{"id":3804,"date":"2012-01-27T13:40:01","date_gmt":"2012-01-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/27\/sudan-kusini-wanawake-walenga-kulinda-haki-zao-katika-taifa-changa\/"},"modified":"2012-01-27T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-27T13:40:01","slug":"sudan-kusini-wanawake-walenga-kulinda-haki-zao-katika-taifa-changa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/27\/sudan-kusini-wanawake-walenga-kulinda-haki-zao-katika-taifa-changa\/","title":{"rendered":"SUDAN KUSINI: Wanawake Walenga Kulinda Haki Zao Katika Taifa Changa"},"content":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Jan 26, 2012 (IPS) &ndash; Wakati Sudan Kusini ikiandaa mustakabali wake wa kiuchumi wa baadaye katika Mkutano wa Kimataifa wa Sudan Kusini (IEC) wiki hii mjini Washington, wanawake kutoka taifa hilo jipya wametoa wito kwa wafadhili kuwekeza katika mi&#341;adi ambayo inahakikisha kuwa wanawake wanafaidika sawa na mipango ya maendeleo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wanaelezea kuwa wanawake walikuwa na jukumu muhimu katika ku&#341;a ya maoni ambayo imefanya Sudan Kusini kuwa taifa hu&#341;u Julai &ndash; ambapo asilimia 52 ya wapiga ku&#341;a katika ku&#341;a hiyo ya maoni walikuwa wanawake &ndash; wanawake wa Sudan Kusini walishinikiza hatua ambazo zingesaidia kuingiza wanawake wengi wenye uwezo zaidi katika sekta ikiwa ni pamoja na se&#341;ikalini, katika kilimo na uchumi. <\/p>\n<p>Mkutano wa IEC, ukiwa umeandaliwa na Shi&#341;ika la Maendeleo ya Kimataifa la Ma&#341;ekani (USAID), ulikusanya pamoja viongozi wa se&#341;ikali ya Sudan Kusini na makundi kutoka mataifa taji&#341;i, makundi ya mashi&#341;ika ya misaada ya kimataifa na wawekezaji binafsi ili kutengeneza Mpango wa Maendeleo wa Sudan Kusini, ambao utaongoza taifa hilo changa kijamii, kiuchumi na kisiasa. <\/p>\n<p>Mashi&#341;ika yaliyoshi&#341;iki ni pamoja na Kampuni ya Fedha ya Kimataifa, Benki ya Dunia, Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya, Umoja wa Af&#341;ika, Ba&#341;aza la Makampuni Af&#341;ika na Inte&#341;Action. Watendaji wa se&#341;ikai za Uinge&#341;eza, No&#341;way na Utu&#341;uki walikuwepo pia. <\/p>\n<p>Mkutano huo, unaokamilika leo hii, unafanyika katikati mwa mgogo&#341;o unaoendelea katika mipaka inayogombaniwa kwenye majimbo ya Ko&#341;dofan ya Kusini na Blue Nile. <\/p>\n<p>Sudan Kusini inasema kuwa jeshi la Sudan People&#8217;s Libe&#341;ation A&#341;my linasambazia waasi silaha katika majimbo hayo mawili wakati mashi&#341;ika ya haki za binadamu ya kimataifa yanadai kuwa Kaskazini inawapiga mabomu &#341;aia katika majimbo hayo mawili na kukataza mashi&#341;ika ya misaada ya kiutu kuingia katika maeneo hayo. <\/p>\n<p>Wakati mkutano wa IEC ukiendela mjini Washington, wanawake wa Sudan Kusini ambao ni wajumbe wanataka wajumbe kukubali jukumu la wanawake katika kujenga amani na haki yao ya kukaa meza moja kupanga mustakabali wa nchi yao. <\/p>\n<p>Wanawake wanapendekeza kuhakikisha kuwa asilimia 25 ya vitega uchumi vyote na mifugo ya kibiasha&#341;a inakwenda kwa wanawake, na hivyo &#8220;kuongeza uzalishaji wao wa chakula, ujasi&#341;iamali, na upatikanaji wa masoko.