{"id":3771,"date":"2011-12-06T13:40:01","date_gmt":"2011-12-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/12\/06\/pembe-ya-afrika-vita-na-ukame-vyasababisha-biashaa-ya-usafiishaji-wa-binadamu\/"},"modified":"2011-12-06T13:40:01","modified_gmt":"2011-12-06T13:40:01","slug":"pembe-ya-afrika-vita-na-ukame-vyasababisha-biashaa-ya-usafiishaji-wa-binadamu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/12\/06\/pembe-ya-afrika-vita-na-ukame-vyasababisha-biashaa-ya-usafiishaji-wa-binadamu\/","title":{"rendered":"PEMBE YA AFRIKA: Vita na Ukame Vyasababisha Biasha&#341;a ya Usafi&#341;ishaji wa Binadamu"},"content":{"rendered":"<p>RIFT VALLEY, Kenya, Dec 5 (IPS) &ndash; Amina Shaki&#341; (siyo jina lake halisi) alikimbia ukame na njaa nchini Somalia ili kupata maisha bo&#341;a nchini Kenya. Lakini alifanya hivyo kinyume cha she&#341;ia, na kuweka imani yake mikononi mwa mtandao wa uhalifu unaoongozwa na Mukhalis au wakala kwa jina la Kiswahili. Mwisho wake imani yake ilipotea wakati &#8220;alipouzwa&#8221; katika aji&#341;a alipofika nchini Kenya.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lakini Shaki&#341; siyo pekee ambaye alivuka mpaka kinyume cha she&#341;ia na kuingia Kenya. Majanga ya asili, vita na njaa yanayoiandama Pembe ya Af&#341;ika yalisababisha kuongezeka kwa biasha&#341;a ya binadamu na usafi&#341;ishaji katika kanda.<\/p>\n<p>Safa&#341;i ya Shaki&#341; ilimchukua kutoka eneo la kukusanyikia nchini Somalia hadi eneo la kuondokea katika shamba la Eastleigh, nchini Kenya. Yeye na wasichana wengine kadhaa walisafi&#341;i kwa zaidi ya kilomita 1,000 kwa lo&#341;i chini ya uangalizi wa wanaume watano. <\/p>\n<p>&#8220;Nilikuwa peke yangu, wasichana wengine walikuwemo pia katika lo&#341;i, na mwanaume mmoja. Wasimamizi wetu walituhakikishia usalama hadi tutakapofika mwisho wa safa&#341;i yetu. Nilihisi nipo kwenye mikono salama,&#8221; Shaki&#341; aliiambia IPS kwa kutumia lugha ya Kiswahili kibovu.<\/p>\n<p>Lakini alipowasili katika shamba la Eastleigh, kitongoji kimojawapo mjini Nai&#341;obi ambacho kimekuwa kituo kikuu cha biasha&#341;a za kimataifa, aliuzwa katika aji&#341;a. Sasa anafanya kazi kama muuza duka la &#8220;mnunuzi&#8221; wake. <\/p>\n<p>Womankind Kenya, shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali lenye makao yake huko Ga&#341;issa katika Jimbo la Kaskazini Masha&#341;iki mwa Kenya, linakadi&#341;ia kuwa wastani wa wasichana wenye um&#341;i mdogo 50 wanasafi&#341;ishwa au kuuzwa mjini Nai&#341;obi kutoka hapa na nchini Somalia kila wiki.<\/p>\n<p>&#8220;Maga&#341;i ambayo yanasafi&#341;isha mi&#341;aa kutoka Kenya kwenda Somalia yana&#341;ejea yakiwa yamesheheni wasichana wadogo na wanawake ambao wanaishia katika madangu&#341;o mjini Nai&#341;obi au wanasafi&#341;ishwa kwenda maeneo mengine nje ya Kenya,&#8221; anasema Hubbie Hussein, mku&#341;ugenzi wa Womankind Kenya.