{"id":3809,"date":"2012-02-13T13:40:01","date_gmt":"2012-02-13T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/02\/13\/somalia-ujenzi-upya-katika-vifusi\/"},"modified":"2012-02-13T13:40:01","modified_gmt":"2012-02-13T13:40:01","slug":"somalia-ujenzi-upya-katika-vifusi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/02\/13\/somalia-ujenzi-upya-katika-vifusi\/","title":{"rendered":"SOMALIA: Ujenzi Upya Katika Vifusi"},"content":{"rendered":"<p>MOAADISHU, 13 Feb 2012 (IPS) &ndash; Maga&#341;i na mikokoteni ya kusukumwa na punda imeegeshwa huku ikiwa imejaa vifaa, ikiashi&#341;ia kuwa Wasomali wana&#341;ejea, miaka minne baada ya kukimbia nchi yao, huku &#341;isasi na mabomu yakiwa yana&#341;ushwa katika vitongoji vilivyodhibitiwa na kikundi cha wanamgambo cha Al&ndash;Shabaab mjini Mogadishu na hivyo kuzua hofu miongoni mwao.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kutokana na maeneo mengi ya mji mkuu wa Somalia sasa kuwa chini ya udhibiti wa vikosi vya se&#341;ikali vinavyoungwa mkono na aska&#341;i wa Umoja wa Af&#341;ika, wakazi wengi mjini humo wame&#341;ejea katika makazi yao baada ya kuondoka kwa mshangao kwa wanamgambo wenye itikadi kali mnano mwezi Agosti. Pamoja na matukio ya kukosekana kwa usalama katika jiji, hali inayofanana na hali ya kawaida imeanza ku&#341;ejea.<\/p>\n<p>Wakazi kwa sasa wameanza mchakato wa polepole kujenga upya makazi yao. Wakati wengi wamekuwa wanaogopa ku&#341;ejea katika maeneo yaliyodhibitiwa na Al&ndash;Shabaab, wachache wenye ushujaa wameja&#341;ibu ku&#341;ejea katika vitongoji vyao vilivyoangamizwa katika siku chache zijazo. Hata hivyo, hakuna takwimu maalum ni wangapi wame&#341;ejea hadi sasa.<\/p>\n<p>Wengi wamevumilia miaka ya shida katika mazingi&#341;a ya kutisha kwenye vijumba vya muda mfupi pembezoni mwa jiji.<\/p>\n<p>Ma&#341;yan Guled, mama wa watoto watano, ameishi na mume wake na watoto katika kambi ya Elasha nje mwa mji wa Mogadishu tangu mwaka 2008. <\/p>\n<p>Kwa sasa familia ime&#341;ejea katika kitongoji chao katika wilaya ya Hodan ambako waliishi hapo kabla katika nyumba katikati mwa jamii ya watu wenye uwezo. Hata hivyo, makazi yao yaliunguzwa kabisa na moto wakati wa mgogo&#341;o wa miaka mitatu kudhibiti mji huo. <\/p>\n<p>Familia yake imekuwa ikilazimishwa kukimbia makazi yao baada ya dada wa Guled kuuawa wakati &#341;isasi ilipopenyeza katika nyumba yao.<\/p>\n<p>&#8220;Makombo&#341;a yalianza kusamba&#341;atisha kitongoji ghafla kilipoanza kuwa shabaha ya mabomu na ku&#341;ushiana &#341;isasi mwaka 2008. Dada na maji&#341;ani zangu wengi, ambao tulikuwa ka&#341;ibu mno, walifa&#341;iki mbele ya macho yangu. Ilibidi tukimbie kuokoa maisha yetu bila kubeba kitu chochote,&#8221; alisema Guled wakati akifagia uwanja wa jumba lake la kifaha&#341;i lililobomolewa. <\/p>\n<p>Guled anasema familia yake haijui watalipia nini kwa ajili ya uka&#341;abati.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Mpito ya Shi&#341;ikisho ya Somalia, ambayo inasaidiwa na Umoja wa Mataifa na nchi wahisani, haikuweza kusaidia kifedha watu wanaojenga upya makazi yao. Na mashi&#341;ika ya misaada yanabakia kuwa na shughuli nyingi kusaidia wale waliokimbia njaa ku&#341;ejea katika makazi yao kusini mwa Somalia.<\/p>\n<p>Lakini changamoto za kiusalama zinabakia kwa wakimbizi wanao&#341;ejea. Mamia ya mabomu yasiyolipuka, yaliyopandwa na Al&ndash;Shabaab kuzuia vikosi vya se&#341;ikali ya Somalia na walinzi wa amani wa Umoja wa Af&#341;ika wasidhibiti maeneo haya, bado yanaendelea kulipuka katika maeneo yote yaliyokimbiwa na waasi wa Kiislam. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Somalia imeshaonya wakazi wanao&#341;ejea juu ya uwepo wa milipuko, ambayo hadi sasa imeshawaua watu kadhaa na kuje&#341;uhi wengine wengi.<\/p>\n<p>Wakimbizi wanao&#341;ejea katika jiji pia wamelalamika kuwa aska&#341;i wa se&#341;ikali ya Somalia wanaolipwa uji&#341;a mdogo wamekuwa tishio kwa usalama. Wamekuwa wakituhumiwa kwa mauaji, ubakaji, upo&#341;aji na wizi wa kutumia mabavu.