{"id":3802,"date":"2012-01-27T13:40:01","date_gmt":"2012-01-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/27\/clinton-ahimiza-ajenda-ya-jinsia-huko-busan\/"},"modified":"2012-01-27T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-27T13:40:01","slug":"clinton-ahimiza-ajenda-ya-jinsia-huko-busan","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/27\/clinton-ahimiza-ajenda-ya-jinsia-huko-busan\/","title":{"rendered":"Clinton Ahimiza Ajenda ya Jinsia Huko Busan"},"content":{"rendered":"<p>BUSAN, Ko&#341;ea Kusini, Jan 26, 2012 (IPS) &ndash; Wanawake wanavuja jasho mashambani katika maisha yao yote wakizalisha chakula na kuima&#341;isha uchumi ambao unategemea zaidi kilimo katika ba&#341;a la Af&#341;ika, lakini wakati baba zao, waume au watoto wao wakubwa wa kiume wanapofa&#341;iki, hawaka&#341;ibishwi tena katika a&#341;dhi ambayo wamekuwa wakilima kwa miaka mingi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Matamshi haya yalitolewa na Hilla&#341;y Rodham Clinton, wazi&#341;i wa mambo ya kigeni wa Ma&#341;ekani, katika kikao maalum juu ya hali ya wanawake katika Mkutano wa Nne wa Ufanisi wa Misaada (HLF4) unaoendelea katika mji wa banda&#341;i wa Ko&#341;ea Kusini. <\/p>\n<p>Baadhi ya wajumbe 2,500, ikiwa ni pamoja na wajumbe kutoka wiza&#341;a mbalimbali kutoka nchi 160, viongozi wa mashi&#341;ika ya kijamii, wataalam kutoka mashi&#341;ika ya kimataifa na wasomi wanahudhu&#341;ia HLF4 kujadili kanuni za kimataifa na she&#341;ia za kubo&#341;esha ushi&#341;ikiano wa maendeleo. <\/p>\n<p>Wengi walikubaliana kuwa maneno ya Clinton yalijenga picha nzu&#341;i ya hadhi ya wanawake katika Af&#341;ika na ba&#341;a la Af&#341;ika na Asia ambao wanaingiza kipato chao kutokana na maliasili. <\/p>\n<p>&#8220;Miaka mingi iliyopita nimesafi&#341;i kwenda Af&#341;ika na kila ninapoenda kumekuwa na wanawake wanaofanya kazi mashambani, wanaokusanya kuni na wanaouza maduka, na hivyo nikamuuliza mchambuzi mmoja wa kiuchumi, mnafanya nini kuhesabu mchango huu wa wanawake  Na, alisema kuwa hawajawahesabu kwasababu hawakuwepo kwenye sekta &#341;asmi. <\/p>\n<p>&#8220;Kama wanawake hawa wangeacha kufanya kazi, hata kwa siku moja, ingesababisha madha&#341;a makubwa katika uchumi.&#8221; <\/p>\n<p>Hali haijabadilika kwa kiasi kikubwa kwa wanawake wengi wa Af&#341;ika na Asia. <\/p>\n<p>&#8220;Bado wanawake ni asilimia 70 ya watu bilioni 1.3 wanaoishi katika umaskini uliokithi&#341;i. Wanawake wanafanya kazi kwa theluthi mbili ya masaa ya kufanya kazi duniani, wakizalisha kwa uchache nusu ya chakula. Hata hivyo, wanaingiza asilimia ndogo tu &ndash;10&ndash; ya kipato duniani na kumiliki asilimia moja ya majengo duniani,&#8221; alisema Michelle Bachelet, mku&#341;ugenzi mkuu wa Shi&#341;ika la Wanawake la Umoja wa Mataifa ambalo lina lengo la kuwawezesha wanawake. <\/p>\n<p>Pamoja na takwimu kuonyesha kuwa nchi zinazoshi&#341;ikisha wanawake zinatambua mchango wao kufikia maendeleo makubwa, mataifa mengi ya Kiaf&#341;ika yana lengo la kutoa huduma ndogo tu katika suala zima la usawa wa jinsia kubo&#341;esha muonekano wao katika mikutano ya kimataifa kama ule wa Busan. <\/p>\n<p>Alisema Bachelet: &#8220;Tunasema kuwa huu ni wakati wa kuondoka katika maneno matupu na hotuba na kuingia kwenye bajeti.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Naweza kuona kuchanganyikiwa katika sauti ya Bachelet wakati akitoa mfano wa usawa wa kijinsia. Kuchanganyikiwa kama huko ninakuhisi pia. Ma&#341;a nyingi najiuliza, tunapaswa kutoa maelezo haya ma&#341;a ngapi &#8221; Clinton alisema. <\/p>\n<p>Clinton alisema haya yanafanyika pamoja na kwamba vyanzo vya kuaminika kama vile Benki ya Dunia na Shi&#341;ika la Fedha Ulimwenguni kuonyesha kuwa pato la taifa na kipato cha mtu mmoja mmoja lingeweza kuongezeka kama wanawake wanatambuliwa kama sehemu ya maendeleo. <\/p>\n<p>Kutoka kwa wito wa