&#8221; Wakulima wengi katika Sudan Kusini ni wanawake ambao ni wakulima wadogo, na vita imeiacha Sudan Kusini ikiwa na idadi kubwa ya kaya zinazoendeshwa na wanawake. <\/p>\n<p>&#8220;Tulitaka misaada kulenga wanawake,&#8221; alisema Sa&#341;ah James, mwanaha&#341;akati wa masuala ya wanawake na mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Wanawake Sudan Kusini. &#8220;Hatuwezi kufiki&#341;i kuwa itatufikia.&#8221; <\/p>\n<p>James, akiongea na kundi kubwa la wawekezaji na wafadhili wa misaada ya maendeleo ya kimataifa waliokusanyika katika siku ya kwanza ya mkutano huo, aliwataka kuwachukulia wanawake kama washi&#341;ika sawa katika kuendeleza amani na maendeleo ya nchi. <\/p>\n<p>Taasisi ya Usalama wa Pamoja na Shi&#341;ika la Wanawake la Umoja wa Mataifa, waliandaa kongamano kabla ya mkutano wa IEC ambapo wanawake waliandaa mapendekezo yao. Kongamano lilikuwa sehemu ya jitihada za kuwawezesha wanawake wa Sudan Kusini kushi&#341;iki katika utoaji wa maamuzi juu ya mustakabali wa taifa lao jipya. <\/p>\n<p>Jitihada hiyo ilikuwa ya msingi kwasababu kwa mujibu wa Taasisi hiyo, kujenga upya nchi baada ya vita na maendeleo ya sekta binafsi katika nchi nyingine ambako vita vimemalizika &#8220;ma&#341;a nyingi kume&#341;ejesha mamlaka na fu&#341;sa za kiuchumi kwa wanaume wasomi&#8221;. <\/p>\n<p>Mapendekezo ya wanawake ni pamoja na mpango wa kuongeza ma&#341;a mbili wanawake wanaojua kusoma na kuandika kutoka asilimia 12 hadi asilimia 25 ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa nusu ya mapato ya mafuta yanaelekezwa kwa jamii kupitia mifuko ya maendeleo ya jamii na kwenda kwenye afya ya wanawake, uchumi wao na usalama. <\/p>\n<p>Pia kuna pendekezo la mpango wa kuanzishwa kwa benki ya wanawake kwa kuwa na mtaji wa awali wa dola milioni 10 kuwapatia wanawake mikopo inayopatikana kiu&#341;ahisi ambayo ina &#341;iba ndogo ili waweze kuanzisha biasha&#341;a zao. <\/p>\n<p>&#8220;Watu wana&#341;ejesha uzoefu walioupata kutoka nchi nyingine wakati wakiwa uhamishoni,&#8221; alisema Ma&#341;y Kojo, ambaye yeye mwenyewe alikuwa amekimbia na kuishi mjini. Kwa sasa anafanya kazi katika Wiza&#341;a ya Jinsia, Watoto na Ustawi wa Jamii na amekuwa akifanya kazi kujenga biasha&#341;a ndogo za wanawake. <\/p>\n<p>Wanawake wana uzoefu mkubwa wa kufanya katika kila sekta ya maendeleo katika Sudan Kusini, anasema. &#8220;Tuna uwezo. Ila tu hatupewi nafasi,&#8221; Kojo aliiambia IPS. &#8220;Hiyo ndiyo sababu tupo hapa &ndash; tunataka kutoa sauti zetu popote pale ambapo wanaume wanatoa sauti.&#8221; <\/p>\n<p>O&#341;odha ya vipaumbele vya wanawake wa Sudan Kusini ni pamoja na huduma za msingi, shule bo&#341;a na hospitali bo&#341;a. Kutokana na kuwepo kwa mwanamke mmoja kati ya saba wenye mimba kufa&#341;iki dunia kutokana na matatizo ya mimba katika Sudan Kusini, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, haja ya kubo&#341;esha hali ni muhimu. <\/p>\n<p>Wajumbe wanawake pia walisema mikopo midogo kwa wanawake wa Sudan Kusini inaweza kuongeza ushi&#341;iki