{"id":3739,"date":"2011-10-11T13:40:01","date_gmt":"2011-10-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/swaziland-kama-ada-haijalipwa-hakuna-kwenda-shule\/"},"modified":"2011-10-11T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-11T13:40:01","slug":"swaziland-kama-ada-haijalipwa-hakuna-kwenda-shule","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/swaziland-kama-ada-haijalipwa-hakuna-kwenda-shule\/","title":{"rendered":"SWAZILAND: Kama Ada Haijalipwa, Hakuna Kwenda Shule"},"content":{"rendered":"<p>MBABANE, Oct 10 (IPS) &ndash; Mustakabali wa baadaye wa elimu ya watoto nchini Swaziland haujulikani kutokana na shule za umma nchini kote kushindwa kufunguliwa kwa ajili ya msimu mpya wa masomo kutokana na se&#341;ikali kushindwa kulipa fedha za kujikimu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Se&#341;ikali yenye matatizo ya kifedha ya Swaziland bado haijatoa dola milioni 13.5 ambazo inadaiwa kama ada za shule katika Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Wote (FPEP) na kwa yatima na watoto wanaoishi katika mazingi&#341;a magumu. Se&#341;ikali inalipia wanafunzi wa da&#341;asa la kwanza hadi la tatu chini ya FPEP, na mada&#341;asa yote kwa watoto yatima na wanaoishi katika mazingi&#341;a magumu. <\/p>\n<p>Wakuu wa shule hutumia fedha hizo kulipia walimu na wafanyakazi wengine na gha&#341;ama nyingine za uendeshaji ikiwa ni pamoja na maji na umeme na bili za simu. Pia wanatumia fedha hizo kununulia vifaa vya kufundishia kama vile chaki. Lakini wakuu wa shule katika taifa hili dogo la Kusini mwa Af&#341;ika ambalo halina banda&#341;i wameamua kuacha kufungua shule hadi fedha hizo zitakapotolewa.<\/p>\n<p>Zaidi ya watoto 300,000 wanaokwenda shule wameathi&#341;ika na mgogo&#341;o huo kati ya Wiza&#341;a ya Elimu na Mafunzo na Chama cha Wakuu wa Shule wa Swaziland (SWAPA). <\/p>\n<p>Siku ya Alhamisi Chama cha Walimu cha Swaziland kiliungana na SWAPA na kushi&#341;iki katika maandamano mtaani kutaka kulipwa kwa ada hizo. <\/p>\n<p>&#8220;Tumechoka na kuchanganyikiwa,&#8221; alisema mwalimu mkuu Roge&#341; Mpapane.<\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali ma&#341;a zote inachelewa kutoa malipo na ma&#341;a nyingi hailipi fedha zote,&#8221; alilalamika mwalimu mkuu mwingine.<\/p>\n<p>Baadhi ya shule zimekatiwa maji na umeme. Bila huduma hizi, alisema Mpapane, vyoo vinahata&#341;isha afya. <\/p>\n<p>&#8220;Sikuwa na la klufanya bali kufunga shule kwasababu hakuna fedha za kuiendesha,&#8221; alisema David Thwala, mwalimu mkuu wa shule ya Sekonda&#341;i ya Enyakeni.<\/p>\n<p>Baadhi ya wakuu wa shule wamelalamika kuwa wafanyakazi wao kama vile makatibu muhtasi na wapishi wametishia kuwapeleka mahakamani kutokana na kutokulipwa mishaha&#341;a yao. <\/p>\n<p>Matatizo ya kifedha nchini humo yalianza mwaka 2010 wakati Swaziland ilipopokea chini ya asilimia 60 ya kile ilichokuwa inakipata kutoka Umoja wa Fo&#341;odha wa Kusini mwa Af&#341;ika. Umoja huo wa kikanda ulikuwa ukichangia zaidi ya nusu ya bajeti ya taifa ya Swaziland, lakini mapato yalishuka baada ya mtikisiko wa kiuchumi duniani. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Swaziland imepata mkopo kutoka Af&#341;ika Kusini lakini bado haijapata mgawo wa awali wa dola milioni 114.2 kutoka kwenye mkopo wa thamani ya dola milioni 342. Mkopo huo unasubi&#341;i kukamilika kwa mkataba kati ya nchi hizo mbili.  <\/p>\n<p>Na Af&#341;ika Kusini inaonekana tumaini pekee la kuipatia Swaziland fedha za kuinua uchumi wake. Kiongozi wa ujumbe wa Shi&#341;ika la Fedha la Kimataifa nchini Swaziland, Johannes Monga&#341;dini, alitangaza mwanzoni mwa mwezi huu kuwa Swaziland imeshindwa kufikia shabaha zilizowekwa na shi&#341;ika hilo kwasababu se&#341;ikali haijapunguza mishaha&#341;a ya wafanyakazi wa se&#341;ikali, ambayo ingeokoa dola milioni 34.2 kwa mwaka nchini humo.<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na hali hii, ujumbe huo uliona kuwa shughuli za kiuchumi zinabakia chini na mfumuko wa bei unazidi kupanda,&#8221; alisema Monga&#341;dini. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, wanafunzi wana mashaka kuhusu mitihani yao ijayo. <\/p>\n<p>&#8220;Makumu mkuu wa shule yetu alituambia ku&#341;ejea nyumbani lakini hakusema ni lini tunatakiwa ku&#341;udi shuleni,&#8221; alisema Thembile Nkomo (13).<\/p>\n<p>Mwanafunzi wa da&#341;asa la saba katika Shule ya Msingi Manzini Kati alikuwa na wasiwasi kuwa da&#341;asa lake halitakamilisha mtaala wa mwaka kabla ya mtihani wa Novemba.  <\/p>\n<p>Rais wa SWAPA Cha&#341;les Bennett alisema kuwa wakati wanafunzi wa da&#341;asa la 10 na 12 wanata&#341;ajiwa kuanza mitihani yao mapema Oktoba, hakuna ambalo wakuu wa shule wanaweza kufanya kuhakikisha kuwa wanaendelea kama kawaida. Alisema hii ilitokana na kukosekana kwa fedha za kununulia vifaa vya nyongeza kwa ajili ya mitihani. <\/p>\n<p>&#8220;Kukosekana kwa fedha pia kumeathi&#341;i mitihani kwasababu baadhi ya shule zinahitaji fedha kwa ajili ya mitihani ya vitendo,&#8221; alisema Bennett.  <\/p>\n<p>&#8220;Baadhi ya shule zimeandikisha wanafunzi zaidi ya asilimia 80 ya yatima na watoto wanaoishi katika mazingi&#341;a magumu,&#8221; aliongeza Bennett. <\/p>\n<p>Wakati se&#341;ikali imetoa uhakiki kuwa ada zinazodaiwa zitalipwa, Katibu Mkuu wa Wiza&#341;a ya Elimu na Mafunzo Pat Mui&#341; alisema kufungwa kwa shule hadi kulipwa kwa madeni hakukubaliki. <\/p>\n<p>&#8220;Shule ni za se&#341;ikali na wazazi,&#8221; alisema Mui&#341;. &#8220;Wakuu wa shule hawana haki ya kufunga shule kwa kutumia kigezo chochote kile.&#8221;<\/p>\n<p>Alisema wiza&#341;a imeomba wakuu wa shule kuonyesha taa&#341;ifa za kibenki za shule zao kama uthibitisho kuwa hakuna fedha. Hakuna mkuu wa shule hata mmoja ambaye ameshawasilisha taa&#341;ifa hizo, alisema Mui&#341;.<\/p>\n<p>Mui&#341; aliahidi kuwa malipo ya ada zinazodaiwa yatakuwa yamefanyika ifikapo Sep. 15, lakini hili bado halijatekelezwa. Wakati huo huo, wiza&#341;a imetoa taa&#341;ifa inayoshau&#341;i wakuu wa shule na wazazi kujadili jinsi ya kuendesha shule bila fedha kutoka se&#341;ikalini. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MBABANE, Oct 10 (IPS) &ndash; Mustakabali wa baadaye wa elimu ya watoto nchini Swaziland haujulikani kutokana na shule za umma nchini kote kushindwa kufunguliwa kwa ajili ya msimu mpya wa masomo kutokana na se&#341;ikali kushindwa kulipa fedha za kujikimu. Se&#341;ikali yenye matatizo ya kifedha ya Swaziland bado haijatoa dola milioni 13.5 ambazo inadaiwa kama ada&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":519,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3739","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3739","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/519"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3739"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3739\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3739"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3739"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3739"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}