{"id":3781,"date":"2012-01-10T13:40:01","date_gmt":"2012-01-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/kukimbilia-mafuta-katika-afika-maghaibi\/"},"modified":"2012-01-10T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-10T13:40:01","slug":"kukimbilia-mafuta-katika-afika-maghaibi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/kukimbilia-mafuta-katika-afika-maghaibi\/","title":{"rendered":"Kukimbilia Mafuta Katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi"},"content":{"rendered":"<p>FREETOWN, Jan 9 (IPS) &ndash; Kuna hali mpya ya kukimbilia mafuta kandokando mwa mwambao wa Af&#341;ika Magha&#341;ibi. Lakini kuna hofu kuwa sekta hiyo haijadhibitiwa kikamilifu, na mashi&#341;ika ya kufuatilia se&#341;ikali yana wasiwasi juu ya uwazi na utawala katika ukanda huo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mata&#341;ajio yanajengeka nchini Sie&#341;&#341;a Leone baada ya kampuni ya kutafuta mafuta ya Af&#341;ican Pet&#341;oleum, inayoelekeza nguvu zake katika mwambao wa Af&#341;ika Magha&#341;ibi, iliposema ingeanza kuchimba mafuta katika Bonde la Sie&#341;&#341;a Leone na Libe&#341;ia mwaka ujao baada ya mafuta hayo kugunduliwa mwaka 2009.<\/p>\n<p>Mashi&#341;ika ya ki&#341;aia nchini Sie&#341;&#341;a Leone yanasema yanafuatilia ugunduzi wa mafuta. &#8220;Ni suala jipya mno &ndash; bado tunajifunza,&#8221; anasema Mohamed To&#341;ay wa shi&#341;ika la &#8220;National Movement fo&#341; Justice and Development.&#8221;<\/p>\n<p>Anasema She&#341;ia ya Pet&#341;oli nchini, ambayo iliongozwa kutengenezwa na makampuni ya mafuta, ilikimbizwa kama muswada wa dha&#341;ula ukipelekwa bungeni na ofisi ya &#341;ais mwezi Julai, na watu wachache mno walitoa maoni yao. <\/p>\n<p>&#8220;Makubaliano ya se&#341;ikali na makampuni ya mafuta yalikuwa mwongozo wa maandishi katika she&#341;ia. Lakini, she&#341;ia ilipaswa kuongoza makubaliano na makampuni ya mafuta,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Pia anasema Sie&#341;&#341;a Leone ina mambo mengi mno ya kujifunza kutoka se&#341;ikali ya Ghana, ambayo ilishi&#341;ikiana na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na umma wakati mafuta yalipopatikana katika mwambao wao mwaka 2007. <\/p>\n<p>Alisema ingeweza pia kujifunza kutoka katika histo&#341;ia mbaya ya mafuta ya Nige&#341;ia. Ripoti ya ka&#341;ibuni ya Bunge la Umoja wa Ulaya inasema kati ya mapipa 93 hadi 716 ya mafuta yalipotea kwa siku nchini Nige&#341;ia kutokana na vita, kwa kuzingatia kama mazingi&#341;a ya mgogo&#341;o ni mazu&#341;i kidogo au mabaya zaidi.<\/p>\n<p>Kwa sasa Libe&#341;ia inaangaliwa zaidi &ndash; huku mata&#341;ajio yakiwa makubwa kuwa mafuta yatapatikana hivi ka&#341;ibuni. Makampuni makubwa zaidi ya mafuta ya Ma&#341;ekani ya Chev&#341;on na Anada&#341;ko Pet&#341;oleum Co&#341;p (moja ya makampuni makubwa zaidi binafsi ya mafuta duniani na ambayo yanazalisha gesi) yanatafuta mafuta kwa bidii katika maji ya Libe&#341;ia. Kampuni isiyojulikana sana ya Af&#341;ican Pet&#341;oleum pia inatafuta mafuta.