{"id":3767,"date":"2011-11-18T13:40:01","date_gmt":"2011-11-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/11\/18\/ghana-washitakiwa-wa-zamani-wapata-matumaini-mapya\/"},"modified":"2011-11-18T13:40:01","modified_gmt":"2011-11-18T13:40:01","slug":"ghana-washitakiwa-wa-zamani-wapata-matumaini-mapya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/11\/18\/ghana-washitakiwa-wa-zamani-wapata-matumaini-mapya\/","title":{"rendered":"GHANA: Washitakiwa wa Zamani Wapata Matumaini Mapya"},"content":{"rendered":"<p>ACCRA, Nov 17 (IPS) &ndash; Katika um&#341;i wa miaka 56, F&#341;aze&#341; Ayee ana mambo mengi ya kuangalia nyuma. Alikuwa mwizi wa kutumia nguvu na mtekaji nya&#341;a. Alishi&#341;iki katika ghasia huko Togo na Libe&#341;ia. Mwaka 1988 alihukumiwa kifo na mfumo duni wa mahakama nchini Ghana, ambao uliundwa na dikteta wa wakati huo Je&#341;&#341;y John Rawlings.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Baada ya miaka 14, hukumu yake ilibadilishwa na kuwa kifungo cha maisha, na kuepuka kupigwa &#341;isasi, hata kama wahalifu wenzake 19 walinyongwa. <\/p>\n<p>Mwaka 2009, wakati Rais John Atta Mills alipoingia mada&#341;akani, Ayee aliachiliwa hu&#341;u ikiwa ni pamoja na wafungwa wengine wa mahakama hiyo. <\/p>\n<p>Sasa ni kiongozi wa School of Resto&#341;ation, p&#341;og&#341;amu ya kijamii na ya kuwa&#341;ejesha kwenye jamii wafungwa inayoendeshwa na Royalhouse Chapel, taasisi kubwa ya kidini mjini Acc&#341;a. <\/p>\n<p>Jamii ya Ghana ilikataa wafungwa hao wa zamani, na hata wafungwa ambao hawajapitia mashitaka lakini, kutokana na mfumo wa she&#341;ia usiokuwa na &#341;asilimali za kutosha, wametumikia miaka kadhaa ya maisha yao wakiwa &#341;umande. <\/p>\n<p>Isido&#341;e Tufuo&#341; ni mwanashe&#341;ia na msimamizi wa Access to Justice, shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali linaloja&#341;ibu kushughulikia suala la &#341;umande. Anasema kuwa hakuna p&#341;og&#341;amu kwa wafungwa wa zamani nchini Ghana mbali na zile zilizopo katika taassi za mashitaka zenyewe. Ma&#341;a wanapokuwa nje, wanaondolewa kabisa. <\/p>\n<p>&#8220;Kama unakuwa jela, na unatoka, unakuja kuanza maisha mapya,&#8221; anasema. &#8220;Ni mtu hu&#341;u. Unapaswa kutoka na kukabiliana na dunia. Huna mahala pa kulala. Unaishi kwa bajeti ndogo sana. Unapaswa kukabiliana na hali hiyo. Na kwa wale ambao hawawezi kukabiliana na hali na hawana &#341;afiki au familia, wanapaswa kuishi tena; kuishi kupitia uhalifu.&#8221;<\/p>\n<p>Royalhouse inawaka&#341;ibisha, inawapatia nguo, nyumba, elimu, huduma za afya na aji&#341;a, ambazo zote zinafadhiliwa na msaada kutoka kwa waumini.<\/p>\n<p>&#8220;Na siyo mimi pekee,&#8221; anasema Ayee. &#8220;Watu wengi kutoka jela &ndash; wezi wa kutumia nguvu, watumiaji wa madawa ya kulevya, wabakaji &ndash; wote wanapatikana katika School of Resto&#341;ation.