{"id":3791,"date":"2012-01-10T13:40:01","date_gmt":"2012-01-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/kenya-kama-ambavyo-samaki-makazi-yao-ni-katika-maji-waogiek-kwao-ni-katika-msitu-wa-mau\/"},"modified":"2012-01-10T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-10T13:40:01","slug":"kenya-kama-ambavyo-samaki-makazi-yao-ni-katika-maji-waogiek-kwao-ni-katika-msitu-wa-mau","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/kenya-kama-ambavyo-samaki-makazi-yao-ni-katika-maji-waogiek-kwao-ni-katika-msitu-wa-mau\/","title":{"rendered":"KENYA: Kama Ambavyo Samaki Makazi Yao ni Katika Maji, Waogiek Kwao ni Katika Msitu wa Mau"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Jan 10 (IPS) &ndash; Kuwapatia makazi mapya wakazi waliohamishwa katika Msitu wa Mau nchini Kenya linabakia kuwa suala la kibinadamu na kimazingi&#341;a kwa nchi hiyo wakati zaidi ya watu 25,000 wakiendelea kuishi katika makambi yanayozunguka msitu huo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Kwa hakika, jamii kuzunguka Msitu wa Mau, kama vile kabila la Waogiek, Wakipsigis na Wamasai,zinatambua haja ya kuokoa Msitu wa Mau, lakini kuhifadhi mazingi&#341;a kunapaswa kwenda sanja&#341;i na kuendelea kuishi kwa jamii,&#8221; anasema Lucy Sade&#341;a, kutoka kabila la Waogiek na ni mwanachama wa Shi&#341;ika la Maendeleo ya Wanawake &ndash; shi&#341;ika kubwa kuliko yote nchini humo linaloendesha ha&#341;akati za kumkomboa mwanamke. <\/p>\n<p>Msitu wa Mau katika Jimbo la Bonde la Ufa nchini Kenya ni makazi ya kabila la jadi la Waogiek na makabila ya walowezi kama vile Wakipsigis na Wamasai. <\/p>\n<p>Kuwasili kwa wakazi wasiokuwa wenyeji wa asili wa Msitu wa Mau kulianza wakati &#341;ais wa zamani Daniel a&#341;ap Moi (1978&ndash;2002) alipohamasisha kuanza kutumika kwa msitu wa Mau katika am&#341;i ambayo ilijenga mazingi&#341;a ya kuwahamishia waathi&#341;ika wa mapigano ya a&#341;dhi wa miaka ya 1990 katika msitu huo.<\/p>\n<p>Hata hivyo, wanajamii katika Msitu wa Mau, ambao ni mkubwa kuliko yote nchini humo na una hekta za m&#341;aba 400,000, walihamishwa kwa nguvu na se&#341;ikali mwaka 2009 ili kuzuia uangamizaji mkubwa wa msitu huo. Kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita wamekuwa wakiishi katika viunga vya msitu huo katika mahema ambayo hayana huduma za kijamii za msingi kama vile vyoo. <\/p>\n<p>Msitu wa Mau unaongoza kwa kuhifadhi gesi ukaa na pia chanzo kikuu cha maji nchini humo. Msitu huo pia unatumika katika kuzuia mafu&#341;iko na kuhifadhi maji, na kupunguza mmomonyonyoko wa udongo. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Mazingi&#341;a la Umoja wa Mataifa limehusisha ukame wa ma&#341;a kwa ma&#341;a na mafu&#341;iko katika Af&#341;ika Masha&#341;iki kutokana na kuangamizwa kwa misitu. Katika suala la Msitu wa Mau, maji yanayotokana na msitu huo na kumiminika katika maeneo ya mijini na vijijiji yameshaathi&#341;iwa na ukataji wa miti. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali iliokoa wastani wa hekta 20,000 za a&#341;dhi kupitia kuhamisha wakazi lakini kuhamishwa kwa nguvu kumekuwa kidonge kichungu kwa wengine kumeza, hasa kwa jamii ya Waogiek.