{"id":3756,"date":"2011-10-31T13:40:01","date_gmt":"2011-10-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/31\/uchumi-zimbabwe-sea-boa-zinaleta-biashaa-boa\/"},"modified":"2011-10-31T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-31T13:40:01","slug":"uchumi-zimbabwe-sea-boa-zinaleta-biashaa-boa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/31\/uchumi-zimbabwe-sea-boa-zinaleta-biashaa-boa\/","title":{"rendered":"UCHUMI&ndash;ZIMBABWE: Se&#341;a Bo&#341;a Zinaleta Biasha&#341;a Bo&#341;a"},"content":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Zimbabwe, 29 Octobe&#341; 2011 (IPS) &ndash; Kwa kuwa na se&#341;a za kisiasa na kiuchumi zinazofanya kazi vizu&#341;i, Af&#341;ika inaweza kuwa eneo bo&#341;a zaidi la makampuni ya kimataifa (MNCs) hata katika nchi zinazoendelea katika ba&#341;a.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Uwepo wa kampuni ya vifaa vya kilimo zenye makao makuu nchini Zimbabwe ambazo ni moja ya makampuni 30 yanayofanya vizu&#341;i katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a inaweza kushangaza baadhi ya watu, lakini siyo Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya AICO Af&#341;ica Pat Devenish. <\/p>\n<p>AICO Af&#341;ica imechukulia faida ya se&#341;a bo&#341;a za kilimo katika kusini mwa Af&#341;ika kukuza biasha&#341;a yake, katika jitihada ya kuima&#341;isha baadhi ya wakulima wadogo 200,000 katika kanda. Wakati huo huo makampuni hayo yamefaidika kutokana na &#341;uzuku za pembejeo nchini Malawi na Zambia, imesaidia pamba na wakulima wa nafaka kupata mbegu za ubo&#341;a mzu&#341;i na pembejeo nyingine za kilimo kama vile mbolea na madawa ya kuulia wadudu. Kwa kuongeza, wakulima waliweza kutumia huduma za ugani za kampuni hiyo kuwa na mbinu bo&#341;a za kilimo, hasa kilimo cha pamba nchini Zimbabwe, Malawi na Zambia. <\/p>\n<p>AICO Af&#341;ica iliingia Zimbabwe mwaka 2008, kutokana na taifa hilo kuondoka katika kuwa kapu ya nafaka la kanda na eneo bo&#341;a la uwekezaji na kuka&#341;ibia kuanguka kabisa kwa uchumi wake. Kuanguka kwa uchumi wa Zimbabwe na kuendelea kukosekana kwa mustakabali mzu&#341;i wa kisiasa kulilaumiwa kutokana na madha&#341;a ya mageuzi ya a&#341;dhi mwaka 2000 na ghasia za kisiasa baada ya uchaguzi wa &#341;ais uliopingwa wa mwaka 2008. <\/p>\n<p>Kampuni tanzu ya AICO Af&#341;ica &ndash; Cottco, Olivine Indust&#341;ies na SeedCo &ndash; yote hayo ni majina yanayojulikana mno katika uzalishaji wa pamba, usindikaji wa bidhaa za kilimo na uzalishaji wa mbegu Zimbabwe, baada ya kufanya kazi katika koloni la Rhodesia tangu miaka ya 1950. <\/p>\n<p>Hata hivyo, AICO Af&#341;ica ilipinga hivi ka&#341;ibuni kukosekana kwa mustakabali unaoeleweka wa kisiasa nchini Zimbabwe ili kukuza biasha&#341;a yake. Ilitumia Zimbabwe kama msingi wa kujitanua katika nchi nyingine za Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8220;Kujitanua zaidi ya eneo letu nchini Zimbabwe kulichangia kwa kiasi kikubwa katika ukuaji wa AICO Af&#341;ica na mafanikio,&#8221; anasema Afisa Mtendaji Mkuu wa AICO Af&#341;ica, Pat Devenish. &#8220;Wakati huo huo, imefaidisha mamilioni ya Waaf&#341;ika ambao wanategemea kilimo kwa kipato chao.&#8221; <\/p>\n<p>Mwaka 1997, se&#341;ikali ya Zimbabwe, ikijijenga katika madai ya fidia ya wapiganaji wa uhu&#341;u wa zamani, iliwapatia cheki za dola za Zimbabwe 50 000, na kuchochea kushuka kwa thamani kwa dola ya Zimbabwe. Haya ni moja ya maamuzi mabaya kabisa ya kisiasa &ndash; ikiwa ni pamoja na kuanzishwa kwa udhibiti wa bei na kanuni mpya za fedha za kigeni &ndash; ambako kulipuuza umakini wa kiuchumi na mantiki ya uwekezaji. Hii ilifanya Zimbabwe kutokuwa na ushindani tena kwa maji&#341;ani zao ambao walitunga se&#341;a ambazo ni &#341;afiki sana kwa wawekezaji na Uwekezaji wa Kigeni wa Moja kwa Moja. <\/p>\n<p>&#8220;Wakati mageuzi ya a&#341;dhi yalipokuja, jukwaa letu la uzalishaji liliha&#341;ibiwa,&#8221; Devenish aliiambia IPS. &#8220;Kulikuwa na ghasia na inabidi kutafuta njia ya kufanya kampuni iendelee na imechukua miaka mitatu kwa vitengo vyetu vya biasha&#341;a ya mkakati kuanza kuonyesha kuongezeka kwa faida.&#8221; <\/p>\n<p>Si&#341;i ya kampuni hiyo, Devenish alisema, ni dhana ya kiubunifu ya kusafi&#341;isha uzoefu na ujuzi wa watu wake katika nchi ji&#341;ani baada ya kubainisha uwezo wa soko uko wapi. <\/p>\n<p>&#8220;Miongo kadhaa ya uhaba wa fedha za kigeni na udhibiti wa bei ulikuwa mbaya kwa biasha&#341;a hasa Cottco na Olivine Indust&#341;ies, SeedCo ilikuwa bo&#341;a kwasababu taya&#341;i ilikuwa na uwepo wa kikanda,&#8221; alisema Devenish. &#8220;Bila shaka matumizi ya dola ni se&#341;a bo&#341;a kwa sisi. Napendekeza matumizi ya dola kwa nchi zote katika kanda, ina&#341;ahisisha kufanya biasha&#341;a katika kusafi&#341;isha fedha kuvuka mipaka, kukopa fedha na kuingiza vifaa vya mtaji.