{"id":3753,"date":"2011-10-31T13:40:01","date_gmt":"2011-10-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/31\/zimbabwe-mustakabali-mbaya-wa-wafanyabiashaa-wa-nguo-za-mitumba\/"},"modified":"2011-10-31T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-31T13:40:01","slug":"zimbabwe-mustakabali-mbaya-wa-wafanyabiashaa-wa-nguo-za-mitumba","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/31\/zimbabwe-mustakabali-mbaya-wa-wafanyabiashaa-wa-nguo-za-mitumba\/","title":{"rendered":"ZIMBABWE: Mustakabali Mbaya wa Wafanyabiasha&#341;a wa Nguo za Mitumba"},"content":{"rendered":"<p>BULAWAYO, 29 Octobe&#341; 2011 (IPS) &ndash; Hali inazidi kuwa ngumu kwa wafanyabiasha&#341;a wa nguo za mitumba kama ilivyo kwa Susanne Jabavu kufanya biasha&#341;a kutokana na kuzidi kupanda kwa gha&#341;ama za uagizaji wa ma&#341;obota ya nguo hizo kutoka nchi ji&#341;ani.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wakati se&#341;ikali ikija&#341;ibu kuokoa sekta ya nguo nchini humo kutokana na shinikizo kutoka kwa vyama vya wafanyakazi vya sekta ya nguo kukabiliana na uingizaji wa nguo za bei nafuu na mitumba, wanawake kadhaa ambao wanaendesha maisha yao kutokana na biasha&#341;a hiyo wanakabiliwa na ugumu wa kufanya biasha&#341;a hiyo. Mwaka mmoja baada ya kuwepo kwa ushu&#341;u unaosababisha vikwazo vya biasha&#341;a, Jabavu anajikuta akikabiliwa na ugumu wa kutengeneza faida kutokana na biasha&#341;a hiyo baada ya kulipia ushu&#341;u. <\/p>\n<p>Ushu&#341;u wa uingizaji bidhaa na ushu&#341;u wa fo&#341;odha umekuwa kikwazo kikubwa kwa biasha&#341;a ya Jabavu, ambaye kipato chake kinatokana na kuuza mitumba na bidhaa nyingine za bei nafuu kutoka nchi za ji&#341;ani. <\/p>\n<p>Inamgha&#341;imu dola zipatazo 20 kwa kilo kuingiza nguo za mtumba, na &#341;obota moja linaweza kuwa na kilo 60. <\/p>\n<p>Hapo awali, Jabavu anasema alilipa kiasi cha &#341;obo ya kile ambacho alipaswa kulipa na wakati wowote ule anapoagiza ma&#341;obota matano yenye thamani ya kati ya dola 1,000 na 1,500. <\/p>\n<p>Jabavu ni mmoja wa wanawake wa Zimbabwe ambao wameanzisha maduka katika masoko yasiyokuwa &#341;asmi katika jiji ambako wanauza nguo za mtumba za bei nafuu na bidhaa kutoka China ambazo zinapendwa na watu wa kipato cha chini nchini humo. Lakini sekta hii inakabiliwa na mustakabali usiokuwa na matumaini wakati jitihada za kujenga uchumi wa Zimbabwe zikiendelea katika kasi ya konokono. <\/p>\n<p>&#8220;Fedha zinazodaiwa mpakani kutu&#341;uhusu kuingiza ma&#341;obota ya nguo ni nyingi mno na hazitusaidii sisi tunaofanya safa&#341;i ndefu kwenda nchini Zambia na Msumbiji wakati utashindwa kulipia ushu&#341;u,&#8221; Jabavu anasema. <\/p>\n<p>Jabavu anatumia njia nafuu ya kusafi&#341;i kwa t&#341;eni lakini anasema hii ina maana ya kutumia muda m&#341;efu wa kusafi&#341;i, jambo ambalo ni baya kwa biasha&#341;a, hivyo anaamua kwenda kwa ba&#341;aba&#341;a. <\/p>\n<p>&#8220;Kama nina bahati, naweza kupata msaada wa malo&#341;i ambayo yanadai dola 100 kusafi&#341;i kutoka Msumbiji. Lakini wasafi&#341;ishaji wengine wa binafsi wanataka pesa nyingi zaidi,&#8221; Jabavu anasema. <\/p>\n<p>&#8220;Tumeja&#341;ibu