{"id":3755,"date":"2011-10-31T13:40:01","date_gmt":"2011-10-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/31\/malawi-kuachana-na-tumbaku\/"},"modified":"2011-10-31T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-31T13:40:01","slug":"malawi-kuachana-na-tumbaku","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/31\/malawi-kuachana-na-tumbaku\/","title":{"rendered":"MALAWI: Kuachana na Tumbaku"},"content":{"rendered":"<p>LILONGWE, 29 Octobe&#341; 2011 (IPS) &ndash; Malawi inapunguza uzalishaji wa tumbaku kufuatia hasa&#341;a kubwa waliyopata wakulima wadogo na mashamba ya kibiasha&#341;a wanaouza tumbaku katika masoko &#341;asmi ya nchini humo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Tumbaku imekuwa zao kuu linaloingiza fedha nyingi za kigeni na kuchangia asilima 60 ya fedha za kigeni ya wastani wa dola milioni 950. Tumbaku nchini Malawi inachangia asilimia tano ya jumla ya usafi&#341;ishaji wa bidhaa nje, kwa mujibu wa wiza&#341;a ya kilimo nchini humo. <\/p>\n<p>Uzalishaji wa kibiasha&#341;a wa tumbaku nchini Malawi unaanzia mwaka 1889 wakati ulipoanzishwa na wakoloni kutoka Vi&#341;ginia Ma&#341;ekani. <\/p>\n<p>Lakini tangu mwaka 2008, soko la tumbaku lilishuhudia kushuka kwa bei kutoka wastani wa dola 3 kwa kilo hadi senti 50 mwaka huu. Kwa wastani, mkulima wa tumbaku anatumia hadi dola moja kuzalisha kilo ya tumbaku, kulingana na wazi&#341;i wa kilimo. <\/p>\n<p>Chama cha Wakulima Malawi (FUM), chombo mwamvuli cha mashi&#341;ika ya wakulima, kinahusisha bei ya chini ya tumbaku na ha&#341;akati za kimataifa za kupinga matumizi ya tumbaku, ambazo zimesababisha madai ya kupunguza uzalishaji wa zao hilo. Chombo hicho cha wakulima kinalaumu kushuka kwa mauzo kutokana na mgogo&#341;o wa kiuchumi wa sasa. <\/p>\n<p>FUM imewataka wanachama wake kupunguza uzalishaji wa tumbaku na kuongeza uzalishaji wa kahawa, pamba na suka&#341;i, ambavyo taya&#341;i vinachangia kuongeza fedha za kigeni nchini humo. Kwa sasa, wakulima wa tumbaku nchini Malawi wanazalisha kilo milioni 220 za tumbaku dhidi ya mahitaji ya sasa ya soko ya kilo milioni 160 tu. <\/p>\n<p>&#8220;Wakulima wamezoea kupanda zao hilo kutokana na kuaminika kuleta fedha nyingi za kigeni kwa nchi lakini sasa tunahitaji kubadilika kwasababu hali katika masoko siyo nzu&#341;i,&#8221; alisema Felix Jumbe, &#341;ais wa FUM. <\/p>\n<p>Alisema FUM imekuwa ikifuatilia soko la kimataifa kutathmini ni mazao gani wakulima wa Malawi wanaweza kupanda. Alisema ka&#341;anga, mikundekunde, soya, matufaa, ngano na ufuta yamekutwa kuwa na fu&#341;sa kubwa kwa wakulima wa ndani. <\/p>\n<p>&#8220;Kama nchi, tumewekeza kidogo sana katika uzalishaji wa mazao mengine. Tumepata hasa&#341;a ya kutosha kutokana na tumbaku na ni wakati muafaka kuelekeza nguvu katika kuzalisha mazao mengine ambayo yanahitajika katika soko la kimataifa,&#8221; alisema Jumbe. <\/p>\n<p>Alisema kwa muda m&#341;efu Wamalawi wengi wamekuwa wakitegemea kilimo cha tumbaku kwa ajili ya kijiingizia kipato chao na wamekuwa wakiishi kwa faida wanayopata kutokana na zao hilo. &#8220;Kaya nyingi kwa sasa zinahangaika kuishi na inatupasa kuanza kutafuta njia mbadala kama tunataka kuendelea kutegemea kilimo,&#8221; Jumbe aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Hadi asilimia 85 ya &#341;aia milioni 13.1 wa Malawi wanategemea katika kilimo kwa ajili ya kujiingizia kipato cha kuendesha maisha yao. <\/p>\n<p>James Kupinda, 38, kutoka Kaphuka katikati mwa Malawi amekuwa akilima tumbaku tangu mwaka 1991. Aliacha shule ya sekonda&#341;i