{"id":3794,"date":"2012-01-26T13:40:01","date_gmt":"2012-01-26T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/26\/papua-new-guinea-wanawake-walalamikia-mgodi-wa-mkubwa-wa-shaba\/"},"modified":"2012-01-26T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-26T13:40:01","slug":"papua-new-guinea-wanawake-walalamikia-mgodi-wa-mkubwa-wa-shaba","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/26\/papua-new-guinea-wanawake-walalamikia-mgodi-wa-mkubwa-wa-shaba\/","title":{"rendered":"PAPUA NEW GUINEA: Wanawake Walalamikia Mgodi wa Mkubwa wa Shaba"},"content":{"rendered":"<p>BUKA, Bougainville, Janua&#341;i 25, 2012 (IPS) &ndash; Suala kama mgodi mkubwa wa wazi duniani katika kisiwa cha Papua New Guinea (PNG) utaanza kuzalisha shaba na dhahabu, baada ya kusimamishwa kwa miaka 22, kutategemeana na ku&#341;idhishwa kwa wamiliki wa a&#341;dhi wanawake kuwa mapendekezo yao yamezingatiwa.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Taya&#341;i wamiliki hao wa a&#341;dhi wanawake wameibua masuala juu ya uwezekano wa atha&#341;i ya mgodi huo katika a&#341;dhi yao na jamii kwa ujumla kama uchimbaji wa shaba utaanza katika wilaya ya milima ya Panguna. <\/p>\n<p>&#8220;Ni uchimbaji gani wa madini na ni kwa kutumia mchakato gani utawezesha kuanza &#8221; anauliza Pat&#341;icia Tapakau, &#341;ais wa shi&#341;ika la Panguna Women in Mining, ambalo linawakilisha wanawake 13 katika vijiji vilivyoathi&#341;ika na uchimbaji madini. &#8220;Tunahitaji kujua, kwasababu hatutaki uha&#341;ibifu zaidi. Tumechoshwa na hali hiyo.&#8221; <\/p>\n<p>Mgodi wa shaba wa Panguna ulifunguliwa mwaka 1969 wakati Bougainville ilipokuwa chini ya utawala wa kikoloni wa Aust&#341;alia na wamiliki wa a&#341;dhi wa jadi hawakushi&#341;ikishwa katika Mkataba wa Shaba wa Bougainville kati ya se&#341;ikali ya Aust&#341;alia na kampuni ya uchimbaji wa madini ya Conzinc Rio Tinto Aust&#341;alia. <\/p>\n<p>Kwa miaka 20, watu toka koo za Ba&#341;apang, Ku&#341;abang, Basikang na Bako&#341;ingku, ambao ni wamiliki wa jadi wa mgodi huo, walivumilia uhaha&#341;ibifu wa a&#341;dhi na njia za maji kutokana na taka kutoka mgodini, kuhamishwa kwa nguvu kwa wanajamii na kupatiwa gawio dogo sana la faida iliyotokana na uchimbaji huo. <\/p>\n<p>Mwaka 1989, kufuatia BCL kukataa kulipa madai ya wamiliki wa a&#341;dhi ya kina bilioni 10 (dola milioni 454) kama fidia, Jeshi la Mapinduzi la Bougainville (BRA) lililazimisha mgodi kufungwa. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya PNG, mmiliki mkuu (asilimia 19.06), kampuni ya uendeshaji ya Bougainville Coppe&#341; Ltd (BCL), pamoja na kampuni ya kimataifa ya Uinge&#341;eza ya Rio Tinto (asilimia 53.58), iliweka kikwazo katika kisiwa hicho na vita vya wenyewe kwa wenyewe iliyodumu kwa miaka kumi iliyofuatia kuuawa kwa watu 20,000, &#341;aia walikabiliwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na miundombinu kuha&#341;ibiwa. <\/p>\n<p>Helen Hakena, mku&#341;ugenzi wa shi&#341;ika la maendeleo ya wanawake la &#8216;Leitana Nehan Women&#8217;s Development Agency&#8217;, NGO ya eneo hilo ambayo inatoa ushau&#341;i nasaha kwa wanawake waathi&#341;ika wa unyanyasaji na kuendeleza uwezo wa kiuongozi na kuhamasisha haki ya umilikaji wa a&#341;dhi miongoni mwa wanajamii. Alisema mafanikio makubwa yamefikiwa tangu mwaka 2001 wakati Mkataba wa Amani wa Bougainville uliposainiwa na kuanzisha Se&#341;ikali Hu&#341;u ya Bougainville (ABG) mwaka 2005. <\/p>\n<p>&#8220;Tuna se&#341;ikali yetu na kuna mafanikio mengi yamefikiwa katika suala zima la kujenga amani na kuweka silaha chini,&#8221; Hakena alisema. &#8220;Uanzishwaji wa biasha&#341;a hapa limekuwa jambo zu&#341;i, na shule na taasisi nyingine zimezinduliwa.