{"id":3746,"date":"2011-10-11T13:40:01","date_gmt":"2011-10-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/sudan-china-inaweza-kupaka-mafuta-mchakato-wa-amani\/"},"modified":"2011-10-11T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-11T13:40:01","slug":"sudan-china-inaweza-kupaka-mafuta-mchakato-wa-amani","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/sudan-china-inaweza-kupaka-mafuta-mchakato-wa-amani\/","title":{"rendered":"SUDAN: China Inaweza Kupaka Mafuta Mchakato wa Amani"},"content":{"rendered":"<p>KHARTOUM, Okt 11 (IPS) &ndash; China, mshi&#341;ika mkuu wa sekta ya mafuta nchini Sudan na Sudan Kusini, inaweza kutumia ushawishi wake kukomesha kuenea kwa vita baina ya mataifa hayo mawili ambayo imeshuhudia kukimbia makazi kwa maelfu ya watu na kupungua kwa uzalishaji wa mafuta, ofisa wa Wiza&#341;a ya Mambo ya Nje ya Ma&#341;ekani anasema.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>China inaagiza zaidi ya asilimia 60 ya mafuta ya Sudan na inamiliki asilimia 40 ya hisa katika makampuni ya mafuta ya Pet&#341;oda&#341; na G&#341;eate&#341; Nile Pet&#341;oleum Ope&#341;ating Co., ambayo ndiyo makubwa zaidi nchini Sudan, kulingana na Chuo cha Sayansi ya Jamii cha China.<\/p>\n<p>Lakini vita vinavyoendelea baina ya Sudan na Sudan Kusini vimeathi&#341;i uzalishaji wa mafuta huku Wiza&#341;a ya Madini na Mafuta ya Sudan Kusini ikipunguza uzalishaji kutoka pipa 85,000 kwa siku hadi pipa 60,000 kwa siku katika majimbo ya mpakani mwa mataifa hayo mawili. Wiza&#341;a pia ilibainisha kuwa uzalishaji wa mafuta nchini Sudan katika majimbo ya mpakani umepungua kutoka pipa 60,000 hadi 48,000.<\/p>\n<p>Jimbo la Kusini mwa Ko&#341;dofan, ambalo lipo upande wa Sudan na linapakana na Sudan Kusini, limeshuhudia mapigano tangu Juni na jimbo la Blue Nile, ambalo lipo nchini Sudan ka&#341;ibu na mpaka wa Ethiopia, lilitumbukia katika mapigano mapema mwezi Septemba. Vita hivyo ni kati ya kikundi cha Sudan People&#8217;s Libe&#341;ation Movement&ndash;No&#341;th (SPLM&ndash;N), ambacho ni tawi la chama cha Sudan People&#8217;s Libe&#341;ation Movement, kinachotawala Sudan Kusini, na jeshi la Sudan.<\/p>\n<p>Jimbo la Kusini mwa Ko&#341;dofan, alielezea mchambuzi wa kisiasa kutoka nchini Sudan Magdi El Gizouli, lilikuwa mzalishaji mkuu wa mafuta nchini Sudan baada ya uhu&#341;u wa Sudan Kusini.<\/p>\n<p>Katika hatua za awali za mgog&#341;o ambao kwa sasa umeshakuwa vita kamili Kusini mwa Ko&#341;dofan msemaji wa Wiza&#341;a ya Mambo ya Nje nchini Ma&#341;ekani Victo&#341;ia Nuland alisema, &#8220;Ni vigumu kuwa na fedha na mafuta wakati hakuna amani,&#8221; huku akiongeza kuwa Beijing inapaswa &#8220;kutumia fu&#341;sa hii kumaliza mapigano nchini Sudan.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;ekani haina ushawishi mkubwa wa kidiplomasia,&#8221; David Shinn, balozi wa zamani wa Ma&#341;ekani nchini Ethiopia, aliiambia IPS mwezi Juni.<\/p>\n<p>&#8220;Jambo moja tu inaweza kufanya ni kutishia kupunguza uhusiano na nchi hizo mbili.&#8221;<\/p>\n<p>Hata hivyo, hatua kama hii kwa dikteta haijawahi kuwa na matokeo yoyote mbele ya Rais wa Sudan Oma&#341; al&ndash;Bashi&#341;, kiongozi pekee wa nchi duniani aliyepo mada&#341;akani ambaye ameshatolewa hati ya kukamatwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC).<\/p>\n<p>Hata kama mafuta mengi yamekusanyika katika taifa jipya hu&#341;u la Sudan Kusini, mabomba, huduma zinazoambatana na utafutaji wa mafuta na miundombinu ipo nchini Sudan.<\/p>\n<p>Tangu mwaka jana, mataifa hayo mawili yamekuwa katika mazungumzo kuhusu ada inayotozwa na Sudan kutumia miundombinu yake.