{"id":3742,"date":"2011-10-11T13:40:01","date_gmt":"2011-10-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/afrika-magharibi-hatua-za-pamoja-dhidi-ya-uhaamia\/"},"modified":"2011-10-11T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-11T13:40:01","slug":"afrika-magharibi-hatua-za-pamoja-dhidi-ya-uhaamia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/afrika-magharibi-hatua-za-pamoja-dhidi-ya-uhaamia\/","title":{"rendered":"AFRIKA MAGHARIBI: Hatua za Pamoja Dhidi ya Uha&#341;amia"},"content":{"rendered":"<p>LOME, Oct 10 (IPS) &ndash; Taya&#341;i kuna zaidi ya mashambulizi matatu ya meli yaliyofanywa na maha&#341;amia katika Pwani ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi mwaka huu. Se&#341;ikali za kikanda zitakutana mjini Cotonou, Benin mwezi Oktoba kujadili jitihada za pamoja za kutokomeza uha&#341;amia.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Takwimu za mashambulizi zinatokana na matukio yaliyo&#341;ipotiwa na waongoza meli kwa Kituo cha Kimataifa cha Kutoa Taa&#341;ifa za Uha&#341;amia Baha&#341;ini na zinaonyesha tishio linalozidi kuongezeka la usafi&#341;i wa meli katika ukanda wenye utaji&#341;i wa mafuta. <\/p>\n<p>Mashambulizi ya ka&#341;ibuni zaidi ni yale ya Sep. 15 dhidi ya meli ya mafuta ya Mattheos I ikiwa na wafanyakazi wake 23 katika pwani ya Togo. Siku kumi baadaye, wamiliki wa meli kutoka Hispania waliviambia vyombo vya haba&#341;i kuwa meli hiyo na wafanyakazi wake wameshaachiliwa hu&#341;u; bila kulipwa kwa fedha zozote zile zilizodaiwa na watekaji lakini baadhi ya mafuta ya dizeli yaliibwa katika meli hiyo. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali katika mwambao wa Af&#341;ika Magha&#341;ibi zimeonyesha wasiwasi wao kuhusu kuongezeka kwa idadi ya mashambulizi dhidi ya meli za mizigo, na zinataka kukusanya &#341;asilimali chache walizonazo kuendesha hatua za pamoja, kama vile kushika do&#341;ia katika Ghuba ya Guinea. <\/p>\n<p>&#8220;Lakini hatutaki kuishia tu kwenye do&#341;ia za pamoja kati ya Benin na Nige&#341;ia; hivi ka&#341;ibuni tutaenea na kuhusisha majeshi ya Togo na Ghana,&#8221; Kamanda Maxime Ahoyo, mkuu wa Jeshi la Majini la Benin, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Kama tutakabiliana na matatizo ya uha&#341;amia katika maji ya Benin lakini, kwa mfano, tutaacha kuchukua tahadha&#341;i za kiusalama katika maji ya Togo, na kama hatutaungana na wenzetu wa Togo na nchi nyingine, hali hii &ndash; ambayo ina mtandao mpana &ndash; itazidi kuenea.&#8221; <\/p>\n<p>Madha&#341;a ya kiuchumi <\/p>\n<p>Rais wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi, James Victo&#341; Gbeho, ametoa wito wa kuchukuliwa kwa hatua dhidi ya uha&#341;amia na kupanuliwa na kuingiza mataifa yote katika pwani. <\/p>\n<p>&#8220;Majeshi ya majini katika mataifa yetu yote ya ukanda wa pwani yanapaswa kuunganisha nguvu zao siku zote,&#8221; Gbeho aliiambia IPS, huku akisitiza imani yake kuwa tatizo la uha&#341;amia lazima kupatiwa ufumbuzi kamilifu. &#8220;Hali hiyo inazidi kutisha na inaweza kuwa na madha&#341;a makubwa ya kiuchumi kwa nchi zetu. Hii ndiyo sababu tutachukua hatua dhidi yake.