&#8221; <\/p>\n<p>Hata hivyo, idadi ya wakazi wa Bougainville imeongezeka ma&#341;a mbili kutoka 175,000 mwaka 2000 hadi 300,000 sasa, na mapato ya kisiwa hicho kwa sasa yakitegemea zaidi misaada ya wafadhili wa kimataifa, huku watumishi wa umma wakiwa bado ni wachache. Vijiji vingi vinakosa umeme, maji safi na huduma za kitabibu. <\/p>\n<p>ABG inaona kuna uwezekano wa kuongezeka kwa mapato yatokanayo na madini kwa ajili ya kuendeleza huduma za jamii na kuwezesha kujitegemea kiuchumi, nguzo ya pili ya Mkataba wa Amani ambayo inataka kupigwa ku&#341;a ya maoni ya kuwa hu&#341;u kutoka kwa PNG kati ya kipindi cha miaka 5&ndash;10 ijayo. <\/p>\n<p>Mwezi Mei, mwenyekiti wa BCL Pete&#341; Taylo&#341; alizu&#341;u Bougainville na ujumbe wa wafanyabiasha&#341;a na kufanya mazungumzo ya awali na Rais John Mo&#341;&#341;is juu ya kufungua upya mgodi wa Panguna, ambao kampuni hiyo inakadi&#341;ia kuwa una hifadhi ya tani milioni 3.5 za shaba na ounce milioni 12.7 za dhahabu. <\/p>\n<p>Taylo&#341; alisema waziwazi kuwa anata&#341;ajia ABG na wamiliki wa a&#341;dhi kuongoza mazungumzo ya madini. Hata hivyo, wanawake wamiliki wa a&#341;dhi wanabakia na wasiwasi kuwa thamani ya jadi ya a&#341;dhi kama chanzo cha maisha itajenga njia ya kuvutia maslahi ya kikampuni ambayo yanaona a&#341;dhi kama siyo &#341;asilimali muhimu. <\/p>\n<p>&#8220;Suala muhimu juu ya a&#341;dhi ni kuwa, kwetu sisi, ni kama mama, kwasababu tunakula kutokana na a&#341;dhi,&#8221; alisema Joanne Date&#341;ansi. &#8220;Ma&#341;a zote tunategemea a&#341;dhi; huwezi kuilinganisha na fedha.&#8221; <\/p>\n<p>Wanawake hao wanasema fu&#341;sa za kiuchumi za sekta za ndani, kama vile za kakao, na utalii ni lazima kutumika kikamilifu na masuala ambayo hayajatatuliwa, kufuatia kutelekezwa kwa mgodi, lazima yatafutiwe ufumbuzi, ikiwa ni pamoja na fidia ya kifedha na uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a. <\/p>\n<p>&#8220;Jambo la kwanza, se&#341;ikali na kampuni, wanapaswa kulipa kina bilioni 10, ambazo ni sehemu ya madai ya wamiliki wa a&#341;dhi, halafu mauaji na uha&#341;ibifu unatakiwa kulipiwa fidia. Halafu tunazungumzia kuhusu suala la madini,&#8221; alisema mmiliki wa a&#341;dhi wa Panguna Lynette Ona. <\/p>\n<p>&#8220;Bado kemikali zipo kwenye mto,&#8221; alisema. &#8220;Hakuna anayekunywa maji, hatuna samaki, bado hali imebaki kuwa ileile,&#8221; alisema Ona ambaye anatetea ushi&#341;iki wa wanawake katika siasa za se&#341;ikali za mitaa na ana mpango wa kugombea katika uchaguzi wa Bougainville mwaka 2012. <\/p>\n<p>Ripoti ya mazingi&#341;a ya mgodi wa Panguna iliyotolewa na shi&#341;ika la Applied Geology Associates (1998) inazungumzia maelfu ya tani za taka ikiwa ni pamoja na metali zenye sumu kama vile madini ya &#341;isasi, mekyu&#341;i na zebaki. Taka zilizoelekezwa katika mto wa ka&#341;ibu wa Jaba ziliathi&#341;i samaki na kuchafua maji na mazao<\/p>\n<p>&#8220;Inapaswa (BCL) kuja na mpango mzu&#341;i sana wa jinsi gani ya kuhifadhi taka za sumu,&#8221; alisema Coleman. Kilichotokea kutokana na mgodi kufungwa ni kubo&#341;eka kwa &#341;utuba ya a&#341;dhi. Hatujawahi kuwa na nazi wakati mgodi ulipokuwa unafanya kazi katika kijiji chetu, sasa unaweza kuona miti kamili ya minazi.