{"id":3759,"date":"2011-11-09T13:40:01","date_gmt":"2011-11-09T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/11\/09\/liberia-kukosekana-kwa-usalama-mpakani-mwa-ivoy-coast-kabla-ya-uchaguzi\/"},"modified":"2011-11-09T13:40:01","modified_gmt":"2011-11-09T13:40:01","slug":"liberia-kukosekana-kwa-usalama-mpakani-mwa-ivoy-coast-kabla-ya-uchaguzi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/11\/09\/liberia-kukosekana-kwa-usalama-mpakani-mwa-ivoy-coast-kabla-ya-uchaguzi\/","title":{"rendered":"LIBERIA: &#8220;Kukosekana kwa Usalama&#8221; Mpakani mwa Ivo&#341;y Coast Kabla ya Uchaguzi"},"content":{"rendered":"<p>GRAND GEDEH COUNTY, Libe&#341;ia, Nov 8 (IPS) &ndash; Wakati Libe&#341;ia inaelekea kwenye uchaguzi wa &#341;ais na wabunge siku ya Jumanne, maofisa ka&#341;ibu na mpaka wa Ivo&#341;y Coast wameonyesha wasiwasi wao na hali ya usalama &ndash; tatizo lililodhihi&#341;ishwa na mashambulizi mawili ya hivi ka&#341;ibuni &ndash; linaweza kuchochea ghasia za kisiasa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wapiga ku&#341;a wa Libe&#341;ia watapiga ku&#341;a katika uchaguzi wa pili kufuatia kuhitimishwa kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka 14 mwaka 2003 ambavyo viliua zaidi ya watu 250,000 na kusababisha kukosekana kwa utulivu katika ukanda mzima. <\/p>\n<p>Rais Ellen Johnson&ndash;Si&#341;leaf, 72, wa Chama cha Unity, ambaye ni mshindi mwenza wa Tuzo ya Amani ya Nobel siku ya Ijumaa, anataka kugombea u&#341;ais kwa muhula wa pili. Rais anayemaliza muda wake anagombea dhidi ya wagombea wengine 15, ikiwa ni pamoja na mmoja kutoka chama cha Cong&#341;ess fo&#341; Democ&#341;atic Change, ambacho hapo awali kilipata ku&#341;a nyingi mwaka 2005 lakini zikawa hazijafikia idadi ya ku&#341;a zilizohitajika hali iliyofanya ku&#341;udiwa kwa uchaguzi (ambapo baadaye akashinda wakati wa ku&#341;udiwa tena kwa uchaguzi huo). <\/p>\n<p>Hakuna uchaguzi unaoaminiwa katika taifa hilo la Af&#341;ika Magha&#341;ibi, lakini waangalizi wa mambo wanategemea kinyang&#8217;anyi&#341;o kitakuwa cha kukabana koo, nap engine kuwa na uwezekano wa ku&#341;ejewa tena kwa uchaguzi mapema mwezi Novemba.<\/p>\n<p>Kipindi cha kampeni kimegubikwa na maneno ya mgawanyiko na wizi wa ku&#341;a ambao baadhi ya waangalizi wa mambo wameonya hali hiyo inaweza kugeuka kuwa ghasia ikitegemeana na matokeo ya uchaguzi. Baadhi wana wasiwasi hii inaweza kusaabisha ghasia kama ambazo zilijitokeza katika taifa la ji&#341;ani la Ivo&#341;y Coast baada ya uchaguzi wan chi hiyo wa mwaka 2010.<\/p>\n<p>Uchaguzi uliopingwa wa mwaka jana Ivo&#341;y Coast ulisababisha vita kati ya vikosi vinavyomuunga mkono Rais Lau&#341;ent Gbagbo na m&#341;ithi wake, Alassane Ouatta&#341;a, ambao ulisababisha wastani wa vifo vya watu 3,000 na kusababisha kufu&#341;ika kwa wakimbizi nchini Libe&#341;ia. Wapiganaji wa kukodiwa kutoka Libe&#341;ia pia waliingizwa kwenye vita na kuna taa&#341;ifa ambazo wafuasi wa Gbagbo wa Ivo&#341;y Coast walikuwa wameingia katika mpaka upande wa Libe&#341;ia.<\/p>\n<p>Co&#341;inne Dufka, mtafiti mwandamizi wa Af&#341;ika Magha&#341;ibi kutoka shi&#341;ika la Human Rights Watch (HRW), alisema kuwa wakati aliamini Walibe&#341;ia walikuwa na nia ya kuleta amani, ni muhimu kukumbuka kiwango ambacho vita ya zamani &#8220;imeweza kujipenyeza katika mipaka inayopitika kiu&#341;ahisi ya nchi hiyo, na kusababisha kumiminika kwa silaha, wapiganaji na wakimbizi, na mateso makubwa kwa binadamu.