{"id":3735,"date":"2011-10-11T13:40:01","date_gmt":"2011-10-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/afika-mashaiki-yataka-kufanya-biashaa-na-nchi-nje-ya-eu\/"},"modified":"2011-10-11T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-11T13:40:01","slug":"afika-mashaiki-yataka-kufanya-biashaa-na-nchi-nje-ya-eu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/afika-mashaiki-yataka-kufanya-biashaa-na-nchi-nje-ya-eu\/","title":{"rendered":"Af&#341;ika Masha&#341;iki Yataka Kufanya Biasha&#341;a na Nchi Nje ya EU"},"content":{"rendered":"<p>KAMPALA, Oct 10 (IPS) &ndash; Jumuiya ya Af&#341;ika Masha&#341;iki (EAC) na Umoja wa Ulaya wame&#341;ejea kwenye meza ya mazungumzo Jumatatu kutatua utata juu ya kuchelewa kusainiwa kwa ushi&#341;ikiano wa kiuchumi kati ya kambi mbili hizo za kibiasha&#341;a.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mikataba ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi (EPAs) kati ya EU na Af&#341;ika, Ca&#341;ibbean na Pacific (ACP) ina nia ya kukuza biasha&#341;a kati ya kambi hizo mbili. Lakini tangu mwaka 2007 mazungumzo kati ya EAC na EU yamelega lega.<\/p>\n<p>Viongozi wa EAC na EU watakutana kuanzia Sep. 12 hadi 14 mjini Zanziba&#341;, Tanzania kukubaliana mwongozo wa kuendesha mazungumzo. <\/p>\n<p>EAC na EU wana matumaini kujadili vifungu vilivyobaki katika mikataba ya muda ya EPA, ambavyo vinahusu masuala ya kodi za kuuza bidhaa nje, kifungu cha kutoa upendeleo kwa taifa fulani (MFN), she&#341;ia za uasilia na kilimo. <\/p>\n<p>Makatibu wakuu wa mataifa ya EAC na wataalam wa EPA walikutana mjini A&#341;usha, Tanzania mwezi Juni kama hatua ya kwanza kuanza mazungumzo yenye lengo la kusaini mkataba wa mwisho kabla ya mwisho wa mwaka 2011.<\/p>\n<p>Moja ya masuala yasiyozungumzwa ni kifungu cha MFN, ambacho kinalazimisha EAC kupanua upendeleo unaotolewa kwa EU kukitoa kwa upande mwingine chini ya mikataba ya biasha&#341;a ya baadaye. <\/p>\n<p>Mazungumzo ya EAC na makundi ya ki&#341;aia yanasema kuwa kifungu hicho kinaweza kwa kiasi kikubwa kudhoofisha biasha&#341;a baina ya mataifa ya kusini kwani kinaingiza kuondoa motisha kwa mikataba ya biasha&#341;a ya EAC na nchi nyingine zinazoendelea.<\/p>\n<p>Dk. James Ndahi&#341;o, mwakilishi wa Rwanda katika Bunge la Af&#341;ika Masha&#341;iki, aliiambia IPS kuwa kifungu cha MFN kinapaswa kufutwa au ku&#341;ekebishwa kuzuia matumizi yake katika mikataba na nchi zilizoendelea. &#8220;Tuna mashaka kuwa masuala ambayo hayajashughulikiwa, kama yasipotatuliwa na kuingizwa katika mchakato wa EPA, yataifanya EAC kuingia katika makubaliano duni ya kibiasha&#341;a,&#8221; alisema Ndahi&#341;o. <\/p>\n<p>Sam Kasi&#341;ye, ofisa mipango wa Taasisi ya Biasha&#341;a, Haba&#341;i na Mazungumzo ya Kusini na Masha&#341;iki mwa Af&#341;ika aliiambia IPS kuwa EU ilikuwa ikija&#341;ibu kujificha katika ushindani kwa kusisitiza kifungu cha MFN. <\/p>\n<p>&#8220;EU itakuwa mfaidikaji mkuu wa kifungu cha MFN kwasababu inataka kujificha dhidi ya uchumi unaoibukia kama India na China,&#8221; alisema Kasi&#341;ye.<\/p>\n<p>EAC na EU walisainiana mkataba wa muda na EPA, pia unaojulikana kama F&#341;amewo&#341;k EPA (FEPA), Novemba mwaka 2007 ili kuzuia uha&#341;ibifu wa biasha&#341;a katika sekta za kilimo cha bustani na uvuvi, sekta zinazoongoza katika uuzaji bidhaa nje. Kenya, ambayo ipo katika kambi ya nchi zenye maendeleo duni (LDC), ingepoteza soko lake hu&#341;u kwa EU kwani mkataba wake wa upendeleo wa kibiasha&#341;a na kambi hiyo utakuja kuisha wakati wake Desemba 2007. <\/p>\n<p>FEPA ilisainiwa kulinda kupotea kwa aji&#341;a katika sekta ya bustani, uvuvi na sekta zinazohusiana na hizo nchini Kenya, ikiwa ni pamoja na kupoteza mapato kwa se&#341;ikali ya Kenya kutokana na kupungua kwa bidhaa za kusafi&#341;isha nje.