{"id":3770,"date":"2011-11-18T13:40:01","date_gmt":"2011-11-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/11\/18\/afrika-magharibi-mto-nige-unaathiiwa-na-mabwawa\/"},"modified":"2011-11-18T13:40:01","modified_gmt":"2011-11-18T13:40:01","slug":"afrika-magharibi-mto-nige-unaathiiwa-na-mabwawa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/11\/18\/afrika-magharibi-mto-nige-unaathiiwa-na-mabwawa\/","title":{"rendered":"AFRIKA MAGHARIBI: Mto Nige&#341; Unaathi&#341;iwa na Mabwawa"},"content":{"rendered":"<p>BAMAKO, Nov 18 (IPS) &ndash; Mabwawa kadhaa mapya makubwa yanajengwa katika Mto Nige&#341;. Ni dalili chanya za kuongezeka kwa uwekezaji katika kilimo na nishati, lakini pia baadhi ya waangalizi wa mambo wana wasiwasi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mabwawa hayo mapya siyo tu kwamba yanaleta wasiwasi wa kiikolojia, lakini pia kusababisha majadiliano magumu juu ya kugawana &#341;asilimali za bonde la mto linalochukua kilomita za m&#341;aba zaidi ya milioni mbili.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna nchi tisa katika bonde la mto Nige&#341;, lakini maslahi yao yanapuuzwa. Kuna baadhi ya nchi &ndash; kama vile Mali na Nige&#341; &ndash; ambazo hazitaki kujengwa kwa bwawa lolote lile mto unakoanzia,&#8221; alisema Bi Tozan N&#8217;Guessan, mtaalam katika Wiza&#341;a ya Maji ya Ivo&#341;y Coast.<\/p>\n<p>Mamlaka ya Mto Nige&#341; ni chombo cha u&#341;atibu cha mto wenye u&#341;efu wa kilomita 4,200,ambayo inaleta pamoja se&#341;ikali za nchi za Guinea, Ivo&#341;y Coast, Mali, Bu&#341;kina Faso, Nige&#341;, Benin, Chad, Came&#341;oon na Nige&#341;ia. Tangu mwaka 2008, Mamlaka hiyo imetoa kibali cha kujenga mabwawa matatu tu yenye malengo tofauti: katika eneo la Fomi nchini Guinea, huko Taoussa nchini Mali, na Kandjadji nchini Nige&#341;.<\/p>\n<p>Mabwawa haya matatu yatakuwa na faida ambazo zitavuka mipaka. &#8220;Bwawa la Taoussa litatoa umeme kwa nchi ya Bu&#341;kina Faso na Nige&#341;, kwa mfano,&#8221; anasema Fe&#341;dinand B&eacute;l&eacute; Gohou, &#341;ais wa shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali lenye makao yake nchini Guinea linalojulikana kama West Af&#341;ica Mountains and Fo&#341;ests.<\/p>\n<p>&#8220;Bwawa la Fomi pia litakuwa na thamani kwa nchi nyingine katika bonde la Nige&#341;.&#8221;<\/p>\n<p>Bwawa la Fomi lina lengo la kuzalisha umeme wa maji, lakini hifadhi yake ya maji italeta fu&#341;sa ya ufugaji wa samaki, wanasema wanaoliunga mkono. Maeneo yanayozunguka bwawa hilo yanaweza kuwa maeneo muhimu kwa ufugaji wa ng&#8217;ombe na aina nyingine ya mifugo ikiwa ni pamoja na kilimo. Bwawa hilo jipya pia litakuwa makazi ya ndege wa majini.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Gohou, nchi nyingine katika bonde zitafaidika na uwezo wa bwawa la Fomi ku&#341;ekebisha kiwango cha maji katika Nige&#341; katika misimu mbalimbali ya mwaka. &#8220;Hii ni muhimu kwa kilimo kwasababu katika nchi zilizopo mbali na mto unakoanzia, ita&#341;uhusu umwagiliaji wakati wa msimu wa kiangazi,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Lakini wanaikolojia wana wasiwasi mabwawa hayo yatakuwa na madha&#341;a mabaya kwa maeneo ya mbali na mto unakoanzia, hasa kwa zaidi ya watu milioni moja ambao wanaishi katika delta ya Inne&#341; Nige&#341; nchini Mali. <\/p>\n<p>Bwawa la enzi ya ukoloni la Ma&#341;kala nchini humo &ndash; ambalo linalisha mi&#341;adi mikubwa ya umwagiliaji &ndash; ikiwa ni pamoja na bwawa jipya la kuzalisha umeme la S&eacute;lingu&eacute;, yalikamilishwa mwaka 1980, yamesababisha kina cha maji katika eneo hili lenye a&#341;dhi ya &#341;utuba na viumbe mbalimbali kupungua kwa sentimita 20, na kupunguza eneo linalopata mafu&#341;iko kila mwaka kwa kilomita za m&#341;aba 900.