{"id":3769,"date":"2011-11-18T13:40:01","date_gmt":"2011-11-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/11\/18\/dr-congo-wagombea-wanawake-wanahitajika\/"},"modified":"2011-11-18T13:40:01","modified_gmt":"2011-11-18T13:40:01","slug":"dr-congo-wagombea-wanawake-wanahitajika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/11\/18\/dr-congo-wagombea-wanawake-wanahitajika\/","title":{"rendered":"DR CONGO: Wagombea Wanawake Wanahitajika"},"content":{"rendered":"<p>Bakiman, Nov 18 (IPS) &ndash; Wanawake ni asilimia 12 tu ya wagombea wapatao 18,000 ambao watagombea katika uchaguzi wa ubunge katika Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo utakaofanyika Nov. 28.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kwa mujibu wa shi&#341;ika linalopigania usawa wa kijinsia la Pe&#341;manent F&#341;amewo&#341;k fo&#341; Dialogue fo&#341; Congolese Women, ni wanawake 42, au asilimia 8.4 tu, katika Bunge la Makabwela la sasa lenye wabunge 500 ni wanawake.<\/p>\n<p>Na kuna wajumbe wa Seneti watano tu kati ya wajumbe 108, ambao wanawakilisha asilimia 4.4, wakati kuna wajumbe wa majimbo wanawake 43 tu, au asilimia 6.8 ya jumla ya wajumbe 632.<\/p>\n<p>Vyama vikuu vinapuuza usawa wa kijinsia <\/p>\n<p>Itifaki ya Jinsia na Maendeleo ya Kusini mwa Af&#341;ika, iliyopitishwa na nchi wanachama wake ikiwa ni pamoja na DRC mwaka 2008, inataka asilimia 50 ya nafasi zote za utoaji wa maamuzi kushikiliwa na wanawake ifikapo mwaka 2015.<\/p>\n<p>Itifaki hiyo inataka se&#341;ikali kutokukuza uelewa tu wa uhusiano uliopo kati ya utawala bo&#341;a na uwakilishi sawa wa wanawake katika utoaji wa maamuzi, lakini pia kuchukua hatua za kishe&#341;ia na hatua nyingine ikiwa ni pamoja na upendeleo wa kijinsia. Lakini kuna dalili chache kuwa vyama vikuu vina nia ya kufikia malengo hayo.<\/p>\n<p>Katika jukwaa lake la kampeni, lililotangazwa mwezi Septemba mjini Kingakati, ka&#341;ibu na Kinshasa, Rais Joseph Kabila &ndash; ambaye anagombea u&#341;ais kwa ma&#341;a ya pili Nov. 28 &ndash; alielezea DRC kama taifa &#8220;linaloibukia&#8221;, lenye hifadhi kubwa ya maa&#341;ifa na ujuzi, na taifa lenye nguvu katikati mwa Af&#341;ika, lakini hakusema kitu juu ya kushughulikia madai ya wanawake.<\/p>\n<p>Vile vile kwa p&#341;og&#341;amu iliyoanzishwa na kiongozi mkuu wa upinzani, Etienne Tshisekedi, wa chama cha Union fo&#341; Democ&#341;acy and Social P&#341;og&#341;ess, ambaye amesisitiza juu ya uzalendo, umoja wa kitaifa, maendeleo na mabadiliko ya kubo&#341;esha utawala wa nchi.<\/p>\n<p>F&#341;an&ccedil;oise Ikwapa, kutoka shi&#341;ika la League of Women fo&#341; Development, Education and Democ&#341;acy, ana imani kuwa majukwaa hayo mawili ya wagombea wawili wakuu wa u&#341;ais hayajaonyesha kitu juu ya usawa wa kijinsia, hata kama Kifungu cha 14 cha katiba kinataka se&#341;ikali kufanyia kazi jambo hili.<\/p>\n<p>Wanawake wanahitaji uwakilishi mzu&#341;i <\/p>\n<p>Wanawake wa Kongo wanakabiliwa na changamoto kubwa, kwa mujibu wa mku&#341;ugenzi Jacquie Rumbu wa shi&#341;ika la National Agency fo&#341; Combating Violence Against Women and Gi&#341;ls. &#8220;DRC ina sifa ya kuwa na umaskini unaofuata misingi ya kijinsia na migogo&#341;o imeongeza kukosekana kwa usawa.&#8221;<\/p>\n<p>Pamoja na kuwepo kwa Ujumbe wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa mkubwa kuliko yote wa MONUSCO, vikundi vya wapiganaji ikiwa ni pomoja na kikundi cha Democ&#341;atic Fo&#341;ces fo&#341; the Libe&#341;ation of Rwanda (kikundi cha waasi wa Rwanda waliokimbia nchi yao kijulikanacho kwa kifupi cha Kifa&#341;ansa kama FDLR) na vikosi vya jeshi la DRC, wanalaumiwa kwa kuendelea kufanya ubakaji bila kujali, hasa masha&#341;iki mwa nchi. <\/p>\n<p>Makala katika toleo la Feb&#341;ua&#341;i la ja&#341;ida la MONUSCO ilisema, &#8220;Wanawake wapatao 200,000 walibakwa nchini DRC wakati wa vita vilivyodumu miaka 12.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa upande mwingine, ndoa za utotoni na upatikanaji duni wa huduma za afya wakati wa mimba na kujifungua watoto unaweka wanawake katika hata&#341;i kubwa kimaisha.<\/p>\n<p>&#8220;Nchini DRC, vifo vya uzazi ni 549 kwa kila watoto 100,000 wanaozaliwa wakiwa hai,&#8221; anasema Dk P&#341;otais Musindo, Mku&#341;ugenzi Msaidizi wa Mpango wa Taifa wa Afya na Uzazi, akitoa mfano wa utafiti wa ka&#341;ibuni wa idadi ya watu na afya, uliofanyika mwaka 2008.