{"id":3743,"date":"2011-10-11T13:40:01","date_gmt":"2011-10-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/dr-congo-ni-vigumu-kuokoa-wanawake-wote-wanaougua-fistula\/"},"modified":"2011-10-11T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-11T13:40:01","slug":"dr-congo-ni-vigumu-kuokoa-wanawake-wote-wanaougua-fistula","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/dr-congo-ni-vigumu-kuokoa-wanawake-wote-wanaougua-fistula\/","title":{"rendered":"DR CONGO: Ni Vigumu Kuokoa Wanawake Wote Wanaougua Fistula"},"content":{"rendered":"<p>KINSHASA, Oct 10 (IPS) &ndash; &#8220;Kila &#341;obo mwaka, zaidi ya wanawake mia moja wenye ugonjwa wa fistula &ndash; ikiwa ni pamoja na wengi wenye um&#341;i wa chini ya miaka 20 &ndash; wanalazwa kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji katika jimbo la Maniema,&#8221; anasema muuguzi Julie Mawazo. &#8220;Idadi ya wanawake wanaoathi&#341;ika ambao hawana jinsi au ufahamu wa kuja katika kituo chetu ni kubwa mno.&#8221;\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kila mwaka, unyanyasaji wa kingono, ndoa za um&#341;i mdogo na matatizo wakati wa kujifungua husababisha baadhi ya matukio 12,000 ya fistula &ndash; kulingana na Wiza&#341;a ya Afya ya Umma ya Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo.<\/p>\n<p>&#8220;Robo ya jumla ya matukio yote kitaifa yana&#341;ikodiwa katika jimbo la Maniema pekee, masha&#341;iki mwa DRC,&#8221; anasema Jules Mulimbi Kaboyi, ambaye anaongoza ofisi ya Shi&#341;ika la Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa mjini Kinshasa, mji mkuu wa Kongo. UNFPA inafanya kazi kutoa tiba na kusaidia wanawake hawa.<\/p>\n<p>Msaada huu unahitajika kwa kiasi kikubwa: ni asilimia 3.5 tu ya bajeti ya taifa ya DRC inatengwa kwa ajili ya sekta ya afya na katika nchi inayokabiliwa na changamoto nyingi kutoka kwenye magonjwa kama mala&#341;ia, kifua kikuu na UKIMWI, hii inaacha kiasi kidogo mno cha &#341;asilimali kinachokwenda kwa wanawake wanaougua ugonjwa huu unaoshusha heshima na kusababisha unyanyapaa.<\/p>\n<p>Be&#341;nadette Kabukulu ni muuza duka katika kitongoji cha Bandalungwa mjini Kinshasa. &#8220;Ka&#341;ibu miaka miwili, nimekuwa na maumivu mfululizo katika tumbo langu, na kutokwa na uvimbe mwekundu kwenye sehemu zangu za uzazi. Na ha&#341;ufu, hasa nilipokwenda kujisaidia au kama nimekaa sehemu moja hata kwa dakika chache,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Ilibidi niwe naoga kila ma&#341;a. Niliacha kunywa au kula ili kuzuia kwenda chooni. Nilikuwa naona aibu kutoka nje, nilihisi kama watu wangehisi ha&#341;ufu mbaya niliyokuwa nayo.<\/p>\n<p>&#8220;Fistula ni kutokwa na madonda na kuvimba kwa sehemu za si&#341;i za mwanamke na kusababisha uwazi &ndash; unaoonekana kama madonda yasiyokuwa ya kawaida &ndash; kati ya sehemu za uzazi na haja kubwa, na hivyo kusababisha kuwepo kwa uwazi kati ya njia ya haja ndogo na haja kubwa,&#8221; anasema mtaalam wa magonjwa ya wanawake Elie Makuza.<\/p>\n<p>&#8220;Madonda haya yanasababisha ha&#341;ufu ya kudumu kutoka sehemu za si&#341;i za mgonjwa,&#8221; Makuza anaongeza. &#8220;Ha&#341;ufu hii ma&#341;a nyingi ni chanzo cha unyanyapaa na kukataliwa katika jamii.&#8221;<\/p>\n<p>Fistula inaweza kusababishwa na shinikizo la muda m&#341;efu dhidi ya tishu laini za nyonga wakati wa kujifungua &ndash; wanawake wenye um&#341;i mdogo ama wasichana wana uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa huo &ndash; au kutokana na unyanyasaji mkubwa wa kingono.