{"id":3801,"date":"2012-01-27T13:40:01","date_gmt":"2012-01-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/27\/hakuna-lolote-kutoka-busan-kwa-wanawake-na-watoto-wa-afika-2\/"},"modified":"2012-01-27T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-27T13:40:01","slug":"hakuna-lolote-kutoka-busan-kwa-wanawake-na-watoto-wa-afika-2","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/27\/hakuna-lolote-kutoka-busan-kwa-wanawake-na-watoto-wa-afika-2\/","title":{"rendered":"&#8216;Hakuna Lolote Kutoka Busan kwa Wanawake na Watoto wa Af&#341;ika&#8217;"},"content":{"rendered":"<p>BUSAN, Ko&#341;ea Kusini, Jan 26, 2012 (IPS) &ndash; Pamoja na kuwepo kwa mafanikio katika kupunguza vifo vya uzazi na watoto wachanga, mamilioni ya wanawake na watoto ba&#341;ani Af&#341;ika wanahitaji huduma bo&#341;a za afya, chakula na huduma za usafi wa mazingi&#341;a.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Baadhi ya wanawake 250,000 wanakadi&#341;iwa kufa&#341;iki dunia ba&#341;ani Af&#341;ika kila mwaka, na kuacha nyuma watoto wachanga ambao nafasi yao ya kufikisha miaka mitano inapungua. <\/p>\n<p>Takwimu za shi&#341;ika la Save the Child&#341;en, zinabainisha kuwa nchi za Af&#341;ika zinashika nafasi tisa kati ya kumi za mwisho duniani katika suala la afya ya uzazi katika o&#341;odha ya mataifa 164. <\/p>\n<p>Ben Philips wa Save the Child&#341;en anasema, &#8220;Kupungua kwa vifo hakulingani na viwango vya Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) yaliyozinduliwa mwaka 2000. Miaka saba baadaye, nchi nyingi bado ziko nyuma mno kufikia malengo hayo.&#8221; <\/p>\n<p>Matokeo ya kilio juu ya vifo vya uzazi na watoto, Umoja wa Mataifa mwaka 2000 ulitaka kila taifa kufikia malengo ya MDGs &ndash; ambayo yako nane. <\/p>\n<p>Katika malengo haya, MDGs 4 na 5 yanalenga katika kupunguza vifo vya watoto wachanga na kubo&#341;esha afya ya uzazi. Hatimaye, mataifa yalipewa kazi ya kupunguza theluthi moja ya vifo vya watoto chini ya miaka mitano na kupunguza &#341;obo tatu ya vifo vya uzazi. <\/p>\n<p>Malengo haya hayajafikiwa. Hali ilivyo, anasema Philips, &#8220;se&#341;ikali za Af&#341;ika zinapaswa kuweka kipaumbele katika afya ya uzazi na mtoto. Pia zinahitaji kuongeza kasi ma&#341;a nne ya kiwango ambacho vifo hivi vinapungua ili kufikia malengo ya MDGs 4 na 5 ifikapo mwaka 2015.&#8221; <\/p>\n<p>Kuhusu jukwaa la HLF 4 linalofanyika huko Busan, swali moja ni kama wanawake na wanaume ba&#341;ani Af&#341;ika wanata&#341;ajia matokeo yoyote ya wazi kutoka mkutano unaofanyika katika mji wa banda&#341;i wa Ko&#341;ea Kusini. <\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Philips, kuna fu&#341;sa chache kwa wao. &#8220;Kwa bahati mbaya, wa&#341;aka wa matokeo ya Busan, ambao kimsingi unafupisha haja ya kuchukua hatua baada ya jukwaa hilo, hauna malengo ya kutosha kubo&#341;esha ufanisi wa misaada. Kwa mfano, hakuna dhami&#341;a ya nguvu kuondosha vikwazo vya misaada.&#8221; <\/p>\n<p>Wataalam wa misaada huko Busan wanasema kama wahisani wameonyesha dhami&#341;a kuondoa masha&#341;ti ya misaada kama matokeo ya mkutano huo, hii ingeongeza misaada kwa asilimia 15 hadi 30, na hivyo kuongeza thamani ya misaada hiyo. <\/p>\n<p>Na hii siyo njia pekee ya wahisani kuwaacha wanawake wa Af&#341;ika na watoto wao. Pamoja na kuwa nchi za G&ndash;8, ambazo zinaongoza kwa utaji&#341;i duniani, zina nia ya kutoa asilimia 0.7 ya bajeti za nchi zao katika misaada. Hakuna hata moja imefikia ahadi hiyo. <\/p>\n<p>Hata hivyo, Uinge&#341;eza iliahidi kufikia ahadi ifikapo mwaka 2013. