{"id":3775,"date":"2011-12-07T13:40:01","date_gmt":"2011-12-07T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/12\/07\/tanzania-kutunza-mazingia-kwa-kufuatilia-mwenendo-wa-tembo\/"},"modified":"2011-12-07T13:40:01","modified_gmt":"2011-12-07T13:40:01","slug":"tanzania-kutunza-mazingia-kwa-kufuatilia-mwenendo-wa-tembo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/12\/07\/tanzania-kutunza-mazingia-kwa-kufuatilia-mwenendo-wa-tembo\/","title":{"rendered":"TANZANIA: Kutunza Mazingi&#341;a kwa Kufuatilia Mwenendo wa Tembo"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Des 6 (IPS) &ndash; Ikiwa imeanzishwa &#341;asmi Septemba 2005, Mbuga ya Taifa ya Saadani (SANAPA) ni ya kipekee nchini Tanzania kutokana na kuwa na mazingi&#341;a tofauti na mbuga nyingine. Ni mbuga pekee yenye mazingi&#341;a ya pwani, mkono wa baha&#341;i, nchi kavu na baha&#341;i. Mazingi&#341;a haya yanaifanya kuwa na viumbe mbalimbali wa baha&#341;i na nchi kavu pamoja na bayoanuwai ya kipekee.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kwa mujibu wa &#341;ipoti ya Mamlaka ya Mbuga ya Saadani iliyotolewa katika wa&#341;sha ya wadau wa utekelezaji wa m&#341;adi wa Pwani, mbuga hiyo ni muhimu na ina uwezekano mkubwa wa kuongezeka kwa watalii kama ikitunzwa vizu&#341;i kutokana na uwepo wake ka&#341;ibu na jiji la Da&#341; es Salaam.<\/p>\n<p>Moja ya shughuli zinazofanywa na m&#341;adi wa Pwani uliopo chini ya Ushi&#341;ika wa Kusimamia Mazingi&#341;a ya Pwani na Baha&#341;i (TCMP) unaofadhiliwa na Shi&#341;ika la Maendeleo ya Kimataifa la Ma&#341;ekani (USAID) kwa kushi&#341;ikiana na wadau wengine katika kuhifadhi na kulinda mazingi&#341;a, ni pamoja na kufuatilia mwenendo wa tembo katika mbuga hiyo na eneo tengefu la Wami Mbiki. Kwa mujibu wa Mku&#341;ugenzi wa TCMP, Je&#341;emiah Daffa, lengo la m&#341;adi huo ulioanza kupokea &#341;uzuku kutoka TCMP mwaka 2010 hadi Septemba 2012 ni kupunguza migongano kati ya jamii na wanyama, kuongeza utalii kwa kutambua wanyama walipo, kuanzisha maeneo ya mapitio ya wanyama kwa nia ya kuyahifadhi na kuyalinda na kuijengea Mbuga ya Saadani uwezo wa kuisimamia vizu&#341;i.<\/p>\n<p>Hadi sasa tembo 17 katika mbuga hiyo na eneo tengefu la Wami Mbiki lilipo umbali wa tak&#341;ibani kilomita 100 upande wa magha&#341;iobi wamevikwa kola.<\/p>\n<p>Mbali na m&#341;adi huo, shughuli nyingine zinazofanywa kuhifadhi mbuga hiyo ni pamoja na kutoa elimu ya hifadhi ya mazingi&#341;a kwa wanajamii wanaozunguka mbuga, kusaidia mi&#341;adi ya maendeleo ya jamii na kuhifadhi wanyama, mikoko na &#341;asilimali za baha&#341;i.<\/p>\n<p>Kwa kiasi kikubwa kazi hizo zinawezekana kutokana na ushi&#341;ikiano uliopo kati ya sekta za umma na zile za binafsi (PPP) katika kusimamia na kuhifadhi mazingi&#341;a ya SANAPA. Mbali na m&#341;adi wa Pwani, mmoja wa wadau wakuu kutoka sekta binafsi katika mpango huo ni Tent With A View Safa&#341;i Lodge ambayo, miongoni mwa mambo mengine, imeanzisha kituo cha kutoa taa&#341;ifa za hifadhi ya mbuga ya Saadani katika mazingi&#341;a ya hoteli hiyo kinachojulikana kama &#8216;Saadani Wildlife Resea&#341;ch Cent&#341;e&#8217;. Kutokana na kituo hicho, wageni mbalimbali