{"id":3784,"date":"2012-01-10T13:40:01","date_gmt":"2012-01-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/ghana-ugonjwa-wa-vidonda-waendelea-hata-baada-ya-kuwepo-kwa-ufumbuzi-nafuu\/"},"modified":"2012-01-10T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-10T13:40:01","slug":"ghana-ugonjwa-wa-vidonda-waendelea-hata-baada-ya-kuwepo-kwa-ufumbuzi-nafuu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/ghana-ugonjwa-wa-vidonda-waendelea-hata-baada-ya-kuwepo-kwa-ufumbuzi-nafuu\/","title":{"rendered":"GHANA: Ugonjwa wa Vidonda Waendelea hata Baada ya Kuwepo kwa Ufumbuzi Nafuu"},"content":{"rendered":"<p>GREATAER ACCRA WEST DISTRICT, Ghana, Jan 9 (IPS) &ndash; Kwa miaka kumi iliyopita, vidonda aina ya Bu&#341;uli vimekuwa vikiushambulia mguu wa Benjamin Essel. Ka&#341;ibu ngozi yote juu ya goti lake imeshakwisha, na madonda, uvimbe mwekundu unaonekana juu ya magoti na hutumia kitambaa chake kuyafunga. Hata katika hali hii, bado anaonekana amepata nafuu katika miaka ya hivi ka&#341;ibuni.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Nilidhani ilikuwa kidonda cha kawaida tu,&#8221; anasema Essel mwenye um&#341;i wa miaka 26, ambaye amekuwa akiishi katika Wodi ya Ugonjwa wa Ba&#341;uli ya Hospitali ya Amasaman kwa kipindi cha miaka miwili na nusu.<\/p>\n<p>Vidonda vya Bu&#341;uli ni ugonjwa wa maeneo ya joto ulio&#341;ipotiwa katika mataifa yapatayo 30, ikiwa ni pamoja na Ghana, ambako madakta&#341;i mwaka huu wanakadi&#341;ia kuwa kuna wagonjwa wapatao 1,000. Wataalam wa udakta&#341;i wanasema haujulikani sana katika jumuiya zilizoathi&#341;ika na miongoni mwa wafanyakazi katika hospitali za nchini humo, hata kama hatua zake za awali ni &#341;ahisi kuzitibu. Unajitokeza katika maeneo yenye unyevunyevu na ya vijijini, na hatimaye waathi&#341;ika wake wanaishi maisha ya umaskini vijijini. <\/p>\n<p>Watafiti wanajua kuwa unasababishwa na aina ya bakte&#341;ia ajulikanaye kama &#8220;mycobacte&#341;ium ulce&#341;ans&#8221;, ambao pia husababisha ukoma na kifua kikuu, lakini hawana uhakika jinsi unavyoenezwa, na hivyo kufanya kuzuia ugonjwa huo kuwa vigumu mno.<\/p>\n<p>Kupambana na kukabiliana na kuenea kwa ugonjwa huo katika hatua za awali kunapelekea kupona kabisa kwa kutumia dawa aina ya antibiotics, lakini umaskini, ujinga, imani za kishi&#341;ikina, na hospitali zenye ufadhili duni kunasababisha vikwazo vya kutibu ugonjwa huo. <\/p>\n<p>Asilimia zipatazo 50 hadi 60 ya waathi&#341;ika katika taifa hili la Af&#341;ika Magha&#341;ibi wanaishia kupata na madonda kama ya Essel au zaidi ya hayo.<\/p>\n<p>Kuha&#341;ibika kwa su&#341;a, ulemavu na hata kukatwa viungo vya mwili ni matokeo ya kawaida kwa waathi&#341;ika. Madakta&#341;i na manesi wanatoa wito wa kutolewa kwa &#341;asilimali zaidi kuelimisha wanajamii &#341;ahisi kuambukizwa na kutoa mafunzo kwa watoa huduma za afya wa ndani.<\/p>\n<p>&#8220;Ugonjwa huu unaathi&#341;i maskini wa vijijini, ambao sauti zao hazisikiki popote,&#8221; anasema Dk. Edwin Ampadu, mkuu wa kitengo cha taifa cha kusimamia ugonjwa wa Bu&#341;uli. &#8220;Umma una ufahamu mdogo mno juu ya ugonjwa huu. Tulipopata fu&#341;sa ya kupeleka haba&#341;i zake kwenye vyombo vya haba&#341;i au televisheni, watu walikimbia. Inasikitisha mno, kwani unapoongea na watu, wanadhani ugonjwa huo uko mbali nao. Lakini uko ka&#341;ibu mno na eneo hili.