&#8221;<\/p>\n<p>Mfumo wa kijamii wa Ghana ni jambo la kujenga msingi. Wahalifu wengi ni wazee mno kuingia katika Mpango wa Aji&#341;a wa Vijana wa Taifa, ambao unaishia katika um&#341;i wa miaka 35. Wachache wao wanahitimu kuingia katika Mpango wa Kupambana na Umaskini na Kuinua Kipato, kutokana na kuwa siyo wazee sana, wasiokuwa na uwezo, au wazazi wasiokuwa na wenzi wao wanaotunza yatima au watoto wanaoishi katika mazingi&#341;a magumu.<\/p>\n<p>School of Resto&#341;ation ilianzishwa Janua&#341;i na mwanzilishi na Mchungaji wa kanisa la Apostle Gene&#341;al, Sam Ko&#341;ankye&ndash;Ank&#341;ah, na inaongozwa na mke wake, Rita. Wahamfiu ishi&#341;ini wa zamani na watumiaji wa madawa ya kulevya wamejiunga na mpango huo, na wengine 50 wako katika o&#341;odha ya kusubi&#341;i. <\/p>\n<p>Siku za Jumatatu na Alhamisi, wanashi&#341;iki katika mada&#341;asa ya sala ya toba, kusameheana, kufanya kazi pamoja na kuhakikisha wanaondokana na hasi&#341;a. Katika wiki nzima, wanafanya kazi ndani ya eneo la kanisa, na kusaidia uka&#341;abati na upanuzi. Kila mmoja wao analipwa dola 6.20 kwa siku. Wakati wanapohitaji msaada wa kitabibu, nguo, chakula, au shule, Royalhouse Chapel inajiwapatia.<\/p>\n<p>&#8220;Ni kazi ngumu,&#8221; anasema Rita Ko&#341;ankye&ndash;Ank&#341;ah. &#8220;Wanakuja na hasi&#341;a kubwa, wakiwa wameje&#341;uhiwa, &#341;ahisi mno kufanya jambo lolote baya.<\/p>\n<p>&#8220;Wengi wanakuja na kuondoka. Wanapokuwa katika jamii, wanakataliwa, wanatelekezwa, wanapuuzwa.&#8221;<\/p>\n<p>Ni watu kama F&#341;ede&#341;ick Kwao mwenye um&#341;i wa miaka 33, ambaye alitumikia miaka mitano katika ge&#341;eza kutokana na ubakaji. Anasema &#341;afiki wake wa kike alipata mimba alipokuwa shule ya sekonda&#341;i, na wazazi walitaka kuitoa. Alikataa, na polisi walijitokeza katika nyumba yao na kumkamata.<\/p>\n<p>Na ni watu kama Pat&#341;ick Doe mwenye um&#341;i wa miaka 26, ambaye alikwenda jela kwa miaka mitano baada ya kushi&#341;iki katika utapeli na uhalifu kwenye kikundi kilichojulikana kama Butche&#341; Boys.<\/p>\n<p>Wote wamevumilia mazingi&#341;a mabaya ya mfumo wa mage&#341;eza ya Ghana, ambapo vyumba vimesongamana, na wanaume wanalala bila magodo&#341;o wala mablanketi. Wanakula chakula kibovu na kuoga bila sabuni au maji safi. Wanajisaidia haja kubwa kwenye ndoo. Wanavumilia ghasia. Wanapokuwa wagonjwa, wanapelekwa hospitali na kupigwa sindano ambazo zimeshatumika kwa wafungwa wengine kadhaa. Uwezekano ni mkubwa mno kuambukiwa kifua kikuu na VVU. <\/p>\n<p>&#8220;Kama mtu akifa&#341;iki dunia,&#8221; anasema Doe, &#8220;analazwa katika mahali ambapo tunalala hadi walinzi watakapokuwa taya&#341;i kuondoa mwili huo.&#8221;<\/p>\n<p>Na hilo linaweza kuchukua siku kadhaa.<\/p>\n<p>&#8220;Mambo yalikuwa magumu kwangu mimi katika jela,&#8221; anasema Ayee, &#8220;Hivyo ilibidi kuwasiliana na baadhi ya maofisa kuniletea dawa na siga&#341;a kwa ajili ya kuziuza, ili kupata chakula.