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Utafiti wa Kiikolojia wa Ma&#341;ekani, Jimbo la Mwambao wa Magha&#341;ibi mwa Af&#341;ika Magha&#341;ibi &ndash; ambalo ni pamoja na Libe&#341;ia, Sie&#341;&#341;a Leone na Guinea &ndash; lina wastani wa mapipa milioni 3,200 ya mafuta na futi za ujazo bilioni 23,629 za gesi.<\/p>\n<p>Kama ukibadili kwa fedha, hayo ni mamia ya mabilioni ya dola. &#8220;Lakini, hakuna anayejua kwa uhakika thamani yake,&#8221; anasema Natalie Ashwo&#341;th kutoka Global Witness, shi&#341;ika la ha&#341;akati ambalo liligundua uhusiano uliopo baina ya vita vya Sie&#341;&#341;a Leone na Libe&#341;ia kuwa vilichochewa na &#341;asilimali za nchi hizo.<\/p>\n<p>&#8220;Anada&#341;ko, kampuni iliyogundua hifadhi ya mafuta katika maji ya nchini Sie&#341;&#341;a Leone, kwa sasa inahifadhi takwimu zake ka&#341;ibu na kifua chake,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Ugunduzi wa mafuta unapaswa kuwa na faida katika ukanda huu &ndash; na kukuza mafanikio yaliyopatikana baada ya vita kwa kuingia kwa mamilioni ya dola za wahisani na kuongezeka kwa imani ya wawekezaji kutoka nje.<\/p>\n<p>Pato la Taifa la Libe&#341;ia kwa kila mtu kwa sasa ni dola 247 tu, na kwa upande wa Sie&#341;&#341;a Leone ni dola 325 &ndash; hivyo upatikanaji wowote ule wa mafuta ungeleta mabadiliko makubwa katika mataifa hayo mawili maskini zaidi duniani. Libe&#341;ia na Sie&#341;&#341;a Leone zilishika nafasi za chini kabisa katika &#341;ipoti ya eneo salama kwa mwanamke kujifungua, kwa mfano, pamoja na mataifa hayo yote kuwa na &#341;asilimali nyingi. <\/p>\n<p>Maana yake ni kuwa kukosekana kwa uwazi kumesababisha kupoteza mapato, na pengine kunyima uchumi wa mataifa haya huduma za kijamii. <\/p>\n<p>Mafuta ya Libe&#341;ia yanaweza kubadilika na kuwa ba&#341;aka kwa baadhi, na laana kwa wengi, kama se&#341;ikali haitajitolea kuwa na mfumo wa mageuzi ya wazi, linasema shi&#341;ika la Global Witness. Utafutaji wa mafuta ulianza mwezi Agosti kandokando mwa pwani ya taifa hilo la Af&#341;ika Magha&#341;ibi. Hata hivyo, shi&#341;ika hilo la kimataifa linasema kuwa kama nchi hiyo haitasafisha sekta yake ya mafuta, haitakuwa taya&#341;i kuchimba mafuta.<\/p>\n<p>Ripoti ya mwezi Septemba ya shi&#341;ika la Global Witness, inasema kuwa taya&#341;i imeshagundua kukiukwa kwa ta&#341;atibu, utendaji mbovu na hata &#341;ushwa nchini Libe&#341;ia.<\/p>\n<p>&#8220;Uchunguzi wetu umeonyesha kuwa, hata kabla ya kugunduliwa kwa mafuta, kuna matatizo makubwa katika sekta ya mafuta ya Libe&#341;ia: maofisa wa se&#341;ikali na kwa uchache kampuni moja imetoa hongo, mikataba imekuwa ikitolewa kinyume cha she&#341;ia, na makampuni yenye uzoefu mdogo katika sekta ya mafuta yalipatiwa zabuni,&#8221; anasema Ashwo&#341;th.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika hilo linadai kuwa shi&#341;ika la se&#341;ikali lilitoa hongo kwa bunge ili mikataba ya mafuta i&#341;idhiwe. Pia liligundua sekta hiyo haina usimamizi hu&#341;u.<\/p>\n<p>Global Witness inasema kuwa mageuzi nchini Libe&#341;ia, kama kupitisha she&#341;ia muhimu ya Mpango wa Uwazi katika Sekta ya Madini ambao unachapisha mikataba yote ya sekta ya madini na takwimu za mapato kubo&#341;esha utawala wa &#341;asilimali, haijakwenda mbali kiutekelezaji.