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni (WHO), ugonjwa wa Bu&#341;uli ulijitokeza kwa ma&#341;a ya kwanza nchini Uganda mwaka 1897. Miaka hamsini baadaye, watafiti wa Aust&#341;alia walitoa maelezo kamili ya ugonjwa huo, na, mwaka 1960, kiasi kikubwa cha wagonjwa walipatikana katika Kata ya Bu&#341;uli, nchini Uganda, na hivyo kupewa jina la kata hiyo hadi leo hii. <\/p>\n<p>Tangu mwaka 1980, umeshaenea katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi nzima, na, mwaka 1998, WHO ilianza kukabiliana nao katika ngazi ya kimataifa. Ugonjwa huo unapatikana katika nchi 30 ba&#341;ani Af&#341;ika, ikiwa ni pamoja na Ame&#341;ika, Asia, na Pacific ya Magha&#341;ibi. Nchini Ghana, kumekuwepo na matukio 11,000 yaliyo&#341;ikodiwa tangu mwaka 1993.<\/p>\n<p>Ugonjwa wa Bu&#341;uli unajitokeza katika hatua nne: uvimbe, mdua&#341;a, hali ya majimaji katika mdua&#341;a huo, halafu kidonda kamili. Hatua ya kwanza ni uvimbe tu katika ngozi, wakati hatua ya nne inaweza kuzalisha vidonda ma&#341;a kadhaa kama ilivyo kwa Essel. <\/p>\n<p>Wakati kuzuia ugonjwa huo bado kunabaki kuwa ndoto &ndash; baadhi ya watafiti nchini Aust&#341;alia wanadhani ugonjwa huo unaweza kuambukizwa na mbu &ndash; lakini hata hivyo, tiba ya mapema siyo &#341;ahisi sana. Kwa mujibu wa utafiti wa mwaka 2003, inachukua dawa aina ya antibiotics ya thamani kati ya dola 20 hadi 50. Katika upande mwingine wa kutoa tiba ugonjwa unaposhami&#341;i inafikia dola 1,000, kuweza kuutibu bila hata kupiga hesabu ya atha&#341;i za kimaisha zinazotokana na ma&#341;adhi hayo.<\/p>\n<p>&#8220;Utaoji wa elimu ni suala endelevu,&#8221; anasema Ma&#341;tin Oppong, m&#341;atibu wa ugonjwa wa Bu&#341;uli katika Wilaya ya Ga West, ambako Hospitali ya Amasaman inapatikana. &#8220;Lakini ni ugonjwa ambao hakuna hata mtu wa kuonyesha jinsi unavyoambukizwa, hivyo mitizamo ya watu ya jinsi unavyoambukizwa inatokana na wapi walipatiwa msaada.&#8221;<\/p>\n<p>Baadhi, kama ilivyo kwa Ama Foa mwenye um&#341;i wa miaka 50, wanadhani ugonjwa huo ni laana. Wengine, kama Victo&#341;ia Oppong mwenye um&#341;i wa miaka 50 pia, anadhani ni jipu. Kama ilivyo kwa Essel, wanawake wote hao wameacha ugonjwa huo kuendelea kuwaumiza kabla ya kupata tiba. Kwa sasa hakuna hata mmoja kati ya watatu hao ambaye anaweza kufanya kazi, na Essel na Victo&#341;ia Oppong wanalala humo humo kwenye wodi.<\/p>\n<p>Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ugonjwa wa Ba&#341;uli nchini Ghana ulianzishwa mwaka 2002, ka&#341;ibu miaka 30 baada ya ugonjwa huo kugundulika kwa ma&#341;a ya kwanza katika jimbo la mwambao la Mkoa wa G&#341;eate&#341; Acc&#341;a. Lakini madakta&#341;i wanalalama kuwa mpango huo unapatiwa kiasi kidogo mno cha fedha.