{"id":3752,"date":"2011-10-31T13:40:01","date_gmt":"2011-10-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/31\/afrika-kusini-biashaa-na-india-ni-lengo-muhimu\/"},"modified":"2011-10-31T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-31T13:40:01","slug":"afrika-kusini-biashaa-na-india-ni-lengo-muhimu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/31\/afrika-kusini-biashaa-na-india-ni-lengo-muhimu\/","title":{"rendered":"AFRIKA KUSINI: Biasha&#341;a na India Ni Lengo Muhimu"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, 28 Octobe&#341; 2011 (IPS) &ndash; Makampuni ya Af&#341;ika Kusini yanatakiwa kutumia uhusiano mzu&#341;i wa se&#341;ikali yake na India kubuni fu&#341;sa mpya za biasha&#341;a na uwekezaji.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ikiwa sasa mwanachama wa kambi ya nchi zenye uchumi mkubwa unaoibukia ya BRICS ikiwa ni pamoja na B&#341;azil, Russia, India na China, Af&#341;ika Kusini, iko katika nafasi nzu&#341;i, wataalam wanaamini, kukuza ushi&#341;ikiano wake na kambi ya Kusini ijulikanayo kama South&ndash;South. <\/p>\n<p>Ukubwa wa biasha&#341;a kati ya Af&#341;ika Kusini na India iliongezeka ma&#341;a mbili tangu mwaka 2007 hadi 2010, huku India ikiwa ya sita kwa kuingiza bidhaa nchini Af&#341;ika Kusini na ya tisa kwa kuagiza bidhaa kutoka nchini humo. <\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Biasha&#341;a na Viwanda wa Af&#341;ika Kusini, Rob Davies, alisema ana imani kuwa kuna fu&#341;sa kubwa ya kukuza faida ya kibiasha&#341;a na kuongeza uwekezaji kati ya Af&#341;ika Kusini na India. <\/p>\n<p>Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mtandao wa Biasha&#341;a wa India na Af&#341;ika (IABN) katika Chuo Kikuu cha P&#341;eto&#341;ia Taasisi ya Sayansi ya Biasha&#341;a ya Go&#341;don (GIBS), Davies alisema mwelekeo wa biasha&#341;a duniani ulikuwa ukibadilika na kwamba Af&#341;ika Kusini ilikuwa katika nafasi nzu&#341;i kutumia fu&#341;sa mpya. <\/p>\n<p>&#8220;Ba&#341;a la Af&#341;ika kwa sasa linatumia nafasi ya bahati ambapo sasa kuna biasha&#341;a mbalimbali na washi&#341;ika wa biasha&#341;a,&#8221; aliiwaambia washi&#341;iki wa mkutano wa viongozi wa biasha&#341;a na wataalam wa benki katika eneo la GIBS Sandton mjini Johannesbu&#341;g. <\/p>\n<p>&#8220;Hatufungwi tena katika eneo la biasha&#341;a na uwekezaji kwa nchi zenye nguvu za zamani ambazo tulizijua hapo zamani,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>&#8220;Sasa tuna fu&#341;sa pana, hasa kutoka nchi za BRIC (B&#341;azil, Russia, India na China) kuwa katika ba&#341;a la Af&#341;ika, na India ni mmoja wao.&#8221; <\/p>\n<p>Aliongeza kuwa: &#8220;Kuna nia madhubuti kutoka se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini na taasisi zetu kusaidia biasha&#341;a za Af&#341;ika Kusini katika kushi&#341;iki zaidi na India.&#8221; <\/p>\n<p>Wazi&#341;i alika&#341;ibisha IABN kama njia ya kusaidia mahusiano ya biasha&#341;a kukua na kushughulikia kile alichokiita &#8220;suala la kimawazo&#8221; linalohusiana na jinsi gani makampuni ya Af&#341;ika Kusini yanaweza kujiweka vizu&#341;i katika masoko yanayobadilika. <\/p>\n<p>IABN itaendeshwa katika kituo kipya cha GIBS cha Cent&#341;e fo&#341; Dynamic Ma&#341;kets (CDM) na kujazia katika mitandao iliyopo kama vile IBSA (India, B&#341;azil na Af&#341;ika Kusini) na jukwaa la Maofisa Watendaji wa India na Af&#341;ika Kusini linaloendeshwa na wenyeviti wenza wenye viwanda nchini India Ratan Tata na Pat&#341;ice Motsepe, mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya Af&#341;ica Rainbow Mine&#341;als. <\/p>\n<p>Mwanzilishi wa mtandao mpya na mku&#341;ugenzi, Abdullah Ve&#341;achia, aliielezea IABN kama &#8220;kitovu cha maa&#341;ifa kwa biasha&#341;a ya India na Af&#341;ika&#8221; na kukuza biasha&#341;a kati ya viongozi wa biasha&#341;a na taasisi za elimu katika nchi zote mbili. <\/p>\n<p>Alisema: &#8220;Tunataka kuwa na jukwaa ambapo viongozi waandamizi wa biasha&#341;a na se&#341;ikali wa Af&#341;ika Kusini na India wanaweza kukutana na kuchangamana ili kuongeza biasha&#341;a na uwekezaji kati ya nchi hizo mbili zenye uchumi mkubwa. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna fu&#341;sa kubwa kwa wafanyabiasha&#341;a wa Af&#341;ika Kusini nchini India, ambayo ina wakazi wanaozidi bilioni moja. Nchi hizo mbili pia zipo katika uchumi unaoibukia na zinakabiliwa na changamoto zinazofanana za umaskini na kukosekana kwa usawa.