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna hali ya wazi ya kupungua kwa misaada na hivyo kufanya kuwa vigumu kwa nchi maskini kupeleka fedha katika bajeti za kisekta katika kubo&#341;esha huduma za afya kwa kuaji&#341;i manesi wenye ujuzi na hata kuwa na miundombinu mingi zaidi ya afya katika maeneo ambayo maskini wanaweza kuifikia kiu&#341;ahisi,&#8221; alisema Dan Badoo, mtafiti wa se&#341;a. <\/p>\n<p>Lakini siyo wafadhili pekee ambao wanawaangusha wanawake. Miaka kumi na moja tangu azimio la Abuja, ambapo mataifa ya Af&#341;ika yaliahidi kutenga kwa uchache asilimia 15 ya bajeti zao za kitaifa kukabiliana na magonjwa yanayokabili wanawake, kuna utekelezaji mdogo mno. <\/p>\n<p>Kwa mujibu wa shi&#341;ika la Save the Child&#341;en, ni mataifa sita tu kati ya 53 ya Umoja wa Af&#341;ika yamefikia ahadi hiyo. Mataifa hayo ni Rwanda, Botswana, Nige&#341;, Malawi, Zambia na Bu&#341;kina Faso. <\/p>\n<p>Pamoja na madha&#341;a makubwa ya mauaji ya kimba&#341;i nchini Rwanda, taifa hilo limekuwa mfano wa kuigwa katika kuweka kipaumbele kwenye afya ya watoto na wanawake. <\/p>\n<p>Matokeo yake, kwa mujibu wa UNFPA, vifo vya uzazi nchini Rwanda vimeshuka kutoka watoto 750 kwa kila watoto 100,000 wanaozaliwa wakiwa hai mwaka 2005 hadi 540 mwaka 2008. Takwimu za se&#341;ikali zinaonyesha watoto 383 katika kila watoto 100,000. <\/p>\n<p>Philips anasema, &#8220;Malawi ni moja ya nchi za mwanzo kutekeleza ahadi ya kutenga asilimia 15 ya bajeti yake katika afya, na kufanikiwa kuokoa wastani wa maisha 13,000.&#8221; <\/p>\n<p>Kenya ni moja ya mataifa yanayobakia nyuma katika ahadi hii huku ikiwa na bajeti ndogo mno ya asilimia tano tu na matokeo yake ni kama yalivyota&#341;ajiwa. Katika &#341;ipoti ya ka&#341;ibuni ya mafanikio ya MDG ya mwaka 2010, Kenya ni moja ya nchi ambayo imepata mafanikio madogo kabisa katika kufikia MDG 5. <\/p>\n<p>Anasema Badoo: &#8220;Kutokana na hali hii, uhusiano kati ya misaada na kuokoa maisha ni wazi. Ufanisi wa misaada ni kuhusu kubo&#341;esha huduma za jamii ambazo zinawezesha watu kuishi na kutumia fu&#341;sa zilizopo.&#8221; <\/p>\n<p>Akina mama wanaofa&#341;iki wakati wa kujifungua katika makazi duni ya Old Fadama au Jamestown mjini Acc&#341;a, Ghana au Kibe&#341;a nchini Kenya au Kyalisha nchini Af&#341;ika Kusini inaakisi kuwa wakuu wa Af&#341;ika hawachukulii suala la afya ya mama na mtoto kwa uzito mkubwa. <\/p>\n<p>&#8220;Wakati tunaposema kuwa hii ni HLF 4, inaonekana kuwa suala la kiufundi na kisomi sana, lakini kitu ambacho watu wa kawaida na maskini wanahitaji haswa ni kuona jinsi gani misaada inaweza kubo&#341;esha maisha yao, inaweza kuwapatia njia bo&#341;a za kujiingizia kipato na kuokoa wanawake na watoto wanaofa&#341;iki dunia,&#8221; Philips alisema. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BUSAN, Ko&#341;ea Kusini, Jan 26, 2012 (IPS) &ndash; Pamoja na kuwepo kwa mafanikio katika kupunguza vifo vya uzazi na watoto wachanga, mamilioni ya wanawake na watoto ba&#341;ani Af&#341;ika wanahitaji huduma bo&#341;a za afya, chakula na huduma za usafi wa mazingi&#341;a. Baadhi ya wanawake 250,000 wanakadi&#341;iwa kufa&#341;iki dunia ba&#341;ani Af&#341;ika kila mwaka, na kuacha nyuma watoto&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":898,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3801","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3801","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/898"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3801"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3801\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3801"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3801"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3801"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}