{"id":3779,"date":"2012-01-10T13:40:01","date_gmt":"2012-01-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/somalia-misaada-yapungua-magonjwa-yasambaa\/"},"modified":"2012-01-10T13:40:01","modified_gmt":"2012-01-10T13:40:01","slug":"somalia-misaada-yapungua-magonjwa-yasambaa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/01\/10\/somalia-misaada-yapungua-magonjwa-yasambaa\/","title":{"rendered":"SOMALIA: Misaada Yapungua, Magonjwa Yasambaa"},"content":{"rendered":"<p>MOGADISHU, Jan 9 (IPS) &ndash; Madakta&#341;i mjini Mogadishu wametahadha&#341;isha kuwa wakimbizi wa ndani wanaotokana na janga la njaa na ukame wanakabiliwa na magonjwa ya kuambukiza kama vile kipindupindu na su&#341;ua, kutokana na mazingi&#341;a ya hapa ku&#341;uhusu kiu&#341;ahisi kuenea kwa magonjwa hayo. Hali hii inajitokeza wakati ambapo wakimbizi hao wanalalamika kuwa misaada kwa baadhi ya makambi imepungua au imesitishwa kutolewa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kiongozi wa madakta&#341;i wa kujitolea wa Somalia wanaotoa misaada kwa waathi&#341;ika wa njaa na ukame waliopo katika makambi ya wakimbizi nje ya mji wa Mogadishu, Dk. Abdi Ib&#341;ahim Ahmed, aliiambia IPS kuwa usafi katika makambi umekuwa suala la wasiwasi zaidi na kwamba wengi hawana maji safi ya kunywa.<\/p>\n<p>&#8220;Mazingi&#341;a katika makambi ni kivutio kikubwa cha magonjwa yanayoua. Madakta&#341;i wako taya&#341;i kuchangia maa&#341;ifa, muda wao, na nguvu, lakini tunatoa wito kwa se&#341;ikali ya Somalia kuchukulia kwa uzito mkubwa tahadha&#341;i yetu,&#8221; Ahmed aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Alisema watu katika makambi ya ndani yaani IDP wameambukizwa magonjwa mbalimbali ikiwa ni pamoja na maambukizi ya koo, su&#341;ua, mala&#341;ia na uti wa mgongo. <\/p>\n<p>Ahmed alisema kuwa vitengo vya tiba ya dha&#341;ula vinahitaji kuanzishwa katika makambi, akiongeza kuwa kubo&#341;esha usafi wa mazingi&#341;a kunahitajika kusaidia kuzuia kuenea kwa magonjwa.<\/p>\n<p>&#8220;Kama mvua kubwa zinanyesha na kama kukiwa hakuna timu zinazohama ambazo zinafanya kazi katika makambi, nina wasiwasi magonjwa ya kuambukiza yataua wengi,&#8221; dakta&#341;i huyo aliimbia IPS.<\/p>\n<p>Wakati misaada ya kimataifa inaendelea kutolewa nchini Somalia, jitihada za misaada ya dha&#341;ula katika baadhi ya makambi zimepungua au kusitishwa kabisa. <\/p>\n<p>Kambi ya Sigale katika viunga vya jiji la Mogadishu inakaliwa na zaidi ya wakimbizi 3,000, kwa mujibu wa mwenyekiti wa kambi hiyo Mohamed Hassan Sheik Abdi. Hata hivyo, hawajapokea misaada ya dha&#341;ula tangu mapema mwezi Agosti.<\/p>\n<p>&#8220;Tulipata mgawo wetu wa mwisho wa chakula kutoka Qata&#341; katika siku za mwanzo za mwezi wa Ramadhan. Tangu wakati huo hakuna aliyewahi kuja kwetu. Tumesikia tu &#341;edioni kuwa msaada kutoka jumuiya ya kimataifa unakuja kila siku na kwamba usambazaji wa chakula unaendela katika baadhi ya makambi ya IDP,&#8221; Abdi aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Alisema kuwa kila asubuhi mama na baba kutoka katika kambi hiyo wanaingia katikati mwa jiji ambako huomba chakula na msaada mwingine. <\/p>\n<p>&#8220;Wana&#341;ejea na kile walichopata wakati wa jioni na kulisha watoto wao ambao hawajala siku nzima,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>Hali ya maisha hapa inazidi kudo&#341;ola kwa kasi. <\/p>\n<p>Wakati Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa lilijenga vyoo katika kambi ya Sigale na nyingine za IDP, havitoshi kukidhi mahitaji ya idadi ya wakimbizi inayozididi kuongezeka. Wakati watu wazima hujipanga foleni kubwa kwa ajili ya kutumia vyoo vichache katika kambi ya Sigale, watoto wanajisaidia nje.<\/p>\n<p>Pia kuna uhaba mkubwa wa maji na wanawake wanalazimika kutembea umbali m&#341;efu kutafuta maji. <\/p>\n<p>Hakuna shaka kuwa maji ya kunywa yamechafuka na yamepelekea kutokea kwa magonjwa kadhaa yanayosababishwa na maji kama vile kuha&#341;a, ambao sasa ndiyo ugonjwa unaoongoza kusababisha vifo katika makambi ya wakimbizi.