{"id":3814,"date":"2012-03-08T13:40:01","date_gmt":"2012-03-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/08\/uganda-kutumia-redio-za-jamii-kuponya-majeaha-ya-vita-vya-kony\/"},"modified":"2012-03-08T13:40:01","modified_gmt":"2012-03-08T13:40:01","slug":"uganda-kutumia-redio-za-jamii-kuponya-majeaha-ya-vita-vya-kony","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/08\/uganda-kutumia-redio-za-jamii-kuponya-majeaha-ya-vita-vya-kony\/","title":{"rendered":"UGANDA: Kutumia Redio za Jamii Kuponya Maje&#341;aha ya Vita vya Kony"},"content":{"rendered":"<p>GULU, Uganda, Ma&#341; 7 (IPS) &ndash; Mna&#341;a wa ku&#341;ushia matangazo wa kituo cha &#341;edio cha Mega FM unaonekana katikati mwa mji wa Gulu, huku uki&#341;usha mijadala na vibao vya muziki vya hivi ka&#341;ibuni kwa wasikilizaji wa Uganda katika wilaya hiyo. Lakini pia unatumika kama kumbukumbu isiyokuwa &#341;asmi kwa jinsi &#341;edio hiyo ya jamii ilivyoendesha jitihada za kuleta amani wakati wa vita na uha&#341;ibifu vilivyoendeshwa na waasi wa Lo&#341;d&#8217;s Resistance A&#341;my kaskazini mwa Uganda.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Waasi wa LRA walianzisha vita dhidi ya se&#341;ikai ya Uganda mwaka 1987. Katikati mwa miaka ya 1990, kamanda wa LRA, Joseph Kony, aliwageuka watu wake mwenyewe, wa kabila la Waacholi. Wapiganaji wake waliwachinja maelfu ya wanakijiji, kuteka nya&#341;a na kushinikiza maelfu ya watoto kujiunga na jeshi lake na kusababisha watu wanaoka&#341;ibia milioni mbili kukimbilia katika makambi ya wakimbizi wa ndani (IDPs).<\/p>\n<p>Viongozi wa kabila la Waacholi na viongozi wa mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali yaani NGO, waliokuwa wakiwasiliana na wakazi waliokumbwa na machafuko ambao waliandamwa na kutokujua kusoma na kuandika na umaskini mkubwa, walihitaji njia ya kuanza kuunganisha jamii na kuzungumza na waasi juu ya amani na ma&#341;idhiano. Vituo vya &#341;edio za jamii vya Gulu &ndash; katikati mwa a&#341;dhi ya Waacholi &ndash; vilikuwa kitovu cha jitihada hizo.<\/p>\n<p>Waligeukia &#341;edio kwasababu &#8220;inaweza kufikia kwa uchache, watu waliopo mbali,&#8221; alisema A&#341;thu&#341; Owo&#341;, mkuu wa Chama cha Vyombo vya Haba&#341;i Kaskazini mwa Uganda, ambacho kina makao yake mjini Gulu. Kwa kuwa na &#341;edio moja na bet&#341;i moja, watangazaji wanaweza kuwasiliana na watu wengi. &#8220;Faida ni kubwa sana, katika suala zima la ujumbe,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Katika vituo kadhaa vya &#341;edio kama vile kituo cha Mega ambavyo vilianzishwa mapema miaka ya 2000, vipindi vilishi&#341;ikisha waasi katika mazungumo ya amani, ili kuwa jukwaa kwa wanajamii kuanza kujadili haki na wanafamilia kuwataka watoto wao waliotekwa kukimbia kutoka LRA na ku&#341;ejea nyumbani.<\/p>\n<p>Okema Lazech Santo ni m&#341;atibu wa mipango wa Ke&#341; Kwa&#341;o Acholi, shi&#341;ika la jadi la viongozi wa Kiacholi, ambao walielezea &#8220;ukubwa wa vita&#8221; hivyo na ugumu wa jitihada za ujenzi wa taifa. Alisema &#341;edio ilikuwa &#8220;muhimu sana katika kuhamasisha watu. Ilikuwa inatumika katika kutoa wito kwa waliotekwa ku&#341;ejea nyumbani. Ni chombo ambacho kilifanya kazi kikweli kweli katika kuleta amani kaskazini mwa Uganda.&#8221;<\/p>\n<p>Wafuasi wa &#341;edio kaskazini mwa Uganda wanachukua jukumu lao kama watafutaji wa amani kwa uzito mkubwa. Ma&#341;a nyingi wanalinganisha kati ya wajibu wao na vita katika jamii yao na mauaji ya kimba&#341;i ya Rwanda, ambako &#341;edio ilitumika kuchochea mauaji.