<\/p>\n<p>Wodi katika Hospitali ya Amasaman inasaidiwa kwa kiasi kikubwa na shi&#341;ika la Wo&#341;ld Vision. Mwaka 2005, Wo&#341;ld Vision ilianzisha mpango wa miaka mitatu wa kusaidia ufungaji wa madonda, upasuaji, utoaji madawa na huduma za ujumla, ambazo zinapelekwa se&#341;ikalini, kila baada ya miezi minne, lakini siyo kwa kiwango cha kutosha. <\/p>\n<p>Wo&#341;ld Vision pia inatoa msaada wa kulisha wagonjwa, ambao wangepaswa kujisaidia wenyewe, kwani hospitali haina chakula. Kwa mwaka 2008, NGO ilianzisha tena mpango huo. Ulimazikika Septemba hii.<\/p>\n<p>&#8220;Pengine watauanzisha tena,&#8221; anasema Oppong. &#8220;Pengine hawataanzisha.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati huo huo, Ampadu anaja&#341;ibu kujenga uwezo katika maeneo mengine yenye ugonjwa huo. Anataka kutoa mafunzo kwa watoaji huduma za fya wa ndani wa jinsi ya kuutambua ugonjwa huo, ili uweze kutibiwa katika hatua za awali.<\/p>\n<p>Pia anataka kujenga uwezo wa upasuaji, ili madakta&#341;i waweze kufanya upasuaji wa ngozi na upasuaji wa aina nyingine bila kuwa na madha&#341;a makubwa kwa mgonjwa. <\/p>\n<p>Kwa sasa mafanikio yanaweza kuonekana. Wakati Amasaman ina dakta&#341;i mmoja tu ambaye anaweza kusaidia upasuaji kwa kuongozwa na mtaalam wa upasuaji kutoka Hospitali ya Mafunzo ya Ko&#341;le Bu, moja ya hospitali kuu nchini humo, maeneo makubwa kama Nsawam katika Mkoa wa Masha&#341;iki hayana huduma hizo. Ampadu anahusisha hili na maslahi ya kitaaluma.<\/p>\n<p>&#8220;Mapengo ni mengi katika suala zima la kujenga uwezo,&#8221; anasema. &#8220;Tuna madakta&#341;i wachache mno ambao wameonyesha maslahi kwa undani. Wagonjwa siyo wengi kama ikilinganishwa na magonjwa mengine ya maeneo ya joto.&#8221;<\/p>\n<p>Halafu kuna vikwazo vya kifedha. Ampadu anaelezea suala zima kama uwajibikaji wa kitaasisi. Kama inavyojitokeza, maeneo mengi ya vijijini pia ni maeneo muhimu kwa shughuli za viwanda na madini nchini Ghana. Anatoa wito kwa makampuni mengi zaidi kutoa fedha za elimu na kueneza taa&#341;ifa ili ugonjwa huo uweze kukomeshwa katika hatua zake za awali, ambalo kwa sasa ni suala la ka&#341;ibu zaidi na kuzuia. Inatakiwa kuwepo kwa ufumbuzi &#341;ahisi.<\/p>\n<p>&#8220;Kama tukiwekeza kwa nguvu katika kuzuia ugonjwa mapema,&#8221; anasema, &#8220;pengine katika kipindi cha miaka mitatu naweza kufiki&#341;i kuwa hatutaona tena vidonda hivi vibaya.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GREATAER ACCRA WEST DISTRICT, Ghana, Jan 9 (IPS) &ndash; Kwa miaka kumi iliyopita, vidonda aina ya Bu&#341;uli vimekuwa vikiushambulia mguu wa Benjamin Essel. Ka&#341;ibu ngozi yote juu ya goti lake imeshakwisha, na madonda, uvimbe mwekundu unaonekana juu ya magoti na hutumia kitambaa chake kuyafunga. Hata katika hali hii, bado anaonekana amepata nafuu katika miaka ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":891,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3784","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3784","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/891"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3784"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3784\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3784"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3784"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3784"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}