<\/p>\n<p>Unafuu kwa walioathi&#341;ika <\/p>\n<p>Ge&#341;main Musombo, mtetezi wa haki za binadamu katika shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali la Maniema Libe&#341;t&eacute;s, anasema elimu duni inachangia kwa kiasi kikubwa kwa tatizo, hususan huko Maniema ambako inakadi&#341;iwa kuwa ka&#341;ibu nusu ya wanawake wana elimu duni au hawana kabisa elimu &#341;asmi. &#8220;Katika Jimbo la Maniema, ongezeko la idadi ya wanawake walioathi&#341;ika ma&#341;a nyingi linatokana na sababu kuu nne. Umaskini, mimba za um&#341;i mdogo, unyanyasaji wa kingono, ikiwa ni pamoja na elimu duni ya wanawake na kutokujua [sababu ambazo zinasababisha hata&#341;i kwao].&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na kampeni za ufahamu zilizoandaliwa na UNFPA, kwa kushi&#341;ikiana na se&#341;ikali, wanawake wanazidi kuwa na ufahamu wa hata&#341;i za hali hiyo,&#8221; anasema Jean Be&#341;tin Epumba, Mku&#341;ugenzi wa Utafiti na Mipango wa Wiza&#341;a ya Afya ya Umma.<\/p>\n<p>Modeste Shabani, ni mwanaha&#341;akati katika kituo cha &#341;edio ya jamii cha Sauti Ya Mkaaji huko Kasongo.<\/p>\n<p>&#8220;Hapa Maniema kuna njia ambayo inaweza kufanya elimu ya umma kuwa na mafanikio madogo: ndoa za um&#341;i mdogo. Na ma&#341;a tu msichana mdogo anapoolewa, ma&#341;a nyingi kama mke wa pili au wa tatu, ni vigumu kuzungumza naye juu ya madha&#341;a ya suala hili.&#8221; <\/p>\n<p>Mawazo, ambaye anafanya kazi katika hospitali kuu ya Kindu, mji mkuu wa jimbo la Maniema, anasema yeye mwenyewe alijikuta anaugua fistula baada ya kumzaa mtoto wake wa kwanza. Alikuwa na um&#341;i wa miaka 15 tu wakati huo, na alipitia kwenye mchakato wa kujifungua bila kusaidiwa na tabibu. Alifanyiwa upasuaji miaka miwili iliyopita katika hospitali ya Kindu, na madakta&#341;i walioletwa kwa msaada wa UNFPA waliweza kumsaidia.<\/p>\n<p>&#8220;Nina fu&#341;aha kutumikia wanawake wengine wanaougua fistula sasa, na nawasaidia kufanyiwa vipimo ha&#341;aka na kupatiwa huduma ili waweze kuondokana na hali mbaya zaidi,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingi umaskini na kutokujua kunawafanya wasichana wadogo ambao hawana &#341;asilimali kuwa katika hali ya udhaifu dhidi ya wanaume au wavulana ambao wana aji&#341;a ndogo ndogo, na kusababisha wengi kupata mimba au kuolewa wakiwa na um&#341;i mdogo, au kujifungulia katika mazingi&#341;a hata&#341;i ambayo yanaweza kusababisha fistula.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KINSHASA, Oct 10 (IPS) &ndash; &#8220;Kila &#341;obo mwaka, zaidi ya wanawake mia moja wenye ugonjwa wa fistula &ndash; ikiwa ni pamoja na wengi wenye um&#341;i wa chini ya miaka 20 &ndash; wanalazwa kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji katika jimbo la Maniema,&#8221; anasema muuguzi Julie Mawazo. &#8220;Idadi ya wanawake wanaoathi&#341;ika ambao hawana jinsi au ufahamu wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":580,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3743","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3743","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/580"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3743"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3743\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3743"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3743"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3743"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}