&#8221;<\/p>\n<p>Thomas Kahn, ofisa wa uhamiaji katika eneo la mpakani la Behai katika Kata ya G&#341;and Gedeh, masha&#341;iki mwa Libe&#341;ia, alipendekeza kuwa se&#341;ikali inapaswa kuongeza ma&#341;a mbili idadi ya sasa ya vikosi vya usalama ili kuzuia bisha&#341;a ha&#341;amu ya silaha ndogo ndogo katika maeneo ya mpakani. Pia alibainisha kuwa wakati wa uchaguzi baadhi ya vikosi vya usalama vitaitwa mpakani kulinda vityuo vua kupigia ku&#341;a mahali pengiune katika kata hiyo.<\/p>\n<p>&#8220;Katika miezi iliyopita kumekuwepo na tatizo nchini Ivo&#341;y Coast, hivyo tunahitaji nguvu zaidi katika mpaka sasa,&#8221; Kahn alisema. &#8220;Inahata&#341;isha hata&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>Je&#341;&#341;y Zeah, mji mkuu wa Behai, pia alisema kuwa anaamini kuwa hakukuwa na usalama wa kutosha katika eneo hilo kuhakikisha usalama wa wakazi.<\/p>\n<p>Mwezi uliopita, HRW iliweka kumbukumbu ya shambulizi lililodaiwa kusxababishwa na wafuasi wa Gbagbo walipo nchini Libe&#341;ia ambalo liliua watu 23 katika vijiji viwili vilivyopo kilomita 25 kusini mwa Ivo&#341;y Coast kwenye mji wa Tai. Shambulizi hilo lilifanana na shambulizi la mpakani la Julai ambalo liliwaua kwa uchache watu nane nchini Ivo&#341;y Coast.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa HRW, mashambulizi hayo yanaaminika kuanzishwa na vijana kutoka Ivo&#341;y Coast &#8220;ambao walishi&#341;iki kama wanamgambo wanaomuunga mkono Gbagbo wakati wa vita vya miezi sita vya baada ya uchaguzi nchini humo&#8221; na sasa wanaishi nchini Libe&#341;ia. Waathi&#341;ika, wakati huo huo, &#8220;walikuwa wanamuunga mkono&#8221; Ouatta&#341;a.<\/p>\n<p>Wanawake na watoto waikuwa miongoni mwa waathitika wa mashambulizi hayo yote mawili. <\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa iliyokuwa ikielezea kiundani juu ya shambulizi la Julai, HRW ilisema: &#8220;mmoja wa mashuhuda alielezea washambuliaji kuwa waliganidsha mtutu wa bunduki mdomoni mwa mwanaume ambaye walimkamata; haladfu wakampiga &#341;isasai. Mwanaume huyo &#341;aia wa Bu&#341;ki Faso aliyeishi katika eneo hilo alikutwa koo lake limekatwa pia.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Makundi haya yenye silaha yanaonekana kuwa na nia ya kusababisha hofu kw awakazi ambao taya&#341;i wameshateseka kwa kiasi kikubwa kutokana na mgogo&#341;o wa baada ya uchaguzi nchini Ivo&#341;y Coast,&#8221; alisema Daniel Bekele, mku&#341;ugenzi wa Af&#341;ika wa HRW.<\/p>\n<p>&#8220;Ujumbe wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa na Libe&#341;ia wanahitaji kusaidia mamlaka ya nchini kuzuia umwagaji wa damu zaidi.&#8221;<\/p>\n<p>Pamoja na wito huu kutoka kwa HRW, Napoleon Viban, kaimu mtendaji mkuu wa ujumbe wa amani wa Libe&#341;ia huko Zwed&#341;u, mji mkuu wa G&#341;and Gedeh, alisema ni jukumu la mamalka ya Ivo&#341;y Coast kuchunguza mashambulizi hayo &ndash; hata kama wahusika wanaaminia kuwa nchini Libe&#341;ia.<\/p>\n<p>Mbali na changamoto za vifaa vya ksuadiia uchunguzi utakaofanywa na mam;laka ya, HRW ilisema kulikuwa na nafasi kwa vikosi vya jeshi la Ivo&#341;y Coast vingesababisha ukiukwaji wa haki za binadamu wakatio wa uchunguzi, akibainisha kuwa utesaji na mauaji yalikuwa &#8220;suala la kawaida wakati wa vita.