{"id":3803,"date":"2012-01-27T13:40:01","date_gmt":"2012-01-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/27\/fanyieni-kazi-mazungumzo-ya-busan\/"},"modified":"2012-01-27T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-27T13:40:01","slug":"fanyieni-kazi-mazungumzo-ya-busan","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/27\/fanyieni-kazi-mazungumzo-ya-busan\/","title":{"rendered":"&#8216;Fanyieni Kazi Mazungumzo ya Busan&#8217;"},"content":{"rendered":"<p>BUSAN, Ko&#341;ea Kusini, Jan 26, 2012 (IPS) &ndash; Watetezi wa haki za wanawake hawajajiandaa kusubi&#341;i kutulia kwa vumbi la Jukwaa la Nne la Ufanisi wa Misaada lililomalizika katika mji wa banda&#341;i wa Ko&#341;ea Kusini Des. 1 huku wakitaka kuwepo kwa usawa wa kijinsia na uwezeshwaji.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kifungu cha 20 cha wa&#341;aka wa Matokeo ya Jukwaa la Busan unasema: &#8220;Ni lazima kuongeza jitihada zetu za kufikia usawa wa kijinsia na kuwapatia uwezo wanawake kupitia p&#341;og&#341;amu za maendeleo zinazotokana na vipaumbele vya nchi, kwa kutambua kuwa usawa wa kijinsia na uwezeshwaji wa wanawake ni masuala muhimu kufikia maendeleo.&#8221; <\/p>\n<p>Roselynn Musa, meneja mipango wa Mtandao wa Maendeleo na Mawasiliano wa Wanawake Af&#341;ika (Af&#341;ican Women&#8217;s Development and Communication Netwo&#341;k), anasema, &#8220;Busan siyo mwisho, lakini ni mwanzo. <\/p>\n<p>&#8220;Wakati tukigeuza jani jipya, hakuna muda wa kusubi&#341;i vumbi litulie kabla hatujakunja mashati yetu na kuichafua mikono yetu. Tunahitaji kuanza kushi&#341;ikisha se&#341;ikali zetu kuhakikisha kuwa wanaingiza kifungu cha 20 cha Wa&#341;aka wa Matokeo ya Busan katika maisha ya wanawake,&#8221; Musa alisema. <\/p>\n<p>Pamoja na wataalam wengi wa jinsia kuendelea kuelezea kutoku&#341;idhishwa kwao na jinsi suala la uwezeshaji wa wanawake lilivyoshughulikiwa katika mkutano wa Busan, wanakubaliana kuwa kuna ongezeko la kuvutiwa na kubo&#341;esha maslahi ya wanawake ikilinganishwa na jukwaa lililotangulia la Acc&#341;a, Ghana. <\/p>\n<p>Anasema Monica Njenga, mwanaha&#341;akati wa jinsia nchini Kenya: &#8220;Mikutano ya kimataifa iliyotangulia ilitoa ahadi nyingi kwa wanawake, na kuwafanya kuamini kuwa kuna maslahi kamili ya kupambana na kukosekana kwa usawa wa jinsia na kupunguza mapengo ya kijinsia. Wanawake wanahitaji kuchukua hatua na kufanya kifungu cha 20 kufanya kazi.&#8221; <\/p>\n<p>Njenga anaongeza kuwa mataifa yote yaliyoendelea yanakabiliwa na changamoto kubwa za kijamii na kiuchumi na zinaweza kushindwa kuweka kipaumbele katika ahadi za kukuza jinsia za Busan. <\/p>\n<p>&#8220;Nchini Kenya, wananchi wanaendelea kukabiliana na kupanda kwa gha&#341;ama za maisha ambazo zinaendelea kupanda. Maandamano katika kazi sasa ni suala la ma&#341;a kwa ma&#341;a huku madakta&#341;i katika hospitali za umma wakiwa katika mgomo wa wiki nzima. Jeshi pia linapigana na kundi la Al Shabab nchini Somalia. Usawa wa jinsia pengine ni wa mwisho katika o&#341;odha ya vipaumbele vya se&#341;ikali.&#8221; <\/p>\n<p>Pamoja na changamoto hizi, wanaha&#341;akati wa jinsia wanaamini kuwa wanaweza kutumia wa&#341;aka wa Busan kupeleka mbele ajenda ya jinsia. Moja ya wanaha&#341;akati hawa ni May&#341;a Mo&#341;o&ndash;Coco, meneja wa maendeleo ya se&#341;a na utetezi katika Chama cha Haki za Wanawake katika Maendeleo (Association fo&#341; Women Rights in Development). <\/p>\n<p>&#8220;Ushi&#341;ikiano wa kimataifa unaotokana na Busan una lengo la kufikia ushi&#341;ikiano halisi wa maendeleo,&#8221; anasema Mo&#341;o&ndash;Coco. <\/p>\n<p>&#8220;Kufanyia kazi ufanisi wa maendeleo kuna maana kuwa