{"id":3774,"date":"2011-12-06T13:40:01","date_gmt":"2011-12-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/12\/06\/liberia-uchaguzi-waudiwa-pamoja-na-kuwepo-kwa-mgomo-na-mauaji\/"},"modified":"2011-12-06T13:40:01","modified_gmt":"2011-12-06T13:40:01","slug":"liberia-uchaguzi-waudiwa-pamoja-na-kuwepo-kwa-mgomo-na-mauaji","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/12\/06\/liberia-uchaguzi-waudiwa-pamoja-na-kuwepo-kwa-mgomo-na-mauaji\/","title":{"rendered":"LIBERIA: Uchaguzi Wa&#341;udiwa Pamoja na Kuwepo kwa Mgomo na Mauaji"},"content":{"rendered":"<p>MONROVIA, Dec 5 (IPS) &ndash; Walibe&#341;ia walikwenda kupiga ku&#341;a katika kile kinachoonekana idadi ya kawaida ya wapiga ku&#341;a walijitokeza siku ya Jumanne katika ma&#341;ejeo ya uchaguzi wa &#341;ais ambao umegubikwa na mgomo wa vyama vya upinzani na kwa uchache vifo vya waandamanaji wawili katika mkutano wa upinzani.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Vifo vilijitokeza Jumatatu mchana katika makao makuu ya chama cha upinzani cha Cong&#341;ess fo&#341; Democ&#341;atic Change mjini Mon&#341;ovia ambapo wafuasi walikusanyika kuandamana kupinga ku&#341;udiwa kwa uchaguzi. Katika msuguano ambao unadaiwa kusababishwa na wafuasi wa chama cha CDC &ndash; baadhi ya mashuhuda walisema wali&#341;ushia mawe polisi &ndash; na kulazimisha polisi kujibu kwa mabomu ya machozi na &#341;isasi za moto.<\/p>\n<p>Mjini Mon&#341;ovia, vituo vya kupigia ku&#341;a ambavyo vilishuhudia foleni ndefu katika du&#341;u ya kwanza vilishuhudia wapiga ku&#341;a wachache vilipofunguliwa saa 2 asubuhi.<\/p>\n<p>Bu&#341;nnies Ko&#341;bo&#341;, 20, ambaye alipiga ku&#341;a katika kituo cha shule ya sekonda&#341;i ya kati mjini Mon&#341;ovia, alisema aliamini kujitokeza kwa wapiga ku&#341;a wachache kulitokana na &#8220;kuogopa,&#8221; lakini akaongeza kuwa yeye hakuwa na wasiwasi kujitokeza kuja kumchagua mgombea anayemaliza muda wake Rais Ellen Johnson Si&#341;leaf ambaye ni mshindi mwenza wa Tuzo ya Amani ya Nobel mwezi Oktoba.<\/p>\n<p>&#8220;Anafanya kazi nzu&#341;i nchini,&#8221; Ko&#341;bo&#341; alisema. &#8220;Kwa sasa hakuna vita, hakuna kabisa. Kila kitu kimetulia.&#8221;<\/p>\n<p>Siku tatu mapema, Winston Tubman, mgombea u&#341;ais kwa chama cha CDC na mwanadiplomasia wa zamani, alitangaza kuwa chama chake kisingeshi&#341;iki katika ma&#341;udio ya uchaguzi, akitaja kile alichokiita kukiukwa kwa ta&#341;atibu katika du&#341;u ya kwanza ya uchaguzi. Pamoja na kwamba CDC imeendelea kusimamia wito wao wa kuitisha mgomo, bado jina lake linaonekana katika ka&#341;atasi za kupigia ku&#341;a.<\/p>\n<p>Tubman alikuwa wa pili katika uchaguzi kwa kuwa na asilimia 32.7 ya ku&#341;a katika du&#341;u ya kwanza. Si&#341;leaf, alipata asilimia 43.9, lakini alihitaji kwa uchache asilimia 50 ili kutangazwa kuwa mshindi na hivyo kuzuia ku&#341;udiwa kwa upigaji wa ku&#341;a.<\/p>\n<p>Waangalizi wa uchaguzi walisifu uchaguzi wa Oktoba 11 kuwa kwa kiasi kikubwa ulikuwa hu&#341;u, wa haki na uwazi. Umoja wa Ulaya, Umoja wa Af&#341;ika na Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi wote walisifu uchaguzi na kulaani mgomo wa CDC mwishoni mwa wiki. Wiza&#341;a ya Mambo ya Kigeni ya Ma&#341;ekani ilisema ilikuwa &#8220;imesikitishwa mno&#8221; na msimamo wa CDC, na kuongeza kuwa: &#8220;Madai ya CDC kuwa uchaguzi wa du&#341;u ya kwanza uligubikwa na udanganyifu hayana msingi.&#8221;<\/p>\n<p>Aa&#341;on Weah wa Inte&#341;national Cent&#341;e fo&#341; T&#341;ansitional Justice mjini Mon&#341;ovia, alisema Jumatatu jioni kuwa haijulikana ni jinsi gani mgomo na hatimaye ghasia zingeweza kuathi&#341;i upigaji wa ku&#341;a Jumanne ambapo Tume ya Uchaguzi ya Taifa ilisema ingeendelea na &#341;atiba yake kama ilivyopangwa.