&#8221; <\/p>\n<p>Alikubaliana na Davies kuwa misingi iliyounganisha nchi mbili kupitia ha&#341;akati zao dhidi ya ukoloni ilisababisha jukwaa lenye nguvu la kushi&#341;ikiana kiuchumi. <\/p>\n<p>&#8220;Sasa ndipo ushi&#341;ikiano unaanza kulipa,&#8221; alibainisha Ve&#341;achia, ambaye pia ni mku&#341;ugenzi wa kampauni ya mikakati na utafiti yenye makao yake mjini Johannesbu&#341;g ya F&#341;ontie&#341; Adviso&#341;y. <\/p>\n<p>Uwekezaji wa India nchini Af&#341;ika Kusini unakadi&#341;iwa kuwa zaidi ya dola bilioni sita huku makampuni kadhaa ya kimataifa nchini India kama vile Tata, Reliance, na Mahind&#341;a kuwa na msingi madhubuti katika soko la ndani. <\/p>\n<p>Wiki hii Tata inataka kuanza utengenezaji wa maga&#341;i katika kiwanda cha kutengeneza maga&#341;i cha Rosslyn, nje ya P&#341;eto&#341;ia. <\/p>\n<p>Pamoja na undani wa mambo kufichwa hadi uzinduzi Julai 22, kiwanda hicho kinaaminika kuwa cha kwanza katika Af&#341;ika Kusini na kitatengeneza sehemu za kutengenezea maga&#341;i mepesi ya biasha&#341;a, ambayo kwa sasa yataingizwa nchini humo. <\/p>\n<p>Balozi wa India nchini Af&#341;ika Kusini, Vi&#341;ende&#341; Gupta, aliiambia IPS: &#8220;Tata imekuwa ikiingiza maga&#341;i nchini Af&#341;ika Kusini kwa muda m&#341;efu na ni hatua yenye mantiki kuanza kutengeneza maga&#341;i humo humo nchini. <\/p>\n<p>&#8220;Ni mafanikio muhimu mno na ningependa makampuni mengi zaidi ya India kuelekea mwelekeo huo, wa kujenga viwanda vya kutengeneza bidhaa na kujenga aji&#341;a hapa Af&#341;ika.&#8221; <\/p>\n<p>Uwekezaji wa Af&#341;ika Kusini nchini India upo katika dola milioni 250, ukiongozwa na SABmille&#341;, Fi&#341;st Rand (benki ya kwanza ya Af&#341;ika kupata kibali cha kufanya kazi India) na Ai&#341;po&#341;ts Company South Af&#341;ica, ambayo ilipata mkataba wa kuka&#341;abati uwanja wa ndege wa Mumbai. <\/p>\n<p>Ve&#341;achia alisema lengo la IABN ni kusaidia kutafutia ufumbuzi kukosekana kwa usawa na kusaidia wafanyabiasha&#341;a wadogo na wa kati wa Af&#341;ika Kusini kuingia katika soko la India. <\/p>\n<p>&#8220;Kama ukiangalia vitega uchumi vya India nchini Af&#341;ika Kusini, viko katika wimbi la pili kupitia biasha&#341;a ndogo, na sisi kama Waaf&#341;ika Kusini tunahitaji kuangalia katika jambo hilo na kuona jinsi gani tunaweza kutumia fu&#341;sa hizo za India,&#8221; alielezea. <\/p>\n<p>Davies alisema kuwa biasha&#341;a ya usawa ni jambo muhimu kwa Af&#341;ika Kusini kuendelea na kuwa na ushi&#341;ikiano mkubwa na nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi inatoa &#8220;fu&#341;sa ya kihisto&#341;ia kujenga mwelekeo mpya wa kibiasha&#341;a&#8221;. <\/p>\n<p>&#8220;Majadiliano tuliyo nayo kwa sasa yanaangalia katika maeneo ambayo tuna ushindani na pale ambapo tunasaidiana,&#8221; alielezea. <\/p>\n<p>&#8220;Suala ni tunaweza kubainisha maeneo tunayofanana na kuweka vipaumbele na hivyo kuchangia katika ukuaji na aji&#341;a katika nchi zetu &#8221; <\/p>\n<p>Davies alisema kwa sasa Af&#341;ika Kusini iliagiza bidhaa za msingi kama vile makaa ya mawe na bidhaa za mbao, wakati India ilisafi&#341;isha bidhaa zenye nyongeza ya thamani kama vile mafuta, maga&#341;i, madawa ya binadamu na simu za mkononi. <\/p>\n<p>&#8220;Tunatakiwa kutafuta usawa kati ya ushindani na ushi&#341;ikiano,&#8221; alisema, kitu anachoamini kuwa Eneo la Biasha&#341;a Hu&#341;ia la Cape hadi Cai&#341;o litasaidia kuleta mafanikio, kwani litajenga soko moja kubwa la Af&#341;ika linaloka&#341;ibiana na ukubwa wa mataifa yenye uchumi mkubwa kama ya BRIC. (END) <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, 28 Octobe&#341; 2011 (IPS) &ndash; Makampuni ya Af&#341;ika Kusini yanatakiwa kutumia uhusiano mzu&#341;i wa se&#341;ikali yake na India kubuni fu&#341;sa mpya za biasha&#341;a na uwekezaji. Ikiwa sasa mwanachama wa kambi ya nchi zenye uchumi mkubwa unaoibukia ya BRICS ikiwa ni pamoja na B&#341;azil, Russia, India na China, Af&#341;ika Kusini, iko katika nafasi nzu&#341;i, wataalam&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":533,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3752","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3752","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/533"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3752"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3752\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3752"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3752"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3752"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}