wanaotembelea SANAPA hupatiwa elimu juu ya bayoanuwai na mi&#341;adi ya kuhifadhi mazingi&#341;a inayoendelea katika mbuga hiyo, ikiwa ni pamoja na m&#341;adi wa kufuatilia tembo. <\/p>\n<p>Hata hivyo, pamoja na mipango mizu&#341;i na jitihada za kuhifadhi na kulinda mazingi&#341;a ya mbuga, Saadani inakabiliwa na changamoto kadhaa mojawapo ikiwa ni mwingiliano wa shughuli za binadamu kama vile kilimo kisichokuwa na mpangilio, kilimo cha kuhama hama na makazi ya watu kuwepo katika maeneo ambayo yangepaswa kuwa makazi na mapitio ya tembo, ukataji miti kwa ajili ya uzalishaji wa mkaa na kukata mikoko katika eneo ambapo Mto Wami unaingia baha&#341;ini.<\/p>\n<p>Tishio jingine ni ujangili wa kasa wa kijani ambao ni moja ya wanyama waliopo katika hata&#341;i ya kutoweka duniani wanaopatikana katika eneo la mbuga hiyo, uchimbaji wa chumvi na ba&#341;aba&#341;a za umma na &#341;eli kukatiza katikati ya mbuga.<\/p>\n<p>Akizungumzia tatizo la migongano kati ya binadamu na wanyama linalokabili mbuga ya Saadani, Mtaalam wa Hifadhi ya Tembo na Mku&#341;ugenzi wa shi&#341;ika la &#8216;Wo&#341;ld Elephant Cent&#341;e&#8217;, Dk. Alf&#341;ed Kikoti alisema kwamba utafiti wa kufuatilia mwenendo wa tembo unaofanywa kwa kutumia utaaalam mkubwa wa satelaiti umegundua kuwa ng&#8217;ombe wengi wanazidi kuelekea eneo la mbuga na hivyo kutishia wanyama waiaishio katika mbuga hiyo. Hata hivyo, alisema tatizo hilo siyo la Saadani pekee, bali linazikabili mbuga nyingine nchini kama vile Selous na Katavi. <\/p>\n<p>&#8220;Hii inafanya kuwepo kwa shinikizo kubwa kutokana na shughuli za binadamu &ndash; tuna shinikizo la ng&#8217;ombe, ukataji wa miti kwa ajili ya mkaa, wawekezaji wakubwa wanaochukua maeneo makubwa ya a&#341;dhi kwa ajili ya kuyaendeleza bila kutumia mfumo wowote wa upangaji wa a&#341;dhi,&#8221; alisema wakati wa mkutano wa mpango kazi wa m&#341;adi wa Pwani mapema mwezi Novemba 2011.<\/p>\n<p>Alisema Saadani ni mbuga ndogo mno kuweza kukabiliana na shinikizo la binadamu na mifugo na wakati huo huo kuongezeka kwa idadi ya wanyama. &#8220;Tunapaswa kukabiliana na shinikizo la kibinadamu na mwenendo wa mifugo kwa kuwa na mpango wa kupanga matumizi ya a&#341;dhi,&#8221; alipendekeza. &#8220;Kama hatutachukua hatua sasa, Saadani itakuja kupungua hadi kufikia hatua ya kupoteza hadhi yake ya kuitwa Mbuga ya Taifa&#8221;. <\/p>\n<p>Wadau wa hifadhi ya mbuga hiyo kama vile Wo&#341;ld Elephant Cent&#341;e wanasisitiza ushi&#341;ikiano kati ya sekta za umma na binafsi katika kukabiliana na changamoto zinazoikabili SANAPA na mbuga nyingine nchini Tanzania.<\/p>\n<p>&#8220;Tunadhani hatua za ha&#341;aka za dha&#341;ula zinahitajika kama tunataka kuzuia kuanguka kwa sekta nzima ya wanyamapo&#341;i nchini Tanzania na hadhi yake kama kivutio kikubwa cha watalii,&#8221; linasema shi&#341;ika la Wo&#341;ld Elephant Cent&#341;e katika tovuti yake. &#8220;Ushi&#341;iki wa wadau wote umethibitisha bila mashaka kwamba &#8230; inawezekana kukabiliana na hali ambayo &#8230; taya&#341;i imeshaanza kuelekea kuwa janga. Hali iliyopo inahitaji ushi&#341;iki wa sekta za umma na binafsi kwa kutumia hatua za dha&#341;ula za muda mfupi na mikakati ya muda m&#341;efu itakayotekelezwa na mamlaka za hifadhi za taifa &#8230; kwa kushi&#341;ikiana kikamilifu na wanajamii wanaozunguka maeneo ya hifadhi&#8221;.