"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3815\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3815"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3815"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3815"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}