{"id":3797,"date":"2012-01-27T13:40:01","date_gmt":"2012-01-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/27\/mahakama-mbili-za-wanawake-nchini-kenya-zaanza-kufanya-kazi\/"},"modified":"2012-01-27T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-27T13:40:01","slug":"mahakama-mbili-za-wanawake-nchini-kenya-zaanza-kufanya-kazi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/27\/mahakama-mbili-za-wanawake-nchini-kenya-zaanza-kufanya-kazi\/","title":{"rendered":"Mahakama Mbili za Wanawake Nchini Kenya Zaanza Kufanya Kazi"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Jan 26, 2012 (IPS) &ndash; Naibu Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Kenya Nancy Ba&#341;aza, ambaye alitengeneza histo&#341;ia kama mwanamke wa kwanza aliyeteuliwa kushika nafasi hiyo, ameshaanza kufanyia ma&#341;ekebisho mfumo wa mahakama nchini humo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mfumo wa mahakama nchini Kenya ma&#341;a nyingi unashutumiwa kwa &#341;ushwa na kukosa ufanisi. Pia unasemekana kukabiliwa na she&#341;ia zilizopitwa na wakati, na uhaba wa wafanyakazi. Nchi hii ya Af&#341;ika Masha&#341;iki yenye watu milioni 40 ina majaji 700 tu, wakati taifa kama Canada, kwa mfano, lina majaji 2,000 na wakazi milioni 34. <\/p>\n<p>Ba&#341;aza ametahadha&#341;isha maofisa mahakama wanaopinga mageuzi kuwa wanahata&#341;isha kuchukuliwa hatua za kishe&#341;ia na hata kufukuzwa kazi. <\/p>\n<p>&#8220;Tunatakiwa kutekeleza mageuzi makubwa lakini muhimu ambayo yataleta ufanisi, usawa, kuondosha &#341;ushwa na kuleta nidhamu miongoni mwa maofisa wa mahakama,&#8221; Ba&#341;aza aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Mahakama Kuu ina watendaji wake kama vile Jaji Mkuu Willy Mutunga, naibu wake, Ba&#341;aza, na majaji wengine watano. Imeundwa kuwezesha utekelezaji wa katiba mpya ya nchi, ambayo ilisainiwa kuwa she&#341;ia mwaka 2010, na kuunda mahakama hu&#341;u. <\/p>\n<p>Ba&#341;aza alisema ukaguzi wa wafanyakazi utafanyika hivi ka&#341;ibuni kubainisha uhitimu na ushindani wa maofisa wa mahakama na kujua mahitaji ya wafanyakazi wa mfumo wa mahakama. <\/p>\n<p>&#8220;Uhamishaji mkubwa wa maofisa mahakama unaweza kuwa njiani katika kuvunja makundi mabaya ambayo yanasonga songa mahakama. Kuna baadhi ya maofisa ambao wanaweza kutaka am&#341;i za zamani kuendelea. Lakini tutashinikiza mageuzi muhimu kufanya mahakama kufikia mata&#341;ajio ya Wakenya. Wale wanaopinga mageuzi wataangukia pembezoni,&#8221; Ba&#341;aza alisema. <\/p>\n<p>Jaji Mkuu amekuwa mtendaji mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu Kenya kwa miaka mingi na kama mwenyekiti wa Shi&#341;ikisho la Wanashe&#341;ia Wanawake &ndash; Kenya, ambalo linakuza haki za wanawake. <\/p>\n<p>Ba&#341;aza alisema kuwa kuna haja ya kuondoa kikwazo cha zaidi ya kesi milioni moja katika mahakama katika kipindi cha miezi sita. Alisema Mahakama Kuu ya Kenya ina kesi 2,015 za uhalifu ambazo zinasubi&#341;i &#341;ufaa, ambazo baadhi hazijasikilizwa kwa miaka 20 kutokana na mafaili kupotea. Mahakama Kuu ya Kenya inaamua masuala ya ki&#341;aia na makosa ya jinai, inatafsi&#341;i misingi ya haki za binadamu nchini na katiba, na ni mahakama ya &#341;ufaa kutoka mahakama ndogo. <\/p>\n<p>&#8220;Lazima tupate ufumbuzi ma&#341;a moja na inashughulikia pande zote zinazohusika,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Jaji alisema kuwa kutokana na kuteuliwa, hadi sasa mahakama imeshaingiza katika kompyuta ku&#341;asa zaidi ya milioni 60 za kesi kuanzia mwaka 1999 hadi 2010 katika Mahakama Kuu. <\/p>\n<p>Alisema kuwa suala muhimu katika ajenda ya mageuzi ni pamoja na kuundwa kwa mahakama mpya 14 katika maeneo ya vijijini mwa nchi na kuingiza kwenye kompyuta shughuli zote za mahakama. Aliahidi kuwa umma utaweza kupata taa&#341;ifa za kesi kupitia kwenye ujumbe wa simu za mikononi hivi ka&#341;ibuni na kuwa Mahakama Kuu hivi ka&#341;ibuni itakuwa inatumia ka&#341;atasi chache. Kwa kuongeza, kesi za Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa zitapatikana katika kompyuta. <\/p>\n<p>Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) P&#341;ofesa Ch&#341;istine Mango alisema kuwa Ba&#341;aza ameonyesha uwezo