<\/p>\n<p>Ili kusimamia vema mazingi&#341;a ya SANAPA na viumbe hai waishio humo pamoja na &#341;asilimali zake, kuna haja ya kuunganisha mipango mbalimbali ya usimamiaji, kuchukuliwa kwa hatua na kutunga se&#341;a kwa kuzingatia mtizamo mpana wa kimazingi&#341;a, kisiasa, kijiog&#341;afia, kiuchumi na kiutamaduni, alisema Halima Kiwango wa SANAPA wakati wa wa&#341;sha ya wadau wa m&#341;adi wa Pwani Agosti 24 na 25 2011 jijini Da&#341; es salaam.<\/p>\n<p>Wadau katika mkutano huo waliitaka Wo&#341;ld Elephant Cent&#341;e kufanya uchambuzi wa takwimu ambazo taya&#341;i zimeshapatikana kupitia njia ya satelaiti ili kutumika katika kushawishi watunga se&#341;a katika ngazi ya kitaifa.<\/p>\n<p>Pamoja na changamoto zinazoikabili SANAPA, mku&#341;ugenzi wa TCMP ana matumaini na jitihada zinazoendelea kuhifadhi mbuga hiyo. Ana imani kuwa ushi&#341;ikiano wa wadau mbalimbali taya&#341;i umeshaleta matunda katika kuhifadhi mbuga hiyo. &#8220;Haya ni mafanikio makubwa kwani wadau mbalimbali wanahamasika kufanya kazi pamoja kuhakikisha kuwa mazingi&#341;a ya Saadani na &#341;asilimali zake yanahifadhiwa na kulindwa,&#8221; anasema Daffa. &#8220;Jitihada za kuhifadhi mbuga zimesababisha binadamu katika jamii zinazozunguka mbuga kuishi kwa amani pamoja na wanyama bila kubughudhiana.&#8221;<\/p>\n<p>Maneno yake yanafanana na yale ya mtendaji katika ofisi ya Makamu wa Rais, Dk. Constantine Shayo ambaye aliwaambia wanakijiji wa Saadani mwaka huu kuwa yeye binafsi alishangazwa na jinsi binadamu wanavyoweza kuishi pamoja na wanyama katika mbuga hiyo. <\/p>\n<p>&#8220;Nimesikia kuwa simba wa hapa hawashambulii binadamu kwasababu mmekuwa ma&#341;afiki wakubwa wa mazingi&#341;a kiasi kwamba wanyama wana chakula kingi cha kutosha na hivyo hawana muda wa kuwabughudhi,&#8221; Dk Shayo aliwaambia wanakijiji waliohudhu&#341;ia mkutano wa ujumbe anaouongoza kama mwenyekiti wake wa Timu ya Kusimamia Mi&#341;adi Inayofadhiliwa na Shi&#341;ika la Maendeleo ya Kimataifa la Ma&#341;ekani (USAID) katika Shule ya Msingi Saadani.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Des 6 (IPS) &ndash; Ikiwa imeanzishwa &#341;asmi Septemba 2005, Mbuga ya Taifa ya Saadani (SANAPA) ni ya kipekee nchini Tanzania kutokana na kuwa na mazingi&#341;a tofauti na mbuga nyingine. Ni mbuga pekee yenye mazingi&#341;a ya pwani, mkono wa baha&#341;i, nchi kavu na baha&#341;i. Mazingi&#341;a haya yanaifanya kuwa na viumbe mbalimbali wa baha&#341;i&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":155,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3775","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3775","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/155"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3775"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3775\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3775"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3775"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3775"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}