<\/p>\n<p>Global Witness inakwenda mbali zaidi kusema kuwa Libe&#341;ia &#8220;haiko taya&#341;i&#8221; ikiwa itaendelea na utawala wake wa sasa na kukosekana kwa uwazi na inahitaji mageuzi makubwa katika sekta yake ya &#341;asilimali kabla watu hawajafaidika na mafuta yaliyogunduliwa.<\/p>\n<p>Ni dhahi&#341;i kuwa histo&#341;ia ya mafuta ba&#341;ani Af&#341;ika haijawa &#341;ahisi sana. Ripoti ya hivi ka&#341;ibuni ya Umoja wa Ulaya iligundua kuwa matokeo hasi ya sekta ya mafuta katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a inaleta mashaka makubwa, katika afya na vipato vya wanajamii wa ndani. <\/p>\n<p>Pia ilisisitiza haja ya kuwepo kwa uwajibikaji mzu&#341;i na utawala, na kuweka mkazo zaidi juu ya matokeo ya Umoja wa Mataifa yaliyoonyesha madha&#341;a ya kuvuja mafuta katika Nige&#341; Delta.<\/p>\n<p>Nige&#341; Delta inasemekana kuwa moja ya maeneo yaliyochafuliwa zaidi duniani kutokana na kuvuja kwa mafuta katika kipindi cha miaka 50 iliyopita, na kuwa na madha&#341;a makubwa kwa maisha ya binadamu na wanyama. Kusafisha delta hiyo kunakadi&#341;iwa kuchukua miaka 30 kwa gha&#341;ama zipatazo dola bilioni moja, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, Ian Ga&#341;y wa shi&#341;ika la Oxfam Inte&#341;national anasema uwazi katika mafuta na hali ya utawala ya Ghana angalu ina nguvu kuliko ilivyo kwa maji&#341;ani zake, ikitoa mfano kwamba mikataba ya mafuta inachapishwa katika tovuti ya Wiza&#341;a ya Nishati.<\/p>\n<p>&#8220;Kulikuwa na miezi ya mijadala na kupata maoni mengi kutoka kwa umma na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia wakati wa kuandaa She&#341;ia ya Kusimamia Mapato ya Mafuta,&#8221; anasema. Ghana pia hivi ka&#341;ibuni ilizindua Kamati ya Maslahi ya Umma na Uwajibikaji, shi&#341;ika la ki&#341;aia linalosimamia maslahi ya umma katika mapato ya mafuta linaloundwa na she&#341;ia mpya.<\/p>\n<p>Pamoja na mafanikio hayo, Oxfam Inte&#341;national inasema uangalizi wa ka&#341;ibu kutoka mashi&#341;ika ya ki&#341;aia utahitajika kuhakikisha kuwa utekelezaji wa she&#341;ia unazingatiwa. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>FREETOWN, Jan 9 (IPS) &ndash; Kuna hali mpya ya kukimbilia mafuta kandokando mwa mwambao wa Af&#341;ika Magha&#341;ibi. Lakini kuna hofu kuwa sekta hiyo haijadhibitiwa kikamilifu, na mashi&#341;ika ya kufuatilia se&#341;ikali yana wasiwasi juu ya uwazi na utawala katika ukanda huo. Mata&#341;ajio yanajengeka nchini Sie&#341;&#341;a Leone baada ya kampuni ya kutafuta mafuta ya Af&#341;ican Pet&#341;oleum, inayoelekeza&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":890,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3781","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3781","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/890"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3781"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3781\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3781"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3781"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3781"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}