{"id":3811,"date":"2012-03-02T13:40:01","date_gmt":"2012-03-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/02\/tanzania-wadau-wa-mazingia-bagamoyo-wataka-mikoko-itunzwe\/"},"modified":"2012-03-02T13:40:01","modified_gmt":"2012-03-02T13:40:01","slug":"tanzania-wadau-wa-mazingia-bagamoyo-wataka-mikoko-itunzwe","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/02\/tanzania-wadau-wa-mazingia-bagamoyo-wataka-mikoko-itunzwe\/","title":{"rendered":"TANZANIA: Wadau wa Mazingi&#341;a Bagamoyo Wataka Mikoko Itunzwe"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Ma&#341; 1 (IPS) &ndash; Wadau wa mazingi&#341;a wilayani Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani wameishau&#341;i se&#341;ikali na wadau wengine kuongeza jitihada za kutunza mikoko katika mwambao wa Baha&#341;i ya Hindi ikiwa ni pamoja na katika maeneo ambayo mito inaingia baha&#341;ini.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Waliyasema hayo mjini Bagamoyo Feb&#341;ua&#341;i 7, 2012 wakati wa mkutano wa Kamati ya Mjumuisho wa Sekta Mbalimbali katika Kusimamia Mazingi&#341;a ya Pwani (ICM) katika Halmashau&#341;i ya Wilaya ya Bagamoyo. Mkutano huo ulilenga kujadili mpango kazi wa M&#341;adi wa Pwani wa mwaka 2012 unaolenga Kusimamia Mazingi&#341;a na Rasilimali za Pwani na Baha&#341;i (TCMP Pwani P&#341;oject) unaofadhiliwa na Shi&#341;ika la Misaada la Watu wa Ma&#341;ekani (USAID). <\/p>\n<p>Wakitoa maoni yao kwenye mkutano huo, wadau wa mazingi&#341;a walisema pamoja na jitihada zinazofanywa na se&#341;ikali na wadau mbalimbali, hali ya sasa ya misitu ya mikoko katika mwambao wa pwani hai&#341;idhishi. Ukataji wa mikoko umeshaacha baadhi ya maeneo yakiwa hayana &#341;asilimali hiyo kabisa.<\/p>\n<p>Baadhi ya maeneo yanayolalamikiwa na wadau ni kijiji cha Mlingotini pamoja na maeneo mengine wilayani Bagamoyo. Walisema tatizo la ukataji mikoko kwa kiasi kikubwa linatokana na wawekezaji, ambao wanapopatiwa a&#341;dhi kwa ajili ya kilimo huomba kibali cha kukata miti hiyo adimu duniani kwa ujanja katika vijiji husika, jambo ambalo halikubaliki kishe&#341;ia.<\/p>\n<p>Mikoko ni miongoni mwa miti adimu ambayo inahifadhiwa na se&#341;ikali kishe&#341;ia kutokana na umuhimu wake kwa bayoanuwai katika ukanda wa pwani. Umuhimu wake ni pamoja na kuwa mazalia mazu&#341;i ya samaki, kuzuia chembe chembe za michanga zifike baha&#341;ini na kuyafunika matumbawe na pia katika kuhifadhi mazingi&#341;a ya pwani kwani huzuia mmomonyoko wa ukingo wa baha&#341;i na maingilio ya mito unaotokana na mawimbi makubwa ya baha&#341;i.<\/p>\n<p>&#8220;Mikoko hutumika kama makazi, chakula na mazalia ya samaki wakubwa, kamba wadogo na chaza,&#8221; inasema &#341;ipoti ya Usimamiaji Shi&#341;ikishi wa Mikoko nchini Tanzania, iliyoandikwa na Ma&#341;tin E Adams.<\/p>\n<p>Mikoko pia inawindwa kwa udi na uvumba na wafanyabiasha&#341;a wasiokuwa waaminifu kutokana na faida yake kubwa wanayoipata kwa kuuza miti hiyo. Mbali na matumizi mengine, miti ya mikoko hutumika kwa kutengenezea mashua. Pia hutumika kwa mkaa, ujenzi wa nyumba, dawa za miti shamba, uzalishaji wa asali na chakula cha mifugo kwa jamii mbalimbali za pwani na Zanziba&#341;. Ni kutokana na faida hiyo, mikoko inazidi kukatwa hata kama ni kinyume cha she&#341;ia kukata miti hiyo. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali inatambua umuhimu wa mikoko na mustakabali unaotishia kutoweka kwa &#341;asilimali hiyo. &#8220;Mwaka 1987, ma&#341;ufuku ya uvunaji wa mikoko nchini kote ilitangazwa na Mku&#341;ugenzi wa Misitu,&#8221; inasema &#341;ipoti hiyo ya Usimamiaji Shi&#341;ikishi wa Mikoko. Na mwaka 1991, Mpango wa Taifa wa Kusimamia Mikoko ulianzishwa ambapo &#341;asilimali hiyo iliwekwa chini ya udhibiti wa Mku&#341;ugenzi wa Misitu ambaye ndiye pekee mwenye mamlaka ya kutoa kibali kwa mtu yoyote kukata mikoko.<\/p>\n<p>Lakini hali ya mambo katika ngazi ya jamii ni tofauti kabisa, kwa mujibu wa wadau hao wa mazingi&#341;a. &#8220;Kuna mgongano mkubwa wa mamlaka ya kiutawala,&#8221; walisema, na kuongeza kuwa wakati sekta ya misitu imepewa mamlaka ya kusimamia mikokoko, kwa mfano, sekta ya a&#341;dhi inapopima a&#341;dhi kwa ajili ya kugawa viwanja au kwa ajili ya wawekezaji haizingatii mamlaka waliyopewa sekta ya misitu &ndash; eneo linalopimwa na kupewa mwekezaji linakatwa mikoko yote.<\/p>\n<p>&#8220;Kama wajumbe wa ICM tunapaswa kupunguza migongano ya kisekta,&#8221; waliazimia wadau hao. &#8220;Haiwezekani mtu wa a&#341;dhi akapima bila kuzingatia mipaka. <\/p>\n<p>Walisema kuwa hali ilivyo sasa inaonyesha wawekezaji wengi wanapopewa eneo la fukwe wanadhani wanamiliki eneo lote la baha&#341;i. Walisema hali hiyo imesababisha mikoko kukatwa katika ufukwe mkubwa wa Bagamoyo katika maeneo kama vile Nunge na Mlingotini. <\/p>\n<p>&#8220;Watu walipanda mikoko, wawekezaji wakaikata,&#8221; alisema mmoja wa wadau hao, akiongeza kuwa hiyo kwa kiasi kikubwa inatokana na maamuzi yasiyozingatia maamuzi wala matumizi ya sekta nyingine.<\/p>\n<p>Aliwataka wajumbe wa ICM kukaa chini na kujua jinsi ya kutoa maamuzi ya kisekta. &#8220;Unapaswa kujua sekta yangu inahitaji nini, sekta ya mwenzangu inahitaji nini, na wala siyo katika uholela huu ambao unahata&#341;isha uendelevu wa &#341;asilimali zetu,&#8221; alishau&#341;i.<\/p>\n<p>Wakati wadau wakilalamika juu ya kuendelea kwa ukataji na uvunaji mikoko katika mwambao wa pwani ya Bagamyo, she&#341;ia ya a&#341;dhi inajulikana kuwa wazi juu ya matumizi mbalimbali ya a&#341;dhi. Inatambua maeneo ya hifadhi, a&#341;dhi ya hifadhi, a&#341;dhi ya kijiji na a&#341;dhi ya kawaida, walisema wanakamati hao. &#8220;Huwezi kupima a&#341;dhi katika eneo linalotambulika kuwa ni la hifadhi. Hii inaweza kufanyika tu kwa kubadili matumizi ya a&#341;dhi hiyo, na mamlaka ya kutoa uamuzi kama huo yapo chini ya Rais peke yake,&#8221; alifafanua mjumbe mmoja.<\/p>\n<p>Kwa upande wake, Mku&#341;ugenzi wa TCMP Bwana Je&#341;emiah Daffa, alisema elimu ya ufahamu wa mazingi&#341;a inahitajika kuzidi kutolewa kwa watu mbalimbali. &#8220;Tuzidi kutoa elimu kwa watu mbalimbali. Watu wanapaswa kuzidi kupata elimu ya uhifadhu na utunzaji wa mazingi&#341;a, lakini kama wataachwa hali itazidi kuwa mbaya,&#8221; alitahadha&#341;isha.<\/p>\n<p>Wakati mku&#341;ugenzi wa TCMP akitoa tahadha&#341;i ya hali kuja kuzidi kuwa mbaya, wadau wa mazingi&#341;a walisema taya&#341;i hali imeshakuwa mbaya kwani taa&#341;ifa zinaonyesha kuwa kuna ukataji mkubwa wa mikoko katika mto Ruvu kiasi cha kufanya maji ya chumvi kutoka baha&#341;ini kuka&#341;ibia mtambo wa maji wa Ruvu. <\/p>\n<p>&#8220;Sasa maji ya baha&#341;i yanapanda hadi maeneo ya da&#341;aja la ba&#341;aba&#341;a ya kuelekea Msata. Kuna wakati yalika&#341;ibia Mitambo ya Kusukuma Maji ya Ruvu. Hali ikiachwa iendelee kuna wakati maji yanayosukumwa kwenda Da&#341; es salaam yatakuwa ya chumvi,&#8221; alidai mmoja wa wajumbe hao.