{"id":3747,"date":"2011-10-11T13:40:01","date_gmt":"2011-10-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/sudan-kusini-vita-ya-mafuta-yatishia-kulipuka\/"},"modified":"2011-10-11T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-11T13:40:01","slug":"sudan-kusini-vita-ya-mafuta-yatishia-kulipuka","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/sudan-kusini-vita-ya-mafuta-yatishia-kulipuka\/","title":{"rendered":"SUDAN KUSINI: Vita ya Mafuta Yatishia Kulipuka"},"content":{"rendered":"<p>JUBA, Okt 11 (IPS) &ndash; Jamii zinazoishi mpakani mwa Sudan Kusini na Sudan zinaweza kukabiliwa na mauaji ya kimba&#341;i ikiwa mgogo&#341;o kati ya nchi hizo mbili zinazogombea kudhibiti maeneo yenye utaji&#341;i wa mafuta hautatatuliwa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kumekuwepo na mapigano ya hivi ka&#341;ibuni kati ya jeshi la Sudan, Sudan A&#341;med Fo&#341;ces (SAF) na kundi la Sudan People&#8217;s Libe&#341;ation A&#341;my&ndash;No&#341;th (SPLA&ndash;N) katika majimbo ya Sudan ya Kusini mwa Ko&#341;dofan na Blue Nile, ikiwa ni pamoja na mapigano kati ya jamii zinazoishi katika mpaka huo. Kusini mwa Ko&#341;dofan ipo kusini mwa mji mkuu wa Sudan, Kha&#341;toum na inapakana na mkoa wenye vita wa Da&#341;fu&#341; kwa upande wa magha&#341;ibi. Jimbo la Blue Nile linapatikana kusini masha&#341;iki mwa Kha&#341;toum na linapakana na Ethiopia kwa upande wa kusini. <\/p>\n<p>Hii inakuja wakati jamii katika majimbo haya yenye utaji&#341;i wa mafuta zinatumiwa katika vita kwa kupatiwa silaha zinazosambazwa kwa &#341;aia kiu&#341;ahisi, kulingana na &#341;ipoti ya shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali la eneo hilo. <\/p>\n<p>&#8220;Siku moja wanajamii mpakani humo wanaweza kukabiliwa ama na mauaji ya kimba&#341;i au kunaweza kukatokea vita kali mno kwani se&#341;ikali katika pande zote za nchi hazijali maisha ya watu ila &#341;asilimali wanazokalia. Rasilimali hizi zitashusha thamani ya maisha ya watu,&#8221; Edmund Yakani, m&#341;atibu wa NGO ya &#8220;Community Empowe&#341;ment fo&#341; P&#341;og&#341;ess O&#341;ganization&#8221; (CEPO), aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali katika nchi hizo mbili zinaangalia mpaka kwa ajili ya faida za kiuchumi badala ya watu wanaoishi humo,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>Yakani alisema mipaka ni muhimu kwani nguvu za kiuchumi za mataifa hayo mawili zimejikita hapo. &#8220;Lakini kama unazungumzia pet&#341;oli inapatikana hapa hapa mpakani. Hii ndiyo sababu se&#341;ikali ya chama cha (National Cong&#341;ess Pa&#341;ty &ndash; NCP) mjini Kha&#341;toum sasa inasema kuwa maeneo kama ya Heglig, ka&#341;ibu na jimbo la Unity, na Kaka, katika jimbo la Uppe&#341; Nile (ambako kuna uzalishaji mkubwa wa mafuta) ni maeneo yenye migogo&#341;o,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Asilimia ipatayo 85 ya mafuta yanayozalishwa nchi zote mbili za Sudan yanatoka Sudan Kusini. Mafuta mengi yanayozalishwa nchini Sudan Kusini yanatoka majimbo ya mpakani ya Bentiu na Uppe&#341; Nile. Hata hivyo, kuna mafuta katika jimbo la Jonglei, ambalo lipo katika eneo la kijijini zaidi. <\/p>\n<p>Ripoti ya CEPO iliyotolewa Sep. 17 ilikuta kuwa wanajamii katika mpaka wa Sudan Kusini na Sudan wamejipanga kikamilifu kwa ajili ya vita na wanakabiliwa na kukosekana kwa usalama na ghasia. Ripoti ilikuta kuwa kuna &#8220;kuingia kwa silaha kwa kasi kubwa mikononi mwa &#341;aia&#8221; katika upande wa Sudan ili kuchochea vita kwa wale wanaoishi mpakani.<\/p>\n<p>&#8220;Katika upande wa Sudan Kusini &#341;aia wananunua silaha, kwa ajili ya kujilinda dhidi ya kile wanachosema uvamizi wa Kha&#341;toum,&#8221; ilisema &#341;ipoti hiyo.<\/p>\n<p>Hatimaye hali hii itasababisha vita.