na kujiunga na kaka zake wakubwa watatu katika biasha&#341;a ya familia ya kuzalisha zao hilo la biasha&#341;a. <\/p>\n<p>Kupinda alielezea kuwa familia yake imekuwa ikipanda tumbaku katika a&#341;dhi ya jumuiya na imekuwa sehemu ya ushi&#341;ika, ambao ulianzishwa pamoja na familia nyingine saba katika kijiji hicho. <\/p>\n<p>&#8220;Tunapeleka mazao yetu kwenye mnada wa ushi&#341;ika. Tumezoea kutengeneza faida nzu&#341;i hadi miaka mitatu iliyopita wakati bei zilipoanza kushuka,&#8221; Kupinda aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Alisema wanachama wa ushi&#341;ika wana uwezo wa kupeleka watoto wao shule na kununua chakula kwa mwaka mzima wakati bei zilipokuwa nzu&#341;i katika mnada. <\/p>\n<p>&#8220;Mambo yamebadilika sasa. Ni kuhangaika kulipa ada za shule kwa watoto wetu na kufaidi maisha mazu&#341;i tuliyokuwa tunafaidi hapo kabla,&#8221; alisema Kupinda. <\/p>\n<p>Alisema wanachama wa ushi&#341;ika wanapanga kupanda tumbaku kidogo zaidi mwaka huu. &#8220;Tunafiki&#341;ia kupanda soya na mazao mengine,&#8221; Kupinda alisema. <\/p>\n<p>Malawi inakabiliwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni, ambako kumesababisha mgawo wa fedha hizo kwa sekta binafsi. Uhaba wa fedha za kigeni pia umehusishwa na uhaba wa nishati ya mafuta nchini humo. <\/p>\n<p>Siyo wakulima pekee ambao wana wasiwasi na kupata hasa&#341;a katika biasha&#341;a ya tumbaku. Mamlaka za se&#341;ikali pia zimekatishwa tamaa na kukosa fedha za kigeni. Hadi mwishoni mwa Julai, Malawi ilikuwa na dola milioni 118 za mauzo ya tumbaku ikilinganishwa na dola milioni 334 zilizo&#341;ikodiwa kipindi kama hicho mwaka jana, kulingana na Gavana wa Benki Kuu ya Malawi Pe&#341;ks Ligoya. <\/p>\n<p>Ligoya alisema katika mkutano na waandishi wa haba&#341;i Agosti 9 kuwa soko la tumbaku la mwaka huu lilikuwa linakatisha tamaa na kutuamsha. <\/p>\n<p>&#8220;Hatutaweza ku&#341;ejesha hasa&#341;a iliyopatikana katika mnada mwaka huu,&#8221; alisema Ligoya. <\/p>\n<p>Alisema nchi ilihitaji kuweka mikakati ya jinsi gani ya kusonga mbele kutokana na bei za chini za tumbaku. Ligoya pia alipendekeza kupanda mazao mseto ma&#341;a moja, ambayo yanauzika katika soko la kimataifa. <\/p>\n<p>Wakati huo huo kampuni kubwa inayopanda tumbaku, P&#341;ess Ag&#341;icultu&#341;e Limited, ambayo imekuwa ikiendesha kilimo cha tumbaku kwa zaidi ya miaka 20, ilitangaza kuwa itaacha kulima zao hilo kutokana na bei duni katika soko. Hali hiyo itakuwa na maana hadi wafanyakazi 24,000 watapoteza aji&#341;a zao. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LILONGWE, 29 Octobe&#341; 2011 (IPS) &ndash; Malawi inapunguza uzalishaji wa tumbaku kufuatia hasa&#341;a kubwa waliyopata wakulima wadogo na mashamba ya kibiasha&#341;a wanaouza tumbaku katika masoko &#341;asmi ya nchini humo. Tumbaku imekuwa zao kuu linaloingiza fedha nyingi za kigeni na kuchangia asilima 60 ya fedha za kigeni ya wastani wa dola milioni 950. Tumbaku nchini Malawi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":708,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3755","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3755","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/708"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3755"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3755\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3755"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3755"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3755"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}