<\/p>\n<p>Naibu Ofisa wa Polisi wa Jimbo katika Jimbo la Rift Valley, jimbo lenye wakazi wengi na kubwa kuliko yote nchini Kenya, Ephantus Kiu&#341;a, alithibitisha hili. &#8220;Zaidi ya wahamiaji ha&#341;amu 200 wanaingia jimbo hili kila wiki kutoka Sudan, Ethiopia, Tanzania, Uganda na Somalia kupitia (eneo la mpaka wenye u&#341;efu wa zaidi ya kilomita 400 wa Kenya ambao unapitika kiu&#341;ahisi),&#8221; Kiu&#341;a anasema.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Uhamiaji la Kimataifa (IOM) linakadi&#341;ia kuwa zaidi ya watu 10,000 wanasafi&#341;ishwa kuingia Jimbo la Pwani la Kenya kila mwaka. Shi&#341;ika linasema kuwa watoto waliosafi&#341;ishwa kutoka Rwanda, Tanzania, Ethiopia, Somalia na Uganda wanafanya kazi za ndani majumbani mwa watu, wafanyakazi wa ngono na wachungaji wa mifugo nchini kote Kenya. <\/p>\n<p>&#8220;Hadi ilipofika Sept. 28 kulikuwa na zaidi ya wakimbizi 452,000, wengi wao wakiwa Wasomali, katika kambi ya Daadab. Kuingia kwa wakimbizi kwa wingi kumefanya hali ya usafi&#341;i wa watu kuwa ngumu zaidi katika kanda, kumeongeza kuathi&#341;ika kwa watu, biasha&#341;a ya watu na aina nyingine za unyonyaji,&#8221; anasema Jean&ndash;Phillipe Chauzy ambaye ni mkuu wa mawasiliano katika IOM. <\/p>\n<p>Hussein anasema kuwa Nai&#341;obi ni soko kuu ambapo wasichana wanasambazwa kwenda sehemu mbalimbali za Kenya na nchi nyingine. <\/p>\n<p>&#8220;Kutoka Nai&#341;obi wasichana wengi wanasafi&#341;ishwa kwenda Mombasa (kituo cha utalii cha kimataifa nchini Kenya katika mwambao) ambako wasichana wenye um&#341;i mdogo wanauzwa kwa ajili ya utalii wa ngono. Wanachukuliwa kwenda kwenye saluni na maduka ya u&#341;embo, ambako wanawasiliana na waendesha biasha&#341;a ya utalii na hoteli wanaokuja kuchagua wanaowataka kwa ajili ya kuwatumia kwenye biasha&#341;a ya ngono katika sekta ya utalii,&#8221; anasema Hussein<\/p>\n<p>Mkuu wa Womankind Kenya anasema kuwa waendeshaji wa kampuni za utalii na wafanyakazi wa hoteli wanafanya kazi ya kati na wanatoza ada ya dola 600 kwa wasichana wadogo wenye um&#341;i kati ya miaka 10 na 15 ambao wanauzwa zaidi kama watumwa wa ngono. &#8220;Watoto wanapouzwa wanapelekwa hadi kwenye majumba yaliyotengwa mjini Mombasa ambako utalii wa ngono umeshami&#341;i,&#8221; anasema Hussein.<\/p>\n<p>Ripoti iliyotolewa Oktoba na Taasisi ya Amani ya Kimataifa na Kituo cha Utawala Bo&#341;a wa Uwazi Af&#341;ika unasema watu wengi wanaouzwa katika Af&#341;ika Masha&#341;iki ni wanawake na watoto ambao wanauzwa katika ukahaba na aji&#341;a za kushu&#341;utishwa.<\/p>\n<p>Ripoti inasema wahusika wa biasha&#341;a hiyo wanatumia mwanya wa ukame, umaskini na vita katika Pembe ya Af&#341;ika kusafi&#341;isha watu kwenda Nai&#341;obi na duniani kote kwa ahadi ya kuwatafutia maisha bo&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Watu wanakimbia shida katika nchi zao ili kwenda kuishi mjini Mombasa na Nai&#341;obi, wengine wanahamia Tanzania, Rwanda, Malawi na hata Af&#341;ika Kusini. Baadhi wanataka kupata aji&#341;a bo&#341;a lakini wanaishia katika aji&#341;a za kushu&#341;utishwa au utumwa,&#8221; ofisa mipango katika kituo cha utetezi na ushau&#341;i wa kishe&#341;ia katika shi&#341;ika la T&#341;anspa&#341;ency Inte&#341;national, Fatuma Asaad, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Katibu Mkuu wa Wiza&#341;a ya Nchi kuhusu Uhamiaji na Usajili wa watu nchini Kenya, Emmanuel Kisombe, anasema Kenya imetunga she&#341;ia sahihi za kupambana na usafi&#341;ishaji wa binadamu. She&#341;ia ya Kupambana na Usafi&#341;ishaji wa Binadamu ilisainiwa na Rais Mwai Kibaki mwaka 2010.