<\/p>\n<p>Kituo cha &#341;edio cha Mega FM, ambacho kilianzishwa mwaka 2002 na ma&#341;a tu kikapata msaada kutoka se&#341;ikali ya Uganda na Shi&#341;ika la Maendeleo ya Kimataifa la Uinge&#341;eza, kilianzishwa &#8220;kwa makusudi kusaidia kumaliza vita katika ukanda huo,&#8221; kwa mujibu wa Nicky Afa&ndash;Ei, ofisa mipango wa kituo hicho cha &#341;edio. Amekuwa akifanya kazi katika kituo hicho tangu kilipoanzishwa.<\/p>\n<p>Ujumbe mkuu wa Mega ni kuwa ukanda huo unahitaji amani. Na wasikilizaji wanaolengwa siyo lazima kuwa wanajamii, lakini waasi &#8220;wakiwa wamebeba &#341;edio zao&#8221; ambao walifikiwa na matangazo ya &#341;edio hizo, Afa&ndash;Ei alisema. Mega ilianzisha vipindi vya kujadili msamaha na haki ya jadi, ma&#341;a nyingine kwa kusaidiana na NGOs, na walika&#341;ibisha watu kutoka &#8220;nyanja zote za maisha&#8221; ku&#341;ikodi ujumbe wa amani: viongozi wa jadi, wazazi, na hata watoto wa shule.<\/p>\n<p>Na Mega ilipata wasikilizaji wake. Siku moja, wakati wa kilele cha vita Desemba 2002 &ndash; miezi miwili baada ya kituo kuanzishwa &ndash; Afa&ndash;Ei alikuwa akiendesha kipindi alipopata simu kutoka kwa Kony mwenyewe.<\/p>\n<p>&#8220;Hapo ndipo watu waliposikia sauti ya Kony kwa ma&#341;a ya kwanza baada ya muda m&#341;efu,&#8221; Afa&ndash;Ei alisema. &#8220;Ilikuwa aina ya simu ambayo ni ya ki&#341;afiki, lakini alikuwa akitoa lawama kwa se&#341;ikali katika baadhi ya maeneo. Akisema se&#341;ikali haisemi ukweli.&#8221;<\/p>\n<p>Hapo ndipo Kony na wasaidizi wake walipoanza kutumia vituo vya &#341;edio kuwasiliana na maofisa wa se&#341;ikali na na watu moja kwa moja &ndash; hadi se&#341;ikali ilipodai kuwa matamko ya waasi ni ya kip&#341;opaganda mno na kukataa ku&#341;uhusu vituo vya &#341;edio kuendesha mahojiano bila ya kuwepo kwa wawakilishi wa se&#341;ikali.<\/p>\n<p>Kipindi maa&#341;ufu cha Mega &#8220;Rudi Nyumbani&#8221; &ndash; ambacho kwa lugha ya Kijaluo ni Dwag Paco &ndash; bado kinazungumzwa katika jamii, hata kwa waaji&#341;iwa wa vituo vya &#341;edio pinzani. Kituo kilija&#341;ibu kuondoa p&#341;opaganda za LRA na kuhamasisha watoto ambao walilazimishwa kujiunga na waasi ku&#341;ejea katika vijiji vyao. Mtangazaji wa kipindi hicho, John Lacambel, angeweza kuwaleta watoto ambao walikuwa aska&#341;i ku&#341;ejea nyumbani. Pia kuondoa dhana ya LRA kuwa wangeuawa kama wange&#341;ejea katika familia zao.<\/p>\n<p>Dwag Paco ilikuwa ni kipindi muhimu sana katika jitihada za ma&#341;idhiano katika mkoa huo, Santo alisema. Kilifanya &#8220;waasi wengi kukimbia na ku&#341;ejea nyumbani.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa sasa eneo la kaskazini &ndash; hasa Gulu &ndash; linaanza kuendelea. Kumalizika kwa uhasama &ndash; matokeo ya mazungumzo ya amani ambayo hayakuwa ya kimpangilio na shinikizo la vikosi vya jeshi la Uganda mwaka 2008 &ndash; na kuhama kwa watu kutoka makambi ya wakimbizi ya ndani kwenda kwenye vijiji vyao kulitengeneza njia ya ku&#341;ejesha miundombinu na biasha&#341;a mpya. Mna&#341;a wa &#341;edio wa Mega FM hauonekani tena katika anga, kwani umefunikwa na majengo ya mabenki, mahoteli na maduka ya vyakula na vinywaji. Vituo vingine vya &#341;edio za jamii saba sasa vina&#341;usha matangazo.