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali ilitangaza hali ya hata&#341;i katika maeneo yaliyokaliwa na kikundi cha Waislam, wakati mahakama ya kijeshi imeshahukumu idadi kadhaa ya aska&#341;i waliokutwa na hatia ya ubakaji na upo&#341;aji. <\/p>\n<p>Baadhi yao walihukumiwa hukumu za vifo kutokana na kuwaua &#341;aia wasiokuwa na hatia, wakati wengine walipatiwa hukumu ya kifungo jela kutokana na makosa madogo madogo. Katika wiki za hivi ka&#341;ibuni matukio ya uhalifu yamepungua. <\/p>\n<p>Lakini mashule na masoko yanaanza kufunguliwa polepole mjini Mogadishu, wakati se&#341;ikali ya mitaa inaka&#341;abati mtaa mkuu katikati mwa jiji. Taa za ba&#341;aba&#341;ani katika baadhi ya wilaya zimeka&#341;abatiwa, mitaa imeanza kusafishwa na takataka kukusanywa.<\/p>\n<p>Hata hivyo, huduma nyingi zinaendelea kukosekana kwani ni makampuni binafsi pekee yanayosambaza maji ya bomba na umeme kwa wakazi. Hospitali katika maeneo yaliyokimbiwa na kikundi cha Kiislam zimeha&#341;ibiwa vibaya na bado zimefungwa.<\/p>\n<p>Dahi&#341; Kulmiye na familia yake ya watoto watano wali&#341;ejea katika makazi yao ambayo nusu yameha&#341;ibiwa katika eneo la Hodon ma&#341;a tu baada ya waasi kuondoka katika jiji mwezi Agosti.<\/p>\n<p>Anasema kuwa maji na umeme vimekuwa tatizo kubwa kwa wakimbizi wanao&#341;ejea, lakini makampuni ya ndani yanafanya kila linalowezekana kuanza kutoa huduma.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la ugavi wa umeme la se&#341;ikali lilivunjika kabisa wakati wa miongo miwili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Hivyo makampuni madogo, ya ndani na yanayomilikiwa na watu binafsi yanatoa huduma kwa wale wanaoweza kuzimudu.<\/p>\n<p>&#8220;Kukosekana kwa maji safi ni tatizo jingine kubwa kwetu sisi tangu tulipo&#341;ejea mwezi mmoja uliopita. Kampuni ya umeme imesha&#341;ejesha umeme katika makazi mengi na tunata&#341;ajia kuupata katika nyumba zetu hivi ka&#341;ibuni,&#8221; Kulmiye aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa watoto wake walipaswa kuhudhu&#341;ia shule mbali na makazi kwasababu shule ya ka&#341;ibu imeendelea kufungwa, kwani ilihitaji uka&#341;abati mkubwa.<\/p>\n<p>Mohamed Hallane anasema kuwa familia yake inataka kuishi katika nyumba yao tena. Ipo katika wilaya ya Hawlwadag kusini mwa Mogadishu, eneo ambalo kuna wakati lilikuwa ngome kuu ya Al&ndash;Shabaab. Lakini makazi ya Hallane yalipigwa na makombo&#341;a na yanahitaji uka&#341;abati mkubwa kabla haja&#341;ejea.<\/p>\n<p>&#8220;Niliangalia makazi yangu. Maeneo yana usalama lakini ka&#341;ibu kila nyumba katika kitongoji chetu imepigwa na makombo&#341;a, na maje&#341;aha ya &#341;isasi yapo kila mahali,&#8221; Hallane aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, wakimbizi wanao&#341;ejea wanafanya kazi kujenga maisha yao, na pia kupata muda wa kufaidi maisha yao. Wakazi katika mji mkuu, kwa ma&#341;a ya kwanza, wameanza kutembelea fukwe za jiji hilo kupumzika kwani usalama katika jiji una&#341;ejea polepole. Mamia ya wakazi walifu&#341;ika katika ufukwe wa Lido mjini Mogadishu wakati wa sikukuu za K&#341;ismasi. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MOAADISHU, 13 Feb 2012 (IPS) &ndash; Maga&#341;i na mikokoteni ya kusukumwa na punda imeegeshwa huku ikiwa imejaa vifaa, ikiashi&#341;ia kuwa Wasomali wana&#341;ejea, miaka minne baada ya kukimbia nchi yao, huku &#341;isasi na mabomu yakiwa yana&#341;ushwa katika vitongoji vilivyodhibitiwa na kikundi cha wanamgambo cha Al&ndash;Shabaab mjini Mogadishu na hivyo kuzua hofu miongoni mwao. Kutokana na maeneo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":487,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3809","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3809","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/487"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3809"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3809\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3809"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3809"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3809"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}