{"id":3764,"date":"2011-11-10T13:40:01","date_gmt":"2011-11-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/11\/10\/somalia-vitisho-vya-kuuawa-vimeshindwa-kuzuia-wanawake-kucheza-mpia-wa-kikapu\/"},"modified":"2011-11-10T13:40:01","modified_gmt":"2011-11-10T13:40:01","slug":"somalia-vitisho-vya-kuuawa-vimeshindwa-kuzuia-wanawake-kucheza-mpia-wa-kikapu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/11\/10\/somalia-vitisho-vya-kuuawa-vimeshindwa-kuzuia-wanawake-kucheza-mpia-wa-kikapu\/","title":{"rendered":"SOMALIA: Vitisho Vya Kuuawa Vimeshindwa Kuzuia Wanawake Kucheza Mpi&#341;a wa Kikapu"},"content":{"rendered":"<p>MOGADISHU, Nov 10 (IPS) &ndash; Wakati wanamgambo wa Al&ndash;Shabaab walipomwita nahodha wa timua ya mpi&#341;a wa kikapu ya taifa la Somalia, Suweys Ali Jama, na kumwambia kuwa alikuwa na mambo mawili ya kuchagua: kuuawa au kuachana na mpi&#341;a wa kikapu, aliamua kuwa hakuwa na chaguo hata moja kati ya hayo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Nitakufa wakati maisha yangu yatakapofikia ukomo &ndash; hakuna mtu ambaye ataniua lakini ni Allah pekee. Sitaacha fani yangu wakati nikiwa hai,&#8221; Jama aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa sasa, mimi ni mchezaji, lakini hata kama nitastaafu ninata&#341;ajia kuwa kocha &ndash; nitaacha tu kucheza mpi&#341;a wa kikapu kama nikishafa&#341;iki,&#8221; Jama alisema. <\/p>\n<p>Kikundi cha wanamgambo kinachohusishwa na Al&ndash;Qaeda kinadhibiti sehemu kubwa ya Somalia na kuchukua ka&#341;ibu nusu ya mji mkuu wanchi hiyo, Mogadishu, hadi kilipojiondoa katika hali ya kushangaza Agosti 6. Hata hivyo, uwepo wa kikundi hicho katika mji unaendelea wakati Al&ndash;Shabaab ilipodai kuhusika katika shambulizi katika mji huo la Okt. 4, ambalo liliua kwa uchache watu 70. <\/p>\n<p>Kwa sasa Jama na wanachama wa timu yake wamepata vitisho vya kuuawa kutoka katika kikundi hicho cha wanamgambo wa Kiislam, ambacho kinachukulia ushi&#341;iki wa wanaume katika michezo kama siyo &#8220;Uislam&#8221;.<\/p>\n<p>Mwezi Agosti 2006 Umoja wa Mahakama za Kiislam Somalia (ICU), kikundi cha mahakama zinazotumia Sha&#341;ia, ulitoa am&#341;i ya kupiga ma&#341;ufuku wanawake wa Somalia kucheza mchezo huo na michezo mingine kwa kusema &#8220;ni u&#341;ithi wa tamaduni za Kik&#341;isto.&#8221; Wakati huo ICU ilidhibiti  Mogadishu, lakini ilipoteza udhibiti wa mji huo Desemba 2006. <\/p>\n<p>Al&ndash;Shabaab, ambayo ni tawi la kijeshi la ICU, haijabadili msimamo wa wanawake wanaocheza mchezo huo na michezo mingine.<\/p>\n<p>Aisha Mohamed, nahodha msaidizi wa timu ya mpi&#341;a wa kikapu ya taifa ya wanawake, alisema wanamgambo hao pia walimtishia.<\/p>\n<p>&#8220;&#8216;Unakuwa na makosa ma&#341;a mbili. Kwanza, wewe ni mwanamke na unacheza michezo, jambo ambalo she&#341;ia za Kiislam zimepiga ma&#341;ufuku. Pili, unawakilisha klabu ya kijeshi ambayo ni viba&#341;aka wa wapagani. Hivyo tutakutafuta kila unapokwenda,&#8217; Kikundi cha Waislam kilinionya katika mazungumzo kwa njia ya simu. Lakini bado ninaendelea na fani yangu,&#8221; Mohamed aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Mohamed ni mmoja wa wachezaji maa&#341;ufu wa timu ya taifa wa klabu za michezo za jeshi la Somalia, Ho&#341;seed. Mama Mohamed ni mfuasi wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake na amekuwa akicheza tangu alipokuwa mtoto.<\/p>\n<p>Mpi&#341;a wa kikapu ni mchezo wa pili kwa umaa&#341;ufu nchini Somalia baada ya mpi&#341;a wa miguu na mbali ya mpi&#341;a wa mikono, ni mchezo pekee ambao unachezwa na wanawake wa Somalia. Hata hivyo, wanawake wanaingiza mishaha&#341;a midogo kama wachezaji wa kulipwa wa mpi&#341;a wa kikapu.