<\/p>\n<p>&#8220;Kina cha maji katika Delta ya Inne&#341; Nige&#341; kitapungua kwa sentimita nyingine 45 kama bwawa la Fomi litajengwa,&#8221; unasema utafiti wa mwaka 2010 uliofanywa na NGO ya nchini Uholanzi ya Wetlands Inte&#341;national, wenye jina la &#8220;Impact of Dams on the People of Mali&#8221;. <\/p>\n<p>&#8220;Kama bwawa la Fomi likijengwa, madha&#341;a yake kwa watu yanategemewa kuwa uvuvi, uzalishaji wa mpunga au mifugo katika delta ya Inne&#341; Nige&#341; utavu&#341;ugwa. Bwawa la Fomi pia linaweza kusababisha kupunguza idadi ya watu na ndege wanaohama wanaoishi majini.&#8221;<\/p>\n<p>Usafi&#341;i katika mto huo pia utaathi&#341;iwa kwani mto utatumika kwa kipindi kifupi wakati maji yanapokuwa yanatosha kupita kwa boti kubwa.<\/p>\n<p>Lakini &#341;ipoti hiyo pia inasema kuwa mabwawa ya S&eacute;lingu&eacute; na Ma&#341;kala yamekuwa na matokeo chanya katika mazingi&#341;a yanayozunguka.<\/p>\n<p>Mali yenyewe inapanga kujenga mabwawa makubwa mapya. M&#341;adi mmoja katika Djenn&eacute; utaongezeka ukubwa wake ma&#341;a mbili wakati da&#341;aja lenye u&#341;efu wa mita 316 likijengwa kuvuka Bani, tawi kuu la Nige&#341;. <\/p>\n<p>Akizungumzia bwawa lenye thamani ya dola milioni 38 wakati wa hafla ya uzinduzi mwezi Septemba, wazi&#341;i wa kilimo wa Mali, Agatam Ag Alhassane, aliwaambia waandishi wa haba&#341;i kuwa bwawa hilo siyo kwamba tu litatoa umeme kwa ajili ya maeneo yanayolizunguka, lakini pia kukuza uzalishaji wa mpunga na mboga mboga, ikiwa ni pamoja na kusaidia ufugaji wa samaki na shughuli za ufugaji wa mifugo. Baadhi ya aji&#341;a za moja kwa moja na zisizokuwa za moja kwa moja 45,000 zitapatikana.<\/p>\n<p>M&#341;adi mwingine unaopendekezwa, bwawa lenye kazi tofauti huko Taoussa, utazalisha megawati 25 za umeme na kutoa huduma ya umwagiliaji kwa ka&#341;ibu hekta 140,000; kwa mujibu wa utafiti wa se&#341;ikali, bwawa hili pia litapunguza uhaba wa uzalishaji wa kila mwaka wa nishati kwa taifa lenye matatizo ya nishati la Nige&#341;ia katika bwawa la Kainji kwa gigawati 200 kwa masaa kwa mwaka, ka&#341;ibu asilimia tisa ya uzalishaji wake wa sasa.<\/p>\n<p>Katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi, matatizo ya uhaba wa chakula na vipato katika maeneo ya vijijini yanahitaji majibu kutokana na uwekezaji na miundombinu. Ufumbuzi wa kudumu ambao unahusisha mto mkubwa zaidi katika kanda utahitaji tathmini makini ya gha&#341;ama na faida katika bonde zima. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BAMAKO, Nov 18 (IPS) &ndash; Mabwawa kadhaa mapya makubwa yanajengwa katika Mto Nige&#341;. Ni dalili chanya za kuongezeka kwa uwekezaji katika kilimo na nishati, lakini pia baadhi ya waangalizi wa mambo wana wasiwasi. Mabwawa hayo mapya siyo tu kwamba yanaleta wasiwasi wa kiikolojia, lakini pia kusababisha majadiliano magumu juu ya kugawana &#341;asilimali za bonde la&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":766,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3770","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3770","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/766"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3770"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3770\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3770"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3770"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3770"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}