{"id":3744,"date":"2011-10-11T13:40:01","date_gmt":"2011-10-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/afrika-kusini-inahitajika-sea-moja-ya-mabadiliko-ya-tabia-nchi\/"},"modified":"2011-10-11T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-11T13:40:01","slug":"afrika-kusini-inahitajika-sea-moja-ya-mabadiliko-ya-tabia-nchi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/afrika-kusini-inahitajika-sea-moja-ya-mabadiliko-ya-tabia-nchi\/","title":{"rendered":"AFRIKA KUSINI: Inahitajika Se&#341;a Moja ya Mabadiliko ya Tabia Nchi"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Oct 10 (IPS) &ndash; Utekelezaji wa se&#341;a moja ya mabadiliko ya tabia nchi katika ida&#341;a zote za se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini halitakuwa jambo &#341;ahisi kwani ida&#341;a hizo kwa sasa zinafanya kazi kama viungo tofauti, linasema shi&#341;ika la mazingi&#341;a la G&#341;eenpeace Af&#341;ica.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mwezi Septemba 13 se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini ilitangaza kuwa ingeima&#341;isha se&#341;a yake ya mabadiliko ya tabia nchi &#8220;kuhakikisha kuwa ida&#341;a zote za se&#341;ikali zinakabiliana kwa ufasaha na mabadiliko ya tabia nchi.&#8221; <\/p>\n<p>Af&#341;ika Kusini itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi mjini Du&#341;ban kuanzia Novemba 28 hadi Desemba 9,ambao una lengo la kujadili mpango wa kupunguza mabadiliko ya tabia nchi unaofunga kishe&#341;ia. Af&#341;ika Kusini imetia saini Itifaki ya Kyoto, mkataba pekee ulimwenguni ambao unataka mataifa mengi yenye viwanda vingi ulimwenguni kupunguza uzalishaji wa hewa chafu za viwandani kuokoa dunia na ongezeko la joto, lakini bado haijatunga se&#341;a ya pamoja ya mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Maji na Masuala ya Mazingi&#341;a wa Af&#341;ika Kusini Edna Molewa anasema kuwa ni muhimu kwa ida&#341;a za se&#341;ikali kuwa na mkakati &#8220;wa pamoja&#8221; wa jinsi gani ya kukabiliana na kuongezeka kwa joto duniani. <\/p>\n<p>&#8220;Ni muhimu mno kuwa kama mwenyeji wa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabia Nchi mjini Du&#341;ban, kuwa sisi kama nchi tunaonyesha mfano kuwa tunalichukulia kwa uzito suala la mabadiliko ya tabia nchi na kuwa na nia ya kusonga mbele katika suala zima la se&#341;a,&#8221; anasema. Hata hivyo, se&#341;ikali ilikubaliana kuwa undani wa mpango wa jinsi gani hili litashughulikiwa bado haujakamilika&#8221;.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Makazi wa taifa hilo Tokyo Sexwale alionya kuwa miji ya mwambao ya taifa hilo pia inakabiliwa na hata&#341;i ya kuongezeka kwa kina cha maji ya baha&#341;i. <\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na kiwango cha sasa cha uzalishaji wa gesi chafu katika anga letu,&#8221; Sexwale alisema siku ya Jumatatu, &#8220;miji mikubwa kama Cape Town na New Yo&#341;k inaweza kuzama katika miaka 100 ijayo.&#8221; <\/p>\n<p>G&#341;eenpeace Af&#341;ica inasema kuwa kwa sasa ida&#341;a za se&#341;ikali nchini Af&#341;ika Kusini zinaangalia malengo yao tofauti na se&#341;a yoyote ile ya pamoja inaweza kuziba pengo baina yao.<\/p>\n<p>&#8220;Itakuwa suala zu&#341;i kama watatekeleza se&#341;a katika ida&#341;a zote za se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini,&#8221; anasema Fe&#341;&#341;ial Adam, mwanaha&#341;akati wa mabadiliko ya tabia nchi na nishati wa G&#341;eenpeace Af&#341;ica. &#8220;Hata hivyo, siyo se&#341;a ambayo ni ngumu&#8230; utekelezaji ndiyo mgumu. <\/p>\n<p>&#8220;Huwezi kushughulika na mabadiliko ya tabia nchi katika ombwe na kwamba hilo ni suala ambalo se&#341;ikali zote zinahitaji kulifanya katika kila nyanja. Ni jambo ambalo unapaswa kulifanya kufanya nchi yako ifanye kazi,&#8221; anasema. <\/p>\n<p>Adam anaongeza kuwa se&#341;a ya pamoja inaweza kupunguza gha&#341;ama za kukabiliana na mabadilikio ya tabia nchi nchini Af&#341;ika Kusini: &#8220;Itafanya kuondokana na ku&#341;udia &#341;udia mambo. Lakini ni aina ya ushi&#341;ikiano ambao bado tunauhitaji sasa, kwani watu wanafanya kazi katika maghala yaliyofungwa. Kuwafanya wafanye kazi pamoja, pamoja na se&#341;a ya pamoja, itakuwa vigumu na vigumu mno.