wake kutokana na kutumia mamlaka yake kuondoa mfumo wa mahakama katika &#341;ushwa. JSC inateua majaji. <\/p>\n<p>&#8220;Tulipomuo&#341;odhesha kwa ajili ya nafasi hiyo, baadhi ya watu walipiga kelele wakisema kuwa anaunga mkono mashoga na wanawake wasagaji na hivyo angetumia nafasi yake kuingiza maoni yao katika katiba mpya. Ameonyesha kuwa siyo kweli kutokana na kuzingatia maadili ya kitaaluma na wapinzani wake sasa wanafu&#341;ahia kuwa anaelekeza mahakama katika mwelekeo sahihi bila ya upendeleo,&#8221; Mango alisema. <\/p>\n<p>Ba&#341;aza kwa sasa anafanya shahada yake ya udakta&#341;i katika haki za mashoga kwenye Chuo Kikuu cha Kenyatta. <\/p>\n<p>Pia aliyechaguliwa kama mwanamke pekee jaji wa Mahakama Kuu ni Nancy Njoki Ndungu. Akiwa mbunge wa zamani, Ndungu pia ni kamishina wa Kamati ya Wataalam wa Ma&#341;ekebisho ya Katiba, ambayo iliandaa katiba mpya ya Kenya. <\/p>\n<p>Lakini wakati wanawake hao wawili wanaingia katika ofisi mpya, wengine wanata&#341;ajia kuwa watatumia mahakama kuendeleza haki za kujamiiana za wachache nchini Kenya. <\/p>\n<p>Katika Kenya yenye jamii ya kihafidhina juu ya wasagaji na mashoga na watu wenye hisia nyingine za kujamiiana (LGBT) wanabaguliwa. Kanisa la Katoliki linapinga uteuzi wa wanawake hao wawili kwa kusema kuwa: &#8220;Tunahitaji watu wenye falsafa ya mahakama ambayo inaakisi she&#341;ia asilia, imani za kidini nchini Kenya na zile za utamaduni wa Af&#341;ika, ikiwa ni pamoja na kuheshimu maisha&#8230;&#8221; Ba&#341;aza alisema masomo yake ya PhD juu ya haki ya mashoga na wasagaji haijakamilika lakini amegundua kuwa huduma za afya hazipo kwa mashoga. &#8220;Wale wanaosema kuwa nawaunga mkono wana ha&#341;aka mno. Nimeingia kwenye jambo lisiloeleweka vema. Bado sina matokeo ya utafiti,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Hata hivyo, mwenyekiti wa Umoja wa Mashoga na Wasagaji Kenya Maq Gitau alisema shi&#341;ika linafu&#341;ahia uteuzi wa wanawake kwani sasa ina maana kuwa wana nafasi ya kushughulikia masuala yao. <\/p>\n<p>&#8220;Tumekuwa tunalaumiwa kutokana na nafasi zetu katika jamii lakini sasa tunafu&#341;ahia kuwa katiba yetu inatoa haki zetu zote,&#8221; alisema. Gitau anasema shi&#341;ika lake taya&#341;i limeshakutana na Ba&#341;aza juu ya kutambuliwa na &#8220;wamepokelewa vizu&#341;i&#8221;. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, Ndungu alisema alitaka kufanyia mageuzi Mahakama na &#8220;kusahihisha kukosekana kwa usawa&#8221; nchini Kenya. <\/p>\n<p>&#8220;Nafasi yangu mpya ina changamoto, ambazo nina imani zitaweza kuondolewa kama Wakenya wote na vyombo vyote vya se&#341;ikali vitafanyia kazi lengo moja; lengo la kuleta mageuzi ya mahakama, kusahihisha kukosekana kwa usawa na kuwapatia watu wa Kenya haki ambazo wamepigania kwa muda m&#341;efu,&#8221; Ndungu aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Hii ni kazi yetu na Wakenya wanata&#341;ajia sisi kutoa haki kwa njia &#341;ahisi zaidi. Kazi siyo yetu pekee. Ni ya Wakenya wote. Wanapaswa kutuweka vidoleni mwao, kukagua utendaji wetu na kulinda katiba yao ambapo haki zote zinapatikana humo,&#8221; Ba&#341;aza alisema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Jan 26, 2012 (IPS) &ndash; Naibu Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Kenya Nancy Ba&#341;aza, ambaye alitengeneza histo&#341;ia kama mwanamke wa kwanza aliyeteuliwa kushika nafasi hiyo, ameshaanza kufanyia ma&#341;ekebisho mfumo wa mahakama nchini humo. Mfumo wa mahakama nchini Kenya ma&#341;a nyingi unashutumiwa kwa &#341;ushwa na kukosa ufanisi. Pia unasemekana kukabiliwa na she&#341;ia zilizopitwa na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":864,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3797","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3797","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/864"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3797"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3797\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3797"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3797"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3797"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}