&#8221;<\/p>\n<p>Wakazi akdhaa wa Tai, mji nchini Ivo&#341;y Coast ambao unapatikana ka&#341;ibu na eneo la mashambulizi, alisema kuwa baada ya shambulizi la Julai 18, vikosi vya Ouatta&#341;a &#8220;waliweka kizuizini mfuasi wa Gbagbo ambaye ni kiongpozi wa kijiji na kumpiga &#341;isasi katikati ya miguu yake wakati wa kumhoji.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Vikmosi vya jeshi la Ivo&#341;y Coast lazima vihakikishe kuwa wale waliofanya mashambulizi hayo, bila kujali msimamo wao wa kisiasa, wanakutana na waathi&#341;ika mbele ya mahakama ya she&#341;ia, na wasiwe wanaamuliwa tu kunyongwa jambo ambalo limekuwa sifa ya mgogo&#341;o wa Ivo&#341;y Coast,&#8221; Bekele alisema.<\/p>\n<p>Wasiwasi juu ya mbinu za vikosi vya Ouatta&#341;a unaonyeshwa na Bleblocoula Sylvain, mkimbizi &#341;aia wa Ivo&#341;y Coast mwenye um&#341;i wa miaka 28 ambaye anaishi G&#341;and Gedeh mji wa Tuzon. Sylvain alipoteza wanafamilia nane wa familia yake wakati wa shambulizi la Machi huko Diboke. Alisema hakuwa na nia ya ku&#341;ejea Ivo&#341;y Coast chini ya Ouatta&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Watu wanaomuunga mkono bado wanaendelea kumiliki silaha,&#8221; Sylvain alisema. &#8220;Ni yeye anayetawala nchi, lakini aliua watu wengi. Sidhani hata siku moja se&#341;ikali hii itaendeleza amani.&#8221;<\/p>\n<p>HRW ilisema mpaka &#8220;ni mgumu kuusimamia, kwasababu ya uf&#341;efu wake na uoto mzito wa asili katika ukanda huo.&#8221; Taa&#341;ifa ilibainisha kuwa Umoja wa Mataifa na se&#341;ikali ya Ivo&#341;y Coast wamekubaliana kupeleka vikosi zaidi katika enepo hilo kufuatia shambyulizi la Septemba 15.<\/p>\n<p>Viban alibainisha kuwa ujumbe huo ulikuwa &#8220;sehemu ya do&#341;ia ya pamoja ya mpakani.&#8221; Pia alisema kuwa wakati lengo la msingi lilikuwa ni kuima&#341;isha vikosi vya usalama vya Libe&#341;ia, ujumbe huo &#8220;utaingilia kati siku zote kulingana na lengo lake.&#8221;<\/p>\n<p>Alisema kuwa wakati alimini kuwa hali mpakani imeendelea kuwa kimya,&#8221;hata katika hali ya mashambulizi ya ka&#341;ibuni, katika hali ya ghasia za uchaguzi Umoja wa Mataifa nchini Libe&#341;ia utafanya &#8220;kazi na se&#341;ikali kuingilia ha&#341;aka sana wakati maisha yanapokuwa hata&#341;ini.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GRAND GEDEH COUNTY, Libe&#341;ia, Nov 8 (IPS) &ndash; Wakati Libe&#341;ia inaelekea kwenye uchaguzi wa &#341;ais na wabunge siku ya Jumanne, maofisa ka&#341;ibu na mpaka wa Ivo&#341;y Coast wameonyesha wasiwasi wao na hali ya usalama &ndash; tatizo lililodhihi&#341;ishwa na mashambulizi mawili ya hivi ka&#341;ibuni &ndash; linaweza kuchochea ghasia za kisiasa. Wapiga ku&#341;a wa Libe&#341;ia watapiga ku&#341;a&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":882,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3759","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3759","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/882"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3759"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3759\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3759"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3759"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3759"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}