{"id":3813,"date":"2012-03-02T13:40:01","date_gmt":"2012-03-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/02\/malawi-wafanyabiashaa-wadogo-wadogo-wapoteza-wateja-baada-ya-kuwavua-wanawake-nguo\/"},"modified":"2012-03-02T13:40:01","modified_gmt":"2012-03-02T13:40:01","slug":"malawi-wafanyabiashaa-wadogo-wadogo-wapoteza-wateja-baada-ya-kuwavua-wanawake-nguo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/02\/malawi-wafanyabiashaa-wadogo-wadogo-wapoteza-wateja-baada-ya-kuwavua-wanawake-nguo\/","title":{"rendered":"MALAWI: Wafanyabiasha&#341;a Wadogo Wadogo Wapoteza Wateja Baada ya Kuwavua Wanawake Nguo"},"content":{"rendered":"<p>LILONGWE, Ma&#341; 1 (IPS) &ndash; Kampeni ya kuzuia watu kununua bidhaa kutoka kwa wachuuzi wa mitaani inazidi kushika kasi katika miji mikubwa ya Malawi ya Lilongwe, Blanty&#341;e na Mzuzu baada ya wafanyabiasha&#341;a wadogo kushikwa na hasi&#341;a na kuanza kuwavua nguo wanawake na wasichana waliovaa su&#341;uali,soksi ndefu zinazofunika miguu, na nguo fupi zinazojulikana kama vimini.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wafanyabiasha&#341;a ndogondogo mitaani waliingia mitaani katika maeneo yenye shughuli nyingi katika miji mikubwa na midogo nchini humo. Huko wanauza kila kitu kuanzia nguo hadi vifaa vya elekt&#341;oni na chakula na vinywaji. Lakini wakati wachuuzi wa mjini Lilongwe walipoanza kufanya ghasia wiki iliyopita dhidi ya kupinga kuondolewa kwa nguvu na halmashau&#341;i ya jiji, mambo yalibadilika na kuanza kuwavua nguo wanawake na kuwadhalilisha kimaumbile.<\/p>\n<p>Ikipewa jina la &#8220;le&#341;o nkugule, mawa undivule,&#8221; kwa lugha ya Kichewa ambayo ina maana ya &#8220;leo nanunua kwako, kesho unanivua nguo&#8221;, kampeni hiyo ilianzishwa Jan. 18, siku moja baada ya udhalilishaji huo. Wanaha&#341;akati wanawake wanataka kutumia kampeni kuwafunza wafanyabiasha&#341;a hao wadogo funzo la kuwaheshimu wanawake,kwa mujibu wa Seodi White, mku&#341;ugenzi mkuu wa shi&#341;ika lenye ushawishi mkubwa la kutetea haki za wanawake la Women in Law in Southe&#341;n Af&#341;ica&ndash;Malawi.<\/p>\n<p>White aliiambia IPS kuwa wito wa kuandamana kwa wachuuzi pia unakwenda hadi kwa wanaume ambao pia wanapenda kupinga vitendo hivyo.<\/p>\n<p>&#8220;Tunataka kupeleka ujumbe wa wazi kuwa hatutaki ku&#341;udi nyuma wakati tulipokuwa hatuna uhu&#341;u wa kuvaa,&#8221; alisema White.<\/p>\n<p>Malawi ilikuwa chini ya udikteta hadi mwaka 1994 wakati ilipoingia kwenye utawala wa kidemok&#341;asia. Wakati huo, hata hivyo, wanawake walipigwa ma&#341;ufuku kuvaa nguo fupi na su&#341;uali. Lakini wafanyabiasha&#341;a wadogo sasa wanadai kuwa wanataka ku&#341;ejesha tena mavazi haya wanayodai ni ya heshima na &#8220;ku&#341;ejesha heshima kwa wanawake.&#8221;<\/p>\n<p>Hivi ka&#341;ibuni, wafanyabiasha&#341;a wadogo wamekuja kuwa na uwezo mkubwa kisiasa; Agosti mwaka jana Rais wa nchi hiyo Bingu wa Mutha&#341;ika aliwapatia kiasi cha fedha ambacho hakijafahamika kuzitumia kama mikopo.<\/p>\n<p>Mutha&#341;ika pia alikula na kunywa na wafanyabiasha&#341;a hao wapatao 2,000 katika ikulu yake ya kifaha&#341;i punde tu baada ya maandamano ya nchi nzima dhidi ya utawala mbovu na kushuka kwa uchumi nchini humo. Hadi watu 21 waliuawa na polisi na 275 walikamatwa wakati wa maandamano na upo&#341;aji, ambapo wafanyabiasha&#341;a wadogo walishi&#341;iki kikamilifu.<\/p>\n<p>Wakati wa chakula hicho cha jioni, Mutha&#341;ika alipata kuungwa mkono na wafanyabiasha&#341;a na kuwataka wasishi&#341;iki katika maandamano yoyote yale tena. Aliahidi kuwa asingeweza kuwaondoa kutoka mtaani.<\/p>\n<p>Lakini Jan. 5, Ba&#341;aza Kuu la Jiji la Lilongwe, mji mkuu wa nchi hiyo, lilija&#341;ibu kuwaondoa wafanyabiasha&#341;a hao kutoka mtaani na kuwapeleka katika maeneo mengine. Wafanyabiasha&#341;a hao walianza kuandamana na kuwazidi polisi ambao walija&#341;ibu kutuliza ghasia, ambayo ilisababisha biasha&#341;a kufungwa kwa siku nzima. Jeshi la Malawi ilibidi kuitwa kuwasamba&#341;atisha wafanyabiasha&#341;a ambao wali&#341;ejea kwenye biasha&#341;a siku iliyofuata.<\/p>\n<p>Uhasama uliendelea kuongezeka na Jan. 17 wafanyabiasha&#341;a hao waliwageukia wanawake na wasichana wakidai kuwa Mutha&#341;ika aliwatuma &#8220;kusafisha mitaa kwa kuwaondoa wanawake waliovalia mavazi yasiyofaa.&#8221;<\/p>\n<p>Joyce Ngwi&#341;a, mmoja wa wanawake wengi waliovuliwa nguo zao na kubakia uchi na kutembea katika mji Mkongwe wa Lilongwe, aliiambia IPS kuwa bado anaugulia moyoni mwake kufuatia kitendo hicho.