{"id":3777,"date":"2011-12-08T13:40:01","date_gmt":"2011-12-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/12\/08\/dr-congo-hakuna-pogamu-halisi-ya-kutekeleza-ahadi-za-kampeni\/"},"modified":"2011-12-08T13:40:01","modified_gmt":"2011-12-08T13:40:01","slug":"dr-congo-hakuna-pogamu-halisi-ya-kutekeleza-ahadi-za-kampeni","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/12\/08\/dr-congo-hakuna-pogamu-halisi-ya-kutekeleza-ahadi-za-kampeni\/","title":{"rendered":"DR CONGO: Hakuna P&#341;og&#341;amu Halisi ya Kutekeleza Ahadi za Kampeni"},"content":{"rendered":"<p>KINSHASA, Dec 8 (IPS) &ndash; &#8220;Katika hali halisi, hakuna hata mmoja miongoni mwa wagombea na hakuna hata chama kimoja kina p&#341;og&#341;amu ya kutekeleza masuala ya jamii,&#8221; anasema Mastaki Mushosi, mmoja wa viongozi wa Umoja wa Kitaifa wa Walimu wa Shule za Kikatoliki katika Jamhu&#341;i ya Kidemo&#341;kasia ya Kongo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kampeni nchini DRC ilianza mwishoni mwa mwezi Oktoba kwa ajili ya uchaguzi wa &#341;ais wa Nov. 28 ikiwa ni pamoja na wabunge.<\/p>\n<p>Tume Hu&#341;u ya Taifa ya Uchaguzi (CENI) imeandikisha wagombea wapatao 19,000 kwa ajili ya uchaguzi wa wabunge, na wagombea 11 wa u&#341;ais. <\/p>\n<p>Hata hivyo, kampeni iligubikwa na ghasia za kabla ya uchaguzi. Shi&#341;ika la Haba&#341;i la AFP lili&#341;ipoti Jumatatu kuwa mapigano kati ya wafuasi wa chama kijulikanacho kama &#8220;Pa&#341;ty Reconst&#341;uction and Democ&#341;acy&#8221; na kile cha upinzani cha &#8220;Union fo&#341; Democ&#341;acy and Social P&#341;og&#341;ess&#8221; yalijitokeza mjini Lubumbashi, jiji la pili kwa ukubwa nchini humo.<\/p>\n<p>Pamoja na idadi kubwa ya wagombea &ndash; wakiwakilisha vyama vya siasa 417 &ndash; ni chama cha People&#8217;s Pa&#341;ty fo&#341; Reconst&#341;uction and Democ&#341;acy (PPRD) cha &#341;ais anayemaliza muda wake, Joseph Kabila; chama cha Union fo&#341; the Congolese Nation (UNC) kinachoongozwa na Vital Kame&#341;he, ambaye aliwahi kuwa &#341;ais wa Bunge na sasa yupo upande wa upinzani; na chama cha Union of Fo&#341;ces fo&#341; Change (UFC) cha Rais wa Seneti L&eacute;on Kengo wa Dondo vinafanya kampeni ya uhakika.<\/p>\n<p>Ikiwa na fu&#341;sa ya kuwa moja yua mataifa taji&#341;i kabisa ba&#341;ani Af&#341;ika, DRC ilikuwa ka&#341;ibu na mwisho katika Ripoti ya Maendeleo ya Shi&#341;ika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa ya mwaka 2011.<\/p>\n<p>Mushosi na wengine wanasema kuwa badala ya &#8220;ahadi za nadha&#341;ia&#8221;, wagombea walipaswa kuelezea kiundani ni jinsi gani wataanza kutekeleza mpango wa kukuza uchumi na kushughulikia kwa ha&#341;aka matatizo ya uzalishaji wa chakula, uhaba wa aji&#341;a, umaskini, kukosekana kwa usalama na kushindwa kuheshimu haki za binadamu nchini.<\/p>\n<p>Pamoja na mazingi&#341;a tete ya kisiasa na kiusalama nchini DRC, Benki ya Dunia ina imani kuwa mata&#341;ajio ya muda wa kati wa kukua kwa uchumi wa nchi hiyo ni chanya. Kwa ujumla wake maendeleo ya kiuchumi mwaka 2010 yalionyesha kubo&#341;eka kwa kiasi ikilinganishwa na mwaka uliopita. Mwaka 2009, pato la taifa yaani GDP lilishuka kwa asilimia 2.9 kutokana na madha&#341;a ya uchumi wa kimataifa na mgogo&#341;o wa kifedha, lakini ulianza ku&#341;ejea na kufikia asilimia zipatazo saba mwaka 2010. Mfumuko wa bei ambao ulifika asilimia 53.4 mwaka 2009, ulishuka chini ya asilimia kumi mwaka 2010.<\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali ilikusanya ziada ya fedha mwaka 2010 ambayo iliiwezesha kupunguza shinikizo la mahitaji ya fedha za kigeni na kuwa na utulivu wa kutosha wa fedha ya taifa hilo, kwa kupungua thamani kidogo mno kwa asilimia 1.4 tu mwaka 2010 &ndash; ikilinganishwa na asilimia 29.2 mwaka 2009,&#8221; kwa mujibu wa Benki ya Dunia, ambapo ahadi za misaada kwa DRC ni kubwa kuliko zote ba&#341;ani Af&#341;ika ikifikia dola bilioni 2.5.<\/p>\n<p>Wachambuzi wa Benki hiyo wana imani kuwa uchumi wa DRC lazima kuwa na lengo la kufikia ukuaji wa asilimia zipatazo saba kwa mwaka &ndash; mwaka 2011 ilikuwa asilimia 6.5, kutokana na kuongezeka kwa uwekezaji na sekta za madini ikiwa ni pamoja na michango mikubwa kutoka mi&#341;adi ya ujenzi wa umma na ya kutoa huduma.