<\/p>\n<p>Wakati akikubaliana kuwa Libe&#341;ia iligubikwa na migogo&#341;o katika siku za zamani, Weah alisema vita ni ma&#341;a chache inaweza kujitokeza wakati kukiwepo na mchakato wa kidemok&#341;asia ambao umeonekana kwa kiasi kikubwa kuwa ni wa haki. Katika hali kama hiyo, alisema, mapigano ya Jumanne &#8220;hayatu&#341;ejeshi katika histo&#341;ia ya nyuma&#8221;.<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa alikuwa na wasiwasi kuwa polisi na wanasiasa wanahusika kwa pamoja katika vifo vya Jumatatu. <\/p>\n<p>&#8220;Leo hilo ni somo ambalo hatujalivunja kiasi cha kutosha kuondokana na zamani zetu,&#8221; alisema. &#8220;Wanasaisa bado wanaja&#341;ibu kuweka watu wa kawaida katika hali ya kuathi&#341;ika.&#8221;<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa She&#341;ia Ch&#341;istiana Tah alisema katika mkutano kwa waandishi wa haba&#341;i Jumatatu jioni kuwa &#8220;taa&#341;ifa zisizothibitishwa&#8221; zilisema kuwa mtu mmoja inawezekana alifa&#341;iki dunia. Lakini IPS ilishuhudia kwa uchache miili miwili katika eneo la ofisi za CDC siku ya Jumatatu mchana, mmoja akiwa amepigwa &#341;isasi ya ka&#341;ibu ya kichwani baada ya polisi wa Libe&#341;ia kuvamia eneo hilo huku bunduki zao zikiwa taya&#341;i.<\/p>\n<p>Walinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa ambao waliwasili katika eneo la tukio walionekana wakikabiliana na polisi wa Libe&#341;ia na kuja&#341;ibu kuwadhibiti.<\/p>\n<p>Tangu kumalizika kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya kikatili nchini Libe&#341;ia iliyodumu kwa miaka 14 mwaka 2003, na kuua zaidi ya watu 250,000, Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libe&#341;ia umekuwa ukisimamia kuanzishwa kwa muundo mpya wa jeshi la polisi la Libe&#341;ia, kwa mujibu wa &#341;ipoti ya shi&#341;ika la Inte&#341;national C&#341;isis G&#341;oup iliyotolewa mwezi Agosti, ambayo ilibainisha kuwa kuendelea kuwepo kwa walinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa &#8220;ndiyo sababu kuu inayohakikisha kuwepo kwa amani.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Sekta ya usalama wa taifa kwa sasa ina uwezo wa kukabiliana na baadhi ya vitisho, lakini kuendelea kuwepo kwa vikosi vya kimataifa ni jambo muhimu hasa kutokana na kushindwa kwa polisi na uchache wao wa kuweza kufika nje ya mji mkuu,&#8221; ilisema &#341;ipoti ya ICG.<\/p>\n<p>Tah alisema katika mkutano na waandishi wa haba&#341;i kuwa alipata taa&#341;ifa siku ya Jumatatu za upo&#341;aji katika vituo vya kuuzia gesi, maofisa wa polisi kupigwa mawe na maga&#341;i ya se&#341;ikali ya Umoja wa Mataifa kuha&#341;ibiwa.<\/p>\n<p>Alishutumu viongozi wa CDC kutokana na kueneza &#8220;taa&#341;ifa za uchochezi,&#8221; na kusema kuwa matendo kama hayo yalichangia kwa kiasi fulani ghasia.<\/p>\n<p>&#8220;Huwezi kuchochea watu, hasa kwa kutumia taa&#341;ifa za uwongo, na hiyo imesababisha aina ya matatizo ambayo tunayo leo hii,&#8221; alisema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MONROVIA, Dec 5 (IPS) &ndash; Walibe&#341;ia walikwenda kupiga ku&#341;a katika kile kinachoonekana idadi ya kawaida ya wapiga ku&#341;a walijitokeza siku ya Jumanne katika ma&#341;ejeo ya uchaguzi wa &#341;ais ambao umegubikwa na mgomo wa vyama vya upinzani na kwa uchache vifo vya waandamanaji wawili katika mkutano wa upinzani. Vifo vilijitokeza Jumatatu mchana katika makao makuu ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":878,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3774","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3774","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/878"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3774"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3774\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3774"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3774"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3774"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}