{"id":3776,"date":"2011-12-08T13:40:01","date_gmt":"2011-12-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/12\/08\/rwanda-wakimbizi-wahofia-kuejeshwa-nyumbani\/"},"modified":"2011-12-08T13:40:01","modified_gmt":"2011-12-08T13:40:01","slug":"rwanda-wakimbizi-wahofia-kuejeshwa-nyumbani","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/12\/08\/rwanda-wakimbizi-wahofia-kuejeshwa-nyumbani\/","title":{"rendered":"RWANDA: Wakimbizi Wahofia Ku&#341;ejeshwa Nyumbani"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Dec 8 (IPS) &ndash; Mgogo&#341;o wa kihisto&#341;ia kati ya makabila umesababisha mauaji ya kimba&#341;i makubwa zaidi ba&#341;ani Af&#341;ika. Lakini Claude Kayita&#341;e anakaa katika ve&#341;anda katika hospitali maa&#341;ufu jijini Johannesbu&#341;g, akizungumza na &#341;afiki yake, Theogene Nshimyimana. Inaonekana ni u&#341;afiki wa kawaida tu, ambao hauleti mshangao wowote ule nchini Af&#341;ika Kusini, lakini imechukua miaka kadhaa ya kutokuaminiana na wasiwasi wa kufanya u&#341;afiki.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hii ni kutokana na Kayita&#341;e kuwa Mtusi na Nshimyimana kuwa Mhutu. Mwaka 1994 watu wanaokadi&#341;iwa kuwa 800,000 kutoka kabila la Watusi na Wahutu wenye msimamo wa wastani waliuawa na Wahutu wenye msimamo mkali katika kipindi cha siku 100 tu. Watu hao walikimbia kutoka Rwanda na kuwa wakimbizi wakiishi uhamishoni nchini Af&#341;ika Kusini, na kufaidi uhu&#341;u wa kujieleza na kukusanyika ambao Waaf&#341;ika Kusini wanaona ni wa kawaida.<\/p>\n<p>Nshimyimana na Kayita&#341;e wanajadili uwezekano wa Shi&#341;ika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) kupendekeza kifungu cha she&#341;ia cha ku&#341;ejeshwa kwa wakimbizi wa Rwanda kwa kutumia she&#341;ia ya kimataifa ya UNHCR kutokana na kutambua mabadiliko ya mazingi&#341;a katika nchi zinazotoa wakimbizi. Geneva imesema ingependekeza utekelezwaji wa kifungu cha she&#341;ia hiyo ku&#341;ejesha wakimbizi wa Rwanda ifikapo Desemba 2011.<\/p>\n<p>Kikiwa kimetungwa kuwa na tafsi&#341;i finyu, kifungu cha she&#341;ia ya ku&#341;ejesha wakimbizi kinahitaji kuwepo kwa mabadiliko makubwa na ya msingi ya mazingi&#341;a ya nchi ambayo yalisababisha haja ya kukimbia nchi. Kwa kujikita katika Mkataba wa Geneva, msingi ni kuwepo kwa mabadiliko ya kisiasa, kijamii na mabadiliko mengine ya mazingi&#341;a ya nchi yanayowezesha wananchi wake kulindwa na se&#341;ikali yao wanapo&#341;ejea tena. <\/p>\n<p>Hii inafanya ulinzi wa wakimbizi kutoka kwa se&#341;ikali iliyowapokea kukoma. Pia inahitaji mabadiliko ya muda m&#341;efu. UNHCR inaweza kupendekeza ku&#341;ejeshwa wakimbizi, lakini hata hivyo, ni jukumu la mataifa moja moja kukubali na kutekeleza she&#341;ia hiyo. Kuna maeneo ambayo hata hivyo, yanapewa kinga katika kifungu cha she&#341;ia lakini bado hayajakamilishwa, na maeneo hayo ni pamoja na wakimbizi waliopo katika uhusiano wa kudumu au kimapenzi au ndoa kati ya kabila la Wahutu na Watusi. <\/p>\n<p>Lakini Nshimyimana hana imani na maeneo hayo ambayo yamepewa kinga. &#8220;Katika ka&#341;atasi, kuna maeneo mengi yaliyopewa kinga. Lakini katika matendo, utekelezaji ni huu: kifungu cha she&#341;ia ya ku&#341;ejesha wakimbizi kina&#341;uhusu nchi husika kuwafukuza wageni. Tutalazimishwa ku&#341;udi nyumbani.