&#8221;<\/p>\n<p>Anasema ni muhimu kuwa nchi zina se&#341;a moja ya mabadiliko ya tabia nchi inayojikita katika ida&#341;a zote za se&#341;ikali pamoja na kulenga mambo yanayotofautina.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Adam anasema se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini inahitaji dhami&#341;a ya kisiasa kuhakikisha kuwa se&#341;a za mabadiliko ya tabia nchi zinatekelezwa. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa upande mwingine (se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini) inasema inatekeleza se&#341;a ya pamoja katika ida&#341;a zake zote, lakini kwa upande mwingine bado inaendelea kukubaliana na nishati chafu. Unashindwa kujua kama (utekelezaji wa se&#341;a ya pamoja) ni dhami&#341;a iliyojengeka kiuhalisia.&#8221;<\/p>\n<p>G&#341;eenpeace Af&#341;ica inasema kuwa nishati ya kisasa inapaswa kuendelezwa katika nchi zinazoendelea, pamoja na upatikanaji wa nishati ya bei nafuu inayochafua mazingi&#341;a. <\/p>\n<p>&#8220;Hatusemi kuwa wafunge mitambo ya nishati ya makaa ya mawe,&#8221; anasema Adam. &#8220;Wala hatusemi kuwa ujenzi usitishwe katika mitambo mipya kama ile ya Medupi (mtambo mpya wa kuzalisha umeme wa makaa ya mawe nchini Af&#341;ika Kusini uliopangwa kukamilika mwaka 2012). <\/p>\n<p>&#8220;Tunalosema ni kwamba kuwepo kuelekeza nguvu za makusudi katika maendeleo ya nishati mbadala kwani nishati inapaswa kukua katika siku zijazo nchini Af&#341;ika Kusini.&#8221;<\/p>\n<p>Dk. Pete&#341; Johnston, mtaalam wa uzalishaji wa chakula na mabadiliko ya tabia nchi kutoka Ida&#341;a ya Sayansi ya Mazingi&#341;a katika Chuo Kikuu cha Cape Town, anadhani kuwa se&#341;a ya pamoja ya mabadiliko ya tabia nchi ni wazo zu&#341;i. <\/p>\n<p>&#8220;Utekelezaji wake,&#8221; anasema, &#8220;wakati ukionekana kuwa mgumu sana, hautawezekana.<\/p>\n<p>&#8220;Hata hivyo, ni jambo muhimu kuwa muundo muhimu unakuwepo kutekeleza se&#341;a, kwa kuwa na di&#341;a muhimu kutoka ndani na nje ya se&#341;ikali. Ni muhimu mchakato wa di&#341;a kukusanya uzoefu maalum ambao ni muhimu kwa mabadiliko ya tabia nchi kwa ajili ya mjadala.&#8221;<\/p>\n<p>Johnston anasema ni wakati muafaka kutekeleza mpango wa Af&#341;ika Kusini wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini itakuwa mwenyeji wa mfululizo wa matukio wakati wa kuelekea kwenye mkutano kuwezesha watu kushi&#341;iki na kuelimishwa juu ya mabadiliko ya tabia nchi. Kampeni zitahusu maonyesho ya elimu ba&#341;aba&#341;ani na mikutano ya hadha&#341;a katika majimbo yote tisa katika wiki zijazo. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la G&#341;eenpeace Af&#341;ica linasema litakuwa sehemu ya jitihada za mashi&#341;ika ya kijamii katika COP 17 na litashi&#341;iki katika maandamano ya watu makubwa Desemba 3 mjini Du&#341;ban kupinga kukosekana kwa hatua kutoka se&#341;ikalini.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Oct 10 (IPS) &ndash; Utekelezaji wa se&#341;a moja ya mabadiliko ya tabia nchi katika ida&#341;a zote za se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini halitakuwa jambo &#341;ahisi kwani ida&#341;a hizo kwa sasa zinafanya kazi kama viungo tofauti, linasema shi&#341;ika la mazingi&#341;a la G&#341;eenpeace Af&#341;ica. Mwezi Septemba 13 se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini ilitangaza kuwa ingeima&#341;isha se&#341;a yake ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":813,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3744","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3744","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/813"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3744"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3744\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3744"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3744"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3744"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}