<\/p>\n<p>&#8220;Pato kubwa la Sudan Kusini linatokana na mafuta, Kusini italinda sekta ya mafuta pamoja na vita vinavyoendelea kwasababu hawawezi kukubali kutokuzalisha, hata kama ni kwa muda mfupi,&#8221; alisema Mohammed Adel (siyo jina lake halisi), mwaji&#341;iwa wa ida&#341;a ya bomba la mafuta la Pet&#341;oda&#341;. Asilimia ipatayo 98 ya mapato nchini Sudan Kusini inatokana na mafuta.<\/p>\n<p>Wakati Pet&#341;oda&#341; ilipoanza uzalishaji baada ya bomba lake lenye u&#341;efu wa kilomita 1,506 kukamilika mwaka 2006, uzalishaji wa mafuta uliongezeka kutoka pipa 300,000 kwa siku hadi pipa 500,000. Ni pipa 100,000 hadi 110,000 tu za mafuta kwa siku zilizalishwa katika Sudan ya Kaskazini, mafuta mengine yalitoka katika visima ambavyo kwa sasa vipo Sudan Kusini. Bomba la mafuta la kampuni ya Pet&#341;oda&#341; linaanzia Bonde la Melut katika jimbo la Unity, Sudan Kusini hadi katika Banda&#341;i ya Sudan. Jimbo la Unity lipo kati ya maeneo mawili yenye vita, Kusini mwa Ko&#341;dofan na jimbo la Blue Nile.<\/p>\n<p>&#8220;Hivi ka&#341;ibuni wakati se&#341;ikali ya Sudan ilipotaka msaada wa dola 32 kwa pipa kama bei ya kusafi&#341;isha mafuta nje, se&#341;ikali ya Sudan Kusini ilipinga bei hiyo kuwa ni kubwa mno,&#8221; alisema Adel. <\/p>\n<p>Mwezi uliopita, se&#341;ikali ya Sudan ilishikilia pipa 600,000 za mafuta kwa masaa 24 ikidai ushu&#341;u wa fo&#341;odha. Hata hivyo, mapipa hayo yaliachiliwa na haijafahamika kama Sudan Kusini ililipa ushu&#341;u huo ama haikulipa.<\/p>\n<p>Katika mahojiano na gazeti la Saudi A&#341;abia lenye makao yake mjini London, Asha&#341;q Al Awsat, al&ndash;Bashi&#341; alisema kuwa se&#341;ikali ya Sudan Kusini ilipaswa kuamua ushu&#341;u wa kupitisha mafuta nchini mwake mwishoni mwa mwezi Oktoba.<\/p>\n<p>Hata hivyo, se&#341;ikali ya Sudan Kusini inataka mazungumzo juu ya suala hilo la mafuta kufanyika katika mkutano wa Umoja wa Af&#341;ika utakaoongozwa na mwenyekiti wake Thabo Mbeki, &#341;ais wa zamani wa Af&#341;ika Kusini.<\/p>\n<p>&#8220;Watu wengi wanaamini kuwa kupungua kwa mapato ya mafuta kutazuia Kaskazini kuendelea na vita. Lakini nadhani suala halisi ni kama Kha&#341;toum itaendelea kuwa na nguvu za kisiasa katika wananchi ambao wamechanganyikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na mfumuko mkubwa wa bei na kupanda kwa bei za vyakula bila hata kuangalia vita,&#8221; E&#341;ic Reeves, mchambuzi na mtafiti wa masuala ya Sudan katika Chuo cha Smith nchini Ma&#341;ekani aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kutokana na ukweli huu, mhusika mkuu mwenye ushawishi mkubwa wa kidiplomasia nchini Sudan ni China, ambaye njaa yake isiyokoma ya mafuta &ndash; ambayo sasa itategemea kuendeleza uhusiano mzu&#341;i na adui wa al&ndash;Bashi&#341; katika mafuta &ndash; Sudan Kusini &ndash; inaweza pengine kubadili msimamo wake juu ya Kaskazini ambao umedumu kwa miongo kadhaa ya mauaji yaliyotekelezwa na chama tawala cha National Cong&#341;ess Pa&#341;ty.<\/p>\n<p>Kutokana na China kuwa mwagizaji mkuu wa mafuta duniani baada ya Ma&#341;ekani, huku ikitegemea Sudan na Libya kumpatia kiasi kikubwa cha mafuta yake, taifa hilo kubwa linaloibukia kiuchumi halina uwezekano wa kutoa kafa&#341;a uchumi wake unaokua kwa kuchagizwa na mafuta kutokana tu na kuheshimu mahusiano yake na al&ndash;Bashi&#341; &ndash; hususan wakati al&ndash;Bashi&#341; anapojitolea kuendesha vita kuzunguka mashamba yenye thamani ya mafuta katika Kusini.<\/p>\n<p>Taa&#341;ifa ya mwaka 2008 ya mtandao wa Wiki&ndash;Leak ya Wiza&#341;a ya Mambo ya Nje ya Ma&#341;ekani kutoka kwa Mwendesha Mashitaka Mkuu wa ICC Luis Mo&#341;eno Ocampo ilisema, &#8220;China haijali nini kitatokea kwa Bashi&#341; na haitapingana na kukamatwa kwake kama mapato ya mafuta hayataathi&#341;ika.