<\/p>\n<p>&#8220;Nilikuwa nimevaa su&#341;uali zangu za heshima nikashtukia kundi la wafanyabiasha&#341;a likinizingi&#341;a. Walinivuta kila upande na kuchana nguo zangu. Kundi jingine la wapita njia waliniokoa,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Kwa kasi matendo ya wafanyabiasha&#341;a hao yalienea katika miji mingine mikubwa nchini humo ya Blanty&#341;e na Mzuzu.<\/p>\n<p>Tangu wakati huo wanawake wengi wamebadili jinsi wanavyovaa na kuanza kuvalia nguo ndefu za kizamani wanapokwenda kazini na madukani.<\/p>\n<p>Tangu Jumatano iliyopita, aska&#341;i wenye silaha wamekuwa wakishika do&#341;ia katika mitaa kulinda wanawake na wasichana na watu 15 wamekamatwa, kwa mujibu wa msemaji wa polisi Dave Chingwalu.<\/p>\n<p>&#8220;Wanaume waliokamatwa kutokana na kudhalilisha wanawake wamefunguliwa mashitaka ya kufanya fujo na kuha&#341;ibu mali kwa makusudi&#8221; alisema Chingwalu. &#8220;Hatutaacha tu wanawake kudhalilishwa; kuna uhu&#341;u wa kuvaa nchini humo na hakuna haki ya kushinikiza wanawake kuvaa mavazi fulani.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati huo huo, wanaha&#341;akati wanawake na watetezi wa haki za binadamu walifanya mkutano mjini Blanty&#341;e Jan. 20 ambako sehemu ya watu, ikiwa ni pamoja na Makamu wa Rais mwanamke nchini humo Joyce Banda , Wazi&#341;i wa Jinsia Reen Kache&#341;e na wanasiasa wengine, walikusanyika kulaani unyanyasaji wa wanawake uliofanywa na wafanyabiasha&#341;a wadogo.<\/p>\n<p>Wakati wanawake walipoanza kushambuliwa Banda alikuwa ameviambia vyombo vya haba&#341;i vya nchini humo kuwa kuchanganyikiwa kutokana na hali ya kiuchumi kunapaswa kuhusishwa na vitendo vibaya vya wafanyabiasha&#341;a hao. &#8220;Kuna mateso mengi mno ambayo yamefanya watu kuamua kutumbukia katika kumaliza kuchanganyikiwa kwao kwa kushambuliana,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Malawi inaendelea kukabiliwa na matatizo makubwa ya kiuchumi baada ya wafadhili wakuu wa taifa hilo kupunguza misaada yao mwaka jana. Hadi asilimia 40 ya bajeti ya taifa ya Malawi inategemea wafadhili na asilimia 80 ya bajeti ya maendeleo ya taifa ilikwua ikitolewa na Mpango wa Pamoja wa Kusaidia bajeti, ambao unaundwa na mataifa ya Uje&#341;umani, Uinge&#341;eza, Benki ya Maendeleo Af&#341;ika, No&#341;way, Umoja wa Ulaya na Benki ya Dunia. Se&#341;ikali za Uinge&#341;eza na Uje&#341;umani taya&#341;i zinakataa kutoa dola milioni 400.<\/p>\n<p>Millennium Challenge Co&#341;po&#341;ation, shi&#341;ika la misaada ya kimataifa la Ma&#341;ekani ambalo linaongoza katika kupambana na umaskini wa kimataifa, pia lilitangaza mwaka jana kuwa litasitisha kiasi cha dola milioni 350.7 zilizolengwa kubo&#341;esha sekta ya nishati nchini Malawi. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, wafanyabiasha&#341;a wadogo nchini Malawi taya&#341;i wameshagundua kushuka kwa mauzo kufuatia mgomo huo, kwa mujibu wa Ganizo Makupa, katibu mkuu wa chama cha wafanyabiasha&#341;a wadogo mjini Blanty&#341;e.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna watu wachache tu wasiokuwa na hekima ambao waliwavua wanawake nguo na kuchafua jina la wafanyabiasha&#341;a wadogo. Tunasikitika kwa tabia hiyo na tunatafuta njia ya ku&#341;ejesha nidhamu miongponi mwa kundi letu hili,&#8221; alisema Makupa. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LILONGWE, Ma&#341; 1 (IPS) &ndash; Kampeni ya kuzuia watu kununua bidhaa kutoka kwa wachuuzi wa mitaani inazidi kushika kasi katika miji mikubwa ya Malawi ya Lilongwe, Blanty&#341;e na Mzuzu baada ya wafanyabiasha&#341;a wadogo kushikwa na hasi&#341;a na kuanza kuwavua nguo wanawake na wasichana waliovaa su&#341;uali,soksi ndefu zinazofunika miguu, na nguo fupi zinazojulikana kama vimini. Wafanyabiasha&#341;a&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":667,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3813","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3813","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/667"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3813"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3813\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3813"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3813"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3813"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}