{"id":3789,"date":"2012-01-10T13:40:01","date_gmt":"2012-01-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/kuokoa-misitu-kwa-kutumia-maaifa-ya-jadi\/"},"modified":"2012-01-10T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-10T13:40:01","slug":"kuokoa-misitu-kwa-kutumia-maaifa-ya-jadi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/kuokoa-misitu-kwa-kutumia-maaifa-ya-jadi\/","title":{"rendered":"Kuokoa Misitu kwa Kutumia Maa&#341;ifa ya Jadi"},"content":{"rendered":"<p>DURBAN, Af&#341;ika Kusini, Jan 10 (IPS) &ndash; Kwa jumuiya ya Laibon, sehemu ya kabila la Wamasai nchini Kenya, hekta 33,000 za Msitu wa Loita katika Jimbo la Bonde la Ufa ni zaidi ya kuwa msitu tu. Ni eneo la kutambikia. &#8220;Ni eneo letu la kutambikia. Miungu wetu wanaishi humo. Tunakusanya miti shamba kutoka eneo hilo. Tunatumia eneo hilo kwa kufugia nyuki. Kwa hiyo ni sehemu ya kuendeshea maisha yetu,&#8221; alisema Olonana Ole Pulei, ambaye yupo mjini Du&#341;ban, Af&#341;ika Kusini, kuwakilisha jumuiya yake katika Mkutano wa 17 wa Pande Zilizosaini Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi .\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Nigel C&#341;awhall, Mku&#341;ugenzi wa Sek&#341;eta&#341;ieti ya Kamati ya Ku&#341;atibu Masuala ya Jumuiya za Jadi Ba&#341;ani Af&#341;ika (IPACC), jumuiya mbalimbali ba&#341;ani Af&#341;ika zina kiasi kikubwa cha maa&#341;ifa ya jadi ambayo hutumika kutunza misitu na bayoanuwai kwa ujumla, na hii inapaswa kutambuliwa katika mazungumzo ya mjini Du&#341;ban. &#8220;Jumuiya tofauti zina mbinu tofauti ambazo huzitumia katika kuhifadhi misitu,&#8221; alisema. C&#341;awhall alitoa mfano wa jinsi gani ya jumuiya za makabila ya Waeskimo za Wabambuti na Wabatwa, katika masha&#341;iki mwa Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo, zilivyotunza msitu kwa kutumia mbinu za jadi. Jumuiya zote hizo zinategemea katika bayoanuwai ya maisha ya wanyama katika misitu ya kiikweta ili kuweza kuishi. &#8220;Ma&#341;a zote wanajua jinsi gani ya kutambua miti fulani ambayo inaweza kukatwa ili kuweka uwazi, na hivyo kuvutia mwanga katika misitu minene ya Kongo. Mwanga huo huvutia wanyama, ndege na wadudu, na hivyo kuwapatia fu&#341;sa ya kuwinda,&#8221; C&#341;awhall aliiambia IPS. Hii inasaidia kuhifadhi bayoanuwai, ikiwa ni pamoja na misitu kwasababu njia hii inaweza tu kufanya kazi kama misitu imefungamana. Nchini Kenya, utamaduni wa Wamasai unazuia mtu yoyote katika jumuiya kukata mti, aidha kwa ajili ya kuni au kwa lengo lolote lile. Watu wanazuiliwa kuchezea mizizi mikuu ya mti au kuondoa magamba yote ya mti kwa ajili ya dawa. Kwa mujibu wa imani zao za jadi, mtu anaweza kutumia matawi tu ya mti kwa ajili ya kuni, na mizizi midogo kwa ajili ya dawa. Kama gamba la mti linaweza kutumika kwa dawa, ni sehemu ndogo tu inaweza kuondolewa kwa kuchonga kwa njia ya umbo la &#8220;V&#8221;. Halafu kovu linazibwa kwa kutumia udongo wenye unyevu. &#8220;Tuna imani kuwa udongo unasaidia kuponya kovu la mti huo. Huu ni utamaduni na tunaamini kuwa ni chukizo kwa mtu kuje&#341;uhi mti, na wala siyo kuusaidia kuuponya,&#8221; alisema Ole Pulei. Ni njia ambayo imepitishwa kutoka kizazi na kizazi miongoni mwa jumuiya ya Wamasai. Miongoni mwa jamii ya Laibon, ni maa&#341;ifa haya ya jadi yameweza kusaidia kuhifadhi Msitu wa Loita. &#8220;Shughuli zote za ukataji magogo katika a&#341;dhi ya Wamasai, ikiwa ni pamoja na uha&#341;ibifu wa Msitu wa Mau, zinafanywa na wageni kwasababu utamaduni wa Kimasai hau&#341;uhusu shughuli za aina hiyo. Haya ni maa&#341;ifa ya jadi ambayo yanasaidia kutunza msitu,&#8221; Ole Pulei aliiambia IPS. Imani za aina hiyo zinafanya misitu kuwa sehemu ya jumuiya, ambapo wanajumuiya wanahisia ndani mwao juu ya msitu, na kukata mti kunaweza kuwa kosa dhidi ya Miungu wao na utamdauni. &#8220;Tuna jumuiya nyingine kadhaa katika maeneo yote ya ba&#341;a ambazo zinaishi vizu&#341;i na misitu. Hizi ni pamoja na Jumuiya ya Tua&#341;eg nchini Alge&#341;ia, Yiaku nchini Kenya katika mkoa wa Laikipia, jumuiya ya Ogiek pia nchini Kenya, jamii ya Kung nchini Botswana miongoni mwa wengine,&#8221; alisema C&#341;awhall. Pamoja na kwamba kwa mujibu wa C&#341;awhall, Waaf&#341;ika wote ni wazawa pamoja na kuwa kuna baadhi