<\/p>\n<p>&#8220;Hatuna makazi mengine, kama ilivyo kwa samaki ambapo makazi yao ni majini tu, na sisi kabila la Waogiek makazi yetu ni katika msitu huo tu,&#8221; anasema Eliud Bonosos, mmoja wa watu wa kabila la Waogiek wanaokadi&#341;iwa kuwa idadi yao ni 20,000.<\/p>\n<p>Imekuwa vigumu kuendelea na zoezi la kuhamisha watu kutokana na kwamba kuna madai ya wakubwa katika se&#341;ikali ya Kenya na watu maa&#341;ufu kumiliki maeneo makubwa ya a&#341;dhi katika Msitu wa Mau na wamedaiwa ndiyo wanaosababisha kukatwa kwa miti kwa wingi. <\/p>\n<p>Pamoja na kwamba Msitu wa Mau, msitu mkubwa zaidi wa asili nchini humo unamilikiwa na umma, watu maa&#341;ufu walipatiwa maeneo makubwa ya a&#341;dhi kama zawadi kutokana na nidhamu walizoonyesha kwa se&#341;ikali iliyopita. Hata hivyo, hawana haki miliki ya a&#341;dhi hiyo, kwani haiwezi kuuzwa kwa njia halali. Lakini bado haijawekwa bayana ni hatua ipi, kama kuna hatua itachukuliwa, dhidi yao.<\/p>\n<p>Pamoja na o&#341;odha ya watu hao iliyotolewa mwaka 2010 na kutaja wale ambao wanamiliki a&#341;dhi katika Msitu wa Mau, wengi katika o&#341;odha hiyo walikanusha kama njama za kuwaonea kutokana na kukataa kwao mapendekezo ya katiba, ambayo ilikuwa ikiandikwa upya wakati huo.<\/p>\n<p>&#8220;Kabila la Waogiek lina hasi&#341;a kwasababu tunaendelea kubughudhiwa na se&#341;ikali hata kama inatambua kuwa wahalifu wa kuangamiza msitu ni wanasiasa maa&#341;ufu. Msitu wa Mau ni makazi ya jadi ya mababu zetu, ni kwa nini ni katika muongo uliopita tu uha&#341;ibifu wa msitu umeanza  Tunatambua jinsi ya kuishi na asili na hatujashi&#341;iki katika uangamizaji huu,&#8221; Bonosos anasema.<\/p>\n<p>Anaongeza kuwa baadhi ya watu ambao wanamiliki a&#341;dhi katika Msitu wa Mau wametumia &#341;asilimali za msitu huo kwa ajili ya kujinufaisha wao binafsi. Baadhi wamekata miti kwa ajili ya magogo, wakati wengine wamegeuza maeneo makubwa ya msitu kuwa a&#341;dhi kwa ajili ya kilimo. <\/p>\n<p>&#8220;Umuhimu wa Msitu wa Mau kwa wanajamii ikiwa ni pamoja na nchi ni mkubwa, lakini msitu huu umeingizwa katika uha&#341;ibifu mkubwa kuanzia miaka ya uvamizi wake na kukata magogo kulikofuata,&#8221; anaelezea Kantau Nku&#341;una wa Chama cha Jumuiya za Msitu. Chama hicho, ambacho kinaongozwa na kabila la Waogiek na wengine wanaoishi ka&#341;ibu na Msitu wa Mau, kinalenga katika kusaidia wakazi wa eneo hilo kufaidika na msitu wakati huo huo wakisaidia katika kuuhifadhi.<\/p>\n<p>Nku&#341;una anaongeza: &#8220;Katika kipindi cha miongo miwili iliyopita Msitu wa Mau umepoteza ka&#341;ibu asilimia 25 ya uoto wake wa asili, ambayo ni sawa na hekta 107,000, kutokana na makazi yasiyokuwa halali, kukata magogo na kuchoma mkaa.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Msitu wa Mau ni kivutio cha mvua na pia hifadhi kubwa ya maji, na kama jamii tumeona madha&#341;a ya uha&#341;ibifu katika mvua za mkoa huu,&#8221; anasema Nku&#341;una. Anaongeza kuwa tangu jitihada za hifadhi zilipoanza mwaka uliopita, mvua katika mkoa huo zimebo&#341;eka.