&#8221;<\/p>\n<p>Watu hawa wamepata ahueni katika dini. Walisikiliza wachungaji wa mage&#341;eza. Walishi&#341;iki mafunzo ya biblia. Baadhi yao, kama Kwao, alifaulu maja&#341;ibio ya kuanzisha vikundi vyao vya mafunzo. Walipoachiliwa, waliingia katika dunia iliyobadilika ambayo iliwapatia msaada mdogo, na machaguo yao hayakuweza kuendelea mbele. <\/p>\n<p>Wanamwita Sam Ko&#341;ankye&ndash;Ank&#341;ah &#8220;mtu wa Mungu,&#8221; na wengi wao walisikia sauti yake kwa ma&#341;a ya kwanza kwenye &#341;edio. Alianzisha Royalhouse Chapel miaka 20 iliyopita. Wakati kanisa lilipoanzishwa, lilikuwa na wafuasi 12. Sasa makao makuu ya Acc&#341;a yana waumini 10,000, na kuna matawi 200 nchini kote Ghana, huku kukiwa na matawi nchini Ma&#341;ekani na Uinge&#341;eza. <\/p>\n<p>Katika toleo la ka&#341;ibuni la kitabu cha Mwongozo wa Biasha&#341;a cha Ghana, Sam Ko&#341;ankye&ndash;Ank&#341;ah alionekana kama mmoja wa wachungaji mataji&#341;i zaidi nchini. Ana nyumba ya kifaha&#341;i, na kwa uchache mmoja wa watoto wake anasoma nje ya nchi.<\/p>\n<p>&#8220;Wakati nimeachiliwa,&#8221; anasema Kwao, &#8220;Nilisikia mtu wa Mungu akizungumza katika &#341;edio juu ya wafungwa walioachiliwa, watumiaji wa madawa ya kulevya, walevi, makahaba. Yupo taya&#341;i kwa ajili yao. Waje kwangu. Atawabadilisha. Atawasaidia na kufanya maisha yao ya baadaye kuwa mazu&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>Wanaume wote hawa ni sehemu ya da&#341;aja la kwanza la shule hiyo. Watahitimu wakati wowote kuanzia sasa, ma&#341;a tu kanisa litakapoona wako taya&#341;i, na wanaume wapya wataka&#341;ibishwa kutoka katika o&#341;odha ya kusubi&#341;i. <\/p>\n<p>&#8220;Baada ya kumaliza shule,&#8221; anasema Rita Ko&#341;ankye&ndash;Ank&#341;ah, &#8220;tunaamini tutaweza kuwapatia wote aji&#341;a, kutegemeana ni kwa kiasi gani wanaweza kubadilika.&#8221;<\/p>\n<p>Kuna dalili za mapema za kuvutia. Taya&#341;i mtu mmoja anafanya kazi na kanisa hilo kama mwanamapokezi. Na wengine wawili wameshafanyiwa mahojiano ya kupata aji&#341;a katika dunia isiyokuwa na dini.<\/p>\n<p>&#8220;School of Resto&#341;ation inatusaidia kusahau maisha yetu ya zamani,&#8221; anasema Doe, &#8220;Hivyo tunaweza kuendelea na maisha mapya.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ACCRA, Nov 17 (IPS) &ndash; Katika um&#341;i wa miaka 56, F&#341;aze&#341; Ayee ana mambo mengi ya kuangalia nyuma. Alikuwa mwizi wa kutumia nguvu na mtekaji nya&#341;a. Alishi&#341;iki katika ghasia huko Togo na Libe&#341;ia. Mwaka 1988 alihukumiwa kifo na mfumo duni wa mahakama nchini Ghana, ambao uliundwa na dikteta wa wakati huo Je&#341;&#341;y John Rawlings. Baada&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":886,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3767","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3767","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/886"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3767"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3767\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3767"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3767"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3767"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}