<\/p>\n<p>&#8220;Kusini imeanzisha udhibiti usiokuwa wa kawaida kuzuia uvamizi wa Kha&#341;toum,&#8221; E&#341;ic Reeves, mchambuzi na mtafiti wa masuala ya Sudan katika Chuo cha Smith nchini Ma&#341;ekani aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Haijajibu kwa nguvu pamoja na kuendelea kushambuliwa kwa mabomu kwa eneo lake ambako kulianza ka&#341;ibu mwaka uliopita mwezi Novemba, mashambulizi ya ma&#341;a kwa ma&#341;a ya ndege za kivita dhidi ya eneo la Kusini ikiwa ni pamoja na kuchukuliwa kwa jimbo la Abyei; kumezuia kujiunga na wapiganaji wa Milima ya Nuba (Kusini mwa Ko&#341;dofan)au Blue Nile. Lakini hii itadumu kwa muda m&#341;efu,&#8221; Reeves alisema.<\/p>\n<p>Kama mashambulizi ya Kha&#341;toum dhidi ya mji wa mpakani mwa Sudan na Ethiopia wa Ku&#341;muk &ndash; ambao ni ngome ya SPLA&ndash;N &ndash; yataendelea, kuna uwezekano wa kuongezeka kwa mapigano kati ya majeshi yaliyovunjika moyo yanayopigana dhidi ya Rais wa Sudan Oma&#341; al&ndash;Bashi&#341;.<\/p>\n<p>&#8220;Kha&#341;toum inasonga mbele kikamilifu na maga&#341;i ya kivita kuelekea Ka&#341;muk, mji mkuu wa kundi la Sudan People&#8217;s Libe&#341;ation Movement&ndash;No&#341;th (SPLM&ndash;N),&#8221; Reeves aliiambia IPS. &#8220;Kama mji huo utaanguka utamaanisha kuendelea kwa vita vya msituni ambavyo vinafanana na vile tunavyoviona Kusini mwa Ko&#341;dofan.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Hivi siyo vita vya msituni vya kawaida,&#8221; aliongeza. &#8220;Wanaume wanaopigana dhidi ya (Kha&#341;toum) wanaweza wasiwe na vifaa vingi kama ilivyo kwa SAF, lakini wana moyo na mafunzo mazu&#341;i ya kushinda kiu&#341;ahisi.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Ofisa wa ngazi ya juu wa SPLM&ndash;N, aliiambia IPS kuwa aska&#341;i wengi wa Kaskazini hawana tumbo la kupigana vita hivi. Hii imesababisha majene&#341;ali wa Kha&#341;toum kutegemea zaidi kutumia bunduki nzito, vifa&#341;u na ndege za kivita &ndash; ambazo ni njia bo&#341;a zaidi ya kuulia &#341;aia lakini siyo mbinu ya kimkakati ya kupigana vita vya msituni. Hivyo tunatazamia kuona vita vya muda m&#341;efu,&#8221; Reeves aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Kama Sudan Kusini na wapiganaji wa Nuba wataungana na vikosi vya SPLA&ndash;N katika jimbo la Blue Nile na waasi wa Da&#341;fu&#341;, tutashuhudia vita vikianzia kutoka mpakani mwa Chad hadi mpakani mwa Ethiopia na pengine hadi kwenye mpaka na E&#341;it&#341;ea,&#8221; Reeves aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Ripoti ya CEPO ilipendekeza kuwekwa kwa mpaka ma&#341;a moja &#8220;kupunguza makazi katika mpaka, kuokoa maisha ya wanajamii, kupunguza kukimbia kwa watu makazi yao na vita katika mpaka huo.&#8221; <\/p>\n<p>Vita pia imeathi&#341;i uzalishaji wa mafuta kwani wachimbaji wa mafuta wanakimbia kutoka kwenye maeneo ya vita.Kwa sasa asilimia 98 ya mapato ya Sudan Kusini yanatokana na mafuta. <\/p>\n<p>Msaidizi wa Katibu Mkuu katika Wiza&#341;a ya Pet&#341;oli na Madini ya Sudan Kusini David Lo&#341;o Gutbek aliiambia IPS kuwa uzalishaji wa mafuta nchini Sudan na Sudan Kusini umepungua katika maeneo ya mpakani. &#8220;Hadi sasa uzalishaji wetu katika Sudan Kusini umeshuka kutoka pipa 85,000 kwa siku hadi pipa 60,000 kwa siku.&#8221;<\/p>\n<p>Kuna kupungua kwa uzalishaji katika visima vitatu vya mafuta kwenye jimbo la Unity ambako mafuta mengi ya nchi hiyo yanapatikana. Uzalishaji katika Melut kwenye jimbo la Uppe&#341; Nile, ambalo halijaathi&#341;ika na vita, unaendelea kama kawaida.Katika upande wa Sudan wa eneo hilo la mpaka, uzalishaji wa mafuta umepungua kutoka pipa 60,000 kwa siku hadi pipa 48,000 tu,&#8221; Gutbek aliongeza. <\/p>\n<p>Gutbek alisema kama uzalishaji ungekuwa kawaida, Sudan Kusini ingezalisha pipa 300,000 kwa siku. Alisema kutokana na vita haiwezekani kuhakikisha usalama kuzunguka maeneo yanayozalisha mafuta na matokeo yake &#8220;watu wasiojulikana&#8221; walikuwa wakihujumu sekta ya mafuta. <\/p>\n<p>&#8220;Wanakata nyaya katika mashamba na hivyo haja ya kuzi&#341;ejesha katika hali ya kawaida, jambo ambalo linapunguza utendaji kazi na kiasi cha mafuta yanayozalishwa kwa siku,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Gutbek aliiambia IPS kuwa kama vita vitaendelea uzalishaji wa mafuta utaendelea kupungua. Hata