{"id":3798,"date":"2012-01-27T13:40:01","date_gmt":"2012-01-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/27\/liberia-kuchaguliwa-tena-kwa-sirleaf-ni-ushindi-wa-wanawake\/"},"modified":"2012-01-27T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-27T13:40:01","slug":"liberia-kuchaguliwa-tena-kwa-sirleaf-ni-ushindi-wa-wanawake","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/27\/liberia-kuchaguliwa-tena-kwa-sirleaf-ni-ushindi-wa-wanawake\/","title":{"rendered":"LIBERIA: KUCHAGULIWA TENA KWA SIRLEAF NI USHINDI WA WANAWAKE"},"content":{"rendered":"<p>MONROVIA, Jan 26, 2012 (IPS) &ndash; Ushindi wa Rais wa Libe&#341;ia Ellen Johnson Si&#341;leaf kwa awamu ya pili unaelezewa kama ushindi wa wanawake pamoja na utata uliosababisha upinzani kugoma kushi&#341;iki katika ma&#341;udio ya uchaguzi.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Imetuinua sana sisi kama wanawake na inatufanya &#8230; kuwepo katika jukwaa la dunia,&#8221; alisema Yvette Chesson&ndash;Wu&#341;eh, m&#341;atibu wa uima&#341;ishaji wa Kituo cha Kimataifa cha Angie B&#341;ooks, asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali inayohamasisha kuwajengea uwezo wanawake. <\/p>\n<p>&#8220;Ngoja kila mtu atambue kuwa tunajiamini katika se&#341;ikali hii na katika uwezo wa mwanamke huyu kufanya kazi.&#8221; <\/p>\n<p>Chesson&ndash;Wu&#341;eh aliongeza kuwa ushindi wa Si&#341;leaf pia &#8220;unaonyesha sehemu nyingine ya dunia &#8230; kuwa anaendelea kuwa mfano wa kuigwa kwa wanawake vijana katika ba&#341;a la Af&#341;ika.&#8221; <\/p>\n<p>Siku ya Ijumaa, Tume ya Uchaguzi ya Taifa ilitangaza kuwa, kutokana na asilimia 97.6 ya ku&#341;a zilizohesabiwa, Si&#341;leaf amepata asilimia 90.6 dhidi ya mpinzani wake, mwanadiplomasia wa zamani Winston Tubman wa chama cha Cong&#341;ess fo&#341; Democ&#341;atic Change (CDC). <\/p>\n<p>Ku&#341;udiwa kwa uchaguzi hakujaja bila utata. Katika siku za kuelekea kwenye ma&#341;udio, Tubman aliitisha mgomo, akielezea kukiukwa kwa uta&#341;atibu katika awamu ya kwanza ya ku&#341;a mwezi Oktoba. Katika maandamano ya kabla ya siku ya kupiga ku&#341;a Nov. 8, polisi walipiga &#341;isasi wafuasi wa CDC, na kuuawa kwa uchache watu wawili katika tukio ambalo Tubman anasema ni ja&#341;ibio la kutaka kumuua. <\/p>\n<p>Katika mkutano kwa waandishi wa haba&#341;i siku ya Jumamosi katika makao makuu ya CDC, ambako ku&#341;ushiana &#341;isasi kulifanyika, Tubman alielezea msimamo wa chama chake kuwa kisingetambua matokeo yatakayotokana na ku&#341;udiwa kwa uchaguzi. <\/p>\n<p>&#8220;Ilikuwa, tunaamini, mzaha mkubwa wa kisiasa, na hivyo haufai ku&#341;uhusiwa kusimama,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Tubman alisema wanashe&#341;ia wa CDC wangeshinikiza kufutwa kwa matokeo na kupangwa kwa &#341;atiba nyingine ya kupiga ku&#341;a. <\/p>\n<p>Si&#341;leaf alisema katika hotuba yake kwa taifa Ijumaa kuwa tume hu&#341;u ya uchaguzi ingeundwa kuchunguza u&#341;ushaji wa &#341;isasi katika makao makuu ya CDC, na kuelezea kusikitishwa kwake kwa &#8220;kupoteza maisha na kuje&#341;uhiwa kwa watu.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Hatuwezi kuwa wawazi: Wale walioonekana kuvunja she&#341;ia watafikishwa kwenye mkono wa she&#341;ia,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Pia alikanusha dhana kuwa mgomo wa CDC umedhoofisha uhalali wa ushindi wake, na kuahidi kujenga se&#341;ikali ya umoja. <\/p>\n<p>&#8220;Nitawafikia wagombea wote wa u&#341;ais. Nitakachokitoa kwao bado hakijulikani kwasababu bado sijaelekeza nguvu katika kupanga se&#341;ikali,&#8221; Si&#341;leaf alisema. <\/p>\n<p>Chesson&ndash;Wu&#341;eh aliongeza kuwa kutokana na CDC kugomea uchaguzi, haina maana kuwa mchakato haukuwa halali. <\/p>\n<p>&#8220;Kama unaamua kugomea uchaguzi, haina maana kuwa mchakato siyo halali, hasa wakati watu wengine wakiwa wanashi&#341;iki,&#8221; Chesson&ndash;Wu&#341;eh alisema. &#8220;Ni haki yako ya kikatiba kupiga ku&#341;a, na hivyo kama unaamua kutokutimiza haki hiyo, ni sawa. Kutumia neno siyo halali ni suala ambalo halipo kabisa.