wa wanawake wakulima katika masoko ya chakula na mboga, sekta ambapo wanawake kutoka nchi ji&#341;ani za Kenya, Ethiopia na Uganda kwa sasa wanaiendesha kutokana na kupata mitaji ya awali, wanawake waliiambia IPS. <\/p>\n<p>Wanawake hao pia walitaka se&#341;ikali kuendelea kutekeleza asilimia 25 ya sehemu ya vyeo vya wanawake katika ngazi zote se&#341;ikalini. <\/p>\n<p>Mkutano huo ni wa kwanza wa aina yake, unaojulikana katika ulimwengu wa misaada kama &#8220;mkutano wa wafadhili&#8221;, kushi&#341;ikisha wanawake kutoka mashi&#341;ika ya ki&#341;aia katika vikao vyote, ikiwa ni pamoja na vikao vya kupanga jinsi ya kusimamia mapato ya mafuta, utoaji wa huduma za jamii, utawala na mazingi&#341;a. <\/p>\n<p>Anne Ma&#341;ie Goetz, mkuu wa p&#341;og&#341;amu ya amani na usalama katika Shi&#341;ika la Wanawake la Umoja wa Mataifa, alisema kushi&#341;ikisha wanawake katika mipango ya maendeleo kuna mantiki, siyo tu katika suala zima la haki, lakini pia kiuchumi. Sekta ya kilimo ni mfano mmojawapo. <\/p>\n<p>&#8220;Kuwekeza katika uzalishaji wa kilimo kunahakikisha kuwa maendeleo ya soko vijijini na utulivu wa jamii kutokana na wanawake kuwekeza katika jamii zao,&#8221; Goetz alisema. Alisema takwimu zinaonyesha kuwa wanawake wanawekeza asilimia 90 ya kipato chao katika ustawi wa familia ikilinganishwa na wanaume wanaowekeza asilimia 40. <\/p>\n<p>&#8220;Kama wanawake wasingekuwepo katika mkutano, hakutakuwepo shinikizo la kutaka nafasi sawa, hakutakuwepo na shinikizo la haki za a&#341;dhi kwa wanawake&#8230; hakutakuwepo na shinikizo la wahalifu wa kivita kufikishwa katika mkono wa she&#341;ia,&#8221; Goetz alisema. <\/p>\n<p>Lakini je ni kwa nini imechukua muda m&#341;efu kushi&#341;ikisha wanawake  Goetz alisema ni kutokana na jumuiya ya kimataifa kwenda polepole mno kutambua kuwa wanawake wana vipaumbele maalum na mitizamo ambayo haiwakilishwi kikamilifu se&#341;ikalini. <\/p>\n<p>Goetz aliiambia IPS, &#8220;Kwa sasa kuna kutambua kuwa huwezi kujenga utawala bo&#341;a na misingi bo&#341;a ya kiuchumi bila kushi&#341;ikisha nusu ya wananchi.&#8221; <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Jan 26, 2012 (IPS) &ndash; Wakati Sudan Kusini ikiandaa mustakabali wake wa kiuchumi wa baadaye katika Mkutano wa Kimataifa wa Sudan Kusini (IEC) wiki hii mjini Washington, wanawake kutoka taifa hilo jipya wametoa wito kwa wafadhili kuwekeza katika mi&#341;adi ambayo inahakikisha kuwa wanawake wanafaidika sawa na mipango ya maendeleo. Wanaelezea kuwa wanawake walikuwa na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":899,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3804","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3804","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/899"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3804"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3804\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3804"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3804"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3804"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}