{"id":3788,"date":"2012-01-10T13:40:01","date_gmt":"2012-01-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/mabadiliko-ya-tbia-nchi-afrika-kilimo-cha-kutumia-simu\/"},"modified":"2012-01-10T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-10T13:40:01","slug":"mabadiliko-ya-tbia-nchi-afrika-kilimo-cha-kutumia-simu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/mabadiliko-ya-tbia-nchi-afrika-kilimo-cha-kutumia-simu\/","title":{"rendered":"MABADILIKO YA TBIA NCHI AFRIKA: Kilimo cha Kutumia Simu"},"content":{"rendered":"<p>DURBAN, Af&#341;ika Kusini, Jan 10 (IPS) &ndash; F&#341;ancis Mbu&#341;u alikuwa akifuga ng&#8217;ombe wa kienyeji katika kijiji cha Entasopia katika mkoa wa ukame wa Kajiado, kilomita 160 kusini magha&#341;ibi mwa Nai&#341;obi. Hata hivyo, kuongezeka kwa joto na ukame wa ma&#341;a kwa ma&#341;a nchini Kenya kumefanya ufugaji huu kuwa mgumu katika siku za ka&#341;ibuni.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lakini sasa, katika eneo ambalo halijawahi kuwa na umeme, ambako elimu siyo kipaumbele au ma&#341;a nyingine siyo jambo la kuchagua kabisa, wakazi wa Entasopia wanatumia intaneti inayotumia umeme wa jua kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>Jumuiya ya Ngu&#341;uman, ambayo inajengwa na kabila la Wamasai zaidi, sasa ina kituo cha teknolojia ya haba&#341;i na mawasiliano kijulikanacho kama Maa&#341;ifa. Hapa wana uwezo wa kupata taa&#341;ifa za jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kupitia intaneti, video na vitabu. Shi&#341;ika la A&#341;id Land Info&#341;mation Netwo&#341;k (ALIN) kwa kushi&#341;ikiana na se&#341;ikali ya Kenya walianzisha m&#341;adi huo.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Samuel Nzioka, afisa shamba wa ALIN, video nyingi zinazoonyeshwa katika kituo hicho ni masomo ya kivitendo kwa lugha ya kienyeji kwa lengo la kukuza uelewa wa dhana ya mabadiliko ya tabia nchi na jinsi ya kukabiliana nayo, na hasa maa&#341;ifa ya kilimo katika a&#341;dhi kame.<\/p>\n<p>&#8220;Kuanzia kusoma vitabu vya kilimo, kusikiliza ushau&#341;i kutoka kwa maafisa wanaoongoza kituo, na kuangalia video ambazo zinaonyesha wakulima wengine nini wanakifanya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi katika maeneo mengine ya ukame, nimejifunza zaidi njia za kukabiliana na mabadiliko kwa kufuga wanyama,&#8221; alisema Mbu&#341;u, baba wa watoto watatu mwenye um&#341;i wa miaka 56.<\/p>\n<p>Kutokana na m&#341;adi huo, Mbu&#341;u sasa anafuga mbuzi wa maziwa 45, na ana m&#341;adi wa kuku. Anauza kuku katika soko linalozidi kukua la kuku wa kienyeji katika maeneo ya mjini.<\/p>\n<p>Maziwa ya mbuzi anayokamua yananunuliwa kwa bei kubwa kuliko ya ng&#8217;ombe. <\/p>\n<p>Mabadiliko ya tabia nchi katika Af&#341;ika Masha&#341;iki yamesababisha kuongezeka kwa joto na ukame wa muda m&#341;efu na kusababisha kuwepo kwa haja ya wakulima kubadili jinsi wanavyoendesha kilimo chao kukabiliana na mabadiliko hayo.<\/p>\n<p>&#8220;Tumeona wafugaji wakienda katika maeneo ya milimani nchini Ethiopia kutafuta malisho. Tumeona aina ya mifugo, ambayo tulidhani ingeweza kuvumilia ukame, inakufa baada ya ukame kuwa wa muda m&#341;efu. Ina maanisha mambo hayaendi kama kawaida,&#8221; alisema Dk. Miano Mwangi, mku&#341;uegnzi msaidizi wa Uzalishaji wa Mifugo katika Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Kenya, na m&#341;atibu wa kitaifa wa Kenya A&#341;id and Semi&ndash;A&#341;id Land. <\/p>\n<p>Ni mafanikio kama ya Entasopia ambayo wataalam katika Mkutano wa Hali ya Hewa wa Umoja wa Mataifa wa 17th (COP 17) mjini Du&#341;ban, Af&#341;ika Kusini wanataka jumuiya ya kimataifa kuzingatia uhamishaji wa teknolojia kama moja ya njia kuu za kuishi katika mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>&#8220;Nchini Ghana, tunaita elimu ya hali ya hewa, ambapo teknolojia ya haba&#341;i na mawasiliano inatumika kuelimisha watu jinsi ya kuishi na hali hiyo mpya,&#8221; Atsu Titiati, mku&#341;ugenzi wa Mpango wa Upandaji Miti katika tawi la Ghana la shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;iali la kimataifa la Rainfo&#341;est Alliance, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Alisema kuwa kaskazini mwa Ghana, jamii zinategemea &#341;edio kujua aina za mbegu za kupanda wakati fulani wa maji&#341;a, na kwa ajili ya soko la mazao yao watakapovuna. <\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali pia inatumia &#341;edio za jamii kutahadha&#341;isha watu juu ya utabi&#341;i wa hali ya hewa ambao unatabi&#341;i mafu&#341;iko,&#8221; Titiati aliiambia IPS mjini Du&#341;ban.