{"id":3751,"date":"2011-10-31T13:40:01","date_gmt":"2011-10-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/31\/biashara-bazil-na-afika-tayai-kwa-samba\/"},"modified":"2011-10-31T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-31T13:40:01","slug":"biashara-bazil-na-afika-tayai-kwa-samba","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/31\/biashara-bazil-na-afika-tayai-kwa-samba\/","title":{"rendered":"BIASHARA: B&#341;azil na Af&#341;ika Taya&#341;i kwa Samba"},"content":{"rendered":"<p>WINDHOEK, 28 Octobe&#341; 2011 (IPS) &ndash; Biasha&#341;a ya Af&#341;ika kati ya India na China ilistawi katika muongo uliopita lakini, kutokana na kupanda kwa uhaba wa aji&#341;a na kushindwa kuendelea kwa viwanda, mipasuko inajitokeza katika dhana ya kuangalia Masha&#341;iki ya Af&#341;ika. Wakati huo huo, ukivuka Atlantic, B&#341;azil inazidi kujipenyeza katika ba&#341;a la Af&#341;ika.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Je mahusiano kati ya taifa hilo kubwa la Ame&#341;ika Kusini unaweza kuwakilisha fu&#341;sa zaidi ya Masha&#341;iki katika uhusiano wa Kusini  <\/p>\n<p>Mwezi Juni picha ya gazeti ya &#341;ais wa zamani wa Namibia Sam Nujoma inawezekana kuamsha hisia za watu katika meza ya kifungua kinywa nchini humo. Picha ya mtu mwenye miaka 82 ilionekana katika ku&#341;asa za mbele, ikiwa na picha za wanenguaji wenye fu&#341;aha wa dansi la Samba lakini waliotawanyika. <\/p>\n<p>Su&#341;a ya &#341;ais huyo wa zamani ilielezwa kwa sehemu na kampuni ya utafutaji na uchimbaji wa mafuta ya B&#341;azil ya High Resolution Technology (HRT) iliyokuwa mwandalizi wa hafla ya hadhi kubwa ya uzinduzi katika mji mkuu wa Namibia, ambapo picha ilichukuliwa. <\/p>\n<p>HRT itachimba dhahabu kandokando mwa pwani ya Namibia na kuelezea kuwa na imani kuwa taifa hilo la kusini magha&#341;ibi mwa Af&#341;ika hivi ka&#341;ibuni litajiunga na wazalishaji wa mafuta. <\/p>\n<p>Ikiwa inafikia uwekezaji wa dola milioni 400 ni ahadi ambayo wawekezaji wa B&#341;azil wameahidi katika maisha ya ba&#341;a hilo. <\/p>\n<p>Nchini Namibia, B&#341;azil ilikuwa ni muhimu katika jeshi la majini lililojaa meli za B&#341;azil na, katika mpaka wa kaskazini mwa nchi, maduka yamejaa samani toka B&#341;azil kuhudumia soko la Angola la watu wanauzungumza Ki&#341;eno. <\/p>\n<p>Ofisa Mtendaji Mkuu wa HRT Ma&#341;cio Rocha Mello wakati wa uzinduzi alipongeza utulivu wa uchumi wa nchi hiyo na mazingi&#341;a bo&#341;a ya kishe&#341;ia. Pia aliahidi kutenga dola moja ya Namibia (dola 0,15 ya Ma&#341;ekani) kwa kila pipa kutumika kwa ajili ya hifadhi ya mazingi&#341;a ya baha&#341;i. <\/p>\n<p>Pengine wakati ofa hiyo ikitolewa hakuna mafuta ambayo yameshapatikana, pia ni isha&#341;a makampuni machache ya se&#341;ikali ya Kichina ambayo kwa sasa yanakimbilia &#341;asilimali za ba&#341;a hilo yatakuwa makini. <\/p>\n<p>Na katika kufupisha mambo, pengine inaonyesha mfumo tofauti ambao unachukuliwa na B&#341;azil katika uwekezaji ambao, kwa kulinganisha na se&#341;a ya Kichina isiyokuwa na masha&#341;ti