miongoni mwa wafanyabiasha&#341;a kukusanya &#341;asilimali kusaidia kulipia ushu&#341;u wa fo&#341;odha na kuingiza bidhaa lakini hii imesababisha ugumu kwani siyo wote tunakuwa na pesa kila ma&#341;a,&#8221; anasema. <\/p>\n<p>Ushu&#341;u unaosababisha vikwazo vya biasha&#341;a ulioanzishwa mwaka 2010 unaonekana kwa watu wengi nchini Zimbabwe kama sehemu ya jitihada za se&#341;ikali za kukuza viwanda vya ndani wakati nchi ikilenga katika kufufua uchumi unazidi kuelekezwa kwenye sekta ya nguo, ambayo iliwahi kuongoza katika kuaji&#341;i watu wengi. <\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Fedha Tendai Biti amefanya kazi ya kufufua sekta ya nguo nchini humo kuwa moja ya vipaumbele vyake vya juu kabisa. <\/p>\n<p>Maofisa wa se&#341;ikali na sekta ya nguo wanasema sekta inakabiliwa na kuanguka kabisa kwani makampuni makubwa mjini Bulawayo yamefunga biasha&#341;a. Ushindani ambao siyo endelevu na usiokuwa wa haki unaotoka kwa wauzaji wa nguo za mtumba na bidhaa kutoka China ni moja ya sababu kubwa za jambo hili. <\/p>\n<p>Kwa mujibu wa wazi&#341;i wa viwanda na biasha&#341;a, zaidi ya makampuni 100 yalifungwa mjini Bulawayo mwaka 2011 wakati uchumi wa Zimbabwe ukiendelea kuanguka. Hii ni pamoja na viwanda vingine vya nguo na hata kampuni iliyokuwa ikiongoza kwa kuaji&#341;i watu wengi, Cotton P&#341;inte&#341;s and Secu&#341;ity Mills. <\/p>\n<p>&#8220;Baadhi ya wafanyabiasha&#341;a ninaowajua waliamua kutumia njia za magendo katika kuingiza ma&#341;obota ya nguo kutokana na kushindwa kulipia ushu&#341;u,&#8221; anasema Janet Sibamba, mfanyabiasha&#341;a mwingine wa nguo za mitumba. <\/p>\n<p>&#8220;Lakini ma&#341;obota mengi yamepokonywa na wafanyakazi wa fo&#341;odha na hivyo kufanya jitihada zetu za kufanya kazi kuwa ngumu sana,&#8221; anasema, akiongeza kuwa bado inabidi kukabiliana na gha&#341;ama kubwa za usafi&#341;i za hadi dola 200 kusafi&#341;isha ma&#341;obota yake kutoka nchi za ji&#341;ani za Zimbabwe. <\/p>\n<p>Wafanyabiasha&#341;a kama Sibamba wananunua nguo za mitumba na bidhaa za bei nafuu za Kichina kutoka nchini Zambia, Msumbiji na Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo. <\/p>\n<p>Hata hivyo, imekuwa suala la kawaida kwa Mamlaka ya Mapato ya Zimbabwe (ZIMRA) &ndash; kupiga mnada ma&#341;obota yaliyokamatwa katika miji ya mpakani. <\/p>\n<p>ZIMRA ilivamia masoko ya mcho&#341;o na kudai uthibitisho kuwa nguo za mitumba na bidhaa nyingine zinazouzwa zilinunuliwa nchini humo kinyume na ta&#341;atibu. <\/p>\n<p>Maofisa wa fo&#341;odha ambao walizungumza na IPS walisema maghala yao yamejazwa nguo za mitumba baaada ya waagizaji kushindwa kulipia suhu&#341;u wa fo&#341;odha. <\/p>\n<p>&#8220;Tunajua hii ni moja ya njia za kuingiza vipato kwa wanawake wengi, lakini kutokana na nguo hizi zinatakiwa kuuzwa tena nchini, lazima walipie ushu&#341;u unaotakiwa,&#8221; alisema ofisa mmoja. <\/p>\n<p>Wakati wiza&#341;a za Wanawake na Masuala ya Jinsia na Biasha&#341;a Ndogo na za Kati zinashinikiza kuwajengea uwezo wanawake wa kiuchumi, ushu&#341;u mkubwa wa kuingiza bidhaa ndani umefanya hali kuwa ngumu. <\/p>\n<p>&#8220;Hapo