{"id":3808,"date":"2012-02-13T13:40:01","date_gmt":"2012-02-13T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/02\/13\/somalia-kuejesha-shule-kutoka-mikononi-mwa-wapiganaji\/"},"modified":"2012-02-13T13:40:01","modified_gmt":"2012-02-13T13:40:01","slug":"somalia-kuejesha-shule-kutoka-mikononi-mwa-wapiganaji","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/02\/13\/somalia-kuejesha-shule-kutoka-mikononi-mwa-wapiganaji\/","title":{"rendered":"SOMALIA: Ku&#341;ejesha Shule Kutoka Mikononi mwa Wapiganaji"},"content":{"rendered":"<p>MOGADISHU, 13 Feb 2012 (IPS) &ndash; Shule zinaanza kufunguliwa tena polepole katika maeneo ya mji mkuu wa Somalia, Mogadishu ambazo hadi hivi ka&#341;ibuni zilidhibitiwa na kikundi cha wanamgambo wa Kiislam cha al&ndash;Shabaab. Lakini wastani wa asilimia 80 ya wanafunzi bado hawaja&#341;ejea.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Se&#341;ikali inaanza pia kujenga mtaala wa pamoja utakaotumika katika shule zote. Shule zilizodhibitiwa na Al&ndash;Shabaab zilikuwa zikiendesha mtaala tofauti wa Kiislam.<\/p>\n<p>Wilaya kumi na moja kati ya 16 mjini Mogadishu zilikuwa chini ya wanamgambo wanaohusishwa na kikundi cha kigaidi cha Al&ndash;Qaeda kabla ya kujiondoa katika mji huo mwezi Agosti. Ni shule 20 tu kati ya 78 katika wilaya hizi zimefunguliwa tangu mwezi Septemba, lakini kwa kiasi kikubwa hazina wanafunzi kwani wanafamilia bado wanaendelea ku&#341;ejea katika mji huo.<\/p>\n<p>Somalia iliathi&#341;ika zaidi na ukame ulioikumba kanda ya Pembe ya Af&#341;ika na kutangazwa na Umoja wa Mataifa kwa njaa kali katika maeneo ya kusini mwa Somalia.<\/p>\n<p>Sadeq Salaad, kutoka asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali ya Mtandao wa Elimu Binafsi Somalia (FPENS), aliiambia IPS kuwa shule 78 katika eneo la kaskazini na kaskazini masha&#341;iki mwa mji huo mkuu zilifungwa kutokana na mapigano ya ma&#341;a kwa ma&#341;a kati ya Al&ndash;Shabaab na vikundi tiifu kwa se&#341;ikali katika maeneo hayo tangu katikati mwa mwaka 2009.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa mujibu wa takwimu zetu ni shule 20 tu katika eneo hili lenye vita zimefunguliwa tena na hiyo inatokana na idadi ndogo ya familia ku&#341;ejea katika makazi yao katika mji huo tangi Agosti,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Nchini Somalia, shule nyingi zinaendeshwa na FPENS, kwani Se&#341;ikali ya Shi&#341;ikisho la Mpito bado haijapata udhibiti wa shule hizo tangu kumalizika kwa vita vya muda m&#341;efu katika taifa hilo la Masha&#341;iki mwa Af&#341;ika.<\/p>\n<p>FPENS imekuwa ikiendesha shule hapa tangu nchi ilipoangukia katika machafuko mwaka 1991 kutokana na kuanza kwa Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Somalia. Wakati huo kulikuwa hakuna se&#341;ikali kuu iliyodhibiti nchi. <\/p>\n<p>&#8220;Tatizo jingine kubwa ni kuwa shule nyingi ziliha&#341;ibiwa na vita na zinahitaji kujengwa upya. Kuna baadhi ya shule ambazo zilifunguliwa lakini kwa sehemu zimebomolewa,&#8221; Sadeq aliiambia IPS kwa njia ya simu.<\/p>\n<p>Wilaya ya Boondhee&#341;e katika eneo la kaskazini masha&#341;iki mwa mji huo mkuu wa nchi ni eneo la ngome ya zamani ya Al&ndash;Shabaab. Shule kumi na mbili hapa zilifungwa wakati wa udhibiti wa miaka mitatu ya kikundi hicho cha wanamgambo mjini Mogadishu. <\/p>\n<p>Shule ya Mujama Umul Qu&#341;a, ambayo inasemekana kuwa kubwa kuliko zote katika wilaya hiyo na kuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 6,000, ilikuja kuwa shule ya kwanza katika eneo hilo kufunguliwa mwezi Oktoba. Lakini ni wanafunzi wachache tu wameandikishwa hapa.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa uchache asilimia 20 ya wanafunzi 6,000 kwa sasa wapo hapa. Tuna matumaini kuwa wanafunzi wote wataanza elimu yao Janua&#341;i,&#8221; mkuu wa shule hiyo Sheik Hassan Mohamed Ahmed aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Misaada ya Kimataifa la Kiislam linaendesha shule ya Mujama Umul Qu&#341;a na mtaala wa shule unatofautiana katika eneo hili. Hii ni hali ya kawaida nchini Somalia.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Elimu wa Somalia Ahmed Aideed Ib&#341;ahim aliiambia IPS kuwa wiza&#341;a yake kwa sasa inaja&#341;ibu kuchanganya mitaala tofauti inayofundishwa katika shule za Somalia na kuwa mtaala mmoja.