<\/p>\n<p>&#8220;Sasa tupo katika mchakato wa kupona na kupata utulivu,&#8221; Owo&#341; alisema. Hiyo ina maana kuwa vituo vya &#341;edio pia vimeona kuwa na jukumu la kuingia katika kusaidia kuijenga upya na kuibu&#341;udisha Gulu. Badala ya vipindi vya NGO, kuna vipindi vingi vya mjadala na vipindi vya haba&#341;i vya kikanda. Vipindi vya kupiga simu kuchagua muziki vinafanyika wakati wa chakula cha mchana.<\/p>\n<p>Lakini bado uandaaji wa vipindi unashughulika na madha&#341;a ya vita, alisema Willy Chowoo, mtangazaji wa Choice FM. Hii ni pamoja na suala linalotenganisha jamii la msamaha kwa aska&#341;i wanao&#341;ejea. Moja ya vitendo vya kutisha vya waasi wa LRA ni kulazimisha waasi ku&#341;ejea katika jamii zao na kupo&#341;a, kuteka nya&#341;a na kuua. Hii ilisababisha kuondoa uhusiano uliopo kati ya aska&#341;i na makazi yao. Huku wakiwa hawana mahali pa ku&#341;ejea, walipata ulinzi zaidi kwa kuingizwa kwenye jeshi.<\/p>\n<p>Lakini kwa hali ya kukimbia kimbia kwa LRA, baadhi ya waasi &ndash; ambao wengi wao walikuwa watoto waliotekwa &ndash; wanaendelea ku&#341;ejea katika vijiji vyao. Mchezo wa kuigiza wa &#341;edio unaonyesha jinsi gani wanakijiji wanaweza kukabiliana na hali ya ku&#341;ejea kwao. Ujumbe, Chowoo alisema, ni &#8220;usilipize kisasi. Watu wasilipize kisasi. Watu wasilipize ubaya kwa ubaya.&#8221;<\/p>\n<p>Kazi inayofanywa na vituo vya &#341;edio inaunganishwa na kazi kuu nne &ndash; kuwaunganisha upya katika jamii waasi wa zamani &ndash; kwa kuwa Rais Ba&#341;ack Obama aliandaa ukanda huo kabla ya kupeleka aska&#341;i wa Ma&#341;ekani kusaidia kumwinda Kony mapema mwaka huu.<\/p>\n<p>Pia kuna suala la upo&#341;aji wa a&#341;dhi kwani watu wanao&#341;ejea kutoka makambini wanakuta makazi yao yamechukuliwa na watu wengine, na kukosekana kwa usalama wa chakula ambacho kwa muda m&#341;efu kimekuwa kikitolewa na NGOs, ikiwa ni pamoja na huduma za afya ya msingi na kukosekana kwa miundombinu. Viongozi wa jadi na wanajamii wanazungumzia matatizo haya katika vipindi vya kupiga simu na wataalam wanatoa ufumbuzi wakati wa vipindi vya utoaji wa elimu.<\/p>\n<p>Wakati wananchi wa kaskazini mwa Uganda wanakabiliwa kila ma&#341;a na hali ya zamani, Afa&ndash;Ei alisema vituo vya &#341;edio za jamii katika eneo hilo vinaja&#341;ibu &#8220;kutafuta njia mbadala ya mustakabali wa baadaye mzu&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>*Taa&#341;ifa hii iliandikwa kwa msaada wa mtandao wa UNESCO wa http:\/\/www.unesco.o&#341;g\/&#8221;. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GULU, Uganda, Ma&#341; 7 (IPS) &ndash; Mna&#341;a wa ku&#341;ushia matangazo wa kituo cha &#341;edio cha Mega FM unaonekana katikati mwa mji wa Gulu, huku uki&#341;usha mijadala na vibao vya muziki vya hivi ka&#341;ibuni kwa wasikilizaji wa Uganda katika wilaya hiyo. Lakini pia unatumika kama kumbukumbu isiyokuwa &#341;asmi kwa jinsi &#341;edio hiyo ya jamii ilivyoendesha jitihada&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":901,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3814","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3814","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/901"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3814"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3814\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3814"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3814"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3814"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}