{"id":3757,"date":"2011-11-09T13:40:01","date_gmt":"2011-11-09T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/11\/09\/afrika-hatai-zaidi-kuwa-mwanamke-kuliko-askai\/"},"modified":"2011-11-09T13:40:01","modified_gmt":"2011-11-09T13:40:01","slug":"afrika-hatai-zaidi-kuwa-mwanamke-kuliko-askai","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/11\/09\/afrika-hatai-zaidi-kuwa-mwanamke-kuliko-askai\/","title":{"rendered":"AFRIKA: Hata&#341;i Zaidi Kuwa Mwanamke Kuliko Aska&#341;i"},"content":{"rendered":"<p>MIDRAND, Af&#341;ika Kusini, Nov 8 (IPS) &ndash; Wanawake ba&#341;ani Af&#341;ika ambao wanabeba mzigo mkubwa wa vita katika ba&#341;a hilo sasa wanataka kuwa na jukumu kubwa katika kulinda amani.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Azimio linalotaka wanawake kushi&#341;iki katika siasa za kulinda amani na usimamiaji wa migogo&#341;o lilipitishwa Ijumaa katika Jukwaa la Wanawake wa Af&#341;ika 2011 (WPAA).<\/p>\n<p>Chini ya mwamvuli wa Bunge la Af&#341;ika (PAP), mkutano wa WPAA ulisisitiza uha&#341;aka wa kuwa na uwakilishi mzu&#341;i wa wanawake katika ngazi za kitaifa, ambapo wanawake wanaweza kushi&#341;iki kikamilifu katika utoaji wa maamuzi kuzuia vita na migogo&#341;o.<\/p>\n<p>Mkutano wa siku mbili mjini Mid&#341;and kuanzia Sep. 29 hadi Sep. 30 unakuja kabla ya kikao cha pili cha Bunge la Af&#341;ika mwezi Oktoba.<\/p>\n<p>Unyanyasaji wa kijinsia, ambao umekuwa sifa kuu ya vita, unahusishwa zaidi na mahusiano ya jinsia katika utamaduni huo, alisema F&#341;ancoise Labelle wa Mau&#341;itius ambaye ni makamu wa pili wa &#341;ais wa PAP.<\/p>\n<p>&#8220;Ni wakati tu wanawake wanapokuwa na jukumu kamili na kuchukua nafasi za usawa katika michakato ya upatanishi tutaweza kujenga msingi wa amani,&#8221; Labelle alisema.<\/p>\n<p>Mwaka huu unaadhimisha miaka 11 ya Umoja wa Mataifa la 1325, ambalo linatetea haki za wanawake katika mazingi&#341;a ya vita, mazungumzo ya amani na mchakato wa ujenzi upya wa taifa.<\/p>\n<p>Pia linataka kuongezwa kwa uwakilishi wa wanawake katika ngazi zote za utoaji wa maamuzi katika michakato ya kutatua migogo&#341;o na kuleta amani.<\/p>\n<p>Hata hivyo, hakujawahi kuwa na mwendesha mazungumzo ya amani mkuu mwanamke katika Umoja wa Mataifa na wanawake ni chini ya asilimia nane ya wajumbe wanaojadili amani katika Umoja wa Mataifa, wakati ni chini ya asilimia tatu ya wasaini wa mkataba wa amani.<\/p>\n<p>Wanawake na wasichana wa um&#341;i mdogo wanabakia kuathi&#341;ika zaidi wakati na baada ya vita.<\/p>\n<p>&#8220;Ni hata&#341;i zaidi kuwa mwanamke kuliko kuwa aska&#341;i wakati wa vita,&#8221; alisema Rais wa Umoja wa Wanawake wa PAP Mavis Matladi wa Af&#341;ika Kusini. &#8220;Pengine hakuna hata mwanamke mmoja wa Kiaf&#341;ika ambaye hajashuhudia unyanyasaji dhidi ya mwanamke mwingine. Ni ukweli kuwa wanaume wanapigana vita na wanawake wanakuwa waathi&#341;ika; iwe kwa njia ya kuvunjwa kwa miundombinu, kulazimishwa kuwa mtumwa wa ngono au madha&#341;a baada ya vita, mimba za kulazimishwa na magonjwa ya ngono,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Matladi alisema kuwa pamoja na se&#341;ikali katika ba&#341;a kuonyesha dhami&#341;a ya kutafuta ufumbuzi, kumekuwepo na msisitizo juu ya majukumu ya wanawake kabla, wakati na baada ya vita.&#8221;Wanawake ma&#341;a nyingi wanashi&#341;iki pasipokujulikana, lakini wanajulikana kidogo mno katika mfumo &#341;asmi. Kuondolewa huku kunasababisha kushindwa kushughulikia masuala ya wanawake,&#8221; alisema . Ma&#341;ie Louise Ba&#341;icako, Mwenyekiti wa Femmes Af&#341;ica Solida&#341;it&eacute; (FAS), shi&#341;ika la kimataifa lisilokuwa la kise&#341;ikali linalofanyia kazi masuala ya jinsia, maendeleo na amani, alisema kuwa tatizo la ubakaji na unyanyasaji wa kingono linatumika kama silaha na linaendelea kupuuzwa.