ya makabila yanaishi kwa kuwinda na kuokota matunda, wakati makabila mengine ni wafugaji, wengine wanaendesha kilimo katika maeneo ya ukame. Pamoja na kuwa hakuna tafsi&#341;i moja ya watu wa jadi, Azimio la mwaka 2007 la Umoja wa Mataifa juu ya Watu wa Jadi linatambua kuwa baadhi ya jumuiya, kutokana na sababu za kihisto&#341;ia na kimazingi&#341;a, zimejikuta kuwa nje ya mfumo wa kitaifa na kuwa na uwakilishi mdogo katika utawala. &#8220;Wabushmen wa Kusini mwa Af&#341;ika, Waogiek wa nchini Kenya ambao wanaishi misituni ni mfano halisi ya watu hao wanaotambulika kama wa jadi,&#8221; alisema C&#341;awhall. Anasema kuwa Af&#341;ika ina zaidi ya makabila 40 katika nchi tofauti ambayo yanaishi kwa kuwinda na kukusanya matunda. Hata hivyo, IPACC inafanya kazi kwa ka&#341;ibu na wanajumuiya 155 kutoka nchi 22 ba&#341;ani Af&#341;ika ambazo zinatambulika kama makabila ya jadi kutokana na histo&#341;ia na hali ya mazingi&#341;a. Matokeo yake, uwakilishi wa jamii hizi umejiunga na wengine duniani mjini Du&#341;ban kufanya sauti zao zisikike, ili waweze kutoa michango yao katika kuhifadhi msitu kutambulika kama sehemu ya njia za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. &#8220;Tunaamini kuwa maa&#341;ifa ya kiikolojia ya jadi katika Af&#341;ika ni msingi wa se&#341;a zinazofaa na zinazoweza kufanya kazi za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi,&#8221; alisema C&#341;awhall. Kupitia sek&#341;eta&#341;ieti ya IPACC, mashi&#341;ika yaliyojikita katika jamii 155 ba&#341;ani Af&#341;ika yameandika &#341;asimu ya msimamo wao kuuwakilisha katika jukwaa la majadiliano mjini Du&#341;ban. Wanataka waendesha mazungumzo kuja na msimamo ambao unawakilisha pande za Af&#341;ika, mashi&#341;ika ya kijamii ya makabila ya jadi ba&#341;ani Af&#341;ika, taasisi za jadi, mamlaka za jadi na kuthaminiwa kwa mifumo yao. Wanatoa wito wa kuanzishwa kwa chombo cha kikanda ambacho kitafunga kishe&#341;ia chini ya Umoja wa Mataifa, kuendesha msuala ya uhifadhi ambayo ni magumu kutekelezwa katika ngazi ya kitaifa. &#8220;Moja ya mapengo katika nchi wanachama wa IPACC ni kwamba hakuna umiliki wa a&#341;dhi kwa jumuiya zinazoishi katika misitu, au ambazo zinategemea misitu,&#8221; alisema C&#341;awhall. Hata hivyo, nchi mbalimbali zimeshaanza kujibu matakwa ya jamii zao ikiwa ni pamoja na kuziingiza katika mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, huku Kenya ikichukua uongozi. Nchi hiyo ipo katika mchakato wa kuandaa Muswada wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi. Na jumuiya za jadi zitapatiwa sehemu yao ya kuchangia katika muswada huo kwa mujibu wa katiba, lazima watoe ushau&#341;i katika &#341;asimu ya she&#341;ia ili waweze kuchangia. &#8220;Tumezunguka nchi nzima na muswada huu, ambapo jamii za ndani zimeweza kutoa michango yao. Ndoto yetu ni kushi&#341;iki na kuongoza katika kuendeleza na kutekeleza se&#341;a zinazozingatia mabadiliko ya tabia nchi, mi&#341;adi na shughuli ndani na nje ya mipaka yetu ya Kenya,&#8221; alisema John Kioli, mwenyekiti wa Kikundi cha Mabadiliko ya Tabia Nchi Kenya, ambaye anahudhu&#341;ia mazungumzo ya mabadiliko ya tabia nchi. * Makala haya ni moja ya mfululizo wa makala zinazodhaminiwa na shi&#341;ika la Climate and Development Knowledge Netwo&#341;k. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DURBAN, Af&#341;ika Kusini, Jan 10 (IPS) &ndash; Kwa jumuiya ya Laibon, sehemu ya kabila la Wamasai nchini Kenya, hekta 33,000 za Msitu wa Loita katika Jimbo la Bonde la Ufa ni zaidi ya kuwa msitu tu. Ni eneo la kutambikia. &#8220;Ni eneo letu la kutambikia. Miungu wetu wanaishi humo. Tunakusanya miti shamba kutoka eneo hilo&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":742,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3789","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3789","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/742"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3789"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3789\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3789"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3789"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3789"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}