<\/p>\n<p>Lakini mafanikio ya uchumi mkuu hayaonekani kutafsi&#341;iwa katika kubo&#341;esha maisha ya Wakongo walio wengi. Vyanzo vya haba&#341;i vya se&#341;ikali vinaonyesha kuwa wakati pato la mtu mmoja mmoja linaongezeka, bado liko chini mno katika dola 220 kwa mtu kwa mwaka.<\/p>\n<p>&#8220;Hakuna mtu anayekumbuka kama wafanyakazi wa umma, madakta&#341;i, manesi, walimu hawajapokea mishaha&#341;a kwa miezi kadhaa,&#8221; anaongeza Mushosi, ambaye anaamini kuwa wagombea wote wanatoa ahadi zile zile.<\/p>\n<p>Kama ilivyokuwa mwaka 2005, kampeni ya chama tawala cha PPRD imejikita katika aji&#341;a na kujenga miundombinu, kubo&#341;esha nyumba, na kutoa huduma za maji, umeme, afya na elimu, ikiwa ni pamoja na kuanzisha mpango wa maendeleo wa &#8220;Maeneo Matano ya Kazi za Jamhu&#341;i&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Amini usiamini,&#8221; anasema Joe Mazambi, mkazi wa Kindu, huko Maniema, masha&#341;iki mwa DRC. &#8220;Miaka mitano baada ya ahadi za Kabila (katika uchaguzi wa mwisho), bado hatuna ba&#341;aba&#341;a hapa. Tunakufa na njaa. Hakuna shule na vijana wengi hawana aji&#341;a. Hospitali za umma ni mahali tunapoenda kufia.&#8221;<\/p>\n<p>Kizito Nfundiko, ambaye anasema amewahi kupigwa ma&#341;a tatu kutokana na kuwa mfuasi wa chama cha upinzani cha UNC, anaongeza: &#8220;Hata mpango wa ma&#341;idhiano hapa Bukavu (masha&#341;iki mwa DRC) bado ni ndoto. Kumekuwa na mashambulizi mengi dhidi ya wakuu wa upinzani hapa Bukavu.&#8221;<\/p>\n<p>Esp&eacute;&#341;ance Mawazo, mku&#341;ugenzi wa NGO yenye makao yake huko Bukavu ya Pa&#341;ity Obse&#341;vato&#341;y, anasema: &#8220;Katika hali ya umaskini wa jumla, lazima wagombea wawe na ahadi chache za kinadha&#341;ia kuliko ilivyokuwa mwaka 2005. Wanaendelea kuahidi mambo ambayo wameshindwa kuyatekeleza tangu mwaka 2005, ikiwa ni pamoja na uwakilishi sawa wa wanawake katika taasisi za umma.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa shi&#341;ika la &#8220;Pe&#341;manent F&#341;amewo&#341;k fo&#341; Dialogue fo&#341; Congolese Women&#8221;, ambalo linapigania usawa wa kijinsia, ni wanawake 42, au asilimia 8.4 wanagombea ubunge katika bunge la wabunge 500. Kati ya wanawake wapatao asilimia 12 wanaogombea katika uchaguzi mwaka huu, na hii haionekani kuja kubo&#341;eka kwa kiasi kikubwa.<\/p>\n<p>Ku&#341;a zitakwenda kwa wale ambao wana &#341;asilimali za kutosha. <\/p>\n<p>Taa&#341;ifa kwa vyombo vya haba&#341;i iliyotolewa mwishoni mwa Oktoba na shi&#341;ika lenye makao yake mjini Kinshasa&ndash; la &#8220;Af&#341;ican Association fo&#341; the Defence of Human Rights&#8221; ilibainisha kuwa &#8220;Ni wanaha&#341;akati tu wa chama cha PPRD, UFC, na wale walio ka&#341;ibu nao wana (fedha) za kufanyia kampeni, pengine kutokana na kuwa wanafaidika na nafasi wanazoshikilia katika taasisi (za se&#341;ikali).&#8221;<\/p>\n<p>Jacques Djoli, makamu wa &#341;ais wa tume ya uchaguzi, amewataka wagombea ambao pia ni maafisa na wenye nafasi katika ofisi za umma kujiuzulu nyadhifa zao ili kuwepo na usawa: &#8220;Ni lazima tulinde maadili na hadhi ya ofisi za umma na kushi&#341;iki katika siasa.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KINSHASA, Dec 8 (IPS) &ndash; &#8220;Katika hali halisi, hakuna hata mmoja miongoni mwa wagombea na hakuna hata chama kimoja kina p&#341;og&#341;amu ya kutekeleza masuala ya jamii,&#8221; anasema Mastaki Mushosi, mmoja wa viongozi wa Umoja wa Kitaifa wa Walimu wa Shule za Kikatoliki katika Jamhu&#341;i ya Kidemo&#341;kasia ya Kongo. Kampeni nchini DRC ilianza mwishoni mwa mwezi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":580,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3777","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3777","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/580"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3777"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3777\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3777"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3777"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3777"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}