&#8221; <\/p>\n<p>Uha&#341;amia taya&#341;i umeshasababisha makampuni ya bima ya vyombo vya baha&#341;ini mjini London kuiingiza Benin katika o&#341;odha ya kuwepo katika ukanda wa hata&#341;i kubwa ya usafi&#341;i wa meli. Makampuni ya bima ya vyombo vya baha&#341;ini yanayowakilishwa na chama cha &#8216;Lloyd&#8217;s Ma&#341;ket Association&#8217; yanadai ada kubwa kulipia meli zinazopita katika ukanda huo. <\/p>\n<p>Kulingana na B&eacute;netti Gagalo, Katibu Mkuu Msaidizi wa Chama cha Walaji cha Togo, hali hiyo ni wazi itakuwa na madha&#341;a katika kipato cha banda&#341;i za ukanda huo ikiwa ni pamoja na gha&#341;ama za bidhaa za walaji. <\/p>\n<p>Msaada kutoka nje <\/p>\n<p>Dha&#341;ula ya hali hiyo imesababisha se&#341;ikali za kikanda kuomba msaada kutoka Ufa&#341;ansa na Ma&#341;ekani, ambao wameshapeleka vifaa vya majini katika eneo hilo. <\/p>\n<p>Manuwa&#341;i ya Kifa&#341;ansa ya Ge&#341;minal, taya&#341;i inafanya do&#341;ia katika pwani ya Benin, Togo na Ghana kuja&#341;ibu na kupunguza uha&#341;amia, ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo kwa aska&#341;i wa majini kutoka nchi zote tatu. <\/p>\n<p>&#8220;Tumewapatia mafunzo aska&#341;i hawa wa majini, na wameshi&#341;iki katika mazoezi yote ya kiusalama na kufanya do&#341;ia ambayo tumeyafanya kuzuia uha&#341;amia. Na wametusaidia na maa&#341;ifa yao waliyonayo katika eneo hili la opa&#341;esheni,&#8221; S&eacute;bastien Chatelin, nahodha wa manuwa&#341;i hiyo ya Kifa&#341;ansa, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Manuwa&#341;i ya Kima&#341;ekani, HSV Swift, pia imefika katika Ghuba ya Guinea, ikisaidia kupambana na uha&#341;amaia huku ikitoa mafunzo kwa aska&#341;i wa majini wa Benin, Togo na Ghana kama sehemu ya mpango wa kijeshi wa Ma&#341;ekani ujulikanao kama &#8220;Af&#341;ica Pa&#341;tne&#341;ship Station&#8221;. <\/p>\n<p>&#8220;Lengo letu ni kuja&#341;ibu na kutoa mafunzo kwa washi&#341;ika wa Af&#341;ika juu ya usalama,&#8221; alisema nahodha wa chombo hicho cha Ma&#341;ekani, Rhett S. Mann. <\/p>\n<p>&#8220;Mpango wa APS utatu&#341;uhusu kufanya kazi pamoja kukabiliana na matatizo ambayo yanaathi&#341;i maji ya pwani yetu,&#8221; aliongeza Sam Nk&#341;uma, ofisa kutoka jeshi la majini la Ghana. <\/p>\n<p>Aska&#341;i mwenzake wa Benin, Ch&#341;istian Oussa, alika&#341;ibisha mafunzo waliyopata wakiwa katika meli mbili za jeshi la majini. &#8220;Hii itatu&#341;uhusu kukabiliana na uha&#341;amia na wafanyabiasha&#341;a ha&#341;amu katika baha&#341;i. Tumejifunza jinsi ya kupanda meli zinazotiliwa mashaka na kuzikagua; mafunzo ni mazu&#341;i mno,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LOME, Oct 10 (IPS) &ndash; Taya&#341;i kuna zaidi ya mashambulizi matatu ya meli yaliyofanywa na maha&#341;amia katika Pwani ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi mwaka huu. Se&#341;ikali za kikanda zitakutana mjini Cotonou, Benin mwezi Oktoba kujadili jitihada za pamoja za kutokomeza uha&#341;amia. Takwimu za mashambulizi zinatokana na matukio yaliyo&#341;ipotiwa na waongoza meli kwa Kituo cha Kimataifa cha Kutoa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":133,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3742","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3742","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/133"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3742"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3742\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3742"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3742"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3742"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}