yoyote, ma&#341;a nyingi inaambatana na p&#341;og&#341;amu za kijamii au misaada. <\/p>\n<p>Namibia siyo taifa pekee la Kia&#341;ika linalolengwa na B&#341;azil. B&#341;asilia ina histo&#341;ia ya kushi&#341;ikiana na nchi zinazozungumza Ki&#341;eno katika Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Nchini Msumbiji, kwa mfano, kampuni ya madini ya B&#341;azil ya Vale mwezi Mei ilifungua mtambo wa makaa ya mawe wa thamani ya dola bilioni 1.7, uwekezaji mkubwa zaidi katika taifa hilo la kusini masha&#341;iki mwa Af&#341;ika. Katika kipindi cha miaka miwili taifa la pili kwa uchimbaji wa madini duniani litasafi&#341;isha nje tani milioni 11 za makaa ya mawe kwa mwaka kutoka mgodi wa Moatizi. <\/p>\n<p>Katika mkutano wa ka&#341;ibuni wa madini kampuni ilipendekeza itaendelea kuwekeza ba&#341;ani Af&#341;ika jumla ya dola bilioni 12 katika kipindi cha miaka mitano ijayo. <\/p>\n<p>Hili siyo tukio la kipekee. Baadhi ya makampuni 500 ya B&#341;azil yanafanya kazi katika zaidi ya nchi 30 za Af&#341;ika. Akiandika katika gazeti hivi ka&#341;ibuni, mtafiti Ge&#341;ha&#341;d Seibe&#341;t kutoka Chuo Kikuu cha Lisbon Kituo cha Mafunzo ya Af&#341;ika anasema Angola peke yake ina zaidi ya makampuni 100 ya B&#341;azil. <\/p>\n<p>Baadhi ya makampuni makubwa yenye maslahi Af&#341;ika ni makampuni ya mafuta ya Pet&#341;ob&#341;as, linalofanya kazi nchini Angola tangu mwaka 1979 na ambayo kwa sasa inafanya kazi katika kila nchi inayozalisha mafuta, na kampuni ya ujenzi ya No&#341;be&#341;to Odeb&#341;echt ambayo mapema miaka ya 1980 ilianza kufanya kazi nchini Angola, ikitumia nchi hiyo kama njia ya kuingilia ba&#341;a la Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Makampuni mengi yanasaidiwa na mikopo mikubwa kutoka Benki ya Maendeleo ya B&#341;azil (BNDES). <\/p>\n<p>Wakati uhusiano wa B&#341;azil na Af&#341;ika ulikuwepo kabla ya kuongezeka kwa uwepo wa China katika miongo iliyopita, Rais &#8220;Lula&#8221; da Silva alifufua maslahi ya B&#341;azil katika ba&#341;a, katika hatua yenye lengo la kujenga jukwaa la India&ndash;B&#341;azil&ndash;Af&#341;ika Kusini (IBSA). <\/p>\n<p>Wakati wa zia&#341;a yake ya kise&#341;ikali ya 12 aliongeza ma&#341;a mbili idadi ya balozi za B&#341;azil katika ba&#341;a la Af&#341;ika na kuongeza biasha&#341;a kutoka dola bilioni tatu mwaka 2000 hadi dola bilioni 26 mwaka 2008. <\/p>\n<p>&#8220;Kisiasa na kihisto&#341;ia muktadha wa ushi&#341;iki wa B&#341;azil katika Af&#341;ika umebadilika mno,&#8221; anabainisha Seibe&#341;t kuhusu &#8220;miaka ya Lula&#8221;. <\/p>\n<p>Anaongeza Sanusha Naidu, mtafiti mwandamizi katika Ba&#341;aza la Utafiti wa Masuala ya Binadamu, chombo cha kishe&#341;ia nchini Af&#341;ika Kusini: &#8220;Makampuni yametumia jitihada za kidiplomasia za B&#341;azil kama njia ya kuingiza shughuli zake ba&#341;ani Af&#341;ika, hasa katika nchi ambapo wana uhusiano unaotokana na u&#341;ithi wa Lugha ya Ki&#341;eno.