{"id":3780,"date":"2012-01-10T13:40:01","date_gmt":"2012-01-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/afrika-kusini-hakuna-dhamia-ya-kisiasa-ya-kusambaza-madawa-ya-bei-nafuu\/"},"modified":"2012-01-10T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-10T13:40:01","slug":"afrika-kusini-hakuna-dhamia-ya-kisiasa-ya-kusambaza-madawa-ya-bei-nafuu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/afrika-kusini-hakuna-dhamia-ya-kisiasa-ya-kusambaza-madawa-ya-bei-nafuu\/","title":{"rendered":"AFRIKA KUSINI: Hakuna Dhami&#341;a ya Kisiasa ya Kusambaza Madawa ya Bei Nafuu"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Jan 9 (IPS) &ndash; Wataalam wa afya nchini Af&#341;ika Kusini wanatoa wito kwa se&#341;ikali kutumia njia zilizopo kishe&#341;ia kukuza uzalishaji au uingizaji wa madawa yanayotengenezwa kwa leseni nchini mwao.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Makampuni ya madawa yenye haki miliki yanaendelea kuongeza bei ya madawa ya binadamu, na hivyo kufanya kuwa ya ghali mno kutibu wagonjwa mbalimbali. Ma&#341;a nyingi hii inasababisha upatikaji duni wa huduma za afya, hasa katika nchi zinazoendelea ambapo mzigo wa magonjwa ni mkubwa, lakini bajeti za afya ya umma zinaendelea kuwa chini, walisema wataalam. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali inaweza kuamua kutumia Azimio la Doha juu ya Mikataba ya Maeneo Yanayohusiana na Biasha&#341;a katika Haki Miliki (TRIPS) na Afya ya Umma, ambalo lilisainiwa miaka 10 iliyopita na nchi wanachama wa Shi&#341;ika la Biasha&#341;a Ulimwenguni mjini Doha, Qata&#341; &ndash; kwa ajili ya kuhakikisha kuwa haki miliki haiwezi kupunguza uwezo wa nchi wa kufikia haki yao ya afya. <\/p>\n<p>&#8220;Nchi kama za Af&#341;ika Kusini, zinaweza kutafsi&#341;i TRIPS kama ambavyo zinaona inafaa. Zinaweza kutunga she&#341;ia za kitaifa ku&#341;uhusu madawa machache ya makampuni yenye haki miliki na kukuza uzalishaji wa madawa yanayotengenezwa kwa leseni ili kukuza upatikanaji wake kwa watu wote,&#8221; alielezea afisa wa upatikanaji wa madawa na ubunifu wa shi&#341;ika la M&eacute;decins Sans F&#341;onti&#038;eg&#341;ave;&#341;es (MSF) nchini Af&#341;ika Kusini Ma&#341;a Ka&#341;das&ndash;Nelson.<\/p>\n<p>Upatikanaji wa madawa yanayotengenezwa kwa leseni unaweza kuleta mafanikio makubwa katika afya ya umma. &#8220;Wakati madawa ya kutengenezwa kwa leseni yalipoanza kuzalishwa kwa wagonjwa wa VVU (ARV), gha&#341;ama zilishuka kwa kasi kutoka zaidi ya dola 10,000 kwa mgonjwa kwa mwaka hadi dola zipatazo 600,&#8221; alisema Ka&#341;das&ndash;Nelson. &#8220;Ili&#341;uhusu kuongezeka kwa upatikanaji wa madawa kwa mamilioni ya watu.&#8221;<\/p>\n<p>Lakini wakati azimio la TRIPS liliposainiwa mwaka 1995, makampuni ya madawa yali&#341;uhusiwa kuomba haki miliki ya miaka 20 kwa ajili ya madawa yao, jambo lenye maana kuwa katika kipindi hicho, hakuna madawa ya kutengenezwa kwa leseni yangeweza ku&#341;uhusiwa. Hii ilipunguza kwa kasi upatikanaji wa madawa yaliyotengenezwa kwa leseni. Ni miaka sita tu baadaye, ambapo Azimio la Doha lilisainiwa, na ku&#341;uhusu se&#341;ikali kucheza na she&#341;ia kali za haki miliki kwa nia ya kulinda upatikanaji wa huduma za afya kwa &#341;aia wao.<\/p>\n<p>Jambo la kushangaza, ni nchi chache mno zilizoendelea, ikiwa ni pamoja na Af&#341;ika Kusini, zimeshafanyia ma&#341;ekebisho She&#341;ia yao ya Haki Miliki kuweza kutumia fu&#341;sa zilizotolewa na Azimio la Doha &ndash; hasa kutokana na shinikizo la makampuni ya madawa ya kimataifa, Ma&#341;ekani na Umoja wa Ulaya, ambako madawa mengi duniani hutengenezwa, wanasema wataalam wa afya. <\/p>\n<p>&#8220;Nchi hazipaswi kusujudia shinikizo hili,&#8221; alitahadha&#341;isha mtafiti mwandamizi wa shi&#341;ika la T&#341;eatment Action Campaign (TAC) Cathe&#341;ine Tomlinson. Kwa sasa Af&#341;ika Kusini ina ulinzi wa haki miliki unaozidi mahitaji ya azimio la TRIPS, alisema. <\/p>\n<p>&#8220;Tofauti na Af&#341;ika Kusini, India, B&#341;azil na Thailand wametumia mwanya katika TRIPS kukabiliana na matumizi makubwa ya haki miliki ya makampuni ya madawa duniani ili kukuza afya ya umma. Wakati Af&#341;ika Kusini ilitoa haki miliki kwa makampuni ya madawa 2,442 mwaka 2008 pekee, B&#341;azil ilitoa haki miliki 278 kwa makampuni ya madawa kati ya mwaka 2003 na 2008,&#8221; Tomlinson alielezea. <\/p>\n<p>Ikiuelezea umma, se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini ilithibitisha haja ya kuwa na madawa yanayotengenezwa kwa leseni. Katika azimio la pamoja na India na B&#341;azil, Rais wa Af&#341;ika Kusini Jacob Zuma alikubali &#341;asmi mapema mwaka huu kuwa madha&#341;a ya haki miliki katika sekta ya afya, upatikanaji wa madawa na bei ya madawa unaweza kushughulikiwa vizu&#341;i kwa kuwa na madawa yanayotengenezwa kwa leseni. Lakini hadi sasa, maazimio hayo yameendelea kuwa maneno ya mdomoni tu.