<\/p>\n<p>&#8220;Chini ya she&#341;ia hiyo, kufanya biasha&#341;a ya usafi&#341;ishaji wa binadamu kwa sasa ni kosa la jinai linaloweza kuadhibiwa au kwa kifungo cha miaka 30 jela na faini ya zaidi ya dola 300,000,&#8221; anasema Kisombe.<\/p>\n<p>Lakini Kiu&#341;a ana wasiwasi kama she&#341;ia bo&#341;a itaweza kudhibiti usafi&#341;ishaji wa binadamu. Aliiambia IPS kuwa &#341;ushwa imejipenyeza katika mfumo mzima wa usalama wa nchi na ida&#341;a za uhamiaji zinapaswa kusimamia she&#341;ia.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa shi&#341;ika la kufuatilia usafi&#341;ishaji wa binadamu nchini Kenya, mitandao hiyo ina uhusiano na wanasiasa, maofisa waandamizi wa polisi, mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali, maofisa waandamizi wa uhamiaji, maofisa wa mashi&#341;ika ya ndege na maofisa wa uhamiaji katika nchi mbalimbali.<\/p>\n<p>&#8220;Watu hawa wenye nguvu, ikiwa ni pamoja na wanadiplomasia na mawazi&#341;i nchini Kenya, wamebadili upatikanaji wa viza katika sekta inayokua ambayo inaweza kulinganishwa tu na uha&#341;amia, kwa kuuza viza kwa bei ya kati ya dola 10,000 hadi 15,000 kwa kila moja kwa viongozi katika mitandao,&#8221; shi&#341;ika hilo linasema. <\/p>\n<p>Ofisa wa Polisi wa Jimbo katika Jimbo la Pwani, Agg&#341;ey Adoli, anasema watu 140 wanakamatwa kila wiki baada ya kuingizwa nchini kinyume na she&#341;ia au kusafi&#341;ishwa hadi Kenya na kufikia watu waliokamatwa 7,280 kwa mwaka. <\/p>\n<p>&#8220;Hii ni sehemu ndogo tu kama kipande cha ba&#341;afu katikati mwa baha&#341;i kwani uhamiaji ha&#341;amu umeongezeka katika siku za ka&#341;ibuni kutokana na ukame na vita,&#8221; Adoli anasema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>RIFT VALLEY, Kenya, Dec 5 (IPS) &ndash; Amina Shaki&#341; (siyo jina lake halisi) alikimbia ukame na njaa nchini Somalia ili kupata maisha bo&#341;a nchini Kenya. Lakini alifanya hivyo kinyume cha she&#341;ia, na kuweka imani yake mikononi mwa mtandao wa uhalifu unaoongozwa na Mukhalis au wakala kwa jina la Kiswahili. Mwisho wake imani yake ilipotea wakati&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":872,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3771","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3771","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/872"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3771"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3771\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3771"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3771"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3771"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}