&#8221;<\/p>\n<p>Mashi&#341;ika mengi yasiyokuwa ya kise&#341;ikali, mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na wakimbizi wa Rwanda wametoa hoja mbalimbali kuhusu uhusika wa Rwanda katika mazingi&#341;a kama hayo. <\/p>\n<p>Tangu kutangazwa mwaka 2009 kuwa UNHCR inafiki&#341;ia kuandaa kifungu cha she&#341;ia cha ku&#341;ejesha wakimbizi, Rwanda imekuwa katika uangalizi mkubwa wa taasisi za haki za binadamu. Na taa&#341;ifa zinazokuja kutoka nchini humo hazivutii.<\/p>\n<p>Kayita&#341;e aliondoka Rwanda mwaka 2003, kutokana na ushi&#341;iki wake katika jeshi la Rwanda. &#8220;Natokea jeshi la Rwanda Pat&#341;iotic A&#341;my. Kama ska&#341;i, nilifanya kazi katika Ida&#341;a ya Usalama wa Taifa Jeshini (DMI).&#8221; Anaendelea kubainisha kuwa se&#341;ika&#341;i inatumia jeshi kufuatilia upinzani ambao wanapoonekana kuwa maadui wa kisiasa, wakosoaji kutoka vyombo vya haba&#341;i na hata &#341;aia ambao hawawaungi mkono.<\/p>\n<p>&#8220;(Rais wa Rwanda) Paul Kagame alipata asilimia 95 ya ku&#341;a za u&#341;ais mwaka 2010. Je kuungwa mkono kwa aina hiyo kunawezekana kujitokeza katika uchaguzi wowote ule  Hebu fiki&#341;i, unaenda kupiga ku&#341;a katika kichumba cha kupigia ku&#341;a huku ukisimamiwa na aska&#341;i mwenye bunduki. Fiki&#341;i hofu utakayokuwa nayo kama ukianza kudhani aska&#341;i huyo amekuona kuwa hujampigia ku&#341;a Kagame. Unaweza kufiki&#341;i aska&#341;i ataangalia ka&#341;atasi yako ya ku&#341;a baada ya kuondoka. Unaweza kuogopa ku&#341;ejea nyumbani salama wakati wa usiku,&#8221; Kayita&#341;e anasema.<\/p>\n<p>Kayita&#341;e na Nshimyimana wana uwezo wa kutoa mifano mingi ya jinsi gani utawala wa kimabavu wa Kagame umejenga taifa la kijeshi ambalo linatumia hofu na vitisho kudhibiti &#341;aia. Kayita&#341;e anaelezea kuwa DMI ina mitandao mikubwa ya &#341;aia wanaotoa taa&#341;ifa ambao wanaweza kutumiwa na se&#341;ikali kufuatilia watu wake.<\/p>\n<p>Nshimyimana alikuwa mwathi&#341;ika wa mtandao huo. Baada ya kukimbia Rwanda kwa ma&#341;a ya pili mwaka 1994, alilazimika ku&#341;ejea nyumbani kutokana na kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu katika kambi ya wakimbizi nchini Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo. <\/p>\n<p>&#8220;Nilifika nyumbani salama, lakini familia yangu ilihisi ingelazimishwa kuni&#341;ipoti kwa utawala kama mkimbizi aliye&#341;ejea nyumbani kama ningeendelea kubakia. Se&#341;ikali inafuatilia wote wanaozungumza dhidi yake &ndash; baba yangu anahofia kuuawa kama ikibainika niko nyumbani kwetu,&#8221; Nshimyimana anasema.<\/p>\n<p>Kayita&#341;e anatikisa kichwa chake kwa hasi&#341;a na kukubaliana na hili. &#8220;Ni mazingi&#341;a ya ushindani mkubwa. Ni kuua au kuuawa. Nimekuwa nikipelekwa kusafisha mifupa ya watu waliouawa.&#8221;<\/p>\n<p>Hizi siyo taa&#341;ifa za watu waliotishiwa na kuathi&#341;ika kisaikolojia tu. Amnesty Inte&#341;national, Human Rights Watch na mashi&#341;ika ya makanisa yamewasilisha taa&#341;ifa za ka&#341;ibuni ambazo zinaelezea kwa undani matukio ya wanasiasa kupotea, kukamatwa na kuzuiwa kwa wanasiasa wa upinzani kusajili vyama vyao vya kisiasa. Ukweli wa taa&#341;ifa hizi una tofauti kubwa na su&#341;a ya kimataifa ya Kagame ambayo amejitengenezea yeye mwenyewe na nchi yake. Shi&#341;ika ambalo Kayita&#341;e analiwakilisha, &#8220;the Rwandan Platfo&#341;m fo&#341; Dialogue, T&#341;uth and Justice&#8221;, linasema kuwa Kagame amelenga katika kubo&#341;esha su&#341;a yake ya kimataifa na kujenga gamba la kujionyesha kwa Magha&#341;ibi &ndash; su&#341;a ya dola inayofanya kazi vizu&#341;i. Kayita&#341;e na Nshimyimana wanaelezea kuwa wakati wageni wenye hadhi kubwa wanapotembelea Rwanda, wanasimamiwa vizu&#341;i sana. &#8220;Huwezi kuachwa peke yako kuona kila unachotaka kukiona. Unaongozwa kuona kila kitu,&#8221; anaelezea Kayita&#341;e.