<\/p>\n<p>Wanawake wanaojiamini wanasonga mbele <\/p>\n<p>Wagombea wanawake wanazidi kuwa na sauti katika suala hili na masuala mengine wakati mashi&#341;ika kadhaa yasiyokuwa ya kise&#341;ikali yakiongeza ma&#341;a mbili jitihada zao za kuongeza idadi ya wanawake viongozi waliochaguliwa kwa ku&#341;a, ikiwa ni pamoja na kuanzisha mizunguko ya uongozi ya wanawake na kliniki za uchaguzi ambazo zinasaidia wagombea katika kampeni zao. Majukwaa kadhaa yaliandaliwa kwa lengo hili nchini kote kati ya mwaka 2010 na 2011.<\/p>\n<p>&#8220;Kama nikichaguliwa kuwa mbunge, nitaja&#341;ibu kupendekeza she&#341;ia ambazo zitawezesha wanawake kuwa na uhu&#341;u wa kiuchumi na kupambana dhidi ya umaskini,&#8221; anasema Geo&#341;gette Biebie, mgombea katika jimbo la Kikwit, kusini masha&#341;iki mwa DRC. Ni mgombea kwa tiketi ya chama cha Alliance fo&#341; the Renewal of the Congo.<\/p>\n<p>Akihojiwa na IPS katika mji mkuu wa Kongo, Kinshasa, Biebie pia aliahidi kuwa mshi&#341;iki kamili katika bunge ili kuwezesha se&#341;ikali kuchukua hatua za kupunguza vifo vya uzazi na kutumia she&#341;ia vizu&#341;i kulinda watoto, wanawake na watu wenye ulemavu.<\/p>\n<p>Biebie anaongeza: &#8220;Nitachukua hatua ya kupambana na unyanyasaji dhidi ya wanawake, katika ha&#341;akati dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi, na kupata fedha za kuhifadhi mazingi&#341;a kuwezesha wanawake kuendelesha kilimo huku wakitunza misitu.&#8221;<\/p>\n<p>Jeanne Lembwa Kabange, mgombea katika mji wa kusini masha&#341;iki wa Lubumbashi kwa tiketi ya chama cha Movement fo&#341; the Integ&#341;ity of the People, anapanga kutetea she&#341;ia ambayo inalinda wanawake, lakini anasema wanawake hawapaswi kuwaona wanaume kama adui. &#8220;Wanawake hawapaswi kutelekeza wenzao wa kiume. Wakiwa pamoja, watasaidia kuendeleza nchi,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Chantal Malamba, mgombea kwa chama cha Action fo&#341; Development katika jimbo la Mabimba, kusini magha&#341;ibi mwa nchi, anasema kama akichaguliwa, atatoa kipaumbele katika suala la kuongeza kipato, usalama na maendeleo. &#8220;DRC inakabiliwa na matatizo makubwa ya upatikanaji wa maji na umeme, mbali na matatizo mwiba ya umaskini na uhaba wa aji&#341;a.&#8221;<\/p>\n<p>Maoni mchanganyiko toka kwa wapiga ku&#341;a <\/p>\n<p>Alipoulizwa juu ya ahadi zilizotolewa na wagombea hawa wanawake, Yvette Mova, mke wa nyumbani katika wilaya ya mjini Kinshasa ya N&#8217;djili, anasema mipango ya wagombea wanawake inavutia.<\/p>\n<p>&#8220;Wanawake hawatakiwi ku&#341;udi nyuma, kwasababu wana uwezo na wanafanya kazi kwa bidii kama ilivyo wanaume. Nitampigia ku&#341;a mmoja wao hapo Nov. 28. Hata ningependa kuwa na mgombea u&#341;ais mwanamke ili kuleta mabadiliko katika nchi hii. Lakini hakuna mgombea mwanamke katika nafasi hii,&#8221; anaiambia IPS.<\/p>\n<p>Solange Mukwanga, mchuuzi katika soko la Libe&#341;t&eacute; katika wilaya ya Masina kwenye mji mkuu, ana matumaini machache. &#8220;Sina imani na wagombea wanawake. Wanakosa hoja na dhaifu mno pamoja na kuwa na mipango mizu&#341;i,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Kwa Didie&#341; Mboma, mwanaha&#341;akati wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia, wagombea wanawake wana nafasi nzu&#341;i ya kuchaguliwa. &#8220;Wanaweza kushinda viti kwa u&#341;ahisi kama wanawake wengine, ambao ni zaidi ya asilimia 51 ya wapiga ku&#341;a, watawachagua. Baadhi ya wanaume pia watawapigia ku&#341;a kama wakivutiwa nao,&#8221; anaiambia IPS. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Bakiman, Nov 18 (IPS) &ndash; Wanawake ni asilimia 12 tu ya wagombea wapatao 18,000 ambao watagombea katika uchaguzi wa ubunge katika Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo utakaofanyika Nov. 28. Kwa mujibu wa shi&#341;ika linalopigania usawa wa kijinsia la Pe&#341;manent F&#341;amewo&#341;k fo&#341; Dialogue fo&#341; Congolese Women, ni wanawake 42, au asilimia 8.4 tu, katika Bunge la&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":814,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3769","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3769","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/814"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3769"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3769\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3769"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3769"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3769"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}