{"id":3741,"date":"2011-10-11T13:40:01","date_gmt":"2011-10-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/dr-congo-hakuna-maji-hakuna-usimamiaji-hakuna-nishati\/"},"modified":"2011-10-11T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-11T13:40:01","slug":"dr-congo-hakuna-maji-hakuna-usimamiaji-hakuna-nishati","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/dr-congo-hakuna-maji-hakuna-usimamiaji-hakuna-nishati\/","title":{"rendered":"DR CONGO: Hakuna Maji, Hakuna Usimamiaji, Hakuna Nishati"},"content":{"rendered":"<p>KINSHASA, Oct 10 (IPS) &ndash; Kukatika kwa umeme kwa ma&#341;a kwa ma&#341;a kumesababisha kusimamishwa kwa bodi ya kampuni ya umeme ya taifa ya Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo. Lakini haijafahamika bado kama uzalishaji duni wa umeme kutoka Bwawa la kuzalisha nishati hiyo la Inga linalolisha mji mkuu wa nchi hiyo wa Kinshasa kunatokana na usimamiaji mbovu au kupungua kwa kina cha maji ya Mto Congo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mitambo miwili ya kuzalisha umeme &ndash; Inga I na II, iliyopo katika mto huo baadhi ya kilomita 300 kutoka mto unakoanzia kwenda mji huo mkuu &ndash; ina uwezo wa pamoja wa kuzalisha megawati 1,775, lakini katika miaka ya ka&#341;ibuni uzalishaji umepungua hadi megawati 800 kutokana na matatizo ya uka&#341;abati na ucheleweshaji wa kufanya ma&#341;ekebisho yanayostahili.<\/p>\n<p>Hata hivyo, mitambo hiyo kwa sasa inazalisha megawati 300 tu, ambazo kwa kiasi kikubwa hazitoshelezi mahitaji. Hii inafafanua ni kwa nini kuna kukatika kwa umeme kwa ma&#341;a kwa ma&#341;a kunakowakabili wateja wa nyumbani na wale wa kibiasha&#341;a ambako kulisababisha kufukuzwa kazi kwa bodi ya SNEL na Rais Joseph Kabila mwishoni mwa mwezi Agosti.<\/p>\n<p>&#8220;Sisi ni waathi&#341;ika,&#8221; anapinga Mbuyi Tshimpanga, mku&#341;ugenzi wa kituo cha kuzalisha umeme cha Inga. Kulingana na mku&#341;ugenzi huyo, kina cha maji kiko chini kutokana na mvua duni katika bonde la mto huo lenye ukubwa wa kilomita za m&#341;aba milioni nne.<\/p>\n<p>Tshimpanga anasema kina cha maji katika mto kimesababisha kupungua kwa uzalishaji wa umeme kutoka mitambo ya Inga, na hivyo kuwa na madha&#341;a makubwa ya usambazaji siyo tu kwa Kinshasa lakini pia kwa majimbo kama ya Bas&ndash;Congo katika magha&#341;ibi na Katanga katika kusini magha&#341;ibi.<\/p>\n<p>Hali hiyo, anasisitiza, inaonyesha haja ya kuingiza kutoka nje kati ya megawati 50 na 120 za umeme kutoka mtandao wa Zambia kupunguza uhaba katika jimbo la Katanga, ambalo linatumia mpaka mmoja na ji&#341;ani huyo wa DRC kwa upande wa kusini.<\/p>\n<p>Albe&#341;t Landu, m&#341;atibu wa shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali la &#8220;Cause Ve&#341;te&#8221;, lililopo Matadi, Bas&ndash;Congo, anathibitisha kuwa kina cha maji kipo chini mno, na hata kutishia bayoanuwai ya mto. &#8220;Hatujawahi kukumbana na janga kama hili,&#8221; anasema. &#8220;Tunaogopa kupungua kwa idadi ya samaki katika jimbo letu.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Waku&#341;ugenzi wa SNEL wameja&#341;ibu, usiku na mchana, kufanya kila linalowezekana kuzuia kukosekana kwa umeme kabisa,&#8221; alisema Jean&ndash;Thomas Lokala, mku&#341;ugenzi wa ufundi wa kampauni hiyo anayemaliza muda wake, akiongeza kuwa &#8220;Hali ni mbaya zaidi ambayo hata hivyo haijasababisha machafuko.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Kama mvua zisipo&#341;ejea hivi ka&#341;ibuni, Kinshasa itakuwa katika giza ifikapo mwezi Septemba,&#8221; anaonya Rigobe&#341;t Muhono, mfanyakazi wa zamani wa SNEL.<\/p>\n<p>Lakini sababu ya SNEL kuwa kukatika kwa umeme kunatokana na kupungua kwa kina cha maji kunafanya baadhi ya waangalizi wa mambo wasi&#341;idhike. Wanasema matatizo ya uzalishaji katika bwawa la Inga yanatokana na uendeshaji mbovu, hasa wa mto ambao unaleta maji kutoka Congo na kuingiza katika mfe&#341;eji mkubwa unaoingiza maji yake kwenye mashine, ambao haujachimbwa na kusafishwa kwa ka&#341;ibu miaka mitatu.