{"id":3799,"date":"2012-01-27T13:40:01","date_gmt":"2012-01-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/27\/hakuna-anayehesabu-msaada-wa-wanawake\/"},"modified":"2012-01-27T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-27T13:40:01","slug":"hakuna-anayehesabu-msaada-wa-wanawake","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/27\/hakuna-anayehesabu-msaada-wa-wanawake\/","title":{"rendered":"Hakuna Anayehesabu Msaada wa Wanawake"},"content":{"rendered":"<p>BUSAN, Ko&#341;ea Kusini, Jan 26, 2012 (IPS) &ndash; Bajeti inayozingatia jinsia inakuwa muhimu wakati inapoonekana kuwa haijatolewa lakini inafanya kazi nzu&#341;i ya kutoa huduma kwa jamii, wanasema wajumbe wa mkutano wa kimataifa juu ya ufanisi wa misaada katika mji huo wa Ko&#341;ea Kusini.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Ba&#341;ani Af&#341;ika, wanawake wengi wanatumia masaa mengi ya kazi wakifanya shughuli ambazo zinaendesha maisha yao kama vile kupika, kusafisha nyumba na kuteka maji wakati huo huo wakizalisha na kutunza &#341;asilimali,&#8221; Richa&#341;d Ssewaki&#341;yanga, mku&#341;ugenzi mkuu wa Jukwaa la NGO la Tifa nchini Uganda, aliambia IPS. <\/p>\n<p>Kazi wanazofanya wanawake hazitambuliwi, hazihesabiwi, alisema Ssewaki&#341;yanga, ambaye pia ni mjumbe wa Bette&#341;Aid Global Facilitation G&#341;oup. <\/p>\n<p>Maendeleo yenye msingi katika usawa kati ya wanaume na wanawake ni njia ya kuheshimu haki za binadamu na njia ya kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs), yaliyotungwa mwaka 2000 na Umoja wa Mataifa ili kubo&#341;esha maisha ya watu wanaoishi katika nchi zinazoendelea. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa bahati mbaya, kukosekana kuingiza uwezeshaji wa wanawake na usawa wa kijinsia katika mikakati ya kupunguza umaskini, ushi&#341;iki katika siasa na maendeleo endelevu kutafanya kuwa vigumu kwa nchi nyingi za Kiaf&#341;ika kufikia MDGs, hasa zile za kupunguza umaskini na njaa,&#8221; anaelezea Wilf&#341;ed Subbo, mhadhi&#341;i katika Chuo Kikuu cha Nai&#341;obi. <\/p>\n<p>Kwa kiasi kikubwa hii inatokana na wanawake na wanaume kukabiliwa na umaskini kwa njia mbalimbali, Subbo alisema. Wanawake wanaweza kuingiza fedha kidogo kwa kazi ile ile ambayo inafanywa na wanaume kutokana na jinsia zao. Cha kushangaza zaidi, wakati wanaume wanafanya kazi kwa kuzingatia jinsia, kama vile unesi, wanalipwa kiasi kikubwa. <\/p>\n<p>Katika majukwaa ya kimataifa, kama vile Jukwaa la Kimataifa la Wanawake katika Jukwaa la Mashi&#341;ika ya Ki&#341;aia la Busan, kabla ya Mkutano wa Nne wa Ufanisi wa Misaada kuanzia Jumanne, suala la ushi&#341;iki wa wanawake na usawa wa kijinsia liko katika moyo wa mazungumzo. <\/p>\n<p>&#8220;Kuhusu Af&#341;ika, ni suala la kawaida kusikia wito wa kisiasa wa kubo&#341;esha afya ya uzazi, kupunguza maambukizi ya VVU miongoni mwa wanawake ambao wanaendelea kuchangia asilimia 60 ya ugonjwa huo na hata wito wa wanawake wengi zaidi kupata elimu kama inavyoonekana katika MDGs,&#8221; alisema Ssewaki&#341;yanga. <\/p>\n<p>&#8220;Lakini ahadi za kifedha ziko wapi  Bajeti zinazozingatia jinsia ni sehemu ya ufanisi wa misaada,&#8221; Ssewaki&#341;yanga alisema. <\/p>\n<p>Ahadi za kifedha zinazohakikisha kuwa wanawake wanaweza kupata elimu na kubakia shule na kupunguza kiwango chao cha kuzaliana. Kwa kuongeza, kunabo&#341;esha uwezo wao wa kupata aji&#341;a zinazolipa, na hivyo kuondoka katika viba&#341;ua ambako wanalipwa uji&#341;a duni. <\/p>\n<p>Ahadi hizi zimekuwa zikishinikizwa na wadau mbalimbali, hasa Shi&#341;ika la Wanawake la Umoja wa Mataifa, ambalo limekuwa likikuza dhana ya bajeti inayozingatia jinsia. <\/p>\n<p>Zaidi ya hapo, Shi&#341;ika la Wanawake la Umoja wa Mataifa linahakikisha kuwa se&#341;a za misaada zinaheshimu suala la jinsia kuhakikisha kuwa misaada ya kifedha inazingatia usawa wa kijinsia katika elimu, afya, nguvu kazi na sekta nyingine. <\/p>\n<p>Wakati se&#341;ikali ya Mo&#341;occo katika Af&#341;ika Kaskazini ilipoongeza idadi ya shule za