<\/p>\n<p>Hiyo inapelekea kile ambacho Kayita&#341;e na Nshimyimana wanahofia kuwa zoezi kubwa zaidi la uhusiano wa umma la Kagame &ndash; ku&#341;ejea kwa Wanya&#341;wanda ambao bado ni wakimbizi katika nchi kama za Af&#341;ika Kusini, Zambia na Tanzania. <\/p>\n<p>&#8220;Wakimbizi ni kikwazo katika su&#341;a yake ya uhusiano wa umma. Anataka tu&#341;ejee nyumbani kusafisha su&#341;a hii inayoha&#341;ibu muonekano wao kutokana na wakimbizi kuzungumza dhidi ya siasa zake. Anajenga su&#341;a nzu&#341;i nchi za nje halafu anatuita mbwa, inzi na vyu&#341;a katika bunge lake huko nyumbani,&#8221; anasema Kayita&#341;e. Hakika, Paul Kagame ame&#341;ikodiwa akisema kuwa wakimbizi wa Rwanda wanahusiana na matatizo makubwa ya haki za binadamu ambayo ni lazima yamalizwe. <\/p>\n<p>&#8220;Ku&#341;ejeshwa nyumbani kuna maana kuwa hatimaye Kagame atatupata. Atawapata watu ambao anataka kuwanyamazisha.&#8221; Maoni yake juu ya kifungu katika she&#341;ia ya ku&#341;ejeshwa nyumbani yanahitimishwa anapoelezea hisia zake. &#8220;Unadhani napenda kushau&#341;iana na mtu yoyote kuhusu ku&#341;ejea kwangu nyumbani  Kama ningependa ku&#341;ejea nyumbani, nisingeweza hata kuzungumza na wewe. Ningekuwa nimeshaondoka zamani,&#8221; Nshimyimana anaongeza.<\/p>\n<p>Ni wazi kuwa miaka ya wasiwasi, ikiwa imejipenyeza katika jamii za chini kabisa za Rwanda, kwa njia ambayo maji&#341;ani na wanafamilia wanatishiwa kwa hofu na kutokuaminiani, hakujashughulikiwa kikamilifu.<\/p>\n<p>Kayita&#341;e anasema kuwa matatizo ya Rwanda hayatokani na uchumi, upatikanaji wa a&#341;dhi &ndash; lakini kukosekana kwa amani.<\/p>\n<p>&#8220;Kuingiza hofu kwa &#341;aia kumekwenda mbali mno kuhakikisha kuwa Kagame anaendelea kubakia mada&#341;akani. Hivyo ndivyo madikteta walivyo &ndash; watu wanatishiwa kiasi kwamba hawawezi kufiki&#341;i jambo lolote lile tofauti,&#8221; Kayita&#341;e anasema.<\/p>\n<p>*Robyn Leslie kwa sasa anafanya kazi kama afisa utetezi na mawasiliano wa kanda ya Kusini mwa Af&#341;ika wa shi&#341;ika la wakimbizi la Jesuit Refugee Se&#341;vice. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Dec 8 (IPS) &ndash; Mgogo&#341;o wa kihisto&#341;ia kati ya makabila umesababisha mauaji ya kimba&#341;i makubwa zaidi ba&#341;ani Af&#341;ika. Lakini Claude Kayita&#341;e anakaa katika ve&#341;anda katika hospitali maa&#341;ufu jijini Johannesbu&#341;g, akizungumza na &#341;afiki yake, Theogene Nshimyimana. Inaonekana ni u&#341;afiki wa kawaida tu, ambao hauleti mshangao wowote ule nchini Af&#341;ika Kusini, lakini imechukua miaka kadhaa ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":889,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3776","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3776","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/889"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3776"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3776\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3776"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3776"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3776"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}