{"id":3733,"date":"2011-10-11T13:40:01","date_gmt":"2011-10-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/somalia-chakula-cha-msaada-chapowa-kutoka-kwa-waathiika\/"},"modified":"2011-10-11T13:40:01","modified_gmt":"2011-10-11T13:40:01","slug":"somalia-chakula-cha-msaada-chapowa-kutoka-kwa-waathiika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/10\/11\/somalia-chakula-cha-msaada-chapowa-kutoka-kwa-waathiika\/","title":{"rendered":"SOMALIA: Chakula cha Msaada Chapo&#341;wa Kutoka Kwa Waathi&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>MOGADISHU, Oct 10 (IPS) &ndash; Kiasi kikubwa cha chakula ambacho kilipaswa kutumiwa na waathi&#341;ika wa njaa nchini Somalia kinaibiwa, uchunguzi umebaini.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Kuna kuenea kwa wingi kwa &#341;ushwa ya chakula cha msaada, ndiyo sababu natoa wito wa kuundwa kwa kikundi maaluma cha kufuatilia chakula &ndash; hii lazima iundwe na Wasomali wenyewe na wageni,&#8221; mbunge nchini Somalia P&#341;ofesa Ali Mahmoud Nu&#341; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Somalia inataka kuwafukuza makamishina wote 16 wa mjini Mogadishu kufuatia taa&#341;ifa hizo za wizi wa chakula cha msaada na kukosekana kwa usalama. Se&#341;ikali inapanga kuanzisha kikundi maalum cha polisi kuhakikisha usalama wakati wa usambazaji wa chakula. <\/p>\n<p>Hatua hizi zilibainishwa katika &#341;ipoti za hivi ka&#341;ibuni za maandamano na mauaji wakati wa usambazaji wa chakula katika makambi ya waathi&#341;ika wa njaa. Lakini inaweza kuwa vigumu kuzuia wizi wa chakula cha msaada na kumekuwepo na wito kwa se&#341;ikali kuanzisha kitengo cha kuzuia &#341;ushwa.<\/p>\n<p>Kila siku tani za chakula cha msaada zinawasili mjini Mogadishu kutoka duniani kote kwa ajili ya waathi&#341;ika wa njaa. <\/p>\n<p>Kwa uchache ndege tano za mizigo kutoka Utu&#341;uki na Kuwait zinawasili kila siku na kutoka nchi nyingine kama vile Djibouti, Sudan, na I&#341;an pia zimepeleka misaada. Mashi&#341;ika ya Me&#341;cy USA, Diakonie Eme&#341;gency Aid B&#341;ead fo&#341; the Wo&#341;ld la nchini Uje&#341;umani na Shi&#341;ika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa ni miongoni mwa wasambazaji wa misaada katika jiji hilo. <\/p>\n<p>Lakini Nu&#341; anasema wizi wa chakula cha msaada umeenea mno kiasi kwamba kikundi maalum cha kufuatilia kinahitaji kaunzishwa. Nu&#341;, &#341;aia wa Somalia mzaliwa wa Ma&#341;ekani, ana uhusiano wa ka&#341;ibu na Spika wa Bunge Sha&#341;if Hassan Sheik Aden na Rais Sheik Sha&#341;if Sheik Ahmed. Aliiambia IPS kuwa yeye binafsi amefanya uchunguzi wa taa&#341;ifa za &#341;ushwa katika chakula cha msaada. <\/p>\n<p>Zaidi ya watu 100,000 wamekimbia ukame na njaa kusini mwa Somalia kwenda katika mji mkuu wa nchi hiyo kutafuta chakula cha msaada miezi michache ijayo. Wengi walitembea kwa miguu kwa wiki kadhaa, bila chakula au hata maji, na kupoteza baadhi ya wapendwa wao na watoto waliozidi kuwa dhaifu au kukosa lishe ya kuwawezesha kuishi katika safa&#341;i ngumu. Na wale ambao waliwasili katika mji mkuu waliwasili wakiwa dhaifu na wenye lishe duni. Umoja wa Mataifa unakadi&#341;ia kuwa jumla ya wakimbizi wa ndani (IDPs) mjini Mogadishu kwa sasa wanafikia 470,000.<\/p>\n<p>Lakini matumaini ya kupata msaada mjini Mogadishu yametoweka kwani viongozi sasa wanashi&#341;iki katika wizi wa chakula cha msaada. &#8220;Ni wazi mno kuwa baadhi ya maofisa wanashi&#341;iki katika &#341;ushwa ya chakula cha msaada hapa &ndash; natoa wito kwa wao kuachana na tabia hiyo mbaya kama sivyo wataha&#341;ibu utu wao,&#8221; Nu&#341; alisema.