<\/p>\n<p>Vyama vya ki&#341;aia, wanasiasa na wataalam wa biasha&#341;a wa EAC wanasema baadhi ya vifungu katika FEPA haviendani na vifungu na hali ya kubadilika iliyopo katika Shi&#341;ika la Biasha&#341;a Ulimwenguni Wo&#341;ld T&#341;ade O&#341;ganization&#8217;s (WTO) na kutolewa kwa EAC kama mataifa ya LDCs. <\/p>\n<p>Wakosoaji wa EPA wamepandisha bende&#341;a nyekundu dhidi ya vifungu vya mkataba, ambavyo vinahusiana na utoaji wa &#341;uzuku, ushindani usiokuwa wa haki na se&#341;a kali za ulinzi wa soko. <\/p>\n<p>Moja ya masuala mengine ambayo hayajatatuliwa ni &#341;uzuku ya kilimo iliyotolewa na EU kwa wakulima wake. EAC ina wasiwasi kuwa &#341;uzuku za bidhaa za kilimo zitamiminika katika masoko ya nchi za dunia ya tatu na kuathi&#341;i wakulima wa mataifa hayo. <\/p>\n<p>Wajumbe wa bunge la Af&#341;ika Masha&#341;iki katika Azimio lao la Juni 2010 walitaka kusitishwa kusainiwa kwa EPA hadi F&#341;amewo&#341;k EPA itakapo&#341;ejewa upya. <\/p>\n<p>Mpango wa EPA ungehitaji Bu&#341;undi, Kenya, Rwanda, Tanzania na Uganda kuhu&#341;isha ushu&#341;u wao kwa asilimia 82.6 ya bidhaa zinazoingizwa kutoka EU ifikapo mwaka 2033, wakati EU ingehu&#341;isha ushu&#341;u wake wote wa bidhaa zinazoingia EAC, huku kukiwepo kipindi cha mpito cha suka&#341;i na mpunga.<\/p>\n<p>Kasi&#341;ye aliiambia IPS masuala ya biasha&#341;a hu&#341;ia katika soko la EAC hadi kwenye bidhaa za EU ni moja ya masuala yenye utata chini ya mazungumzo. &#8220;Makubaliano yanaweza kutokuisadia Af&#341;ika Masha&#341;iki kama hayatajadiliwa vizu&#341;i na kutekelezwa. Viwanda vingi vichanga katika kanda vitaanguka ma&#341;a tu bidhaa kutoka Ulaya zitakapomiminika katika masoko yetu,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Dk. Nathan I&#341;umba, balozi wa zamani wa Uganda katika WTO, aliiambia IPS kuwa EPAs ina uwezekano wa kusababisha madha&#341;a kwa wakulima wadogo wa EAC ambao hawataweza kushindana na wakulima wa EU ambao wanapata &#341;uzuku kubwa. <\/p>\n<p>Alisema EU ilikuwa ikitoa shinikizo kwa EAC kusainiwa kwa mkataba, bila kujali masuala yanayojadiliwa. <\/p>\n<p>Benjamin Mkapa, &#341;ais wa zamani wa Tanzania, alionya kusainiwa kwa EPAs katika hali yake ya sasa kungeathi&#341;i maendeleo ya baadaye ya EAC na kuangamiza uwezekano wa biasha&#341;a za kikanda na mshikamano.<\/p>\n<p>Mkapa Alisema EPAs zinajadiliwa kwa utashi kuwa EU ni mshi&#341;ika mkuu wa EAC. <\/p>\n<p>&#8220;Hadi sasa takwimu za kibiasha&#341;a zinaonyesha kuwa kwa muda m&#341;efu EAC inauza bidhaa kwa EU wakati asilimia ya ujumla ya biasha&#341;a inapungua. Wakati huo huo, bidhaa za EAC zinazouzwa Af&#341;ika inaongezeka. Hadi mwaka 2008, bidhaa za EAC kwa Af&#341;ika zilizidi zile zilizouzwa EU,&#8221; alisema. EAC iliuza nje bidhaa za thamani ya dola bilioni nne kwenda nchi za Kiaf&#341;ika wakati iliuza dola bilioni 2.9 tu kwenda EU.<\/p>\n<p>Ridolfi Robe&#341;to, mjumbe wa ujumbe wa EU nchini Uganda, alikanusha kuwa walikuwa wakishinikiza Uganda kusaini EPAs. &#8220;Kwa kweli EU haiwezi kuhitaji EPA kamili zaidi ya kanda inavyohitaji,&#8221; alisema Robe&#341;to. <\/p>\n<p>Robe&#341;to alisema EU haina upinzani kwa EAC kukataa kufungua ushindani wa bidhaa za msingi kama vile nyama, samaki, bidhaa za maziwa, mboga, matunda na bidhaa za nguo.<\/p>\n<p>Kenya inaingia kwenye mazungumzo ikiwa na msimamo dhaifu kwani inakabiliwa na shinikizo la kusaini EPAs kama sivyo itakuwa hata&#341;ini kutozwa kodi kwa bidhaa inazouza katika mataifa ya EU. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMPALA, Oct 10 (IPS) &ndash; Jumuiya ya Af&#341;ika Masha&#341;iki (EAC) na Umoja wa Ulaya wame&#341;ejea kwenye meza ya mazungumzo Jumatatu kutatua utata juu ya kuchelewa kusainiwa kwa ushi&#341;ikiano wa kiuchumi kati ya kambi mbili hizo za kibiasha&#341;a. Mikataba ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi (EPAs) kati ya EU na Af&#341;ika, Ca&#341;ibbean na Pacific (ACP) ina nia ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":526,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3735","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3735","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/526"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3735"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3735\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3735"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3735"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3735"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}