hivyo, alikuwa na matumaini kuwa ufumbuzi utapatikana na eneo la mpakani litakuwa salama. <\/p>\n<p>&#8220;Baadhi ya hatua zitachukuliwa na se&#341;ikali zote mbili ile ya Juba na Kha&#341;toum kuhakikisha kuwa hakuna kinachoingilia kati kiasi cha mafuta yanayozalishwa katika mpaka. Kamati ya usalama yenye maofisa kutoka Sudan na Sudan Kusini imekubali kufuatilia hali na kubo&#341;esha usalama katika eneo la mpakani,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Mwanauchumi wa mazingi&#341;a na mshau&#341;i mtaalam wa Benki ya Dunia wa Maendeleo ya Sekta Binafsi nchini Sudan Kusini, Spence&#341; Kenyi aliiambia IPS kuwa aliamini kuwa vita mpakani vitasukuma Sudan Kusini kuendeleza miundombinu yake ya mafuta ili kuzuia utegemezi wa Sudan. Huu umekuwa ni mpango wa muda m&#341;efu wa Sudan Kusini, lakini taifa hilo linapaswa kufanya kazi hiyo mapema sana kuliko ilivyota&#341;ajiwa.<\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na kwamba vita siyo kitu kinachohitajika, itakuja kujenga baadhi ya hatua chanya katika Sudan Kusini ambako se&#341;ikali itafiki&#341;ia kuanzisha miundombinu yake ya mafuta kama vile mabomba na mashine za kusafi&#341;ishia,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Sudan Kusini imepanga kujenga mitambo mitatu ya kusafishia mafuta na imeshajadili ujenzi wa bomba la u&#341;efu wa kilomita 3,600 kutoka Sudan Kusini hadi banda&#341;i ya Kenya ya Lamu.<\/p>\n<p>Sudan Kusini kwa sasa inalipa kile inachokiita ada kubwa mno ya njia ya bomba kwa Sudan na huduma zinazoambatana nayo. Miundombinu mingi ambayo inasaidia sekta ya mafuta iko nchini Sudan. Sudan ina mitambo mitatu ya kusafishia mafuta iliyopo mjini Kha&#341;toum, Po&#341;t Sudan, na El&ndash;Obeid. Mtambo wa Kha&#341;toum ulipanuliwa mwaka 2006 kutoka uwezo wa pipa 50,000 kwa siku hadi pipa 100,000 kwa siku. Mtambo wa Po&#341;t Sudan uko ka&#341;ibu na Baha&#341;i Nyekundu na una uwezo wa kusafisha pipa 21,700 kwa siku. <\/p>\n<p>&#8220;Itasaidia se&#341;ikali ya Kusini mwa Sudan kuelekeza upya mkakati wake juu ya sekta hii. Wataongeza kasi ya wazo la kujenga mifumo ya kusafi&#341;isha mafuta kutoka Sudan Kusini ili kukimbia vita vinavyoendelea katika maeneo ya mpakani,&#8221; Kenyi alisema.<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa kama vita vitaendelea Sudan Kusini inaweza kufunga kabisa sekta yake ya mafuta, angalau kwa muda mfupi.<\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali inaweza kufunga sekta hiyo kabisa kwa kipindi fulani na kuelekeza nguvu kwenye maeneo ya kilinmo na ufugaji kama chanzo kikuu cha mapato kwa ajili ya kuendesha uchumi,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Alielezea kuwa hii kwa upande mwingine &#8220;itavunja uti wa mgongo wa vita vinavyotokana na utaji&#341;i wa mafuta katika mpaka&#8221; na jitihada zozote zile za baadaye za kutengeneza mipaka zitakuwa &#341;ahisi na za amani.<\/p>\n<p>*Kanya D&#8217;Almeida mjini Washington alichangia katika &#341;ipoti hii. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JUBA, Okt 11 (IPS) &ndash; Jamii zinazoishi mpakani mwa Sudan Kusini na Sudan zinaweza kukabiliwa na mauaji ya kimba&#341;i ikiwa mgogo&#341;o kati ya nchi hizo mbili zinazogombea kudhibiti maeneo yenye utaji&#341;i wa mafuta hautatatuliwa. Kumekuwepo na mapigano ya hivi ka&#341;ibuni kati ya jeshi la Sudan, Sudan A&#341;med Fo&#341;ces (SAF) na kundi la Sudan People&#8217;s Libe&#341;ation&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":866,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3747","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3747","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/866"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3747"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3747\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3747"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3747"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3747"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}