<\/p>\n<p>&#8220;Mto huu unapokea tani 257.4 za mchanga uliochangamana na tope na kokoto kwa saa moja,&#8221; anaelezea Hen&#341;i Kimbanzi, mku&#341;ugenzi wa Inga I, &#8220;hii inafikia tani 6,177.6 kwa siku. Ni asilimia 50 tu ya mchanga huu unasafishwa na mashine, wakati mwingine unaendelea kujikusanya katika mfe&#341;eji.&#8221;<\/p>\n<p>Mashine ya kuondolea mchnga kwenye mfe&#341;eji ilinunuliwa mwaka 2007 kwa ka&#341;ibu dola milioni nne na SNEL kutoka kampuni yenye makao yake mjini Ubelgiji ya Ma&#341;ine T&#341;ading Enginee&#341;ing. Lakini haijafungwa hadi sasa kufuatia kutokuelewana kati ya kampuni hiyo ya Kibelgiji na SNEL; taha&#341;i&#341;i katika gazeti la Kongo la kila siku &#8220;L&#8217;Aveni&#341;&#8221; ilibainisha kuwa kamisheni ya asilimia kumi kwa ajili ya ununuzi wa mashine hiyo ilishalipwa muda m&#341;efu kwa wajumbe wa bodi iliyopita.<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi wa ufundi anayenmaliza muda wake katika SNEL amekana tuhuma za kukosekana kwa usimamizi mzu&#341;i kuwa hazina msingi. Lakini wakati wa zia&#341;a za vyombo vya haba&#341;i katika bwawa mwezi Agosti, IPS iligundua kuwa kampuni ilikuwa ikisafisha mchanga kutoka kwenye mfe&#341;eji huo kwa kutumia mashine maalum, ambayo inanyonya mchanga huo kupitia kwenye bomba na kwenda kuutupa.<\/p>\n<p>&#8220;Madha&#341;a ya jumla ya kushindwa kusambaza umeme katika mji wa Kinshasa wakati watu wakisubi&#341;i ku&#341;ejea kwa mvua yanahitaji kusimamiwa kwa uangalifu,&#8221; anasema Eug&#038;eg&#341;ave;ne Bitongwa, mmiliki wa klabu ya pombe katika kitongoji cha Bandalungwa mjini humo. Kama watashindwa, anasema, uchumi utashuka na uhasama ambao unajijenga hautaweza kudhibitiwa.<\/p>\n<p>Akijibu tuhuma za kufukuzwa kazi kwa bodi ya SNEL, Atundu Liongo, kiongozi wa chama kinachounga mkono se&#341;ikali cha Convention des Democ&#341;ates pou&#341; la R&eacute;publique alisema, &#8220;Uamuzi uliochukuliwa na mkuu wa nchi ni wa busa&#341;a. Yengo (mku&#341;ugenzi mkuu anayemaliza muda wake wa SNEL) alikosa di&#341;a na nia.&#8221;<\/p>\n<p>Katika mjadala kwa njia ya televisheni mwezi Agosti 22, T&#341;iphon Kin Kiey, mbunge wa chama tawala, alisema SNEL imekuwa ikifanya kazi bila ya kuwa na makadi&#341;io halisi ya siku zijazo. &#8220;Nchini humu kuna watu ambao wanatumia fedha kwa anasa, hata hivyo hawalipi hata senti moja ya bili ya maji wa umeme. Huu ni utawala mbaya.&#8221;<\/p>\n<p>Lakini Steve Mbikayi, mkuu wa chama cha upinzani cha Wo&#341;ke&#341;s&#8217; Pa&#341;ty, alisema: &#8220;Se&#341;ikali inahusika na kila kitu ambacho wanaishutumu SNEL. Kushindwa kwa SNEL ni kushindwa kwa se&#341;ikali, ambayo imetaja maji na umeme kama vipaumbele muhimu vya maendeleo katika Jamhu&#341;i.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KINSHASA, Oct 10 (IPS) &ndash; Kukatika kwa umeme kwa ma&#341;a kwa ma&#341;a kumesababisha kusimamishwa kwa bodi ya kampuni ya umeme ya taifa ya Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo. Lakini haijafahamika bado kama uzalishaji duni wa umeme kutoka Bwawa la kuzalisha nishati hiyo la Inga linalolisha mji mkuu wa nchi hiyo wa Kinshasa kunatokana na usimamiaji&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":877,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3741","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3741","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/877"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3741"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3741\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3741"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3741"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3741"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}