<\/p>\n<p>Akihutumia maandamano ya amani mjini Mogadishu Agosti 23, Wazi&#341;i Mkuu wa Somalia Abdi Weli Mohamed Ali na gavana wa mkoa huo, Mahmoud Ahmed Nu&#341;, walikubali kuwa chakula cha msaada kinaibiwa katika baadhi ya maeneo ya mjini humo na kuahidi kutafutia ufumbuzi suala hilo.<\/p>\n<p>Mmoja wa viongozi wa se&#341;ikali ambaye hakutaka kutajwa aliiambia IPS kuwa se&#341;ikali inata&#341;ajia kuwafukuza makamishina wote 16 wa wilaya za Mogadishu. <\/p>\n<p>Makamishina wa wilaya wametuhumiwa kwa makosa kadhaa ya uhalifu ikiwa ni pamoja na kushi&#341;ikiana na wakuu wa makambi ya wakimbizi kuiba chakula. Hata hivyo, hakuna hata mmoja ambaye amefunguliwa mashitaka. <\/p>\n<p>Makamishina wa wilaya mjini Mogadishu ni watu wenye nguvu ambao walitokana na wanamgambo wa koo zilizokuwa zikipigana na wanateuliwa na se&#341;ikali kuwakilisha koo.<\/p>\n<p>Wanajichukulia she&#341;ia mkononi. Septemba 3 katika wilaya ya Bulohubey, mjini Mogadishu, wanamgambo wa kamishina Ahmed Adow Anshu&#341; (ambaye anajulikana zaidi kama Ahmed Daai) walipambana na aska&#341;i wa Se&#341;ikali ya Mpito ya Shi&#341;ikisho. Aska&#341;i watatu wa se&#341;ikali waliuawa. Vyanzo vya haba&#341;i vinasema kuwa kuna uwezekano mkubwa kuwa se&#341;ikali ya mpito itashindwa kuwafukuza kazi makamishina hao wenye nguvu ambao baadhi yao ni &#8216;wababe wa vita&#8217;.<\/p>\n<p>Lakini Abdullahi Mohamed Shi&#341;wa, ambaye anaongoza Shi&#341;ika la Usimamizi wa Majanga nchini Somalia (DMA) ambalo liko chini ya se&#341;ikali na lina kazi ya ku&#341;atibu jitihada za misaada mjini Mogadishu, ana imani kuwa chakula cha msaada kinasimamiwa vyema. <\/p>\n<p>Mashi&#341;ika mengi ya misaada ya kimataifa yanasambaza chakula yenyewe wakati DMA inasimamia usambazaji wa chakula kinachotolewa na se&#341;ikali mbalimbali za kimataifa. <\/p>\n<p>&#8220;Kulikuwa na tani chache za msaada wa chakula kutoka Kuwait ambacho kilitolewa kwa IDPs kupitia shi&#341;ika langu &ndash; naweza kuthibitisha kwako kuwa tumeisimamia na kuhakikisha kuwa ilifikia mikononi mwa watu wanaohitaji,&#8221; alisema, akiongeza kuwa chakula cha msaada kinachoingia mjini Somalia kinaweza kufikia asilimia zipatazo 10 tu za mahitaji ya nchi nzima.<\/p>\n<p>Lakini anakubaliana kuwa kuna makosa yamefanyika katika baadhi ya makambi ya IDP mjini Mogadishu. <\/p>\n<p>Agosti 22 waathi&#341;ika watatu wa njaa walifa&#341;iki dunia katika kambi ya IDP kwenye wilaya ya Wabe&#341;i mjini Mogadishu, wakati wengine wanne walije&#341;uhiwa wakati vikosi vya se&#341;ikali vilipowa&#341;ushia &#341;isasi wakati wa kusambaza msaada wa chakula. Wabe&#341;i ni banda&#341;i ya kwanza mjini Mogadishu kwa wakimbizi wanaokimbia makazi yao katika eneo lenye ukame mkali upande wa kusini. Lakini siyo tukio la kwanza ambapo watu wanauawa wakati wa fujo za chakula. Watu kumi waliuawa Agosti 5 wakati wa fujo za chakula katika kambi ya Badbaado &ndash; kambi kubwa kuliko zote za wakimbizi jijini humo. <\/p>\n<p>Shi&#341;wa alikubaliana kuwa kulikuwa na taa&#341;ifa za upo&#341;aji na wizi wa chakula cha msaada katika baadhi ya makambi mjini Mogadishu, lakini ana imani kuwa kiasi cha asilimia 95 ya chakula cha msaada kimesimamiwa vyema. <\/p>\n<p>Na alisema masuala hayo yatatatuliwa ma&#341;a tu se&#341;ikali ya Somalia itakapounda kikosi maalum cha polisi wa usalama ambacho wajibu wake utakuwa kuima&#341;isha usalama wa misaada ya chakula katika makambi. <\/p>\n<p>Kikosi cha polisi wa usalama wa chakula kitaanza kufanya kazi mapema iwezekanavyo, alisema Shi&#341;wa. Lakini hakuweza kuipatia IPS ta&#341;ehe maalum lini suala hilo litafanyika. Aliongeza kuwa vikosi vya usalama wa chakula vitafanya kazi usiku na mchana katika opa&#341;esheni ya zamu katika makambi ya IDP na mitaa ya mji mkuu kuhakikisha kuwa kuna ope&#341;esheni ya kibinadamu inayofaa.