<\/p>\n<p>Wajumbe wa ICM walitoa wito kwa wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na wanajamii wa pwani na mashi&#341;ika mbalimbali kushi&#341;iki katika kuhakikisha uendelevu wa miti hiyo. TCMP Pwani kwa kupata msaada wa kiufundi kutoka Kituo cha Rasilimali za Baha&#341;i cha Chuo Kikuu cha Rhode Island, ni moja ya mashi&#341;ika yanayohamasisha kwa vitendo upandaji na uhifadhi wa mikoko.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa mku&#341;ugenzi wa M&#341;adi huo, Ba&#341;aka Kalangahe, moja ya shughuli zinazofanywa na m&#341;adi wake wa miaka minne tangu mwanzoni mwa mwaka 2010 ni kuhifadhi misitu ya mikoko.<\/p>\n<p>Alisema kutokana na jamii za pwani kuishi katika mazingi&#341;a ambayo yana &#341;asilimali ambazo zisipotumika kwa uendelevu zitaisha, m&#341;adi wake, pamoja na mambo mengine, unapambana kuhakikisha kuwa misitu kama ile ya mikoko haitoweki. &#8220;Hii ni pamoja na kuhakikisha kuwa udhalimu unaofanywa na binadamu haumalizi &#341;asilimali hizi,&#8221; aliwaambia wajumbe wakati wa mkutano wa ICM. &#8220;Kwa kufanya hivyo tunalinda &#341;asilimali, wanyama na viumbe hai waliopo katika misitu hiyo,&#8221; aliongeza. <\/p>\n<p>Kuna njia nyingi ambazo m&#341;adi unazitumia kuhakikisha mikoko haimaliziki. Moja ya njia hizo ni kusaidia mamlaka za vijiji na wilaya kutunga she&#341;ia ndogo ndogo za kuhifadhi misitu ya mikoko. <\/p>\n<p>Mfano mzu&#341;i wa she&#341;ia ndogo ndogo ni ile ya kijiji cha Kiha&#341;aka ambayo, pamoja na mambo mengine, inataka kuwezesha na kuima&#341;isha ushi&#341;iki wa wananchi katika kutunza, kutumia na kuhifadhi maliasili zilizopo katika kijiji cha Kiha&#341;aka.<\/p>\n<p>Madhumuni mengine ni kusaidia utunzaji wa ikolojia katika misitu ya mikoko na baha&#341;i katika kijiji na kuchukuliwa kwa hatua za kishe&#341;ia katika kusimamia maliasili zilizopo ikiwa ni pamoja na uwezo wa kutoa adhabu kwa wale wanaokiuka ta&#341;atibu za usimamiaji shi&#341;ikishi wa mipango ya maliasili za kijiji.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Ma&#341; 1 (IPS) &ndash; Wadau wa mazingi&#341;a wilayani Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani wameishau&#341;i se&#341;ikali na wadau wengine kuongeza jitihada za kutunza mikoko katika mwambao wa Baha&#341;i ya Hindi ikiwa ni pamoja na katika maeneo ambayo mito inaingia baha&#341;ini. Waliyasema hayo mjini Bagamoyo Feb&#341;ua&#341;i 7, 2012 wakati wa mkutano wa Kamati ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":536,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3811","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3811","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/536"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3811"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3811\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3811"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3811"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3811"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}