kabla kumekuwepo na wanawake wengi ambao wameshindwa kuendesha maisha kutokana na ushu&#341;u huo. Na kwa upande kama nchi ambayo taya&#341;i ina kiwango cha chini mno cha aji&#341;a, ni vigumu kufiki&#341;ia jinsi wanawake wanavyoingizwa katika uchumi mkuu,&#8221; anasema mwanauchumi Johnson Samu&#341;iwo. Shi&#341;ikisho la Vyama vya Wafanyakazi chini Zimbabwe linasema takwimu za uhaba wa aji&#341;a zipo katika asilimia 90. <\/p>\n<p>&#8220;Hata hivyo kuna njia ambayo se&#341;ikali lazima kuifuata, ambao katika upande mmoja ni kukuza viwanda vya ndani na kwa upande mwingine ni kujenga mazingi&#341;a ambayo kiuchumi yanawajengea uwezo wanawake ambao tunajua wanaishi kwa kiasi kikubwa kutokana na uchumi usiokuwa &#341;asmi,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali haipaswi kukimbia majukumu lakini lazima ijenge jukwaa ambapo sekta zote za kiuchumi zinaweza kufanya kazi bila ya kuathi&#341;iana. Naamini inahusu kunyanyua maisha ya watu na kama wanawake wanaona hawapati msaada wowote, hiyo inaweza kuwa na maana juu ya jinsi watu watakavyopiga ku&#341;a, kwa mfano,&#8221; Samu&#341;iwo anasema. <\/p>\n<p>Umoja wa Viwanda vya Nguo wa Taifa (NUCI) &ndash; ambao unadai wanawake ndiyo wengi kati ya wafanyakazi wa sekta hiyo &ndash; umekuwa ukiomba se&#341;ikali kuzuia uingizaji wa bidhaa za bei nafuu kutoka China na nguo za mitumba, na kutoa mfano wa kuachishwa kazi kwa watu wengi katika sekta. <\/p>\n<p>&#8220;Watu wetu katika sekta ya nguo wanateseka mno kutokana na nguo hizi za mitumba kwani kila mmoja sasa ananunua shati kwa dola moja, ikiwa na maana kuwa tunachotengeneza hakitanunuliwa,&#8221; anasema Simba&#341;ashe Mutambanengwe wa NUCI. <\/p>\n<p>Shati katika maduka &#341;asmi linaweza kugha&#341;imu kuanzia dola 30 hadi 50. <\/p>\n<p>&#8220;Ina maana kuwa waaji&#341;i hawawezi kuendelea kuaji&#341;i wanachama wetu na se&#341;ikali inapaswa kuchukua hatua. Tunahitaji kuishi,&#8221; anasema. <\/p>\n<p>Kwa wanawake kama Jabavu ambao hawajawahi kujua aji&#341;a &#341;asmi, inaweza kuwa na maana kutafuta nafasi nyingine za kujitafutia maisha. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BULAWAYO, 29 Octobe&#341; 2011 (IPS) &ndash; Hali inazidi kuwa ngumu kwa wafanyabiasha&#341;a wa nguo za mitumba kama ilivyo kwa Susanne Jabavu kufanya biasha&#341;a kutokana na kuzidi kupanda kwa gha&#341;ama za uagizaji wa ma&#341;obota ya nguo hizo kutoka nchi ji&#341;ani. Wakati se&#341;ikali ikija&#341;ibu kuokoa sekta ya nguo nchini humo kutokana na shinikizo kutoka kwa vyama vya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":541,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3753","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3753","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/541"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3753"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3753\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3753"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3753"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3753"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}