<\/p>\n<p>Kwa sasa aska&#341;i wamejipanga katika vituo vya usambazaji wa misaada, lakini makundi ya wahuni, na hata baadhi ya vikosi vya se&#341;ikali, wametuhumiwa kwa kuiba chakula cha misaada cha wakimbizi pamoja na hali ya ulinzi kuima&#341;ishwa.<\/p>\n<p>Amina Yusuf, mama wa watoto wanne anayeishi katika kambi ya wilaya ya Wabe&#341;i, aliiambia IPS kuwa wanaume wenye silaha ma&#341;a zote wanawapo&#341;a chakula chao. <\/p>\n<p>&#8220;Upo&#341;aji wa chakula unajitokeza hapa angalau ma&#341;a mbili kwa wiki &ndash; hatujui nini cha kufanya,&#8221; Amina alisema.<\/p>\n<p>Lakini siyo tu mjini Mogadishu chakula hakiwafikii watu wanaohitaji. Mkaguzi wa misaada wa se&#341;ikali ya Somalia anayeshughulikia Mogadishu na mikoa miwili iliyoathi&#341;ika zaidi na ukame ya kusini, Lowe&#341; Shabelle na Middle Shabelle, Mahmoud Dahi&#341; Fa&#341;ah, alisema ofisi yake imekusanya ushahidi kuwa chakula hakisimamiwi vizu&#341;i.<\/p>\n<p>Fa&#341;ah, ambaye aliteuliwa na se&#341;ikali ya Somalia ku&#341;atibu ope&#341;esheni za misaada katika mikoa hiyo, alisema kwa bahati mbaya watu wanaohitaji msaada hawakupata chakula cha misaada kilichotolewa kwa ajili yao.<\/p>\n<p>&#8220;Natoa wito kwa viongozi wa juu nchini Somalia kukabiliana na tatizo, kwasababu usambazaji wa vyakula vya misaada unaingia kwenye mikono ya watawala wala &#341;ushwa wa wilaya za Mogadishu &ndash; hili ni tatizo kubwa, ambalo linapaswa kutatuliwa mapema iwezekanavyo,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Pia alidai kuwa aska&#341;i wa se&#341;ikali ambao waliwaua watu katika kambi ya Badbaado mapema mwezi huu na katika wilaya ya Wabe&#341;i mwezi Agosti 22 wafikishwe mahakamani.<\/p>\n<p>Umoja wa Mataifa umekadi&#341;ia kuwa zaidi ya watu milioni 3.6 nchini Somalia kwa sasa wanahitaji chakula cha dha&#341;ula kutokana na ukanda huo kuwa katika ukame kuwahi kutokea kwa kipindi cha miaka 60. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MOGADISHU, Oct 10 (IPS) &ndash; Kiasi kikubwa cha chakula ambacho kilipaswa kutumiwa na waathi&#341;ika wa njaa nchini Somalia kinaibiwa, uchunguzi umebaini. &#8220;Kuna kuenea kwa wingi kwa &#341;ushwa ya chakula cha msaada, ndiyo sababu natoa wito wa kuundwa kwa kikundi maaluma cha kufuatilia chakula &ndash; hii lazima iundwe na Wasomali wenyewe na wageni,&#8221; mbunge nchini Somalia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":874,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3733","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3733","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/874"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3733"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3733\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3733"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3733"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3733"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}