msingi nchini kote ilikuwa imelenga kuongeza upatikanaji wa elimu, lakini haikujiandaa kulingana na uhalisia uliopo wakati takwimu zilipoonyesha kuwa asilimia 80 hadi 90 ya wasichana hawaendi shule. <\/p>\n<p>Kwa mujibu wa wazi&#341;i wa maendeleo ya jamii, familia na mshikamano wa Mo&#341;occo, hali hii imetokana na mifumo ya jadi ya kujenga uwezo kupitia elimu wakati lengo likiwa ni kuangalia ni watoto wangapi walikwenda shule bila kutathmini usawa wa kijinsia katika mfumo wa elimu. <\/p>\n<p>Kwa bahati, kupitia bajeti inayozingatia jinsia, ambayo ni chombo muhimu ambacho kinabainisha mahitaji ya wanawake na kuyaweka katika bajeti za taifa, se&#341;ikali imeanza kuondoka kutoka katika ongezeko la wanawake lisilozingatia jinsia katika elimu. <\/p>\n<p>&#8220;Haba&#341;i ya Af&#341;ika inafanana katika nyanja nyingi, mataifa haya mengi yana wiza&#341;a ambayo inashughulikia siyo haki za wanawake, lakini masuala ya wanawake na jinsia,&#8221; anasema Tafadzwa Mu&#341;opa, m&#341;atibu mwenza wa shi&#341;ika la Gende&#341; and Economic Alte&#341;natives T&#341;ust. <\/p>\n<p>&#8220;Nchini Zimbabwe, kusini mwa Af&#341;ika, wiza&#341;a ya masuala ya wanawake, jinsia na maendeleo ya jamii ilianzishwa miongo kadhaa iliyopita, hata hivyo bado tupo mbali kufikia uwezeshwaji wa wanawake na usawa wa kijinsia,&#8221; anasema Mu&#341;opa. <\/p>\n<p>Kumekuwa na kukosekana kwa ahadi za kifedha kutoka se&#341;ikali za Kiaf&#341;ika katika mipango ambayo inaweza kubo&#341;esha hali za wanawake, anasema. <\/p>\n<p>Mu&#341;opa anaongeza: &#8220;Shi&#341;ika la Wanawake katika Umoja wa Mataifa ni moja ya mashi&#341;ika ya wafadhili ambayo yamekuwa msta&#341;i wa mbele katika kujenga uwezo wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kushinikiza se&#341;ikali kuwa na bajeti inayozingatia jinsia. <\/p>\n<p>&#8220;Wazo ni kuondoka kutoka katika ufanisi wa misaada hadi maendeleo fanisi ambapo wanaume na wanawake wanachangia katika maendeleo na kufaidika kwa usawa na maendeleo hayo.&#8221; <\/p>\n<p>Nchini Kenya, wakati wiza&#341;a ya wanawake na masuala ya watoto ilipoundwa kwa ma&#341;a ya kwanza, mwanasiasa mwanamke alinukuliwa katika vyombo vya haba&#341;i akisema kuwa hakuwa na thamani ya kuongeza katika wiza&#341;a ya wanawake na watoto. <\/p>\n<p>Mtizamo huu hasi juu ya wiza&#341;a ambayo inashughulika na masuala ya wanawake na watoto uliifanya se&#341;ikali kuifanya kuwa wiza&#341;a ya jinsia na masuala ya watoto. <\/p>\n<p>Badala ya kutangaza katiba inayozingatia jinsia, bajeti inayozingatia jinsia bado inakosa vifungu vya utoaji wa taulo za akina mama bu&#341;e kwa mabinti wanaoenda shule na kubo&#341;esha upimaji wa kansa ya shingo ya uzazi na matiti. <\/p>\n<p>Kwa se&#341;ikali za Af&#341;ika, wajumbe walikubaliana, zinahitaji kuwekeza katika wanawake kupitia bajeti zao na kupitia mipango ya uwazi na uwajibikaji ambayo inahakikisha wanawake wanashi&#341;iki kama watendaji na wanaofaidika katika ajenda ya maendeleo. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BUSAN, Ko&#341;ea Kusini, Jan 26, 2012 (IPS) &ndash; Bajeti inayozingatia jinsia inakuwa muhimu wakati inapoonekana kuwa haijatolewa lakini inafanya kazi nzu&#341;i ya kutoa huduma kwa jamii, wanasema wajumbe wa mkutano wa kimataifa juu ya ufanisi wa misaada katika mji huo wa Ko&#341;ea Kusini. &#8220;Ba&#341;ani Af&#341;ika, wanawake wengi wanatumia masaa mengi ya kazi wakifanya shughuli ambazo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":898,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3799","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3799","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/898"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3799"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3799\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3799"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3799"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3799"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}