<\/p>\n<p>&#8220;Tupo katika mazungumzo na wataalam wa Wiza&#341;a ya Elimu ya Somalia ya zamani na tunajadiliana kuunganisha mitaala mbalimbali inayotumika nchini. Tunata&#341;ajia kufikia shabaha yetu katika kipindi cha miezi nane na tuna matumaini makubwa kuwa mtaala wa zamani nchini uta&#341;ejeshwa tena,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Wakati wanafunzi na wazazi wanasema wanafu&#341;ahia kufunguliwa kwa shule katika mji mkuu, nyumba nyingi katika wilaya zilizodhibitiwa na Al&ndash;Shabaab zinahitaji ma&#341;ekebisho makubwa, na wakazi wanasema kuwa hii ni moja ya sababu kuu ni kwa nini familia nyingi bado hazija&#341;ejea katika mji mkuu.<\/p>\n<p>Hasna Abdulkade&#341; Fa&#341;ah, mama wa watoto watano, alisema kuwa watoto wake wawili wangeshamaliza elimu ya sekonda&#341;i Janua&#341;i 2011 kama mgogo&#341;o huo nchini humo usingeathi&#341;i elimu yao. <\/p>\n<p>&#8220;Ninamwomba Mungu kuwaadhibu Al&ndash;Shabaab katika ahela yake, kwasababu walisababisha matatizo mengi mno kwetu. Mungu ahimidiwe sasa tuko salama na watoto wangu wana&#341;ejea shule,&#8221; Hasna aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Watoto wengi nchini Somalia walikabiliwa na hali mbaya, kwani walikuwa &#341;ahisi kulengwa kuchukuliwa kupigana upande wa wanamgambo. <\/p>\n<p>Ib&#341;ahim aliiambia IPS kuwa idadi kubwa ya watoto wa Somalia wenye um&#341;i wa kwenda shule walitumiwa kama wapiganaji katika mgogo&#341;o uliodumu kwa miaka mingi nchini humo. Alisema kuwa kukosekana kwa elimu kulikuwa sababu kuu ya kuongezeka kwa idadi ya aska&#341;i watoto katika taifa hilo lenye vita.<\/p>\n<p>Ib&#341;ahim alisema kuwa wiza&#341;a yake inajipanga kujenga vyuo na shule za bweni kwa yatima na watoto kutoka familia maskini katika kuja&#341;ibu kuwazuia wasitumiwe na makundi ya wanamgambo.<\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali ya Somalia inaja&#341;ibu kuangalia sekta ya elimu, kwasababu kukosekana kwa elimu kumesababisha watoto wengi kujitumbukiza kwa wababe wa vita ambao wamekuwa wakiwamiliki kama wapiganaji kwa kipindi cha miongo miwili,&#8221; Ib&#341;ahim aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Katika siku za nyuma, elimu ilikuwa ya bu&#341;e nchini Somalia lakini Ib&#341;ahim hakuweza kusema kama wiza&#341;a yake itaweza kuendelea na mpango huo.<\/p>\n<p>Mohamed Abdullahi, mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi Somalia (SSU), aliiambia IPS kuwa shi&#341;ika linaka&#341;ibisha kuundwa upya kwa elimu katika mji mkuu.<\/p>\n<p>&#8220;Kama kutakuwa hakuna elimu itakuwa na maana kuwa hatutakuwa na mustakabali mzu&#341;i wa baadae, kwasababu wakati elimu inakua, ustaa&#341;abu pia unaongezeka. Hivyo SSU inafu&#341;ahishwa mno na kuanza kwa elimu katika maeneo yaliyoathi&#341;ika vibaya na vita mjini Mogadishu,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Aliitaka se&#341;ikali ya Somalia na Shi&#341;ika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Somalia kusaidia kujenga upya shule zilizoha&#341;ibiwa. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MOGADISHU, 13 Feb 2012 (IPS) &ndash; Shule zinaanza kufunguliwa tena polepole katika maeneo ya mji mkuu wa Somalia, Mogadishu ambazo hadi hivi ka&#341;ibuni zilidhibitiwa na kikundi cha wanamgambo wa Kiislam cha al&ndash;Shabaab. Lakini wastani wa asilimia 80 ya wanafunzi bado hawaja&#341;ejea. Se&#341;ikali inaanza pia kujenga mtaala wa pamoja utakaotumika katika shule zote. Shule zilizodhibitiwa na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":874,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3808","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3808","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/874"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3808"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3808\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3808"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3808"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3808"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}