<\/p>\n<p>&#8220;Tatizo hilo linapita bila kutolewa hukumu na halitambuliwi. Wahusika wakuu wanaachwa hu&#341;u, na kuleta utamaduni mpya wa ubakaji na unyanyasaji wa kingono; Bunge la Af&#341;ika linapaswa kufanya jambo kukabiliana na tatizo hili,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>WPAA ilisikia ushahidi wa waathi&#341;ika wa ubakaji ambao walilengwa wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi nchini Kenya. Kipindi cha baada ya uchaguzi cha mwaka 2007 hadi 2008 kiliacha zaidi ya watu 1,100 wamefa&#341;iki dunia, 3,500 wameje&#341;uhiwa na hadi 600,000 kuyakimbia makazi yao. Kwa mujibu ya Mahakama ya Uhalifu wa Kivita, wakati wa miezi miwili baada ya kukataliwa kwa matokeo ya uchaguzi, &#8220;kulikuwa na mamia ya vitendo vya ubakaji, pengine zaidi ya nyumba 100,000 ziliha&#341;ibiwa katika majimbo sita kati ya majimbo nane nchini Kenya.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa sasa mahakama inaendesha mashitaka ya watu sita wanaotuhumiwa kuchochea ghasia za baada ya uchaguzi. Mwathi&#341;ika wa ubakaji alielezea jinsi alivyobakwa na watu wengi, kuingizwa vitu vya chuma, kumwagiwa tindikali na kuachwa afe wakati nyumba yake ikiwa inaungua moto.<\/p>\n<p>&#8220;Nilikuwa katika hali mbaya, mwili wangu ulikuwa unaoza. Sikuweza kuvaaa nguo sahihi kwasababu zingebana ngozi yangu. Lakini Mungu ameniumbia ngozi nyingine. &#8220;Sasa nina nguvu ya kuongea na kuwa mbele ya wanawake ambao wamebakwa na kuwaambia kujitokeza na kusimama na kuelezea matatizo yao,&#8221; alisema. Pia alipongeza jitihada za wanawake wabunge ambao wanafanya kazi kukomesha mateso yanayoanzishwa dhidi ya wanawake.<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi wa Kanda wa P&#341;og&#341;amu ya Wanawake ya Umoja wa Mataifa Nomcebo Manzini alisema kazi ya WPAA inapaswa kwenda zaidi ya kukaa na kusikiliza ushuhuda wa wale waliopata mateso ya vita. &#8220;Tunatakiwa kusema hapana kwa vita,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Hadi wakati huu, chini ya azimio la Bunge la Af&#341;ika, azimio la kuanzisha Mpango wa Amani wa Wanawake wa Af&#341;ika (IAWP) ulikubaliwa na kuwekwa katika kanuni. Kikundi hiki cha wanawake kinachowakilisha kila kanda kati ya kanda tano za ba&#341;a kitakuwa na kazi ya kukuza demok&#341;asia, amani na usalama na kitatetea taasisi za kimataifa kama Umoja wa Mataifa, Umoja wa Af&#341;ika na Benki ya Dunia. IAWP pia itataka kusaidia vyama, mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na wanaha&#341;akati wa masuala ya wanawake Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Mkuu wa jimbo la Kaskazini Magha&#341;ibi nchini Af&#341;ika Kusini Thandi Modise alisema kuwa wakati se&#341;a zilionekana kuwa nzu&#341;i katika nya&#341;aka, zinashindwa kutekelezeka.<\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali zimepitisha na ku&#341;idhia lakini utekelezaji unakosekana. Haijalishi ni viti vingapi tunapata, kama wanawake hawazungumzi, inafaa tusiwe navyo. Kuna wanawake ambao wanaweza kuongoza nchi hizi za Af&#341;ika; sisi ni maadili mema ya nchi zetu na ba&#341;a hili. Je huu siyo wakati muafaka wa kuzungumza kwa pamoja kwa sauti kubwa &#8220;<\/p>\n<p>Balozi wa Hisani wa Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni, Dk. Ge&#341;t&#341;ude Mongella wa Tanzania na &#341;ais wa kwanza wa PAP, aliutaka mkutano kutokuunga mkono vita kwa ajili ya kujenga demok&#341;asia. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MIDRAND, Af&#341;ika Kusini, Nov 8 (IPS) &ndash; Wanawake ba&#341;ani Af&#341;ika ambao wanabeba mzigo mkubwa wa vita katika ba&#341;a hilo sasa wanataka kuwa na jukumu kubwa katika kulinda amani. Azimio linalotaka wanawake kushi&#341;iki katika siasa za kulinda amani na usimamiaji wa migogo&#341;o lilipitishwa Ijumaa katika Jukwaa la Wanawake wa Af&#341;ika 2011 (WPAA). Chini ya mwamvuli wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":881,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3757","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3757","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/881"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3757"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3757\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3757"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3757"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3757"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}