Clinton wa kutolewa kwa ahadi zaidi kusaidia usawa wa kijinsia kuhusiana na utekelezaji bo&#341;a wa misaada, aliweka wazi kuwa kuwabagua wanawake kunaathi&#341;i uchumi. <\/p>\n<p>&#8220;Katika ba&#341;a la Asia, takwimu zinaonyesha kuwa uchumi unapoteza dola zipatazo 89 billioni kila mwaka kutokana na ubaguzi dhidi ya wanawake katika nguvu kazi. Cha kusikitisha, huu ni ukanda wenye nchi zinazofanya kazi kwa bidii ili kuibuka kuwa na uchumi mkubwa zaidi,&#8221; Bachelet alisema. <\/p>\n<p>Viongozi wa usawa wa kijinsia walisema wanawake wanapatiwa uwezo wakati wanapopatiwa fu&#341;sa ya kwenda shule, watoto wao wanalishwa vizu&#341;i na pia wana nafasi kubwa ya kupata elimu bo&#341;a. <\/p>\n<p>Wanawake wengi wanabakia kuwa na fu&#341;sa chache za kupata aji&#341;a ambazo zitawapatia uji&#341;a, fedha kidogo au kukosekana kwa fedha kabisa na nafasi ndogo kuwapatia watoto wao mlo wenye hadhi. Wakati wa ukame katika Pembe ya Af&#341;ika, takwimu za Umoja wa Mataifa zilionyesha kuwa watu milioni nne wanakodolea macho kifo, ambapo kati yao, milioni mbili ni watoto. <\/p>\n<p>Lakini hali hii inaweza kubadilika. Jukwaa la Busan, ambalo linamalizika Alhamisi, linaweza kuchukua nafasi hii kujiokoa na kuwa na ufumbuzi mpya na unaofanya kazi katika kubo&#341;esha maisha ya mamilioni ya wanawake. <\/p>\n<p>Kinachopimwa kinatambulika, Clinton alisema. &#8220;Kwa sasa tunafanya kazi katika kuandaa takwimu juu ya jinsi gani hadhi ya kijinsia inaweza kubo&#341;eshwa. Leo hii, nina fu&#341;aha kutangaza mpango mpya ujulikanao kama Ushahidi na Takwimu za Usawa wa Jinsia (Evidence and Data fo&#341; Gende&#341; Equality &ndash; EDGE). <\/p>\n<p>&#8220;EDGE ni mpango mpya wa kubo&#341;esha upatikanaji na matumizi ya takwimu ambazo zinaonyesha pengo la kijinsia katika uchumi. Inajikita katika wito wa Ma&#341;ekani wa kutaka hatua katika kikao cha jinsia na maendeleo cha Mei 2011 cha mawazi&#341;i wa OECD na kujenga katika mapendekezo ya Shi&#341;ika la Kimataifa la Umoja wa Mataifa na Kundi la Wataalam wa Jinsia na Takwimu.&#8221; <\/p>\n<p>Ma&#341;a nyingi, alisema Clinton, mikopo inatolewa kwa wajasi&#341;iamali wadogo bila ya kufuatilia kati ya biasha&#341;a hizi ni ngapi zinamilikiwa au kuendeshwa na wanawake. &#8220;Matokeo yake, alisema, &#8220;wanawake wanaendelea kukabiliwa na hali ngumu ya kupata mikopo. <\/p>\n<p>&#8220;Katika nchi nyingi, mwanaume na mwanamke wanaweza kwenda kwa mkopeshaji mmoja kupata mkopo na hata kuwa na dhamana zinazofanana, lakini mwanamke atapokelewa tofauti. Tunaweza kubadili se&#341;a za mikopo ambazo zinabagua na kukandamiza wanawake.&#8221; <\/p>\n<p>Clinton alipongeza jukwaa la Busan na kusema kuwa limejenga fu&#341;sa kwa mipango mipya na ushi&#341;ikiano muhimu katika kuendeleza ha&#341;akati za jinsia na kuwapatia uwezo wanawake. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BUSAN, Ko&#341;ea Kusini, Jan 26, 2012 (IPS) &ndash; Wanawake wanavuja jasho mashambani katika maisha yao yote wakizalisha chakula na kuima&#341;isha uchumi ambao unategemea zaidi kilimo katika ba&#341;a la Af&#341;ika, lakini wakati baba zao, waume au watoto wao wakubwa wa kiume wanapofa&#341;iki, hawaka&#341;ibishwi tena katika a&#341;dhi ambayo wamekuwa wakilima kwa miaka mingi. Matamshi haya yalitolewa na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":898,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3802","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3802","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/898"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3802"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3802\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3802"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3802"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3802"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}