&#8221;<\/p>\n<p>Hafiz Mohammed, mchambuzi wa siasa za Sudan anakubaliana na jambo hili akisema kuwa makampuni ya mafuta ya China yanavutiwa na mafuta tu.<\/p>\n<p>&#8220;Mafuta mengi ya Sudan yanachimbwa na makampuni ya mafuta ya Kichina ambayo hayajali kuhusu haki za binadamu, wanajali tu kuhusu uwekezaji na biasha&#341;a,&#8221; alisema Mohammed.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa kiasi fulani mafuta yanachochea vita kwa kufadhili vita, badala ya kuleta ustawi, maendeleo na kuinua jamii, yanagawa watu katika misingi ya kisiasa kwani mawazo yanayogongana yanaletwa na fedha za mafuta,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>China imewekeza nchini Sudan wakati makampuni ya magha&#341;ibi yana wasiwasi wa kuwekeza nchini humo kutokana na &#341;ikodi yake ya haki za binadamu na vikwazo vya Ma&#341;ekani dhidi ya Sudan tangu miaka ya 1990 kwa madai ya ugaidi na vita vinavyoendelea kati ya se&#341;ikali na vikosi vya waasi. <\/p>\n<p>&#8220;Katika miaka ya ukuaji mkubwa wa kiuchumi, sekta ya mafuta ya Sudan inakuwa katika hata&#341;i kubwa, pamoja na kuwa sekta yenye faida kubwa. Makampuni ya magha&#341;ibi yalikuwa yamewekeza kama ilivyo kwa makampuni ya Kichina, lakini hata hivyo, makampuni ya Kichina hayakuwa katika shinikizo la kuondoka katika biasha&#341;a hiyo kutoka kwa watetezi wa haki za binadamu wa ndani kama ilivyo kwa makampuni ya magha&#341;ibi,&#8221; alisema El Gizouli.<\/p>\n<p>Mwaka 2003, kampuni ya nishati la Canada Talisman, iliuza asilimia zake 25 za hisa kwa Kampuni ya Mafuta ya G&#341;eate&#341; Nile baada ya kupata upinzani mkubwa kutoka kwa mashi&#341;ika ya haki za binadamu huko nyumbani.<\/p>\n<p>China pia imekabiliwa na upinzani kutoka kwa mashi&#341;ika ya haki za binadamu ya kimataifa, wakati wa michezo ya Olympics mwaka 2008 ilipewa jina la utani la &#8221; Olympics ya Mauaji ya Kimba&#341;i&#8221; kutokana na makampuni ya mafuta ya China kuendelea kufanya kazi bila kuja&#341;ibu kutumia ushawishi wake kushinikiza se&#341;ikali ya Sudan kutatua mgogo&#341;o wa Da&#341;fu&#341;.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Eu&#341;opean Coalition on Oil in Sudan (ECOS) lina&#341;ipoti kuwa tangu mwaka 1996, utafutaji na uzalishaji wa mafuta umesababisha kuhamishwa kwa wingi kwa wakazi wa maeneo taji&#341;i wa mafuta, wengi wao kutoka jimbo la Unity, ambako bomba la mafuta la kampuni ya G&#341;eate&#341; Nile linaanzia.<\/p>\n<p>ECOS ili&#341;ipoti kuwa zaidi ya watu 15,000 walilazimishwa kuyahama makazi yao katika kata za Melut na Maban kwenye jimbo la Unity na wengi wao walikamatwa na jeshi kutokana na kutupia lawama makampuni ya mafuta kwa kukiukwa kwa haki zao.<\/p>\n<p>*Kanya D&#8217;Almeida mjini Washington alichangia katika taa&#341;ifa hii.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KHARTOUM, Okt 11 (IPS) &ndash; China, mshi&#341;ika mkuu wa sekta ya mafuta nchini Sudan na Sudan Kusini, inaweza kutumia ushawishi wake kukomesha kuenea kwa vita baina ya mataifa hayo mawili ambayo imeshuhudia kukimbia makazi kwa maelfu ya watu na kupungua kwa uzalishaji wa mafuta, ofisa wa Wiza&#341;a ya Mambo ya Nje ya Ma&#341;ekani anasema. China&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":809,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3746","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3746","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/809"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3746"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3746\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3746"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3746"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3746"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}