&#8221; <\/p>\n<p>Chesson&ndash;Wu&#341;eh alisema Si&#341;leaf inampasa kuendelea na mipango ambayo ameianzisha katika awamu yake ya kwanza akiwa ofisini. <\/p>\n<p>Chesson&ndash;Wu&#341;eh alitoa mfano wa idadi ya kuongezeka kwa wanawake katika nafasi za se&#341;ikali &ndash; asilimia 30 ya wabunge ni wanawake &ndash; kama moja ya mafanikio ya Si&#341;leaf. Pia alipongeza jitihada za kukabiliana na unyanyasaji wa kijinsia nchini Libe&#341;ia, ikiwa ni pamoja na kuundwa kwa mahakama maalum ya kesi za unyanyasaji wa kijinsia mwaka 2008. <\/p>\n<p>&#8220;Hii inaonyesha kuwa ana mfumo usiokuwa na mzaha, na kuuambia ulimwengu kuwa unyanyasaji wa kijinsia ni kosa kubwa la kiuhalifu,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Si&#341;leaf amesema kuwa nusu ya wanawake nchini humo ni waathi&#341;ika wa unyanyasaji wa kijinsia kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka 14. <\/p>\n<p>Lakini G&#341;ace Zoe Davis, mwanamke mwenye um&#341;i wa miaka 43 ambaye anauza vifaa vya ujenzi mjini Mon&#341;ovia, alisema uwezeshwaji wa wanawake katika taifa hilo la Af&#341;ika Magha&#341;ibi umewafikia tu wale wa tabaka la juu. <\/p>\n<p>&#8220;Sioni tofauti yoyote ya alichokifanya katika maisha ya wanawake katika kipindi cha miaka sita. Si&#341;eleaf amesaidia tu watu katika tabaka lake na wala siyo wanawake wa kawaida nchini Libe&#341;ia,&#8221; Davis alisema. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa miaka 16 nimekuwa katika biasha&#341;a, na bado naendelea kufanya biasha&#341;a. Kuna fu&#341;sa nyingi mno wanazodai wamezijenga kwa watu, lakini &#8230; wale waliopo katika da&#341;aja la juu ndiyo wanaofaidi fu&#341;sa hizo.&#8221; <\/p>\n<p>Hata hivyo Davis ameipongeza Si&#341;leaf, ambaye alitangazwa kuwa mshindi mwenza wa Tuzo ya Amani ya Nobel mwezi Oktoba muda mfupi kabla ya uchaguzi, kutokana na utulivu uliopo nchini Libe&#341;ia. Alimhamasisha Si&#341;leaf kuwachukua vijana wengi zaidi na Walibe&#341;ia wenye sifa za elimu kushika nafasi se&#341;ikalini. <\/p>\n<p>&#8220;Anapaswa kufungua mfumo wa se&#341;ikali kutokana na kwamba kuna vijana wengi mno wa Kilibe&#341;ia ambao wana elimu, lakini bado anakwenda Ma&#341;ekani kuleta ma&#341;afiki zake kufanya kazi se&#341;ikalini,&#8221; Davis alisema. <\/p>\n<p>Patience Heah, 34, mwaji&#341;iwa wa Wiza&#341;a ya Kazi na mwanachama wa chama cha Si&#341;leaf cha Unity Pa&#341;ty, alisema &#341;ais amefanya kazi kubwa kuwawezesha wanawake, na kuwepo kwake kama mkuu wa nchi ni suala muhimu sana. Si&#341;leaf ni mwanamke wa kwanza wa Af&#341;ika kuwa &#341;ais alipochaguliwa mwaka 2006. <\/p>\n<p>&#8220;Inawafanya wanawake kuwa na hamasa ya kusonga mbele na wala siyo kukaa nyuma na kutizama wanaume,&#8221; Heah alisema. &#8220;Wanawake hawatakaa tena na ku&#341;uhusu wenzao wanaume kuwatawala. Sasa mambo yanafanyika kwa kuzingatia mfumo wa usawa wa 50&ndash;50.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MONROVIA, Jan 26, 2012 (IPS) &ndash; Ushindi wa Rais wa Libe&#341;ia Ellen Johnson Si&#341;leaf kwa awamu ya pili unaelezewa kama ushindi wa wanawake pamoja na utata uliosababisha upinzani kugoma kushi&#341;iki katika ma&#341;udio ya uchaguzi. &#8220;Imetuinua sana sisi kama wanawake na inatufanya &#8230; kuwepo katika jukwaa la dunia,&#8221; alisema Yvette Chesson&ndash;Wu&#341;eh, m&#341;atibu wa uima&#341;ishaji wa Kituo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":897,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3798","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3798","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/897"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3798"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3798\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3798"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3798"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3798"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}