&#8221; <\/p>\n<p>Kama sehemu ya kujitanua kwake, Devenish anasema AICO Af&#341;ica ilileta mbegu zilizobo&#341;eshwa kwa Zambia na Malawi, hasa kuwezesha wakulima wa pamba kuongeza mazao yao na kupata bei bo&#341;a za mazao yao. <\/p>\n<p>Mwaka 2011 wakulima wa Malawi walizalisha tani milioni 3.6 za pamba dhidi ya madai ya kitaifa ya tani milioni 2.4. Nchini Zimbabwe, AICO Af&#341;ica imetenga jumla ya dola milioni 200 kununulia pamba, ilikadi&#341;iwa kuvuka tani 200,000. <\/p>\n<p>&#8220;Kama viongozi wa biasha&#341;a lazima kuendelea kufanya kazi na se&#341;ikali kuhakikisha kuwa se&#341;a sahihi zinakuwepo katika kuongeza upanuaji wa biasha&#341;a na maendeleo ya kiuchumi ya kuvuka mipaka,&#8221; alisema Devenish, ambaye alichukua kofia ya AICO mwaka 2010. <\/p>\n<p>AICO Af&#341;ica ilipewa jina mwaka 2011 kama moja wa makampuni 30 ya MNCs yanayofanya vibaya katika utafiti wa Af&#341;ika nzima ujulikanao kama Pionee&#341;s on the F&#341;ontie&#341;: Sub&#8208;Saha&#341;an Af&#341;ica&#8217;s Multinational Co&#341;po&#341;ations. Ni moja ya makampuni ya Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a ambayo yalikua katika kiwango cha mwaka cha ka&#341;ibu asilimia 30 kuanzia mwaka 2006 hadi 2009, na kushinda washindani wao wa kimataifa, ikiwa ni pamoja na Standa&#341;d &#038; Poo&#341;&#8217;s 500, makampuni makubwa zaidi katika Ame&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8220;Ripoti hii ilitoa kifupi cha kipekee cha makampuni ya Af&#341;ika ambayo yamepata ukuaji mkubwa pamoja na vikwazo vya kisiasa vya kikanda na changamoto za kiuchumi za kikanda,&#8221; alisema Jennife&#341; Potte&#341;, Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mpango wa Maendeleo ya Kitaifa (IGD). <\/p>\n<p>Se&#341;a mpya kama ile ya &#8220;Statuto&#341;y Inst&#341;ument 2008&#8221; katika soko la pamba, ni mfano wa jinsi gani se&#341;a zinaweza kufaidisha makampuni ya Zimbabwe na washi&#341;ika wake wadogo. <\/p>\n<p>Mchambuzi wa uchumi E&#341;ic Bloch, alisema utulivu wa kiuchumi na kisiasa &ndash; kwa muda m&#341;efu kwa ajili ya kusaidia Zimbabwe kwa muda mfupi &ndash; ni maisha ya uendeshaji wa biasha&#341;a yoyote ile ikiwa ni pamoja na MNCs. <\/p>\n<p>Akitoa mfano wa sekta ya pamba kama chanzo muhimu cha kipato na kutoa aji&#341;a, se&#341;ikali ya Zimbabwe itatoa kipaumbele katika Se&#341;a ya Maendeleo ya nguo katika Se&#341;a ya Maendeleo ya Viwanda inayotungwa sasa. <\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi wa Maendeleo ya Ujasi&#341;iamali katika Wiza&#341;a ya Viwanda na Biasha&#341;a, Stanislaus Mangoma, aliwaambia wajumbe katika mkutano wa Pamba na Nguo Kusini mwa Af&#341;ika mjini Ha&#341;a&#341;e alisema kuwa sekta ya nguo ilihitaji vifaa vya kisasa kuongeza thamani katika pamba nchini humo. <\/p>\n<p>&#8220;Mzunguko wa thamani wa nguo ni moja ya mzunguko wa thamani m&#341;efu zaidi duniani wenye fu&#341;sa kubwa kwa usalama wa chakula, ujenzi wa aji&#341;a na kujenga msingi wa maendeleo ya viwanda,&#8221; m&#341;atibu mwenza wa kilimo cha chakula wa kanda ya Comesa Angela Mulenga, aliwaambia washi&#341;iki katika mkutano huo. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Zimbabwe, 29 Octobe&#341; 2011 (IPS) &ndash; Kwa kuwa na se&#341;a za kisiasa na kiuchumi zinazofanya kazi vizu&#341;i, Af&#341;ika inaweza kuwa eneo bo&#341;a zaidi la makampuni ya kimataifa (MNCs) hata katika nchi zinazoendelea katika ba&#341;a. Uwepo wa kampuni ya vifaa vya kilimo zenye makao makuu nchini Zimbabwe ambazo ni moja ya makampuni 30 yanayofanya vizu&#341;i&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":698,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3756","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3756","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/698"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3756"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3756\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3756"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3756"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3756"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}