<\/p>\n<p>&#8220;Tunataka Zuma kutekeleza ahadi hii. Hatujaona dalili za wazi kuwa se&#341;ikali ina dhami&#341;a ya kuchukua hatua ya kubadili she&#341;ia ya Haki Miliki,&#8221; alisema Tomlinson. &#8220;Kuna uhaba wa dhami&#341;a ya kisiasa.&#8221;<\/p>\n<p>TAC na MSF pia wanadai kupitiwa kwa undani na kwa uhu&#341;u kwa ta&#341;atibu za kuomba haki miliki, ikiwa ni pamoja na upande wa tatu kuweza kupinga maombi ya haki miliki zinazosubi&#341;i kupitishwa na zile ambazo zimeshatolewa katika mwaka wake wa kwanza baada ya kutolewa.<\/p>\n<p>Vile vile, Af&#341;ika Kusini inapaswa kutumia haki yake ya kutoa leseni za lazima chini ya Azimio la Doha ku&#341;uhusu kutengeneza madawa kwa njia ya leseni ambayo kama yangetengenezwa na makampuni yanayomiliki haki miliki yangeuzwa kwa bei ya juu, yanasema mashi&#341;ika hayo. Kwa kulinganisha mataifa mengine yanayoendelea, kama vile Thailand, Af&#341;ika Kusini haijawahi kutumia hata ma&#341;a moja fu&#341;sa hii.<\/p>\n<p>Matokeo ya Af&#341;ika Kusini kudhibiti haki miliki ni gha&#341;ama kubwa za madawa na kuchelewa kwa upatikanaji wa madawa yanayotengenezwa kwa leseni. Kampuni ya kusimamia makampuni ya madawa nchini Af&#341;ika Kusini ya Medisco&#341; ili&#341;ipoti katika &#341;ipoti yake ya mwaka 2010 kuwa matumizi ya madawa yaliongezeka kwa asilimia 25.2 kati ya mwaka 2008 na 2010, wakati matumizi ya madawa ni asilimia 5.8 tu.<\/p>\n<p>Kwa wagonjwa wanaotumia madawa ya magonjwa sugu kama vile ARVs, upatikanaji wa madawa yanayotengenezwa kwa leseni unaleta tofauti kati ya kifo na maisha. <\/p>\n<p>Nokwanda Pani, mwanamke anayeishi na VVU katika mji duni wa tatu kwa ukubwa nchini Af&#341;ika Kusini wa Khayelitsha, ka&#341;ibu na Cape Town, amekuwa akipokea tiba ya ARV tangu mwaka 2005. Miaka minne baadaye, alipopata usugu wa dawa, alipatiwa madawa ya msta&#341;i wa pili. <\/p>\n<p>Kwa sasa ana wasiwasi nini kitatokea kama mwili wake utasitisha kutumia madawa tena. Kwasababu nchini Af&#341;ika Kusini, madawa ya msta&#341;i wa tatu yanapatikana tu katika sekta ya huduma za afya ya binafsi, kwa gha&#341;ama za juu za dola 4,200 kwa mgonjwa kwa mwaka &ndash; kiasi ambacho Pani hawezi kukimudu.<\/p>\n<p>Bila kuwepo kwa ushindani wa madawa yanayotengenezwa kwa leseni, gha&#341;ama ya madawa ya ARVs ya msta&#341;i wa pili na tatu yanaweza kuwa na gha&#341;ama ma&#341;a 20 zaidi ikilinganishwa na ARVs katika msta&#341;i wa kwanza, ilithibitisha MSF. Tofauti hii ya bei ya madawa haijitokezi tu katika madawa ya kutibu VVU lakini katika madawa yote, ikiwa ni pamoja na yale yanayohitajika kutibu kansa, kifua kikuu, kisuka&#341;i au shinikizo la damu.<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na kutegemea zaidi katika sekta ya afya ya umma, madawa ya msta&#341;i wa pili hayapatikani kwangu. Kama najenga usugu tena, itakuwa mwisho wa njia yangu,&#8221; Pani anasema. Kwake yeye, linakuja swali kubwa moja muhimu: &#8220;Ni kwa nini se&#341;ikali inaweka mbele faida ya makampuni ya madawa kabla ya maisha yetu &#8220;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Jan 9 (IPS) &ndash; Wataalam wa afya nchini Af&#341;ika Kusini wanatoa wito kwa se&#341;ikali kutumia njia zilizopo kishe&#341;ia kukuza uzalishaji au uingizaji wa madawa yanayotengenezwa kwa leseni nchini mwao. Makampuni ya madawa yenye haki miliki yanaendelea kuongeza bei ya madawa ya binadamu, na hivyo kufanya kuwa ya ghali mno kutibu wagonjwa mbalimbali. Ma&#341;a&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":211,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3780","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3780","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/211"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3780"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3780\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3780"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3780"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3780"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}