<\/p>\n<p>Msitu wa Mau unahifadhi maji ya mvua yanayozidi, na ni chanzo cha mito yote mikubwa katika mkoa wa magha&#341;ibi mwa Kenya. Mito hii, kwa upande wake, ndiyo maisha ya maziwa makuu kama vile Ziwa Naivasha nchini Kenya, Ziwa Victo&#341;ia nchini Tanzania na Uganda, Ziwa Tu&#341;kana nchini Kenya na Ethiopia, na Ziwa Nat&#341;on nchini Tanzania na Kenya. <\/p>\n<p>Uha&#341;ibifu wa msitu utakuwa na madha&#341;a ya kuvuka mipaka ya nchi. Hata hivyo, katika ja&#341;ibio la se&#341;ikali la kuokoa Msitu wa Mau, Taasisi ya Huduma za Misitu nchini Kenya hivi ka&#341;ibuni ilitoa walinzi kushika do&#341;ia katika msitu na kuulinda usiangamizwe zaidi. <\/p>\n<p>Suala la kuhifadhi Msitu wa Mau na kuwapatia makazi mapya wakazi waliohamishwa linaendelea kuvuta hisia kwasababu wanasiasa kutoka mkoa huo wanadai kuhamishwa kwa jamii katika Msitu wa Mau ni hatua ya se&#341;ikali ya kuwaadhibu wakazi wa Jimbo la Bonde la Ufa kutokana na msimamo wao tofauti wa kisiasa. <\/p>\n<p>Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2007 watu katika mkoa huo walipigia ku&#341;a upinzani chini ya O&#341;ange Democ&#341;atic Movement. Mkoa huu ni muhimu kisiasa kwasababu watu hapa ndiyo wapiga ku&#341;a wengi, ambao wana uwezo wa kugeuza matokeo ya uchaguzi.<\/p>\n<p>Hata hivyo, se&#341;ikali inaendelea kuja&#341;ibu kutafuta makazi mapya kwa ajili ya wakazi waliohamishwa. Wazi&#341;i wa A&#341;dhi James O&#341;engo amewahi kukubali kuwa &#8220;makosa yamefanyika katika kuendesha mchakato wa kuhamisha wakazi katika Msitu wa Mau, lakini kuwa hali hiyo inaweza kusahihishwa. Kazi sasa ni kutafuta jumuiya ambayo haitakuwa adui kwa waliohamishwa.&#8221; <\/p>\n<p>Hata hivyo, katika siku za nyuma se&#341;ikali ilielezea uhaba wa fedha kama sababu ya kushindwa kununua maeneo ya a&#341;dhi ya jumuiya ambako waathi&#341;ika wa zoezi la kuhamisha watu wangehamia. <\/p>\n<p>Ni hali ambayo inaweza kubadilika wakati hazina ya se&#341;ikali ikiwa imeshatenga wastani wa dola milioni 120 kwa ajili ya makazi mapya ya watu wa kabila la Waogiek ikiwa ni pamoja na wale ambao walikimbia makazi yao wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007\/2008.<\/p>\n<p>Ku&#341;ejesha upya hali ya Msitu wa Mau na kuendelea kuishi kwa makabila ya jadi kutahitaji kuwepo kwa usawa kati ya kuhifadhi mazingi&#341;a na kulinda wakaazi wake. Hadi sasa suala hili limebakia kuwa ndoto. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Jan 10 (IPS) &ndash; Kuwapatia makazi mapya wakazi waliohamishwa katika Msitu wa Mau nchini Kenya linabakia kuwa suala la kibinadamu na kimazingi&#341;a kwa nchi hiyo wakati zaidi ya watu 25,000 wakiendelea kuishi katika makambi yanayozunguka msitu huo. &#8220;Kwa hakika, jamii kuzunguka Msitu wa Mau, kama vile kabila la Waogiek, Wakipsigis na Wamasai,zinatambua haja ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":720,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3791","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3791","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/720"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3791"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3791\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3791"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3791"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3791"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}