{"id":3765,"date":"2011-11-18T13:40:01","date_gmt":"2011-11-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/11\/18\/tanzania-wanakijiji-waandaa-sheia-ndogo-kutunza-na-kuhifadhi-maliasili-za-pwani-na-bahai\/"},"modified":"2011-11-18T13:40:01","modified_gmt":"2011-11-18T13:40:01","slug":"tanzania-wanakijiji-waandaa-sheia-ndogo-kutunza-na-kuhifadhi-maliasili-za-pwani-na-bahai","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/11\/18\/tanzania-wanakijiji-waandaa-sheia-ndogo-kutunza-na-kuhifadhi-maliasili-za-pwani-na-bahai\/","title":{"rendered":"Tanzania: Wanakijiji Waandaa She&#341;ia Ndogo Kutunza na Kuhifadhi Maliasili za Pwani na Baha&#341;i"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Nov 17 (IPS) &ndash; Wanakijiji katika kijiji cha Kiha&#341;aka, Wilayani Bagamoyo wametunga she&#341;ia ndogo ya kutunza na kuhifadhi maliasili za Pwani na Baha&#341;i. She&#341;ia ndogo ya kusimamia na kutunza mazingi&#341;a ya kijiji cha Kiha&#341;aka, miongoni mwa madhumuni mengine, inataka kuwezesha na kuima&#341;isha ushi&#341;iki wa wananchi katika kutunza, kutumia na kuhifadhi maliasili zilizopo katika kijiji cha Kiha&#341;aka.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>She&#341;ia hiyo ndogo ya kijiji cha Kiha&#341;aka imeandaliwa na wanakijiji kwa kujengewa uwezo na Ushi&#341;ika wa Kusimamia Rasilimali na Mazingi&#341;a ya Pwani na Baha&#341;i (TCMP) kwa ufadhili wa Shi&#341;ika la Maendeleo ya Kimataifa la Ma&#341;ekani (USAID) Madhumuni mengine ni kusaidia utunzaji wa ikolojia katika misitu ya pwani na baha&#341;i katika kijiji na kuchukuliwa kwa hatua za kishe&#341;ia katika kusimamia maliasili zilizopo ikiwa ni pamoja na uwezo wa kutoa adhabu kwa wale wanaokiuka ta&#341;atibu za usimamizi shi&#341;ikishi wa mipango ya maliasili ya kijiji cha Kiha&#341;aka. She&#341;ia hiyo ndogo inaunda kamati ya maliasili ambayo imepewa jukumu la kusimamia shughuli za maliasili kwa niaba ya se&#341;ikali ya kijiji kwa kuhakikisha kuwa kikosi cha do&#341;ia kimechagua kamanda wa do&#341;ia na kwamba kinatekeleza wajibu wake ikiwa ni pamoja kwenda do&#341;ia angalau ma&#341;a nne kwa mwezi, kukutana angalau ma&#341;a mbili kwa mwezi ikiwa ni pamoja na kutembelea misitu na maeneo tengefu ya baha&#341;i, kuwashughulikia watuhumiwa kwa mujibu wa kanuni, ta&#341;atibu, she&#341;ia ndogo na she&#341;ia zote mama zinazohusu maliasili na mazingi&#341;a. Kamati pia ina kazi ya kuweka takwimu na kutunza kumbukumbu sahihi za masuala yote yanayohusiana na utunzaji wa maliasili, kuandika na kutoa taa&#341;ifa ya utekelezaji wa shughuli za maliasili kwa se&#341;ikali ya kijiji na Halmashau&#341;i ya Wilaya na kuhamasisha wananchi kupanda miti nje na ndani ya hifadhi ya mikoko, katika mialo na kushi&#341;iki katika kuzima moto unapotokea.<\/p>\n<p>She&#341;ia pia inaipatia kamati jukumu la kuteua wawakilishi kufungua akaunti ya maliasili ambao saini zao ndizo zitakazotambulika benki kwa ajili ya kutoa fedha, kuhimiza na kusimamia uendelezaji wa kuhifadhi maliasili zilizopo na kukusanya, kudhibiti na kutolea taa&#341;ifa za mapato na matumizi ya fedha za kamati na taa&#341;ifa juu ya maendeleo ya uhifadhi wa maliasili kwa halmashau&#341;i ya kijiji na se&#341;ikali ya kijiji. Usimamizi wa maliasili za pwani na baha&#341;i Katika suala la kusimamia maliasili za pwani na baha&#341;i, she&#341;ia inaweka bayana kuwa hakuna mtu yeyote