<\/p>\n<p>Nchini Kenya, jumuiya za wafugaji hutumia simu za mikononi kujua thamani ya wanyama wao. <\/p>\n<p>&#8220;Tumeainisha m&#341;adi katika wilaya ya Isiolo wenye lengo la kupunguza kukosekana kwa usalama wa chakula miongoni mwa jamii,&#8221; Rahab Mbu&#341;unga, afisa takwimu katika shi&#341;ika la ActionAid Inte&#341;national &ndash; Kenya, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kupitia m&#341;adi huo, taa&#341;ifa juu ya thamni ya mazao na mifugo katika soko zinapelekwa kwa kutumia ujumbe mfupi wa simu kwa watumiaji wa simu hizo. <\/p>\n<p>M&#341;adi huo pia umepatia simu za mkononi wanajamii ili waweze kusambaza taa&#341;ifa kwa wanakijiji wengine ambao wanaweza wasiwe na simu.<\/p>\n<p>&#8220;Tumewahi kuja&#341;ibu hili na linafanya kazi,&#8221; Mbu&#341;unga alisema.<\/p>\n<p>Mnamo mwezi Feb&#341;ua&#341;i, se&#341;ikali ya Kenya iliandaa Mpango wa Utekelezaji wa Teknolojia ya Mabadiliko ya Tabia Nchi. Moja ya malengo makuu ya mpango huo ni kutumia uhamishaji wa teknolojia na kuunda vituo vya ubunifu wa teknolojia vya kitaifa.<\/p>\n<p>Nchini Msumbiji, se&#341;ikali na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali yanatumia simu za mkononi kutoa tahadha&#341;i kwa wakazi katika maeneo yenye mafu&#341;iko juu ya uwezekano wa kutokea mafu&#341;iko ili kuhakikisha watu wanaondoka mapema. <\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingi tunatuma ujumbe wa simu kwa wawakilishi wa jumuiya ili usambazwe kwa wanajamii wengine kuhusu mafu&#341;iko, kuchelewa kwa mvua au taa&#341;ifa yoyote ile muhimu ya kilimo,&#8221; alisema Josh Ogada, mtaalam wa mawasiliano wa Onewo&#341;ld, shi&#341;ika la mazingi&#341;a la kikanda lenye makao yake mjini Cape Town, Af&#341;ika Kusini.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa taa&#341;ifa iliyotolewa na Umoja wa Mawasiliano ya Simu Duniani (Inte&#341;national Telecommunication Union) katika COP 17, teknolojia hizi zinashika funguo ya kuweza kuishi na mabadiliko, lakini zinatumika kidogo mno katika nchi nyingi za Af&#341;ika.<\/p>\n<p>&#8220;Maendeleo ya teknolojia leo hii yanaweza kubadili michakato ya kijamii, kiviwanda na kibiasha&#341;a ili kuleta mabadiliko yanayohitajika kufikia maendeleo endelevu. Lakini wakati fu&#341;sa za ICT kuleta mabadiliko ya kweli zinajulikana na jumuiya ya wanateknolojia na wiza&#341;a za ICT se&#341;ikalini, bado ziko mbali mno kujulikana na kutumiwa na mashi&#341;ika ya kutetea uhifadhi wa mazingi&#341;a na watunga se&#341;a,&#8221; ilisema taa&#341;ifa hiyo. <\/p>\n<p>Vile vile, Af&#341;ika inatoa wito wa kutolewa fedha zaidi kutekeleza mipango ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>&#8220;Tuna &#341;asilimali za kutosha kwa ajili ya mipango ya kukabiliana na mabadiliko ba&#341;ani Af&#341;ika, na tunachohitaji tu ni kuhamisha teknolojia ikiwa ni pamoja na ushahidi wa kisayansi. Hata hivyo, watu wetu hawawezi kutumia kikamilifu fu&#341;sa hizo kama hatuna njia sahihi za kufadhili uhamishaji wa teknolojia kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko,&#8221; Mithika Mwenda, m&#341;atibu wa Pan Af&#341;ican Climate Justice Alliance aliiambia IPS.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DURBAN, Af&#341;ika Kusini, Jan 10 (IPS) &ndash; F&#341;ancis Mbu&#341;u alikuwa akifuga ng&#8217;ombe wa kienyeji katika kijiji cha Entasopia katika mkoa wa ukame wa Kajiado, kilomita 160 kusini magha&#341;ibi mwa Nai&#341;obi. Hata hivyo, kuongezeka kwa joto na ukame wa ma&#341;a kwa ma&#341;a nchini Kenya kumefanya ufugaji huu kuwa mgumu katika siku za ka&#341;ibuni. Lakini sasa, katika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":5,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3788","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3788","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/5"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3788"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3788\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3788"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3788"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3788"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}