{"id":3734,"date":"2011-10-11T13:40:01","date_gmt":"2011-10-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/ivory-coast-waathiika-wa-taka-za-sumu-wasubii-miaka-kulipwa-fidia\/"},"modified":"2011-10-11T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-11T13:40:01","slug":"ivory-coast-waathiika-wa-taka-za-sumu-wasubii-miaka-kulipwa-fidia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/ivory-coast-waathiika-wa-taka-za-sumu-wasubii-miaka-kulipwa-fidia\/","title":{"rendered":"IVORY COAST: Waathi&#341;ika wa Taka za Sumu Wasubi&#341;i Miaka Kulipwa Fidia"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Oct 10 (IPS) &ndash; Maelfu ya waathi&#341;ika wa taka za sumu mwaka 2006 mjini Abidjan, mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a wa Ivo&#341;y Coast, bado hawajapata fidia za kiuchumi walizoahidiwa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Kuna kukosekana kwa uwazi juu ya nini kimetokea katika mamilioni ya dola ambayo yatapaswa kulipwa katika fidia ya se&#341;ikali,&#8221; Benedetta Lacey, mshau&#341;i maalum wa uhusiano katika shi&#341;ika la Amnesty Inte&#341;national, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti ya Umoja wa Mataifa iliyochapishwa mwaka 2009, ga&#341;i la taka za sumu la kampuni ya kimataifa ya T&#341;afigu&#341;a Behee&#341; BV liliathi&#341;i zaidi ya watu 100,000, ambao walifuata tiba kutokana na matatizo mbalimbali ya kiafya. Tukio hilo lilihusishwa na vifo vya watu 15.<\/p>\n<p>Tangu mwaka 2007, T&#341;afigu&#341;a imelipa dola milioni 260 katika malipo kadhaa, lakini kiasi kikubwa cha fedha kinabakia kutokuhesabiwa na malefu ya waathi&#341;ika hawajapokea fidia ya kiuchumi. <\/p>\n<p>&#8220;Ni suala lisilokubaliwa kuwa watu wengi ambao waliathi&#341;ika na kutupwa kwa taka hizo hawajaIipwa fidia ambayo walitakiwa kupewa,&#8221; Amnesty Inte&#341;national ilisema katika taa&#341;ifa kwa vyombo vya haba&#341;i. &#8220;Se&#341;ikali ya Rais Ouatta&#341;a alipaswa kufanya kazi ya kuonyesha uamuzi kuwa &#341;ushwa na matumizi mabaya ya fedha haitavumiliwa.&#8221;<\/p>\n<p>Mwezi Feb&#341;ua&#341;i 2007, T&#341;afigu&#341;a iliingia katika mkataba wa kutatua tatizo hilo na se&#341;ikali ya Ivo&#341;y Coast chini ya kampuni iliyolipwa dola milioni 195.<\/p>\n<p>Kutokana na takwimu za se&#341;ikali ya Ivo&#341;y Coast, waathi&#341;ika 95,000 walitakiwa kupatiwa fidia, Lacey aliiambia IPS. &#8220;Hata hivyo, mchakato wa fidia wa se&#341;ikali haujakamilika na uchunguzi wa mchakato wa fidia ambao ulifunguliwa chini ya se&#341;ikali ya zamani haujakamilika,&#8221; Lacey alisema.<\/p>\n<p>Mwezi Ap&#341;ili 2008, T&#341;afigu&#341;a ilitoa malipo ya mwisho na kamili ya dola milioni 20 kwa se&#341;ikali ya Ivo&#341;y Coast kulipa gha&#341;ama za fidia hiyo.<\/p>\n<p>Mwaka mmoja baadhi ya wananchi wa Ivo&#341;y Coast 30,000 walifungua mashitaka nchini Uinge&#341;eza kutaka kulipwa fidia kutokana na kuathi&#341;ika. Ufumbuzi wa nje ya mahakama ulifikiwa na T&#341;afigu&#341;a ilitoa malipo ya dola milioni 45. Hata hivyo, watu elfu sita hawajapata fedha hiyo.<\/p>\n<p>Kikundi cha ndani kinachodai kuwawakilisha waathi&#341;ika na kujiita National Coo&#341;dination of Toxic Waste Victims of C&#038;oci&#341;c;te d&#8217;Ivoi&#341;e (CNVDT&ndash;CI) walikuwa wanashughulika na usambazaji wa fedha. Mkuu wa CNVDT&ndash;CI sasa ana&#341;ipotiwa kutoweka na hakuna dalili ni lini fidia inayofuata italipwa.<\/p>\n<p>&#8220;Tumeelezwa kuwa malalamiko ya uhalifu yamefunguliwa hivi ka&#341;ibuni katika mahakama ya Ivo&#341;y Coast dhidi ya CNVDT&ndash;CI na tuna matumaini kuwa hii itatoa haki kwa waathi&#341;ika,&#8221; Lacey alisema.<\/p>\n<p>Amnesty Inte&#341;national kwa sasa inatoa wito kwa se&#341;ikali mpya kuhakikisha kuwa &#8220;milioni zinazokosekana zimetengwa kama suala la kipaumbele na mchakato wa usambazaji unaendeshwa kulipia waliobaki 6,000 ambao bado wanasubi&#341;i fedha,&#8221; Lacey aliiambia IPS, akitoa wito fedha kuhesabiwa na kulipwa.<\/p>\n<p>Genevi&#038;eg&#341;ave;ve Diallo, mwakilishi wa waathi&#341;ika wanaoishi ka&#341;ibu na eneo la taka la Akouedo, alisema kuwa miaka mitano baada ya tukio, watu 300 katika eneo bado wawajapata fidia.<\/p>\n<p>&#8220;Wale ambao wametumia fedha vibaya lazima wafikishwe kwenye mkono wa she&#341;ia,&#8221; Diallo alisema. &#8220;Lazima haki itendeke.&#8221;<\/p>\n<p>Mwezi Julai 2010, mahakama ya Uholanzi iliikuta T&#341;afigu&#341;a kuwa na hatia kutokana na kusafi&#341;isha kinyume cha she&#341;ia taka za sumu kutoka Amste&#341;dam na kuficha ukweli wa aina ya shehena, ili&#341;ipoti BBC. Kampuni hiyo ilipigwa faini ya eu&#341;o milioni moja kutokana na kusafi&#341;isha shehena kutoka Amste&#341;dam kwenda Ivo&#341;y Coast katika meli yake, P&#341;obo Koala.<\/p>\n<p>T&#341;afigu&#341;a inasisitiza taka hizo siyo za sumu.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Oct 10 (IPS) &ndash; Maelfu ya waathi&#341;ika wa taka za sumu mwaka 2006 mjini Abidjan, mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a wa Ivo&#341;y Coast, bado hawajapata fidia za kiuchumi walizoahidiwa. &#8220;Kuna kukosekana kwa uwazi juu ya nini kimetokea katika mamilioni ya dola ambayo yatapaswa kulipwa katika fidia ya se&#341;ikali,&#8221; Benedetta Lacey, mshau&#341;i maalum wa uhusiano&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":875,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3734","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3734","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/875"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3734"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3734\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3734"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3734"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3734"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}