atakaye&#341;uhusiwa kuingia ndani ya msitu wa hifadhi ya mikoko bila kibali kutoka ofisi ya mikoko ya wilaya ya Bagamoyo kupitia kamati ya maliasili ya kijiji. Hakuna mtu yeyote anaye&#341;uhusiwa na she&#341;ia hiyo ndogo kuvuna mikoko bila ya kuwa na leseni. Kwa upande wake jamii imepewa jukumu la kishe&#341;ia la kutoa taa&#341;ifa za uhalifu unaofanyika ndani ya msitu kwa se&#341;ikali ya kijiji, uongozi wa kitongoji au kamati ya maliasili. Kwa mujibu wa she&#341;ia mtu yeyote atakayekutwa akivuna mbao, magogo, mijengo, kuwinda wanyama, kuchoma mkaa, kuchunga mifugo, kuanzisha njia, kuwa na silaha msituni, kuanzisha makazi, kufungua mashamba katika msitu wa hifadhi ya mikoko atakuwa amekwenda kinyume na she&#341;ia.<\/p>\n<p>Pia si &#341;uhusa kwa mtu au kikundi cha watu kuhamisha, kuha&#341;ibu alama za mpaka au mpaka wa hifadhi ya mikoko na maeneo yaliyotengwa kwa shughuli maalum au vielelezo vilivyopo ndani ya msitu wa hifadhi ya mikoko, kuanzisha moto ndani ya msitu wa hifadhi au misitu mingine katika kijiji cha Kiha&#341;aka na mtu yoyote atakayetaka kuchoma moto shambani mwake atatakiwa kutoa taa&#341;ifa kwa uongozi wa kijiji au kitongoji na kuo&#341;odheshwa kwenye dafta&#341;i la kumbukumbu.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa she&#341;ia hiyo, uvunaji wa mbao na mkaa utakao&#341;uhusiwa nje ya msitu wa hifadhi ya mikoko kwa she&#341;ia ya misitu namba 14 ya mwaka 2002, atakaye&#341;uhusiwa kuvuna atatakiwa kutoa ushu&#341;u wa kijiji wa shilingi 300\/= kwa kila kipande cha ubao na shilingi 400\/= kwa gunia la mkaa. <\/p>\n<p>She&#341;ia hiyo pia imeliangalia suala la madini. Kwa mujibu wa she&#341;ia hiyo, mtu yeyote au kikundi cha watu au kampuni aliyepewa kibali cha kufanya uchunguzi wa madini ndani ya msitu wa hifadhi atatakiwa kulipa kijiji shilingi 10,000\/= kila siku za utafiti. Iwapo eneo hilo litagundulika kuwa na madini kijiji kitafaidika na &#341;asilimali hiyo kuwa na hisa ya asilimia 20% katika m&#341;adi huo. <\/p>\n<p>Adhabu kwa wakiukaji wa she&#341;ia Kulingana na she&#341;ia hiyo, mtu, kikundi cha watu au kampuni yeyote itakayotenda kinyume na she&#341;ia ndogo hiyo atakuwa ametenda kosa na atapaswa kupewa adhabu. Moja ya adhabu zilizoanishwa na she&#341;ia hiyo ni pamoja na faini ya shilingi 20,000 au kwenda jela miezi sita au vyote kwa pamoja kama adhabu ya kukutwa na mijengo au fito au kuni ndani ya msitu wa hifadhi. Adhabu nyingine zilizoanishwa na she&#341;ia ndogo ya kijiji ni faini ya shilingi 50,000\/= au kwenda jela miezi sita kwa mtu atakayefungua shamba au kuweka makazi ndani ya msitu wa hifadhi, kubomoa majengo yake na kuondoa mazao na kupanda miti kwenye eneo hilo. Pia adhabu kama hiyo itatolewa kwa mtu atakayekutwa akichoma mkaa ndani ya msitu, kusogeza au kubadili alama za msitu au kusogeza mpaka wa msitu, kuchoma moto na kukata miti na kupasua mbao.  Adhabu inaongezeka kwa mtu atakayekutwa na hatia ya kuchimba mchanga, mawe, udongo au madini ndani ya msitu bila ya kibali au kuchunga mifugo ambapo atatozwa faini ya shilingi 100,000 au kwenda jela miezi sita au vyote kwa pamoja. She&#341;ia muafaka, kwa wakati muafaka She&#341;ia inakuja wakati ambapo suala la hifadhi ya mazingi&#341;a limekuwa likipewa kipaumbele katika ajenda za maendeleo za se&#341;ikali za mitaa, se&#341;ikali za kitaifa na kimataifa kutokana na madha&#341;a makubwa yanayosababishwa na uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a kwa kizazi cha sasa na kijacho. Kwa mujibu wa Se&#341;a ya Mazingi&#341;a ya Taifa ya Mwaka 1997, hifadhi ya mazingi&#341;a ina malengo ya kuhakikisha matumizi endelevu na salama ya &#341;asilimali na yanayozingatia usawa na mahitaji ya vizazi vya sasa na vijavyo bila kuha&#341;ibu mazingi&#341;a wala kuhata&#341;isha afya za watu. Pia ina lengo la kuhifadhi mazingi&#341;a na u&#341;ithi wa asili na unaotokana na shughuli za binadamu ikiwa ni pamoja na viumbe mbalimbali na bayoanuwai ya kipekee nchini Tanzania. She&#341;ia ya Mazingi&#341;a ya Taifa ya mwaka 2004 inatoa haki na kuhimiza wajibu wa kutunza mazingi&#341;a. Kwa mujibu wa she&#341;ia hiyo, kila mtu anayeishi nchini Tanzania ana haki ya kupata maji safi na mazingi&#341;a salama na yenye afya. Kwa upande wa wajibu, she&#341;ia inasema kila mtu anayeishi nchini Tanzania ana wajibu wa kulinda na kihifadhi mazingi&#341;a na kutoa taa&#341;ifa kwa mamlaka husika juu ya shughuli yoyote au hali inayoweza kuathi&#341;i mazingi&#341;a kwa kiasi kikubwa.Kwa upande wake, M&#341;atibu wa Shughuli za upangaji na usimamiaji wa matumizi ya &#341;asilimali za pwani na baha&#341;i wa TCMP, Alieth Mutatina, anasema she&#341;ia hiyo imekuja wakati ambapo kumekuwepo na uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a katika kijiji cha Kiha&#341;aka hasa msitu wa mikoko. &#8220;Kutokana na utafiti wa kutenga maeneo ya ufugaji wa viumbe wa baha&#341;i hasa samaki wa mabwawa uliofanyika mwaka 2010, tuligundua kuna uha&#341;ibifu mkubwa wa mazingi&#341;a &#8220;, anasema Mutatina. &#8220;Tukaamua kuhamasisha wananchi wa kijiji kipya cha Kiha&#341;aka ambacho kilimegwa kutoka kijiji cha Mapinga kutumia she&#341;ia ndogo ya kijiji cha Mapinga kutunga she&#341;ia yao.&#8221; She&#341;ia hiyo itapitia ngazi mbalimbali kabla haijapitishwa kuwa she&#341;ia kamili. Kutoka katika ngazi ya kijiji itakwenda katika ngazi ya timu ya kiufundi ya wilaya, halafu timu ya mazingi&#341;a na maliasili ya madiwani wa wilaya ya Bagamoyo na mwisho itapitishwa na mkutano mkuu wa halmashau&#341;i ya wilaya. Kuandaa she&#341;ia ndogo ndogo kama ya kijiji cha Kiha&#341;aka ni miongoni mwa shughuli zinazofanywa na TCMP katika kusaidia se&#341;ikali za mitaa kutekeleza Mkakati wa Kitaifa wa Kusimamia Mazingi&#341;a ya Pwani (NCS) wa mwaka 2003. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Nov 17 (IPS) &ndash; Wanakijiji katika kijiji cha Kiha&#341;aka, Wilayani Bagamoyo wametunga she&#341;ia ndogo ya kutunza na kuhifadhi maliasili za Pwani na Baha&#341;i. She&#341;ia ndogo ya kusimamia na kutunza mazingi&#341;a ya kijiji cha Kiha&#341;aka, miongoni mwa madhumuni mengine, inataka kuwezesha na kuima&#341;isha ushi&#341;iki wa wananchi katika kutunza, kutumia na kuhifadhi maliasili zilizopo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":536,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3765","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3765","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/536"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3765"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3765\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3765"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3765"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3765"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}