&#8221; <\/p>\n<p>Muungano wa muda m&#341;efu wa kisiasa na kijamii pia ni msingi mzu&#341;i wa suala la ma&#341;idhiano na kutokukamilika kwa suala zima la kukusanya silaha. Utafiti, ulioungwa mkono na gazeti la PNG la &#8216;Post Cou&#341;ie&#341;&#8217;, kati ya familia 500 zilizoathi&#341;ika na vita vya wenyewe kwa wenyewe katika Bougainville ya Kati na kusababisha vifo 1,629, zilionyesha bado kaya zinamiliki silaha. <\/p>\n<p>&#8220;Hatutachukua silaha zote,&#8221; Hakena alisema. &#8220;Lakini kuna haja ya kuwa na kipaumbele cha se&#341;ikali katika kuwezesha kuchukua silaha zote kabla ya kufunguliwa kwa mgodi wa Panguna.&#8221; <\/p>\n<p>Hata hivyo, uamuzi wa kama mgodi huo utafunguliwa bado unapaswa kutolewa na ABG, wamiliki wa a&#341;dhi, se&#341;ikali ya PNG na BCL. <\/p>\n<p>Afisa madini wa ABG, Stephen Bu&#341;ian, alisema she&#341;ia mpya za madini zilikuwa zinaandaliwa kwa msaada wa Benki ya Dunia, lakini kupitiwa kwa Mkataba wa Shaba wa Bougainville, suala la lazima katika majadiliano ya kuanza kuchimba madini, kunasubi&#341;i kukutanisha wamiliki wote wa a&#341;dhi katika maeneo yaliyoathi&#341;ika na uchimbaji madini chini ya Chama cha Wamiliki A&#341;dhi wa Panguna na ukaguzi hu&#341;u wa kimazingi&#341;a kufanyika. <\/p>\n<p>Jumuiya ya Panguna pia inahusisha watu wenye msimamo mkali wa Mekamui, ambao wengi walikuwa wapiganaji wa zamani wa BRA, ambao wanadhibiti uchimbaji madini katika mgodi wa Panguna na bado hawajakubaliana na mapendekezo yoyote yale ya kuchimba madini. <\/p>\n<p>Jambo lililo wazi ni kwamba mustakabali wa baadaye wa mgodi huo upo mikononi mwa watu wa Bougainville ambao wanataka kuona mikakati ya maendeleo ya kiuchumi ambayo inalinda haki za binadamu, mshikamano wa kijamii, mazingi&#341;a na utamaduni. <\/p>\n<p>&#8220;Tunataka kuendelea, lakini kuendelea kutokana na kujifunza kutokana na makosa, siyo ku&#341;udia makosa ya zamani,&#8221; alisema Tapakau. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BUKA, Bougainville, Janua&#341;i 25, 2012 (IPS) &ndash; Suala kama mgodi mkubwa wa wazi duniani katika kisiwa cha Papua New Guinea (PNG) utaanza kuzalisha shaba na dhahabu, baada ya kusimamishwa kwa miaka 22, kutategemeana na ku&#341;idhishwa kwa wamiliki wa a&#341;dhi wanawake kuwa mapendekezo yao yamezingatiwa. Taya&#341;i wamiliki hao wa a&#341;dhi wanawake wameibua masuala juu ya uwezekano&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":895,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3794","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3794","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/895"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3794"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3794\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3794"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3794"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3794"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}