&#8221; <\/p>\n<p>Biasha&#341;a ya B&#341;azil na ba&#341;a hilo inasimamia katika dola bilioni 20 mwaka 2010. Bado hii inapunguzwa na biasha&#341;a ya thamani ya dola bilioni 107 ya China na Af&#341;ika, lakini siyo ya chini zaidi ya masoko yanayoibukia kama India, ambayo inasimama katika dola bilioni 32. <\/p>\n<p>Takwimu zinazovutia hasa ni unapozingatia mabilioni ya dola ya misaada ambayo B&#341;azil ilimwagia Af&#341;ika wakati huo. Hata hivyo, wakosoaji wanasema B&#341;azil haina nguvu ya kufikia uwezo wa China katika Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingi hoja ni kwamba B&#341;azil na kwa kiasi, India inakosa kuungwa msaada na se&#341;ikali ambapo nchini China se&#341;ikali ndiyo kina&#341;a wa kukuza uwekezaji wa kigeni,&#8221; huo ni uchambuzi wa Naidu. &#8220;Lakini kuna sekta binafsi kubwa nchini B&#341;azil ambayo kwa miongo imekuwa ikiendeleza mawasiliano yake na dunia. Sekta binafsi inapaswa kuwa injini ya kukuza Af&#341;ika kuwa eneo la kuingiza vitega uchumi.&#8221; <\/p>\n<p>Wakati kuna makubaliano ya kibiasha&#341;a kati ya Umoja wa Fo&#341;odha wa Kusini mwa Af&#341;ika na Me&#341;cosu&#341; (Soko la Pamoja la Kusini mwa Ame&#341;ika), waangalizi wa mambo wanasema hii haijatumika kiusahihi. <\/p>\n<p>Watafiti wa Kituo cha She&#341;ia za Biasha&#341;a cha Af&#341;ika Kusini (TRALAC) wanasema katika uchambuzi wao wa mkataba wa biasha&#341;a kati ya kambi hizo mbili, wenye jina la &#8220;Shall we Samba &#8221; kuna fu&#341;sa za wazi hasa katika sekta ya kilimo. <\/p>\n<p>&#8220;Suala linalovutia ni kwa B&#341;azil kuelekeza nguvu kwenye nishati mbadala, hasa mafuta yanayotokana na mimea,&#8221; anaongeza Naidu. &#8220;Inalenga katika ubunifu na utafiti na dhami&#341;a yake ya kuhamisha ujuzi na hivyo kufanya kuwa mshi&#341;ika anayevutia.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Kwa sasa suala la msingi ni jinsi gani B&#341;azil inaingia katika nafasi kubwa iliyopo Af&#341;ika. Kwa sasa m&#341;ithi wa Lula, Rais Dilma Rousseff, anaonekana kuchukua se&#341;a zake na anasonga mbele kwa kufuata nyayo zake.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WINDHOEK, 28 Octobe&#341; 2011 (IPS) &ndash; Biasha&#341;a ya Af&#341;ika kati ya India na China ilistawi katika muongo uliopita lakini, kutokana na kupanda kwa uhaba wa aji&#341;a na kushindwa kuendelea kwa viwanda, mipasuko inajitokeza katika dhana ya kuangalia Masha&#341;iki ya Af&#341;ika. Wakati huo huo, ukivuka Atlantic, B&#341;azil inazidi kujipenyeza katika ba&#341;a la Af&#341;ika. Je mahusiano kati&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":599,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3751","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3751","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/599"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3751"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3751\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3751"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3751"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3751"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}