kuna mfumo wa maendeleo ambao unajinasua kutoka kwenye mfumo uliozoeleka wa maendeleo na kuwa na mfumo shi&#341;ikishi, endelevu, na dhana ambayo inatambua na kuthamini kazi ambazo hazina kipato na malipo, kukuza aji&#341;a zenye hadhi na uwezeshaji, haki za binadamu na ukombozi wa wanawake na wasichana,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Mo&#341;o&ndash;Coco anasisitiza katika haja ya washikadau mbalimbali kutambua kuwa &#8220;ufanisi wa maendeleo unahitaji umiliki wa demok&#341;asia wa wanawake na ushi&#341;iki wenye maana na endelevu wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia, hasa mashi&#341;ika ya wanawake na jinsia.&#8221; <\/p>\n<p>Ushi&#341;ikiano wa kimataifa ambao ulitokana na mkutano wa Busan unaonyesha kuwa hakuna dhami&#341;a halisi ya haki za binadamu katika maendeleo, anasema Mo&#341;o&ndash;Coco. <\/p>\n<p>Hali hii, anasema, inaleta changamoto kwa mipango na mi&#341;adi yenye nia ya &#8220;kukuza maendeleo na kutokomeza umaskini kwa njia ambazo ni za kidemok&#341;asia na zinazoendana na vigezo vya kimataifa vya haki za binadamu na kutoa kipaumbele kwa haki za wanawake, haki za maendeleo na haki ya mazingi&#341;a.&#8221; <\/p>\n<p>Mo&#341;o&ndash;Coco anaelezea wasiwasi wake kuhusu utekelezaji wa ushi&#341;ikiano wa kimataifa wa Busan kutokana na kuwa wa&#341;aka huo &#8220;haujatoa kipaumbele kikubwa kwa haki za binadamu, haki ya maendeleo na mazingi&#341;a.&#8221; <\/p>\n<p>Kifungu cha 20 kinaelezea maslahi ya kupunguza kukosekana kwa usawa wa jinsia &#8220;kama mwisho na muhimu wa maendeleo endelevu na shi&#341;ikishi.&#8221; <\/p>\n<p>Pia inatambua haja ya &#8220;kukuza na kuongeza jitihada za kukusanya, kusambaza, kuweka pamoja na kutumia kikamilifu takwimu zinazotenganishwa kwa jinsia kutoa maamuzi ya kise&#341;a na kuongoza uwekezaji, na hatimaye kuhakikisha kuwa matumizi ya umma yanalenga kiusahihi kufaidisha wanawake na wanaume.&#8221; <\/p>\n<p>Wengi wanaweza kuona ahadi hizi hazitoshi. <\/p>\n<p>Anasema Njenga: &#8220;Ahadi ni &#341;ahisi kuzitoa. Wanawake wanahitaji kuonyesha viongozi wao kuwa wanamaanisha biasha&#341;a. Kama wanawake ni wengi katika jamii, hasa katika nchi zinazoendelea ambako kukosekana kwa usawa wa jinsia kunaongezeka, wanahitaji kufanya ku&#341;a zao kuwa na faida.&#8221; <\/p>\n<p>Njenga anaamini kuwa wanawake wanapaswa kuchagua viongozi &#8220;ambao wanaweza kuonyesha matokeo yanayoonekana kuonyesha nia yao ya kutetea haki za wanawake. <\/p>\n<p>&#8220;Wakati wa kampeni, viongozi wengi wanaongea masuala ya jinsia kwa midomo tu ili kupigiwa ku&#341;a na wanapotea katika majukwaa ya jinsia. Hali hii inatakiwa kubadilika.&#8221; <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BUSAN, Ko&#341;ea Kusini, Jan 26, 2012 (IPS) &ndash; Watetezi wa haki za wanawake hawajajiandaa kusubi&#341;i kutulia kwa vumbi la Jukwaa la Nne la Ufanisi wa Misaada lililomalizika katika mji wa banda&#341;i wa Ko&#341;ea Kusini Des. 1 huku wakitaka kuwepo kwa usawa wa kijinsia na uwezeshwaji. Kifungu cha 20 cha wa&#341;aka wa Matokeo ya Jukwaa la&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":858,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3803","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3803","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/858"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3803"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3803\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3803"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3803"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3803"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}