<\/p>\n<p>&#8220;Mimi ni binadamu na nina wasiwasi, lakini najua kuwa ni Allah pekee anaweza kuniua,&#8221; Mohamed mwenye miaka 21 alisema akiunga mkono maneno ya Jama. <\/p>\n<p>Kwa hiyo timu hiyo inachukua mazoezi ya Michezo ya Mataifa ya Kia&#341;abu itakayochezwa mwezi Disemba nchini Qata&#341; ndani ya kuta salama kwa &#341;isasi za uwanja wa chuo cha polisi Somalia.<\/p>\n<p>Katika mchana wa jua kali, wanawake waliovalia nguo za michezo huku wakiwa wamefunika vichwa vyao, wanakimbia kutoka upande mmoja wa uwanja hadi mwingine chini ya ulinzi wa polisi wengi. <\/p>\n<p>Kila wiki wanajifunza kwa masaa mawili hapa na wanapumzika tu siku za Alhamisi na Ijumaa &ndash; siku za mapumziko za Waislam.<\/p>\n<p>Katika nyakati za usiku wakati wanawake wanapoondoka wanajifunga nguo za Kiislam ili kuhakikisha wanakuwa salama.<\/p>\n<p>Timu ya kwanza ya taifa ya mpi&#341;a wa kikapu ya wanawake Somalia ilianzishwa mwaka 1970 na ilishi&#341;iki katika mashindano ya Af&#341;ika na kikanda katika miaka kadhaa pamoja na kutokushinda mashindano yoyote, kulingana na Rais wa Tume ya Taifa ya Olympic Aden Hajji Yebe&#341;ow.<\/p>\n<p>Lakini mwaka 2006 kupigwa ma&#341;ufuku kwa wanawake kucheza michezo kulisababisha kudumaa kwa maendeleo ya mchezo wa mpi&#341;a wa kikapu kwa wanawake katika taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki, alisema Naibu Katibu Mkuu wa Shi&#341;ikisho la Mpi&#341;a wa Kikapu Somalia Abdi Abdulle Ahmed.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;ufuku ya kikundi cha Kiislam yalifanya baadhi ya wanawake (kuacha kucheza),kwasababu ya hofu,&#8221; Ahmed aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Rais wa Shi&#341;ikisho la Mpi&#341;a wa Kikapu la Somalia Hussein Ib&#341;ahim Ali alisema kuwa kila ma&#341;a wanawake wanaposhi&#341;iki katika mpi&#341;a wa kikapu unakua, kitu kinacho&#341;ejesha nyuma mchezo huo kama wakisitisha kucheza. <\/p>\n<p>Ma&#341;ufuku ya kikundi cha Kiislam mwaka 2006, ambayo yalisababisha ka&#341;ibu wanawake mia moja kuachana na mchezo huo kutokana na hofu, yalikuwa moja ya sababu ya kudumaa kwa maendeleo ya mchezo. Miongi miwili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini, ilikuwa sababu nyingine. Tangu katikati mwa Julai ukame mkali uliathi&#341;i nchi hiyo, huku njaa ikitangazwa katika mikoa ya kusini mwa Somalia. <\/p>\n<p>Ali aliongeza kuwa kukosekana kwa ufadhili na usalama kulikuwa wauaji wakuu wa mchezo huo nchini Somalia.<\/p>\n<p>&#8220;Hivyo wakati dunia ikitambua kuwa Somalia imepitia katika magumu hayo na wanawake wetu wakicheza katika michezo ya kimataifa, hii itaweza kutangaza kwa kiasi kikubwa nchi hiyo na hasa kwa shi&#341;ikisho la mpi&#341;a wa kikapu,&#8221; Ali alisema.<\/p>\n<p>Kocha wa timu ya wanawake Ali Sheik Mukta&#341; alisema kuwa ana matumaini kuwa timu yake itapata mafanikio katika michezo ijayo ya Mataifa ya Kia&#341;abu.<\/p>\n<p>&#8220;Kuwa na timu ya wanawake ina maana kubwa nchini Somalia,&#8221; Ali alisema.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MOGADISHU, Nov 10 (IPS) &ndash; Wakati wanamgambo wa Al&ndash;Shabaab walipomwita nahodha wa timua ya mpi&#341;a wa kikapu ya taifa la Somalia, Suweys Ali Jama, na kumwambia kuwa alikuwa na mambo mawili ya kuchagua: kuuawa au kuachana na mpi&#341;a wa kikapu, aliamua kuwa hakuwa na chaguo hata moja kati ya hayo. &#8220;Nitakufa wakati maisha yangu yatakapofikia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":874,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3764","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3764","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/874"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3764"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3764\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3764"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3764"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3764"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}