&#8232;&#8232;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Abdi, watu 10, wengi wao wakiwa watoto wa chini ya um&#341;i wa miaka mitano, walifa&#341;iki dunia kutokana na kuha&#341;a maji, kifadu&#341;u na ugonjwa wa dondakoo katika kambi ya Sigale tangu mwanzoni mwa mwezi Septemba. <\/p>\n<p>Tangu mwezi Agosti, kwa uchache watoto 38 kutoka Sigale na wanne katika makambi yanayozunguka eneo hilo wamefa&#341;iki kutokana na kuha&#341;a maji na magonjwa mengine.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la misaada lisilokuwa la kise&#341;ikali la Qata&#341; Cha&#341;ity lilikuwa moja ya mashi&#341;ika ya kwanza kuwasili nchini Somalia likiwa limebeba misaada kwa ajili ya waathi&#341;ika wa njaa na ukame. Ukame umeelezewa kuwa mbaya zaidi kuwahi kutokea katika ukanda wa Masha&#341;iki mwa Af&#341;ika katika kipindi cha miaka 60 iliyopita. <\/p>\n<p>Du&#341;an Ahmed Fa&#341;ah, mku&#341;ugenzi mkaazi wa shi&#341;ika la Qata&#341; Cha&#341;ity nchini Somalia, aliiambia IPS kuwa shi&#341;ika lake lilitoa misaada ya chakula kwa maelfu ya Wasomali na sasa linata&#341;ajia kutoa misaada ya vyoo na masuala ya afya katika makambi.<\/p>\n<p>&#8220;Kwanza tulianza kufanya kampeni ya kuokoa maisha kutokana na kwamba watu walikuwa wakifa&#341;iki na njaa na walihitaji kitu cha kula. Sasa tutaanzisha timu inayohama hama ambayo itakuwa na kazi ya kutoa huduma za afya katika makambi ya IDP,&#8221; Fa&#341;ah aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa mashi&#341;ika ya misaada hayajaacha jitihada zao za kutoa misaada lakini yalikuwa yakilisha wakimbizi wengine wanaoingia mjini Mogadishu. <\/p>\n<p>&#8220;Mahitaji makubwa hapa hayawezi kufikiwa kwa muda mfupi,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Vile vile, shi&#341;ika la misaada la Usmani Community Cent&#341;e limeshaanza kuchimba visima katika baadhi ya makambi. <\/p>\n<p>&#8220;Tumechimba visima katika makambi mawili katika wilaya za Hama&#341;&ndash;Weyne na Abdel Aziz. Mwezi Janua&#341;i tunata&#341;ajia kuchimba visima katika makambi saba ambayo yana idadi kubwa zaidi ya wakimbizi wa ndani mjini Mogadishu,&#8221; Abdulaahi Mohamed Saneey, mwakilishi wa Somalia wa shi&#341;ika hilo, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Msemaji wa se&#341;ikali ya Somalia mjini Mogadishu Mohamed Abdullahi A&#341;ig aliiambia IPS kuwa se&#341;ikali ilihitaji kusaidia kuzuia uwezekano wa kufumuka kwa ugonjwa wa kipindipindu na kuzuia magonjwa mengine ya kuambukiza yasisambae katika makambi.<\/p>\n<p>&#8220;Bado se&#341;ikali iko macho, lakini uwezo wetu ni mdogo mno. Tunahitaji msaada wa jumuiya ya kimataifa katika sekta hii,&#8221; A&#341;ig alisema.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MOGADISHU, Jan 9 (IPS) &ndash; Madakta&#341;i mjini Mogadishu wametahadha&#341;isha kuwa wakimbizi wa ndani wanaotokana na janga la njaa na ukame wanakabiliwa na magonjwa ya kuambukiza kama vile kipindupindu na su&#341;ua, kutokana na mazingi&#341;a ya hapa ku&#341;uhusu kiu&#341;ahisi kuenea kwa magonjwa hayo. Hali hii inajitokeza wakati ambapo wakimbizi hao wanalalamika kuwa misaada kwa baadhi ya makambi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":874,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3779","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3779","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/874"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3779"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3779\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3779"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3779"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3779"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}